Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Samahani mkuu sababu za kushuka kwa bei ya pesa fulani (yaani exchange rate) mara nyingi ni sababu za ndani. Mfano kama benki kuu inazidi kuchapisha pesa - ilhali hakuna bidhaa za kutosha sokoni - basi pesa inashuka. Katika nchi mbalimbali za Afrika, Ulaya, Amerika tumeona mifano mingi ya aina hii, tena tangu karne nyingi.
Zamani (kabla ya benknoti) serikali zilichanganya sarafu za dhahabu na fedha kwa shaba au metali nyingine. Kumbe sarafu hizo zilitambuliwa na bei zilipanda. Mfano Waroma wa Kale walikuwa na sarafu ya Denarius , kiasili yenye gramu 4.5 za fedha (silver) iliyokuwa asilimia 90 ya uzito wake wakati wa kuzaliwa kwa Kristo. Miaka 200 baadaye, fedha ndani yake ilikuwa 45% pekee, , miaka 250 baadaye ilikuwa silimia 5 pekee, na mwaka 265 asilimia 0.5 pekee. Wafanyabiashara walipaswa kupandisha bei za bidhaa mara elfu kadhaa. Wengine wanaona ilikuwa vibaya kuliko Yuhoslavia kwenye miaka ya 1990 au Zimbabwe juzi.
Leo enzi ya sarfu za dhahabu au fedha imepita, lakini unapata matokeo yaleyale ukichapicha benknoti nyingi mno. Au zaidi siku hizi kama Benki Kuu inaongeza mno kiasi cha mkopo kwa benki za kibiashara
800px-100000000-dinar-1993-Yugoslav-obverse.jpg
Mkuu naona unaongea kipropaganda mno...yaani nakuangalia unavyoandika mada hapa hauna tofauti na wanyonyaji wa kizungu wenye siasa za kuzunguka mbuyu wakati nia yake ni akupige tukio huku unajiona na unakubali kupigika.

Zimbabwe ilichapisha banknote nyingi kwakua ilipata vikwazo kutokana na kufukuza wakulima wa kizungu, uganda ilichapisha banknote nyingi kwasababu ilipoingia mgogoro na Tz kpnd cha Idd Amin basi nchi zilizokua zinaidhamin misaada zilikatisha misaada, Tz iligoma kuchapisha banknote nyingi ndio ponapona yake fedha haikuporomoka sana, ukilinganisha na sarafu ya Kenya(baada ya vita ya Ug ndio kipindi kenya inaiacha nyuma Tz kiuchumi)..hadi leo hii vita ile imesababisha shida katika chumi za nchi hizo mbili,

N.korea baada ya kuwekewa vikwazo uchumi uliyumba fedha yao haukuweza kujitosheleza S.korea iliwekizwa kuiangusha N.korea, raia walitegemea zaidi kilimo cha ndani ya nchi, kama mazao hayakutosha basi baadhi walikufa njaa na wengi waliugua utapiamlo, na aliejaribu kutoroka nchi alipatikana na madhara makubwa ikiwemo kifo pindi akikamatwa anatoroka,serikali iliendeshwa kwa njia zisizo halali km black market na hacking kwny mitandao, je wajua ilipokosekana sababu ya kuiangusha fedha ya libya ni nini kilitokea? Je Iraq? Je misri? Unakijua kinachoitesa sudani na akiba yao kubwa ya mafuta? Somalia? Je Nigeria?

Cuba ilipowekewa vikwazo raia wengi walikufa njaa, wengi walitorokea Miami..fedha ya nchi ilidorora..unajua kwanini Cuba inajulikana kwa kuwa na madaktari bingwa wanaotibu maeneo mengi duniani tena burebure....? Kama hujui sababu muache basi propaganda za kizungu humu..mtaelewa kwanini US ana vituo vya kijeshi karibu 65% ya nchi zote duniani hadi nchini kwako, lkn huyo urusi tunaeambiwa ni mbaya na hatari kwa dunia hana hata kituo cha kugawa kondom nchini kwako.
 
Hivi ni kwanini NATO na US waligomea kuweka No Fly Zone Ukraine?
Wanataka zipigwe za kuihakika,ili west wa-donate silaha zao then US auze silaha mpya kwa west...sasahivi kuna kafoleni ka bookings za silaha km nchi 30 hivi za ulaya..US amekaa paleee na "peni" na notebook anaandika "ODA" kila mu-west lazima aweke "oda" ukikataa kuweka unaitwa ww ni Pro-Putin
 
Safi sana kamanda hapa ni kama umefanya counter offensive kwenye viunga vya Bakhmut baada ya mamluki wa kimagharibi kutaka kuvamia administration building's.
 
ASEAN considers dumping US dollar, euro, yen, pound

The Association of Southeast Asian Nations is considering dropping the US dollar, euro, yen and British pound to foster financial settlements via national currencies, ASEAN Finance Ministers and Central Bank Governors said at a recent meeting in Indonesia.

If such a measure is adopted, the ASEAN cross-border digital payment system will be further expanded. It will also allow member countries to use local currencies for trade, according to a briefing report.

The news came after a March 27 announcement by Indonesia's central bank the country is preparing to phase out Visa and Mastercard, while introducing its own domestic payment system.

Earlier, Indonesian President Joko Widodo asked regional administrations to start using credit cards issued by local banks, as moving away from Western payment systems is necessary to protect transactions from "possible geopolitical repercussions."

Subscribe to Russian Market
 
Bakhmut bado pagumu Sana kwa wavamizi...

As Wagner chief claims "legal" control of Bakhmut - what can we determine from night-time video?​

Jack Taylor, Sky News forensic journalist

Earlier we reported that Russia's paramilitary Wagner Group has claimed to hold "legal" control over the city of Bakhmut.

The claims were made in videos posted by Yevgeny Prigozhin, the group's leader, one of which shows soldiers raising Russian flags on the ruins of a building.

Ukraine has reacted by dismissing the claims and a spokesperson for the military said that Wagner fighters had "raised the flag over some kind of toilet".

Sky News has verified that part of the video was filmed by the Bakhmut City Council building. Distinctive markings on the building seen can be matched to other verified videos filmed by soldiers in the area.

lcimg-628edc84-2289-4b16-b808-ce619e3fc594.jpeg

Other surrounding buildings, rubble and trees can be matched to existing verified videos and satellite imagery.

lcimg-764e3480-f285-44ee-aa81-94ef329de4ac.png

This is a screenshot from part of the video that shows fighters raising flags on rubble that is claimed to be the ruins of the city council building.

This video, posted today and filmed in the day time, shows what is left of the building and the flags themselves.

This location is currently on the assessed frontline in Bakhmut, according to data from the Institute for the Study of War.

Ukrainian forces still control a large portion of the embattled city and fighting has continued for months.

lcimg-56dadeff-2c92-408d-a2f7-af239d6f7e1c.png

This isn't the first time that the Wagner Group has claimed successes in Bakhmut.
On 3 March, Yevgeny Prigozhin claimed that they had "practically encircled" the city and has continually made similar claims.

Copy link
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20230403_154423.jpg
 
ASEAN considers dumping US dollar, euro, yen, pound

The Association of Southeast Asian Nations is considering dropping the US dollar, euro, yen and British pound to foster financial settlements via national currencies, ASEAN Finance Ministers and Central Bank Governors said at a recent meeting in Indonesia.

If such a measure is adopted, the ASEAN cross-border digital payment system will be further expanded. It will also allow member countries to use local currencies for trade, according to a briefing report.

The news came after a March 27 announcement by Indonesia's central bank the country is preparing to phase out Visa and Mastercard, while introducing its own domestic payment system.

Earlier, Indonesian President Joko Widodo asked regional administrations to start using credit cards issued by local banks, as moving away from Western payment systems is necessary to protect transactions from "possible geopolitical repercussions."

Subscribe to Russian Market
Hapa Urusi alipiga ndege wengi kwa jiwe moja
 
Bakhmut bado pagumu Sana kwa wavamizi...

As Wagner chief claims "legal" control of Bakhmut - what can we determine from night-time video?​

Jack Taylor, Sky News forensic journalist

Earlier we reported that Russia's paramilitary Wagner Group has claimed to hold "legal" control over the city of Bakhmut.

The claims were made in videos posted by Yevgeny Prigozhin, the group's leader, one of which shows soldiers raising Russian flags on the ruins of a building.

Ukraine has reacted by dismissing the claims and a spokesperson for the military said that Wagner fighters had "raised the flag over some kind of toilet".

Sky News has verified that part of the video was filmed by the Bakhmut City Council building. Distinctive markings on the building seen can be matched to other verified videos filmed by soldiers in the area.

lcimg-628edc84-2289-4b16-b808-ce619e3fc594.jpeg

Other surrounding buildings, rubble and trees can be matched to existing verified videos and satellite imagery.

lcimg-764e3480-f285-44ee-aa81-94ef329de4ac.png

This is a screenshot from part of the video that shows fighters raising flags on rubble that is claimed to be the ruins of the city council building.

This video, posted today and filmed in the day time, shows what is left of the building and the flags themselves.

This location is currently on the assessed frontline in Bakhmut, according to data from the Institute for the Study of War.

Ukrainian forces still control a large portion of the embattled city and fighting has continued for months.

lcimg-56dadeff-2c92-408d-a2f7-af239d6f7e1c.png

This isn't the first time that the Wagner Group has claimed successes in Bakhmut.
On 3 March, Yevgeny Prigozhin claimed that they had "practically encircled" the city and has continually made similar claims.

Copy link
Hata miji mingine zilianza ngonjera kama hzi mwisho wa siku mpira uliwekwa kati.
 
IMG_20230404_071326_577.jpg
❗️Alleged Mastermind Behind Killing Of Russian Military Blogger Revealed — Media

The main suspect in the murder of prominent Russian military blogger Vladlen Tatarsky, Darya Trepova, has admitted she was recruited by a man with ties to the Ukrainian Security Service (SBU), news outlet Shot claimed on Monday, citing sources. Tatarsky was killed on Sunday by a blast from an improvised explosive device.

The attack on Tatarsky was orchestrated by Roman Popkov, a former journalist with the MBKh Media outlet founded by exiled oligarch and staunch Kremlin critic Mikhail Khodorkovsky, Trepova is reported to have said. According to the suspect, Popkov “taught her journalism” initially but then asked her to carry out a task for his “contact. “

Shot claimed that Popkov’s contact was an SBU agent, although his identity was not revealed. The Russian Interior Ministry published a video on Monday in which Trepova admitted to bringing the bomb camouflaged as a statuette to Tatarsky’s meeting.

Subscribe to RT
 
Umetumia vigezo gani kusema Finland anaimudu Urusi kivita bila nukes?
Finland unasema Yuko salama akiwa member wa NATO!
Ujue bora ukose Pesa, unaweza pata wasamalia wema wakakupatia. Ila mtu akikosa akili kisha akajikuta mjuaji siku zote huwa anaachwa na Upumbavu wake.

Nasoma zangu hapa comments nimeiona hiyo binafsi nimecheka sana, but kicheko cha masikitiko. That's why kila mda huwa nasema hawa wenzetu wana namna yao ya kufikiri ambayo haifanan na yetu. I mean wapo kwenye dunia yao full of illusions!

Finland weka mbali silaha iwe mshale, ama mkuki. Ni nchi yenye Idadi ya watu wachache kuliko Mkoa wa Dar es Salaam hapa Tanzania. Finland ina idadi ya watu takriban Mil 5.47

Hapo tumesema Idadi ya watu, So ni Jumla ya Wazee Vijana na watoto kwa pamoja. Ila kwa upande wa Russia tusizungumzie Idadi ya watu bali Total reserves ya wanaoweza kupigana endapo ikitangazwa Vita. Ni zaidi ya Mil 25.

Number hazidanganyi msemo wa lee van cliff
Idadi ya wapiganaji tu waliopo Russia ni almost five times ya Idadi yote ya watu waliopo Finland including Vijizee, Vijana hadi Vitoto. Bila hata kutumia Silaha ima bunduki wala mishale, kwamba wazichape ulingoni kama Mwakinyo na Mandonga bila kupepesa jicho ushajua nini kitajiri.

Population vs Fighters, 1 to 5 af bado kuna mtu anawaza mtoto wa miaka miwil, Mzee wa miaka 90, mama mwenye kijusi, wagonjwa, walemavu ambao ni katika wanaochangia idadi hiyo ya watu watamudu pambano la wapiganaji wa 5 kwa kila mmoja.

Kwamba kuna toto moja baada ya kuvuta alichovuta sijui ndio niseme milango iko wazi hawezi bana pumzi ikabaki mwilini kuleta afya ya akili anakurupuka anakuja sema eti "Russia bila Nukes" Finland pekee tu anam-mudu. Hivi wanawaza kwa kutumia nini ndugu zetu hawa?

Ok kama wana mmudu wamekimbilia NATO kufanya nn? Nukes? Ndani ya Europe zipo France na UK. Tena kwa idadi kisoda watazifanyia nini ndani ya huo Muungano? Kama France mwenyewe, Germany, UK, Poland... top dog hapo EU wanaogopa kukutana ana kwa ana na Russia. Finland atafanya nn?

Russia anatengeneza silaha zake mwenyewe, almost nchi zote EU ama ndani ya NATO ukizitoa zile top zinategemea silaha kwa manunuzi kutoka kwa shangazi yao US. Watafanya nini?

The farthest distance kutoka Russia ndani ya Europe ni UK, ambapo Russia anaweza fikisha madhara ndani ya dk 3-4 ukitokea Kaliningrad. Je hawa waliopo kikwapani watafanywa nini?

Mahaba ya upande flan kwa kila mtu yapo ila this is too much 😏, sijui ndio kuishiwa hoja comments nyingi kutoka kwao zimekua kama mipasho isiyo na uhalisia. Ni kutype ilimradi kiumbe kime'type.

Unajionaje mchambuzi kama Unashindwa tofautisha Politics vs Reality.

Matumizi mabaya ya mwili yanaharibu sana akili. Vijana wenzetu em acheni hizo mambo muweze kubana pumzi ubongo upate hewa ufanye kazi kwa ufasaha. Mnaboa sio siri nyie wazee!
 
kama USA na NATO walienda kumpiga Saddam Hussein wa Iraq kwa kuivamia Kuwait,Kama NATO walienda kumpiga Slobodan Milosevc wa Serbia/Yugoslavia kwa kuwapiga Bosnia and Herzegovina na Kosovo,kama walienda kumpiga Muamar Gadafi alipowapiga wapinzani wake Libya.Bahati nzuri au mbaya zote hizo hazikua wanachama wa NATO lkn NATO walienda.
Leo hii matukio yote hayo yanafanana kabisa na tukio la Ukraine.
sasa NATO wanasubiri Nini kuingia vitani dhidi ya Urusi kwa staili ileile waliyotumia kwa nchi nilizozitaja?
💯🤝
 
Ngoma bado mbichi Bakhmut

AP23085737433678.jpg

Ukrainian soldiers ride atop an armoured personnel carrier on the front line in Bakhmut, Ukraine [File: AP Photo/Libkos]

The battle for Bakhmut is not over and Ukraine is still fighting hard for the town. “Bakhmut is Ukrainian and they have not captured anything and are very far from doing that, to put it mildly,” Serhiy Cherevatiy, spokesperson for the eastern military command, told Reuters news agency by phone.
 
Wanataka zipigwe za kuihakika,ili west wa-donate silaha zao then US auze silaha mpya kwa west...sasahivi kuna kafoleni ka bookings za silaha km nchi 30 hivi za ulaya..US amekaa paleee na "peni" na notebook anaandika "ODA" kila mu-west lazima aweke "oda" ukikataa kuweka unaitwa ww ni Pro-Putin
Kinacho shangaza zaidi, Viongozi wa Ulaya wanajua kwamba wanakuwa Black mailed na US,, lakini wanakubali kama mazezeta.

Mfano kulazimishwa kununua F-35,, wakati wataalamu wa masuala ya military flying machine wanasema sifa ambazo F-35 upewa na media za magharibi/Merikani sifa hizo nyingi uwekwa chumvi mno- ndege hiyo haiwezi ku-survive kwenye air space zinazo lindwa na Russian Air defense system au Chinese Air defense au Russian jet fighters kama: SU-34, SU-35 na SU-57 hata MiG-35 - sifa nyingi wanazo zisema zinatokana na computer simulation na siyo kwenye real air battle, lakini Lockheed Martin company uirundikia sifa kede kede as if iliwahi kupigana popote Duniani - lengo lao likiwa ni kutaka iuzike kwa wingi Duniani hata kwa kulazimisha au vitisho/blackmailing

Chukulia mfano huu: Ulaya walikuwa na viwanda vyao mahili vya kuunda ndege za kivita kama Eurofighter, Tornado nk lakini viwanda hivyo vinakosa kazi kiaina kwa kuhujumiwa na Merikani kisiri siri - wanawambia ndege zenu wauzieni mataifa ya Ulaya mashariki sisi tutawauzia F-16 na F-35 na baadhi ya nchi za Ulaya maghararobi zinakubali kurubuniwa kirahisi.
 
Back
Top Bottom