Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wazushi tu warusi wamemkamata binti wa watu ili waonekane wapo makini

Kama wangekukuwa hivyo wanavyojiaminisha wangezuia huo mlipuko kabla haujaleta madhara.

Kwakuwa ni nchi ya kidikteta huyo binti atakuwa mbuzi wa kafara kwa viongozi wasiotaka kuwajibika.
Atapigwa viwembe mpaka awataje wanamgambo wenzako.
 
Mkuu jenerali si kijana. Ana familia yake, ana ndugu na majirani ya miaka mingi. Habari za kifo za mtu mkubwa haziwezi kufichwa. Labda kama ni mmoja, kamwe kama ni wengi mlivyodai. Tena inaonekana kama kundi la majenerali kwa ghafla hawaonekani tena mahali popote. - Kama stori hiyo ingekuwa na msigi wowote, habari zingesambaa tayari. Ila hakuna daili hata punje.
Nimeomba hapa mara kadhaa kuoonyeshwa ushahidi. Hadi sasa mahubiri tu.
We mwanamgambo wa Ukraine toka Kilolo acha uwongo yule Jenerali wa Canada aliyetiwa nyavuni na Wachechen unaskia story zake sio lazima utangaziwe maumivu NATO wanayoyapitia hawawezi kutangaza aibu kubwa kama hiyo
 

Ukraine mocks Russian claim to have captured mining city of Bakhmut​

This photograph taken on March 26, 2023, shows a Ukrainian T-72 tank fires at Russian positions on the front line near Bakhmut, amid the Russian invasion of Ukraine.

This photograph taken on March 26, 2023, shows a Ukrainian T-72 tank fires at Russian positions on the front line near Bakhmut, amid the Russian invasion of Ukraine.
Sergey Shestak | Afp | Getty Images

Ukraine scorned Russian claims to have captured the eastern city of Bakhmut on Monday, saying its foes had raised a victory flag over "some kind of toilet" while combat was raging.

The battle for Bakhmut, a mining city and logistics hub, has been one of the bloodiest of the conflict, now in its second year, with many casualties on both sides and the city largely destroyed by bombardments.

Yevgeny Prigozhin, head of the Wagner mercenary force spearheading the siege, said on Sunday his troops had raised a Russian flag on the city-center administrative building even though Ukrainian soldiers still held some positions.

"From a legal point of view, Bakhmut has been taken," he said in a video on Telegram. "The enemy is concentrated in the western parts."

Prigozhin has previously made premature claims.
Ukraine's military said fighting was still raging around Bakhmut's city council building, as well as in several other nearby towns.

"Bakhmut is Ukrainian and they have not captured anything and are very far from doing that," Serhiy Cherevatyi, spokesperson for the eastern military command, told Reuters.

"They raised the flag over some kind of toilet. They attached it to the side of who knows what, hung their rag and said they had captured the city. Well good, let them think they've taken it," Cherevatyi added by telephone.
— Reuters

==========================

Warusi wanajitekenya na kucheka wenyewe...
Unaweza sema ni tawi la mti kumbe kinu icho
 
Kinacho shangaza zaidi, Viongozi wa Ulaya wanajua kwamba wanakuwa Black mailed na US,, lakini wanakubali kama mazezeta.

Mfano kulazimishwa kununua F-35,, wakati wataalamu wa masuala ya military flying machine wanasema sifa ambazo F-35 upewa na media za magharibi/Merikani sifa hizo nyingi uwekwa chumvi mno- ndege hiyo haiwezi ku-survive kwenye air space zinazo lindwa na Russian Air defense system au Chinese Air defense au Russian jet fighters kama: SU-34, SU-35 na SU-57 hata MiG-35 - sifa nyingi wanazo zisema zinatokana na computer simulation na siyo kwenye real air battle, lakini Lockheed Martin company uirundikia sifa kede kede as if iliwahi kupigana popote Duniani - lengo lao likiwa ni kutaka iuzike kwa wingi Duniani hata kwa kulazimisha au vitisho/blackmailing

Chukulia mfano huu: Ulaya walikuwa na viwanda vyao mahili vya kuunda ndege za kivita kama Eurofighter, Tornado nk lakini viwanda hivyo vinakosa kazi kiaina kwa kuhujumiwa na Merikani kisiri siri - wanawambia ndege zenu wauzieni mataifa ya Ulaya mashariki sisi tutawauzia F-16 na F-35 na baadhi ya nchi za Ulaya maghararobi zinakubali kurubuniwa kirahisi.

EU is just another State of America.
 
Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56]


New satellite imagery of Crimea from Maxar Technologies shows an intricate network of trenches in the occupied territory of the peninsula. Russia has built dozens of defensive structures, which span several miles, the Washington Post reports, adding that these structures demonstrate Russia’s fear of losing Crimea.

Learn more: Washington Post: Satellite images show Russia bolstering Crimean defenses

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tumewajibu NATO na FINLAND

[emoji635][emoji779]️In response to Finland's entry into NATO, Russia will strengthen its military potential in the north-western direction - Deputy Foreign Minister of the Russian Federation Alexander Grushko
Russia nae inabidi apeleke nyuklia kwenye kile kisiwa kati kati mwa ulaya

[emoji1179][emoji1179][emoji1179]
 
Ivi wewe vita unaichukuliaje?.pale Ukraine kwa sasa kila mtu anapambania roho yake wala hakuna maisha ya kusema sijui ufatilie leo kafa nani.

Yani kuna watu wengi awajui ndugu zao wapo wapi kwa sasa maana wanajua tu wapo jeshini kumbe labda walishakufa siku nyingi.pasipo jeshi kutoa taarifa wewe utajuaje kama ndugu yako kafa ikiwa haupo front.
Hatuongelei Waukraine. Tunajadili madai kuhusu kundi la majenerali wa NATO. Majenerali hawatoweki na hakuna anayeitambua.
Hakuna aliyeleta ushahidi wowote wa kuaminika. Mnaitetea tu kwa sababu mmoja ameleta na wengine wamshangilia.
Stori ni uwongo mpumbavu sana. Nimeona uwongo mzuri zaidi.
 
Mkuu T14 Armata

Matusi ya nini... kwani ulilazimishwa kupiga punyeto mkuu wangu?
Mimi nachofanya ni kuuliza tu mbona hukujibu ulipoulizwa kuhusu upigaji wako ya punyeto.

Uyo dogo tushampoteza anazijua mpaka Dildo?? Mashoga huwa wanazitumia hizo ukiachana na Lesbians. Dogo kamaliza chuo mwakajana bado mtoto sana.
 
Nato Ikiwa Ni Libya Iraq
Msitari wao Hunyooka Na Kulipua tu
Ila Inapotokea Urusi Hadi Kivuli Kinapigwa Kona Kama Pia!!
View attachment 2576233

Russia ni Mwanaume halisi nchi zaidi ya 31 mnaungana na bado mnadundwa. NATO ni umoja wa kina mama tu kelele kibao. Zelenksyy mwenyewe aliwaambia NATO ni dhaifu na waoga dhidi ya Russia.
 
Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56]


New satellite imagery of Crimea from Maxar Technologies shows an intricate network of trenches in the occupied territory of the peninsula. Russia has built dozens of defensive structures, which span several miles, the Washington Post reports, adding that these structures demonstrate Russia’s fear of losing Crimea.

Learn more: Washington Post: Satellite images show Russia bolstering Crimean defenses

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Toa mrejesho wa leopard 2.
 
Russia ni Mwanaume halisi nchi zaidi ya 31 mnaungana na bado mnadundwa. NATO ni umoja wa kina mama tu kelele kibao. Zelenksyy mwenyewe aliwaambia NATO ni dhaifu na waoga dhidi ya Russia.
kama kidume kweli kiambie kiguse nchi yeyote ile member na NATO kama hatavaa boxer kichwani.
 
Safari hii warusi wamejipanga ukraine kila ikifanya counter attack huko zaporozinye wanaishia kupewa kichapo huku warusi wakijazana huko belarusi kwa maandalizi ya kurudi tena kiev ndo maana tangu wiki iliyopita urusi ilikiwa inaziteketeza military post za ukraine huko ktk mji wa sumy
 
Baada ya baadhi ya nchi kugundua Kuna usaliti kwenye sanction Kwa Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji23][emoji23][emoji23]


Czechs, Slovaks urge EU to enforce sanctions on Russia
The Czech and Slovak prime ministers have urged the European Union to exert “targeted pressure” on the Kremlin by sticking to sanctions imposed on Russia after it invaded Ukraine last year.

“It is important for the EU and its partners to continue targeted pressure on the Russian Federation and thoroughly implement the sanctions,” the premiers said in a statement.

Allies should also “prevent bypassing the sanctions and create mechanisms to punish those responsible for crimes related to this aggression”, they added.

The Czech and Slovak governments, led by Petr Fiala and Eduard Heger, respectively, met in the western Slovak city of Trencin.
 
Maandalizi sio dhambi


Belarus begins combat readiness inspections
The Belarus Ministry of Defence says it has started combat readiness inspections of the armed forces.

In a statement published on Telegram, the ministry said the inspections would determine the capacity of military units to perform at “the highest levels of combat readiness”.

A previous flurry of military drills in Belarus raised concerns in Ukraine that it might take an active role in the conflict in its neighbour.

Minsk denied any such plans but warned that any incursions into Belarusian territory would invite a response.
 
Back
Top Bottom