Gadafi na mwenzake Sadam walibokolewa kwa kujidai miungu watu. Dawa ya Putin nayo inachemka, warusi hao hao muda si mwingi watamgeuka na kuanzisha vuguvugu la kumwondoa.
Gadafi na mwenzake Sadam walibokolewa kwa kujidai miungu watu. Dawa ya Putin nayo inachemka, warusi hao hao muda si mwingi watamgeuka na kuanzisha vuguvugu la kumwondoa.
Hapo ndipo utakapo guduwa kwamba Wenzetu hawa ujiona ni exceptional - hata hapa Blinken hataki Raia wa Amerika wajuwe kwamba wanao zingumzwa ni POW (Prisoners of WAR), anataka Wamerika wafikiri walio tiwa mbaroni ni common criminals na sio wafungwa wa vita wakati watu wenye akili wanajua kwamba kuna baadhi/wengi wa jeshi la Amerika wanao pigana huko Ukraine huku wakiwa wamevalia uniform za jeshi la Ukraine.Watakuwa mfano kwa kenge wengine 🤣
Historia ya japan ni kwamba alipigwa bomu mbili na US, moja hiroshima nyingine nagasaki, ardhi iliharibika ina uranium inayoathir had kizazi cha kesho, ardhi haifai kwa kilimo wala makazi, US analipa fidia hadi leo kwenye ile nchi...na ndio nchi yenye deni kubwa zaidi duniani kulinganisha na GDP yake... Je una historia tofauti na hii?Kwamba uchumi wa Japan umekuzwa na makalio yako ?
Unajua hata historia kidogo wewe kibushuti ?
U wish!Gadafi na mwenzake Sadam walibokolewa kwa kujidai miungu watu. Dawa ya Putin nayo inachemka, warusi hao hao muda si mwingi watamgeuka na kuanzisha vuguvugu la kumwondoa.
Wasapoti NATO sijui mnawaza Kwa kiungo ganiGadafi na mwenzake Sadam walibokolewa kwa kujidai miungu watu. Dawa ya Putin nayo inachemka, warusi hao hao muda si mwingi watamgeuka na kuanzisha vuguvugu la kumwondoa.
Hapanaaa..tumelinganisha na Bahran oman huko..Hongkong nairobi jo-burg na kigaliTatizo mna comment kama mataahira hizo ten poorest states in USA ni poor in comparison to which countries ? ,Unazilishinganisha na mataifa gani au miji gani ? ,hebu chukua Gdp na economic status ya hizo states moja moja na uzilinganishe na miji ya Urusi au hata mataifa kama Iran ,North Korea nk , tumia akili
Baada ya bakhmut hicho ndio kituo kinacho fataOdessa inateketea huko 💥💥💥
Nafahamu sana hiyo mkuu.Wakiweka NFZ usa atauzaje silaha? Kama ambavyo slovakia na poland wametoa ndege zao ziende ukrain zikawekwe mapambo? Zimepelekwa kule zipigwe na Urusi..ili poland slovakia na nchi zngine ziagize ndege zingine kutoka US, mnakua kama hamjui biashara za US wakuu?..acheni hizo basi..
Walikiwa wamejitwisha na jenereta.... Walikiwa wana mission mahala.... Wakakutana na kitu kizito... Msambaratiko ukawa ndio tukio muhimu kwao.... Wacha wachapike tu....[emoji635][emoji1255] Ona hiyo "Hammer" M1151 ya jeshi la Ukraine msaada kutoka Marekani ilivyosambaratishwa imekutana na kitu kizito kutoka kwa vijana wa Putin.
View attachment 2575827View attachment 2575828
Tundu lako lilipoanza kutoa majimaji ya ukurutu nikakupa dildo sikutaki tena. Nyege zisikufanye unimiss, jitibu kwanzaMkuu T14 Armata
Kuna ishu ya wewe kuendekeza kupiga punyeto, uliulizwa ni kwa sababu gani unapenda michezo hiyo lakini bado hujatolea ufafanuzi.
Halafu hio Iraq haikupata msaada kutoka nchi yeyote.Marekani aliivamia Iraq ambayo ilikuwa well equiped ila hakuwahi fanya blunder kama hii
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sijawahi kuwa upande wa uncivilized ie Russia, China, NorthKorea, Iran na nchi nyingi za aina hiyoMkuu inawezekana ninaku misread, lakini inaonekana kama haupo upande wa Ukraine kwa sasa.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Ngoma bado mbichi Bakhmut
![]()
Ukrainian soldiers ride atop an armoured personnel carrier on the front line in Bakhmut, Ukraine [File: AP Photo/Libkos]
The battle for Bakhmut is not over and Ukraine is still fighting hard for the town. “Bakhmut is Ukrainian and they have not captured anything and are very far from doing that, to put it mildly,” Serhiy Cherevatiy, spokesperson for the eastern military command, told Reuters news agency by phone.
Umekuwa ni umoja wa kupiga soga kijiweni. Hawana la maana. Wamekuwa kama Mbwa abwekae.... A barking Dog Seldom bites....NATO imebadilisha nn au itabadilisha nn? NATO umekuwa Kama umoja wa afrika mashariki[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Mkuu samahani hujui habari za handaki hiyo. Maana hakuna handaki ya majenerali wa NATO iliyopigwa. Unaamini stori tu.Hiyo bunker yenyewe tuliijua baada ya kupigwa na kinzhal, tusubir wenye majenerali wao serikali zao zitatoa siri siku za usoni..
Mrusi gani mwenye akili timamu na mzalendo wa kweli ambaye taifa lake liliweza kishinda jeshi la kinazi la Hitler na kupoteza zaidi ya wanajeshi million ishirini, hivi mtu kama huyo anaweza kweli kuwa na ubavu wa kujitokeza hapa na kuanza kumlahumu Putin anaye jitahidi taifa la Urusi lisirudi tena kwenye UNAZI mambo leo ambao utakuwa even worse kuliko wa Hitler.My country has fallen out of time’: Russian author Mikhail Shishkin’s letter to an unknown Ukrainian
A year after Putin’s invasion, the award-winning novelist reflects on the silence of his compatriots, the betrayal of his mother tongue, and his hopes for the future
Mikhail Shishkin
Sun 2 Apr 2023 08.00 BST
My dearest one,
They stole the language from us. We spoke and corresponded with you in the language of great Russian literature. Now, for the whole world, Russian is the language of those who bomb Ukrainian cities and kill children, the language of war criminals, the language of murderers.
They will be tried for crimes against humanity. I would like to believe that all those who prepared and participated in this war, who supported it in one way or another, will be put in the dock. But how can one go to trial for a crime against language?
My father went to the front when he was 17 to avenge his brother who was killed by the Germans. After the war, he hated Germans and everything German all his life. I tried to explain to him: “But Dad, there is great German literature! German is a beautiful language!” These words had no effect on him.
What will we be able to say after the war to the Ukrainians whose homes were bombed and looted by the Russians, whose families were killed? That the great Russian literature is beautiful? And that the Russian language is so wonderful?
Do dictators and dictatorships breed slave populations or do slave populations breed dictators? Ukraine was able to escape from this hellish circle, to escape from our common, monstrous, bloody past.
For this reason it is hated by Russian impostors. A free and democratic Ukraine can serve as an example for the Russian population, which is why it is so important for Putin to destroy you.
![]()
‘The modern man himself is responsible for deciding what is good and what is evil’: Mikhail Shishkin.
In Russia, we had neither de-Stalinisation, nor the Nuremberg trials of the Communist party of the Soviet Union. The result we see: a new dictatorship. A dictatorship, by its very nature, cannot exist without enemies, which means war.
The plans of the general staff included the refusal of Nato to defend you with its armed forces, and Nato fulfilled this plan of Putin in the first days of the war. You Ukrainians did not agree to Putin’s plans. You did not surrender, you did not greet his tanks with flowers. You are not only defending your freedom and human dignity; now you are defending the freedom and human dignity of all humanity.
You cannot be defeated because the war is not decided by the number of tanks and missiles, but by the power of love for freedom. You are free men, and those who carry out the criminal orders of the Russian generals are slaves.
A year ago, when Russian tanks were already marching toward Kyiv, the whole world wondered why there were no mass anti-war protests in Russia, why only loners took to the streets.
I attributed it to fear. Silence is a Russian survival strategy. Those who protested back then were in jail. This is how Russians have survived by silence for generations. Pushkin formulated this Russian way of life in the last line of his historical drama Boris Godunov: “The people are silent.” And with the beginning of the aggression against Ukraine, the people were “keeping silent”.
But then mass mobilisation began in the autumn, and it is no longer possible to explain away the fact that hundreds of thousands of Russians obediently went to kill Ukrainians and be killed. This is something else, something deeper, something scarier.
I see only one explanation: my country has fallen out of time. In the 21st century, the modern man himself is responsible for deciding what is good and what is evil. And if he sees that his country and his people are waging a despicable shameful war, he will be against his country and against his people.
But most Russians mentally live in the past, when people associated themselves with their tribe. Our tribe is always right, and the other tribes are our enemies and want to destroy us. We are not responsible, we don’t decide anything, the chief/khan/king decides everything for us.
This is how they think: if our enemies, the fascists from Ukraine and Nato, attack our homeland, we go to defend it, just as our grandfathers defended it from the German fascists. The feeling of love for the homeland, the beautiful sense of patriotism, was used by all dictators for their own purposes. My father thought he was defending his homeland from Hitler’s regime, but he was defending the same fascist regime of Stalin. Russians are now going to war, as Putin’s propaganda explained to them, to defend their homeland against “European and American nazism”, and they don’t realise that they are protecting the power of a criminal gang in the Kremlin, which has taken the entire country hostage.
The only way out is to inflict a military defeat on the Putin regime. Therefore, democratic countries must help the Ukrainians with everything they can, and above all with weapons.
After the war, the whole world will come to your aid to reconstruct what has been destroyed, and the country will be able to rebuild itself. And Russia will lie in the ruins of economy and in the ruins of consciousness. A new birth of my country is possible only through the complete destruction of the Putin regime.
The empire must be amputated from the Russian person, like a malignant cancer. This “hour zero” is vital for Russia.
My country will have a future only if it passes through total defeat, as happened with Germany.
Glory to Ukraine!
Kwa hiyo viwanda vinajengwa hewani?Historia ya japan ni kwamba alipigwa bomu mbili na US, moja hiroshima nyingine nagasaki, ardhi iliharibika ina uranium inayoathir had kizazi cha kesho, ardhi haifai kwa kilimo wala makazi, US analipa fidia hadi leo kwenye ile nchi...na ndio nchi yenye deni kubwa zaidi duniani kulinganisha na GDP yake... Je una historia tofauti na hii?
Mkuu kwa kawaida kitu kama "no fly zone" inatagazwa kwa ndege za wengine. Kuhusu mpango wa Biden kuleta F16 - je una ushahidi wowote? Sidhani upo maana huwezi kumweka rubani katika ndege ya aina hiyo na kumwabia "ruka". Atahitaji mazoezi miezi mingi angalau 9. Je umesikia kwamba wameanza kufundisha marubani wa Ukraine kwenye F16?Hapanaa..wangeweka no fly zone wangekujaje kuingiza ndege vita zao? Bado Biden ana plan ya kuleta F-16, anawasikilizia hao mashankupe wake wa west wana wazo gani..maana anatarajia west ndio wawe wa kwanza kudonate ndege zao wote ili yeye awauzie zakwake mpya...hii OP, US anaitumia vizuri kibiashara.
Kuna watu wapuuz ila wewe naona utakuwa na mental health issues ,si bureMpaka leo Marekani ajui lilitumika kombola gani kupiga ile military bunker maana ngoma ilichimbua zaidi ya mita 200 kwenda chini.hakika ile ilikuwa ni teknolojia ya juu zaidi kutumiwa na Warusi hapa Duniani.
Marekani mpaka kufika hapo alipofika Urusi basi tumpe labda miaka 200 zaidi ndo ataweza kutengeneza kombola kama lile
Comment ndefu ,ushuzi na uharo mtupu , uparato ,mavi maviHa ha haa,
Urusi bana,ni kama imepiga jiwe moja lakini imeua ndege wengi vile!
Ni kitendo cha kujilinda,yaani dimilitalization,de nazidication na de natosification of Ukraine,lakini matokeo yake Sasa kimetokea kua kama kitendo Cha kulipiza kisasi dhidi ya marekani.nitaeleza.
Nayo Finlanda na Sweden ni kama wahalifu wawili waliokua wameketi sehemu pamoja na watu wema bila kujulikana kama hao wawili ni wahalifu.
Polisi walikua katika shughuli zao za kawaida wala hawakua wakiwa jua hao jamaa wawili ni wahalifu,lakini walipopita mbele Yao TU wahalifu wale wakakurupuka na kutoka nduki,ndipo polisi kwa kuona hivyo wakajua Hawa Wana jambo la kujibu,nao wakaanza kuwafatilia.
Iko hivi,Urusi wala haikua na mawazo,shida wala mgogoro wowote na Sweden na Finland.
Kwa mtazamo wangu,mara TU baada ya Urusi kuivamia Ukraine,Ni kama walipangwa hivi nao waombe uanachama wa NATO ili kuichanganya Urusi na kuitoa ktk malengo yake ya SMO.Lakini kwa bahati mbaya waliwakuta wacheza Chess walishausoma mchezo,Putin mara moja akasema Hana tatizo na akina Finland kujiunga na NATO.yeye tatizo lake ni Ukraine.Hapa nadhani mtego ulirukwa kikamilifu.
Sasa basi kosa la sweden na Finland kama wakijiunga na NATO ni moja nalo ni kubwa sana ni kwamba wwshaingizwa kwenye orodha ya nchi ambazo zitashambuliwa kwa nguvu zote na Urusi iwapo vita baina ya NATO na Urusi itatokea.jamani hili sio jambo dogo.Kabla ya kujiunga kama vita baina ya NATO kama ingetokea Urusi wala asingizifanya chochote Finland na nduguye.
Nakumbuka wakati wa mzozo wa Marekani kutaka kuweka mfumo wa rada nchini Romania na mfumo wa kutungua makombora nchini Checks, eti kwa ajili ya kujilinda ulaya na nchi korofi kama Korea Kaskazini na Iran.
Urusi ilizionya nchi m ili hizo kua zimekubali kuwa malengo ya silaha za maangamizi za Urusi kwa kukubali kuwekewa mifumo hiyo?
Maana Urusi ilisema kwa sababu silaha hizo ni kwa ajili ya Urusi,nayo Urusi itaelekeza silaha zake za maangamizi kwa nchi hizo.
Kwa kauli hiyo TU,wananchi wa n chi hizo wakaandamana kuwataka watawala wao waachane kabisa na mpango huo,nao ukasitishwa.
Tuachane na akina Finland.
Kwa Nini nasema alietaka kulinda mipaka yake (Urusi)Sasa ni kama analipiza kisasi.
Lengo la hii SMO ni kulinda mipaka yake,lakini Sasa,ama kwa kujipanga yaani kujua,ama kwa kutokujua huenda Urusi imepata nafasi ya kulipiza kisasi kwa kuanguka kwa USSR.
Kisasi ni kisasi TU,kisasi sio lazima kifanane na ulivyomfanyia mtu.hata kumuaibisha TU ni kisasi wakati yeye alikudhurumu.huu ni mfano TU.
Kila nikiangalian OP hii inavyoenda nawaza pengini ni kitendo Cha kulipiza kisasi,ni kama muvie Fulani hivi la akili kubwa sana.
Nasema hivi kwa sababu.
Nchi nyingi zimeona double standard za west,hata raia wa west wenyewe wameona hivyo.
Kwamba akipigwa Palestine ni sawa lkn akipigwa Ukraine ni haramu.Hapa Urusi kafanikiwa kuichonganisha jumuiya ya west na jumuiya ya kiarabu Dunia nzima.
West kutaka afrika ijitenge na Urusi,waafrika wamegoma ,wamekumbuka visa vya west wakati wa ukoloni.
Hapa Urusi kacheza vizuri.
Marekani alizoea kutumia Dola kama silaha ,Urusi kafanikiwa kuifanya sehemu kubwa ya Dunia kuanza kuiepuka dola.matokea yake Dola inaenda kua Hela ya kawaida TU.
Uwezo wa NATO kijeshi.
Aisee hapa ndio penye utamu.
Unajua hesabu Huwa hazidanganyi.
Na hapa ndio Kuna swali ambalo Pro NATO hua hawataki kabisa kulisikia achilia mbali kulijibu.
iko hivi.
Ukraine imepewa na inaendelea kupewa misaada ya Hali ya juu sana ya silaha,ujasusi wa kivita,fedha,uungwaji mikono,ushauri na Kila aina ya michango kutoka wataalamu wabobevu wa fani zote kutoka nchi zinazoaminika sana hapa duniani kuanzia Wataalamu kutoka NATO,G7,EU,west Europe na Kila aina ya uchwara
Namba zinahoji hivi kama USA na NATO walienda kumpiga Saddam Hussein wa Iraq kwa kuivamia Kuwait,Kama NATO walienda kumpiga Slobodan Milosevc wa Serbia/Yugoslavia kwa kuwapiga Bosnia and Herzegovina na Kosovo,kama walienda kumpiga Muamar Gadafi alipowapiga wapinzani wake Libya.Bahati nzuri au mbaya zote hizo hazikua wanachama wa NATO lkn NATO walienda.
Leo hii matukio yote hayo yanafanana kabisa na tukio la Ukraine.
sasa NATO wanasubiri Nini kuingia vitani dhidi ya Urusi kwa staili ileile waliyotumia kwa nchi nilizozitaja?
Mfano wa kizembe kabisa katika smo hii.
Unaweza kuilinganisha halii hii hivi:
Uwezo wa kufikiri wa raisi wa Urusi peke yake,amewazidi Marais zaidi ya 30 wa west ktk smo hii.
Uwezo wa kufikiri wa Mkuu wa majeshi wa Urusi peke yake, amewazidi wakuu wa majeshi wa nchi zaidi ya 30 za west ktk smo hii.
Uwezo wa kufikiri wa Mkuu wa ujasusi wa Urusi peke yake,amewazidi wakuu wa ujasusi wa nchi za NATO ktk smo hii.
Waziri wa fedha na uchumi wa Urusi peke yake uwezo wa kufikiri,amewazidi mawaziri wa fedha na uchumi wa west ktk smo hii.
Huuni mfano mwepesi TU lkn ukweli ni kwamba. USA na west wake walitaka
Putin atikiswe,
hajatikiaika.
Jeshi lishundwe halijashindwa,
Mambo yavurugike,
majasusi wa Urusi wamedhibiti.
Uchumi wa Urusi uvurugike,umevurugika wao.
Fedha ya Urusi ianguke,lkn imepanda thamani na Dola imeanza kupuuzwa..
Matokeo yake.
NATO kuonekana Haina faida.
USA ushawishi kuisha,
Dola kupoteza umaarufu,
Uchumi wa west kuanguka,
Na west kua nchi zisikokua na maana.
Balance of power kuja
Na kuibuka kwa Brics kidunia yaani nchi nyingi kujiunga.
Uonevu kuisha.
Nchi kuheshimiana,hakuna kulazimishana mambo yasiyofaa.
Marekani hatakaa avamie nchi yoyote tena kwani ataonekana alichokipinga kwa Urusi ni kipi na anachokifanya ni kipi.
Urusi kutaka kulinda mipaka yake imejikuta inaikomboa Dunia.
Mkuu jenerali si kijana. Ana familia yake, ana ndugu na majirani ya miaka mingi. Habari za kifo za mtu mkubwa haziwezi kufichwa. Labda kama ni mmoja, kamwe kama ni wengi mlivyodai. Tena inaonekana kama kundi la majenerali kwa ghafla hawaonekani tena mahali popote. - Kama stori hiyo ingekuwa na msigi wowote, habari zingesambaa tayari. Ila hakuna daili hata punje.[emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyo mwandishi wa habari si mpaka apewe iyo habari kama jeshi likikaa kimya yeye anapataje habari.labda wajitokeze wasamalia wema kama kina Edward snowden na Assange.
Ile base ilikuwepo kule chini na vikao vilikuwa vinaendelea.awakutegemea kama Warusi wangeweza kuisambaratisha.vichwa vyote vya Majenerali vilifukiwa pale pale walichokiambulia ni zile bandera zao zenye rangi nyingi nyingi(bendera za ushoga) ndo zilizosalia pekee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]