Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

EXPLAINED: ‘Spiders Eating Each Other in a Jar’ – The Mystery of the St Petersburg Cafe Explosion

Pro-Kremlin military blogger Vladlen Tatarsky – who once described Ukrainians as ‘mentally-ill Russians’ – was killed in the attack on Sunday evening.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Journalist wa ukrain ndie aliempatia kidude kinachofanana na bomu akamuelezea ni recording device, aende akafanye kama tishio ili awarecord baadhi ya watu atakaoelekezwa, alivyofika st petersburg akawaambia pro-ukrain wenzie kuwa amewasiliana na mtu wa ukrain kuna journalisim anataka kuifanya na anayo "recording devive-bom like" ambayo ataeleza baadae alikoitoa...baadae mlipuko umetokea kwenye gari yake alipopaki karibu na cafe...haijajulikana ni kale "ka-recording bom-like" au alikua amebebeshwa bom jingine..
 
Mtaongea lugha zote. Urusi haiheshimiki, Finland imetangaza kujiunga mkaikatia umeme mkajitapa humu sijui wataganda lakini wapiView attachment 2575489
Kauli zako wakati mwingine!! Sasa unasema Urusi haishemiki kwa kutumia vigezo gani? labda tuanzie hapo.

Nilisha wambieni kwamba the World is not America - kwa taarifa yako nchi nyingi za Ulaya zilizo rubuniwa na foreign policy za Merikani za ku-slap punitive sanction against Russia ndio zipo kwenye hali mbaya ya kiuchumi na ajila - huko Ulaya hivi sasa - kuna baadhi ya Viongozi wa Ulaya wanataka kurudisha uhusiano mzuri na Urusi baada ya kuchoshwa na siasa za chuki na hujuma zinazo ratibiwa na siasa za nje za Taifa la Merikani dhidi ya Urusi,Uchina,Iran, Korea Kaskazini nk.

Huu ujasiri wa Uncle SAM wa kufikiri ana uwezo mkubwa wa kupigana na mataifa yenye nguvu kijeshi Duniani kwa mpigo ujasiri huo anautoa wapi, kwa bahati mbaya kuna baadhi yenu ambao hawajui vizuri/kiundani historia ya kweli kuhusu Urusi na Mataifa ya magharibi - hao ndio wanakujaga na historia za ajabu ajabu wanayo okoteza kwenye wilipedia na machapisho mengine ya west yaliyo sheheni propaganda tu na uongo.
 
Mkuu kuhusu anga la Ukraine ni serikali ya Ukraine inayoweza kutangaza hatua ya aina hii. Kama NATO ingeamua kusaidia serikali ya Ukraine kutekeleza maagizo yake, ingekuwa hatua halali kabisa.
Maana no fly zone ingeamuliwa na Ukraine yenyewe na wengine wangesaidia kutekeleza azimio la serikali inayohusika.
Ila NATO walitumia busara ya kutosaidia serikali ya Uktaine katika hatua hiyo. Ni azimio lao.
Hali halisi No-Fly-Zone iko kwa ajili ya ndege, angalau ndege za Urusi haziingii. Wanarusha tu toketi kwa mbali . . .
Hapanaa..wangeweka no fly zone wangekujaje kuingiza ndege vita zao? Bado Biden ana plan ya kuleta F-16, anawasikilizia hao mashankupe wake wa west wana wazo gani..maana anatarajia west ndio wawe wa kwanza kudonate ndege zao wote ili yeye awauzie zakwake mpya...hii OP, US anaitumia vizuri kibiashara.
 
Matumizi mabaya ya mwili yanaharibu sana akili. Vijana wenzetu em acheni hizo mambo muweze kubana pumzi ubongo upate hewa ufanye kazi kwa ufasaha. Mnaboa sio siri nyie wazee!
Naam! Hiki ndio kinafanya wanashindwa kufikiri kama wanadamu wengine.

Fuatilia sehemu yoyote ukiona shoga anaongea utajua tu maana wanaongea upumbavu wa hali ya juu wakiwa hawana aibu hata chembe!

Tulinde watoto wetu sana wasije kuwa ng'ombe katikati ya wanadamu...

Inasikitisha sana
 
Mkuu uko sawa kwenye point ya kwanza ila Ukraine si mwanachama wa NATO hivyo hawawezi kuweka NFZ kwenye anga lake.

Pili, hata kama NATO ingetaka kuweka NFZ Ukraine maana yake wangekuwa waizuia Russia kurusha ndege zake kwani ukiweka NFZ ndege yoyote irukayo eneo hilo huwa ni target, hivyo ingepelekea vita kamili baina ya NATO na Russia jambo ambalo wote hawataki litokee.

Kumbuka kuweka NFZ watu hawakurupuki bali hutakiwa kuhakikisha NFZ yatekelezwa kwa vitendo kwa kuharibu uwezo wa adui hewani kwa kudungua ndege zake.

Mwaka 1991 kwenye vita ya kwanza ya ghuba Marekani na washirika wake (bila kuidhinishwa na UN) waliweka NFZ nchini Iraq kuzuia majeshi ya Iraq kuua raia kwa makombora.

Ni kwenye vita ya Balkan mwaka 1992 pekee UN waliidhinisha NFZ ili kuzuia majeshi ya Bosnia kutumia anga la nchi hiyo.
Wakiweka NFZ usa atauzaje silaha? Kama ambavyo slovakia na poland wametoa ndege zao ziende ukrain zikawekwe mapambo? Zimepelekwa kule zipigwe na Urusi..ili poland slovakia na nchi zngine ziagize ndege zingine kutoka US, mnakua kama hamjui biashara za US wakuu?..acheni hizo basi..
 
Zele alisema kombora la Russia limepiga Poland au unajizima data ila Marekani na NATO wakakataa kata kata kua Russia hausiki kwa nini walikataa na je muungano wao wa vikoba upo kwa kujilinda na nani ?
Lile kombora precisely ni air defence interceptor ambayo ilikuwa inatafuta Russian missiles. Kwenye articles za NATO hamna sehemu inasema interceptor ikidondoka kwa mwanachama vita inaanza, wale wanatumia elimu bora kabisa na uelewa wao uko juu ndio maana Warusi maskini chungu nzima wanahamia Ulaya na Marekani kwa maelfu kusoma na kuishi.

Anayetaka vita ni Urusi. Hapa ilifanyaje dhidi ya Israel walipokufa wanajeshi wake 15 nchini Syria
IMG_20230404_095410.jpg


Na hapa ilifanyaje dhidi ya Turkey alipokufa rubani wake
IMG_20230404_095354.jpg

Au ina jeshi la gwaride
 

The danger of a superpower confrontation​

That's the bottom line - Putin's stockpile of nuclear warheads.
Biden doesn't want to spark a "world war" by risking a direct clash between American and Russian troops in Ukraine and he's been open about that.
"It's not like we're dealing with a terrorist organisation," the president told NBC earlier this month. "We're dealing with one of the largest armies in the world. This is a very difficult situation, and things could go crazy quickly."
Pindi robber anapokasirika umejiwekea ulinzi anashurutisha majirani wanaokuzunguka wawe adui zako...kwa kusakazia ugomvi mdogo wa mipaka kuwa mkubwa...inawauma sana US km mna maendeleo flan..anawatangazia uadui kwamba nyie ni hatari kwa nchi yake..why uchina awe hatari na si australia wala japan(nchi iliyosababishiwa na bomu za US kuwa nchi inayodaiwa kuliko zote duniani)?
Screenshot_20230404-094825~2.jpg
 
Kauli zako wakati mwingine!! Sasa unasema Urusi haishemiki kwa kutumia vigezo gani? labda tuanzie hapo.

Nilisha wambieni kwamba the World is not America - kwa taarifa yako nchi nyingi za Ulaya zilizo rubuniwa na foreign policy za Merikani za ku-slap punitive sanction against Russia ndio zipo kwenye hali mbaya ya kiuchumi na ajila - huko Ulaya hivi sasa - kuna baadhi ya Viongozi wa Ulaya wanataka kurudisha uhusiano mzuri na Urusi baada ya kuchoshwa na siasa za chuki na hujuma zinazo ratibiwa na siasa za nje za Taifa la Merikani dhidi ya Urusi,Uchina,Iran, Korea Kaskazini nk.

Huu ujasiri wa Uncle SAM wa kufikiri ana uwezo mkubwa wa kupigana na mataifa yenye nguvu kijeshi Duniani kwa mpigo ujasiri huo anautoa wapi, kwa bahati mbaya kuna baadhi yenu ambao hawajui vizuri/kiundani historia ya kweli kuhusu Urusi na Mataifa ya magharibi - hao ndio wanakujaga na historia za ajabu ajabu wanayo okoteza kwenye wilipedia na machapisho mengine ya west yaliyo sheheni propaganda tu na uongo.

Finland to join NATO today and add 800 miles to alliance's border with Russia​

Finland is set to become the 31st member of NATO today, extending Russia's border with the alliance by 810 miles.

Russia has said it will strengthen its military capacity in western and northwestern regions, the state-owned RIA news agency reported.

When it invaded Ukraine, Moscow said the move was partly in response to NATO's aggressive expansion, yet it was the invasion that prompted Norway to apply for membership.

RIA cited deputy foreign minister Alexander Grushko as saying: "In the event that the forces and resources of other NATO members are deployed in Finland, we will take additional steps to reliably ensure Russia's military security."

The alliance will welcome Finland in a flag-raising ceremony at its headquarters near Brussels.

NATO chief Jens Stoltenberg has said Ukraine will join the alliance once it wins the war.

The group operates a collective defence pact, meaning an attack on one member is considered an attack on all.
==========================


Hatimaye NATO imewasili rasmi mpakani na Urusi, je SMO itahamia huko Finland ?


Nakazia
👇
NATO chief Jens Stoltenberg has said Ukraine will join the alliance once it wins the war.
 
Zelensky akiomba NATO Waweke no fly zone Ukraine,NATO wakakataa Kwa kuhofia kufanya hivyo,ingemaanisha world war 3!
Gaddafi angekuwa na nuclear,NATO wasingeenda kuweka no fly zone Libya!
Ukiwa unamiliki silaha za nuclear,unakuwa na special treatment!
Russia asingekuwa na nuclear,NATO wangeingia mazima kupambana na Russia!
Wewe umeongea point mkuu, hawa wengine kina umshana wanaongea kipropaganda sana
 
Wakiweka NFZ usa atauzaje silaha? Kama ambavyo slovakia na poland wametoa ndege zao ziende ukrain zikawekwe mapambo? Zimepelekwa kule zipigwe na Urusi..ili poland slovakia na nchi zngine ziagize ndege zingine kutoka US, mnakua kama hamjui biashara za US wakuu?..acheni hizo basi..
Slovakia imepeleka ndege ambazo haitumii, zilishastaafu zimefungwa kwenye maghala uko. Poland imepeleka ndege kwa sababu kabla ya vita ilishaagiza ndege nyingine ambazo delivery haijaanza. Poland yenyewe imepeleka ndege ambazo zimestaafishwa kwake tena kuna exchange imefanya. Na Ukraine imepewa Mig-29 ambazo ndizo imezoea.

Na kama ni biashara, Urusi si inauza ndege nayo na sasa wateja kibao wameikimbia. Kwahiyo nayo imeingia vitani Ukraine ili ndege zake kuharibiwa inunue nyingine?
Msiwe mnaililia Marekani kila kitu
 
Wewe pimbi tuache kupata taarifa sahihi toka front line unataka tukuamini we mkazi wa Kilolo.
Tatizo kubwa la jamaa huyu kwanza ni mbishi sana, kitu kingine ukisha gusia suala la NATO au Merikani basi anakuchukulia kama wewe ni sworn enemy!! Hataki watu waseme weakness za NATO kwake US/NATO ni CHIMERA,juzi kwa mfano alikuwa anadanganya watu kwamba Warusi wana long range missiles lakini hawana precision stuff,, ndio nikambusha watu kwamba mbona juzi juzi hapa Khinzal high precision hypersonic missles iliwatanguzuliza wanajeshi wa vyeo vya juu kutoka Merikani,UK,Ukraine na Poland waliokuwa wamejificha 400ft under ground reinforced concrete bunker.

Alijuwa wazi nilikuwa nazungumzia Ukraine lakini yeye kageuza maneno na kusema hakuna Taifa lolote la NATO lililo shambuliwa na hypersonic missiles ya Urusi, sio kwamba alikuwa hajui niliimanisha taifa gani?

Kasema vile vile kwamba Majenerali hawawezi kujificha kwenye underground bunkers kuratibu mwenendo wa vita kwa kuwapatia wanajeshi wa Ukraine Cordinates za kulenga designated targets, hana hata habari kwamba jeshini kuna one star Generals, two star Generals, three Star Generals mpaka five star Generals - kwa hiyo unapo mzungumzia General wa jeshi yeye anafikiri lazima awe wa highest rank, kumbe si kweli hata kidogo - hao majenerali na maafisa wengine from other ranks walikuwemo kweli kwenye handaki na sio kwamba walikuwa wanatoa cordinates kwa walenga shabaha wa jeshi la Ukraine na masuala ya kiintelijensia tu, walikuwa vile vile wanaratibu na kutoa ushauri kwa jeshi la Ukraine, including some NATO/US troops na mamluki wanao lisaidia jeshi la Ukraine kujitayarisha kuhusu hyped Ukrainian Military Counter offensive - lakini tangu washauri hao wauwawe na Khinzal hypersonic missiles mpango huo wa a massive counter offensive hatuusikii tena umebaki kwenye makaratasi ya Zelensky pamoja na vifaru vyake anavyo tegemea kutoka Uiingereza na Ujerumani.
 

My country has fallen out of time’: Russian author Mikhail Shishkin’s letter to an unknown Ukrainian​

A year after Putin’s invasion, the award-winning novelist reflects on the silence of his compatriots, the betrayal of his mother tongue, and his hopes for the future

Mikhail Shishkin
Sun 2 Apr 2023 08.00 BST

My dearest one,​

They stole the language from us. We spoke and corresponded with you in the language of great Russian literature. Now, for the whole world, Russian is the language of those who bomb Ukrainian cities and kill children, the language of war criminals, the language of murderers.

They will be tried for crimes against humanity. I would like to believe that all those who prepared and participated in this war, who supported it in one way or another, will be put in the dock. But how can one go to trial for a crime against language?

My father went to the front when he was 17 to avenge his brother who was killed by the Germans. After the war, he hated Germans and everything German all his life. I tried to explain to him: “But Dad, there is great German literature! German is a beautiful language!” These words had no effect on him.

What will we be able to say after the war to the Ukrainians whose homes were bombed and looted by the Russians, whose families were killed? That the great Russian literature is beautiful? And that the Russian language is so wonderful?

Do dictators and dictatorships breed slave populations or do slave populations breed dictators? Ukraine was able to escape from this hellish circle, to escape from our common, monstrous, bloody past.

For this reason it is hated by Russian impostors. A free and democratic Ukraine can serve as an example for the Russian population, which is why it is so important for Putin to destroy you.

Mikhail Shiskin

‘The modern man himself is responsible for deciding what is good and what is evil’: Mikhail Shishkin.

In Russia, we had neither de-Stalinisation, nor the Nuremberg trials of the Communist party of the Soviet Union. The result we see: a new dictatorship. A dictatorship, by its very nature, cannot exist without enemies, which means war.

The plans of the general staff included the refusal of Nato to defend you with its armed forces, and Nato fulfilled this plan of Putin in the first days of the war. You Ukrainians did not agree to Putin’s plans. You did not surrender, you did not greet his tanks with flowers. You are not only defending your freedom and human dignity; now you are defending the freedom and human dignity of all humanity.

You cannot be defeated because the war is not decided by the number of tanks and missiles, but by the power of love for freedom. You are free men, and those who carry out the criminal orders of the Russian generals are slaves.

Silence is a Russian survival strategy. Those who protested a year ago were put in jail

A year ago, when Russian tanks were already marching toward Kyiv, the whole world wondered why there were no mass anti-war protests in Russia, why only loners took to the streets.

I attributed it to fear. Silence is a Russian survival strategy. Those who protested back then were in jail. This is how Russians have survived by silence for generations. Pushkin formulated this Russian way of life in the last line of his historical drama Boris Godunov: “The people are silent.” And with the beginning of the aggression against Ukraine, the people were “keeping silent”.

But then mass mobilisation began in the autumn, and it is no longer possible to explain away the fact that hundreds of thousands of Russians obediently went to kill Ukrainians and be killed. This is something else, something deeper, something scarier.

I see only one explanation: my country has fallen out of time. In the 21st century, the modern man himself is responsible for deciding what is good and what is evil. And if he sees that his country and his people are waging a despicable shameful war, he will be against his country and against his people.

But most Russians mentally live in the past, when people associated themselves with their tribe. Our tribe is always right, and the other tribes are our enemies and want to destroy us. We are not responsible, we don’t decide anything, the chief/khan/king decides everything for us.

This is how they think: if our enemies, the fascists from Ukraine and Nato, attack our homeland, we go to defend it, just as our grandfathers defended it from the German fascists. The feeling of love for the homeland, the beautiful sense of patriotism, was used by all dictators for their own purposes. My father thought he was defending his homeland from Hitler’s regime, but he was defending the same fascist regime of Stalin. Russians are now going to war, as Putin’s propaganda explained to them, to defend their homeland against “European and American nazism”, and they don’t realise that they are protecting the power of a criminal gang in the Kremlin, which has taken the entire country hostage.

The only way out is to inflict a military defeat on the Putin regime. Therefore, democratic countries must help the Ukrainians with everything they can, and above all with weapons.

After the war, the whole world will come to your aid to reconstruct what has been destroyed, and the country will be able to rebuild itself. And Russia will lie in the ruins of economy and in the ruins of consciousness. A new birth of my country is possible only through the complete destruction of the Putin regime.

The empire must be amputated from the Russian person, like a malignant cancer. This “hour zero” is vital for Russia.

My country will have a future only if it passes through total defeat, as happened with Germany.

Glory to Ukraine!​

​

 
BREAKING: China’s yuan has replaced the US dollar as the most traded currency in Russia.
Imagine ni kwa mara ya kwanza na sababu ni vikwazo vya US. Itazame nguvu ya $ kwenye uchumi wa Urusi. Inaonekana hapa kwenye hili tukio. Ngoja tuuone muendelezo.

(Bloomberg) — China’s yuan replaced the U.S. dollar as the most traded currency in Russia, a year after the invasion of Ukraine led to a slew of Western sanctions against Moscow.

The yuan surpassed the dollar in monthly trading volume in February for the first time, and the difference became more pronounced in March, according to data compiled by Bloomberg based on daily transaction reports from the Moscow Exchange. Before the invasion, the yuan’s trading volume on the Russian market was negligible.
 

Finland to join NATO today and add 800 miles to alliance's border with Russia​

Finland is set to become the 31st member of NATO today, extending Russia's border with the alliance by 810 miles.

Russia has said it will strengthen its military capacity in western and northwestern regions, the state-owned RIA news agency reported.

When it invaded Ukraine, Moscow said the move was partly in response to NATO's aggressive expansion, yet it was the invasion that prompted Norway to apply for membership.

RIA cited deputy foreign minister Alexander Grushko as saying: "In the event that the forces and resources of other NATO members are deployed in Finland, we will take additional steps to reliably ensure Russia's military security."

The alliance will welcome Finland in a flag-raising ceremony at its headquarters near Brussels.

NATO chief Jens Stoltenberg has said Ukraine will join the alliance once it wins the war.

The group operates a collective defence pact, meaning an attack on one member is considered an attack on all.
==========================


Hatimaye NATO imewasili rasmi mpakani na Urusi, je SMO itahamia huko Finland ?


Nakazia
[emoji116]
NATO chief Jens Stoltenberg has said Ukraine will join the alliance once it wins the war.
NATO imebadilisha nn au itabadilisha nn? NATO umekuwa Kama umoja wa afrika mashariki[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Mkuu usipoteze muda kwa kusambaza hadithi za aina hii.
Tafadhali lete majina ya hao majenerali! Maana majenerali ya nchi hizo yanafahamika. Nani hayupo tena, nani ametoweka???

(Ikiwa huwezi kuleta majina utambue kwamba umeamini hadithi isiyo na msingi)
Hiyo bunker yenyewe tuliijua baada ya kupigwa na kinzhal, tusubir wenye majenerali wao serikali zao zitatoa siri siku za usoni..
 
Back
Top Bottom