Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nitajie Taifa Moja lililotawaliwa na Mrusi, nami nitakuonyesha nchi Moja inayozungumza kirusi.
Mkuu mataifa yanayotawaliwa na Urusi ni mengi. Usisahau kwamba Urusi ilikuwa mkoloni mkubwa zaidi katika historia ya dunia, iliyotwaa maeneo makubwa zaidi kuliko Uingereza. Ila Uingereza imetoka katika koloni zake (isipokuwa maeneo madogo ambako wenyeji waliamua wanataka kuendelea kama sehemu ya Ufalme wa Maungano).
Urusi ilipaswa kuachana na makoloni mengi ya awali kama vila Kazakhstan, Uzbekistan na kadhalika lakini bado kuna maeneo makubwa kabisa ambako wenyeji wanatawaliwa na Moscow.
Mashuhuri ni Wachechnya, kule kwenye milima ya Kaukazi wako wengine kama vile Dagestan, Ingushetia, Kalmykia, halafu Watartari, kwenye MAshariki Waburyati....... Hao ni wachache tu wanaoendelea chini ya ukoloni wa Kirusi.
 
Ni muda sasa sijaonekana humu. Nilisubiri winter iishe, counteroffensive ianze na battlefield iwe tense ila naona bado. Winter iliisha around 28th of February nikatarajia katikati mwezi March kutakuwa na mapigano makali ila ni kama mambo hayabadiliki sana. Russia imeweza kuchukua 70km2 ya Ukraine kwa mwezi March. Nachokiona vita itakuwa kali Ukraine wakianza counteroffensive maana walitulia kufanya training ya zana walizopokea. Russia imekomaa Bakhmut ambako pro Russians waliamini itachukuliwa mapema na pro Ukrainians baadhi waliamini Ukraine itafanya retreat lakini haikufanyika. Kuna siku niliandika nikapost ikafutika hapa narudia.

Russia imepoteza sana zana kwa mines pale Bakhmut na Vuhledar. Artillery strikes unaweza usizikimbie kirahisi mpaka uwe na fast response ya counterbattery radars, precision na range, Russia ana range ila precision sio sana na CB radars sio nyingi. Kwa upande wa mines, sio za kutisha kama una training, mbinu na vifaa. Russia alifanya clearance ya mines kule Syria kwa mafanikio makubwa ila Ukraine mambo sio rahisi. Kwanza mines zilizopo Ukraine ni advanced nitagusia chache, unakutana na kama PARM-22 directional anti tank mine za Ujerumani hizi wamepewa kidogo na zinapendeza pembeni mwa barabara sio eneo wazi kama Vuhledar na BakhmutView attachment 2573261

Ukraine inatumia Soviet made TM-62 hizi ni common kama unafuatilia landmines, inaweka ulinzi mkali sehemu fulani labda ni trench lines karibu na eneo muhimu au barabara kwingineko inapaacha inapanda mabomu ya ardhini.
Ili kupata breakthrough unatakiwa utafute weak points, zinapatikana kwenye minefields. Engineers wa Russia wanakuja kufanya clearance ya minefield wanaziondoa ardhini na kuziharibu, Ukraine inawaacha kutokana na intelligence inakuja kujua movement ya Russia inaanza lini, hapo inatumia US-supplied Remote Anti-Armor Mine system (RAAM) hizi zinafyatuliwa kwenye artillery shell ikifika eneo husika inapasuka na kuzisambaza. Zinakaa 9 kwenye shell moja. Warusi wanakuja wakijua wamefanya mine clearance wanakutana na hizi ambazo zinakuwa juu kama hivi vidude vilivyotapakaa hapaView attachment 2573266Ukiwa kwenye kifaru uoni wako ni hafifu lazima tu utazikanyaga, ili kuzikwepa inabidi washuke wafanye clearance kwa mikono au waite sappers. Wakishuka nje wanakuwa unprotected Ukraine inatumia artillery kuwashambulia. Changamoto hapo.

Ili kukwepa kadhia hii Urusi inatumia mine clearing vehicle kama BMR-3M yenye drums hizi zinabidi zilipue mines kutengeneza njia ila inafeli mara nyingiView attachment 2573267
Unakuta drum inaharibika, au mine haikuwa activated kutokana na sensor na fuse yake ilivyo hivyo mine inalipuka baadaeView attachment 2573269
Matokeo yake vifaru vya Urusi vinafuatana na vinaharibikaView attachment 2573270

Njia ya gharama zaidi ni kutumia UR-77 Meteorit inayotumia mine clearing line charge. Hii ina waya wa milipuko unaolipua eneo na kuharibu mabomu ya ardhini. Hizi sio nyingi na ni za kizamaniView attachment 2573271

Marekani hapa angekuwa na M1150 assault breacher a.k.a Shredded ambayo ina line charge na ploughView attachment 2573274 Wana experience na landmines za Iraq na Afghanistan.
Training na doctrines za Russia kwenye minefields (ni zilezile za Soviet Union ambazo Ukraine inazijua), mbinu za Ukraine, mines za kisasa zinazotolewa na NATO vimefanya Russia iwe na performance mbaya ikikutana na mines na itumie muda mwingi kupata gains.


Unazungumza vitu gani lakini, eti Russia ina silaha ambazo zina long range lakini precision zake ni dismal kabisa - who can take your entire comments herein seriously??

Kwani umesahau jinsi juzi juzi hapa MiG-31 ilivyo lenga na kuvurumisha Khinzal hypersonic missile towards US/NATO concrete reinforced military command post bunker buried 400 feet under ground - the whole infrastructure was turned upside down and inside out killing and vaporising all US,UK, Ukrainians and Polish Generals manning the post.

Most of the above mention bodies haven't even been fully recoverd from concrete rubbles - this obviously goes to show some doubting Thomas like you "how dead accurate some Russian no nonsense missiles really are/can be",, sasa, unaposema Russian high precision missiles or bombs are highly questionable - hapo ndio sikuelewi kabisa, kama hiyo ingekuwa ni kweli ililuwaje tena hypersonic Khinzal missile ikafanikiwa ku-hit BULL'S EYE ya maficho ya Majenerali wa NATO wakachomwa mishikaki na wengine wakawa vapourised completely, je, umewahi kujiuliza kwa nini USA pamoja na mbwebwe zake zote hajawahi hata siku moja kujaribu kujiweka kifua mbele kwa kutaka kupigana ana kwa ana na Urusi - unajua kwa nini? US knows for certain what is inside the hood of Russian military -ndio maana ujaribu sana kuzitumia nchi ambazo hazijitambui kama: Ukraine,Georgia na Checheny zipigane a proxy war on US behalf ikiwa na imani kwamna vita hivyo vita idhoofisha Urusi kijeshi na kuihujumu kiuchumi - mpaka sasa wameshindwa kufanikiwa labda mabeberu na kinara wao wanabuni plan "B" ya kutaka kuimaliza Urusi - hawakati tamaa.

FYI linapo kuja suala la anti personnel land mines na TANK mines, here again Russia is light years ahead of them all.
 
Tujikumbushe hotuba fupi ya raisi wa Marekani Joe Biden mwaka 1997 akizungumzia kupanua NATO.




Mkuu wakati ule wengi walidhani hivyo. Ila watu wa nchi hizo waliendelea kuomba na kusisitiza wapokelewa. Maana nchi hizo tatu zilishambuliwa mara kwa mara na Urusi na kuwa koloni zake. Mwisho mwaka 1940 wakati Urusi (Stalin) na Hitler walipogawana Ulaya Mashariki.
Wabaltiki walifurahi baada ya kuweza kuondoka kwene ukoloni wa Urusi waliogopa sana utarudi.
Baada ya hotuba ya Biden ilichukua muda mrefu hadi mwaka 2004 kwamba hatimaye nchi hizo zilifaulu kupokelewa.
Si Marekani kujaribu kupanusha NATO, ni nchi hizo kupiga hodi vikali ili ziweze kuingia.
Watu hao walimjua jirani walikuwa na sababu zao.
 
Lakn kwenye mfumo wa kidkiteta wachache ndo wanafaidi kama ilivyo Leo huko Russia

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Unafahamu kwenye Ubepari wachache ndio wanafaidi.
Kunakuwa na kundi la walio nacho na wasio nacho?

Unafahamu maelfu kwa maelfu ya Wamarekani hawana makazi?
Wanakufa na baridi la New York?

Unafahamu utajiri wa Marekani umeshikwa na wachache? Sasa ipi tofauti yake na Urusi ambako Kuna Oligarchy?

Kifupi Marekani Kuna mabwana na Watwana kama ilivyo ilkvyo bongo na madaraka ya kifalme
 
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Blinken aipigia magoti Urusi na kuiomba iwaachie wapiganaji wa kimarekani waliodundwa na kutekwa na majeshi ya Urusi nchini Ukraine....

Taratibu tutajua ukweli wa mambo kuwa wapiganaji wa kimarekani walidhibitiwa na Urusi huko Ukraine hadi wakatekwa kama kuku wa broiler

SmartSelect_20230402-224542_Chrome.jpg

SmartSelect_20230402-224609_Chrome.jpg
 
Unazungumza vitu gani lakini, eti Russia ina silaha ambazo zina long range lakini precision zake ni dismal kabisa - who can take your entire comments herein seriously??

Kwani umesahau jinsi juzi juzi hapa MiG-31 ilivyo lenga na kuvurumisha Khinzal hypersonic missile towards US/NATO concrete reinforced military command post bunker buried 400 feet under ground - the whole infrastructure was turned upside down and inside out killing and vaporising all US,UK, Ukrainians and Polish Generals manning the post.

Most of the above mention bodies haven't even been fully recoverd from concrete rubbles - this obviously goes to show some doubting Thomas like you "how deadly accurate some Russian no nonsense missiles really are/can be",, sasa, unaposema Russian high precision missiles or bombs are highly questionable - hapo ndio sikuelewi kabisa, kama hiyo ingekuwa ni kweli ililuwaje tena hypersonic Khinzal missile ikafanikiwa ku-hit BULL'S EYE ya maficho ya Majenerali wa NATO wakachomwa mishikaki na wengine wakawa vapourised completely, je, umewahi kujiuliza kwa nini USA pamoja na mbwebwe zake zote hajawahi hata siku moja kujaribu kujiweka kifua mbele kwa kutaka kupigana ana kwa ana na Urusi - unajua kwa nini? US knows for certain what is inside the hood of Russian military -ndio maana ujaribu sana kuzitumia nchi ambazo hazijitambui kama: Ukraine,Georgia na Checheny zipigane a proxy war on US behalf ikiwa na imani kwamna vita hivyo vita idhoofisha Urusi kijeshi na kuihujumu kiuchumi - mpaka sasa wameshindwa kufanikiwa labda mabeberu na kinara wao wanabuni plan "B" ya kutaka kuimaliza Urusi - hawakati tamaa.

FYI linapo kuja suala la anti personnel land mines na TANK mines, here again Russia is light years ahead of them all.
vaporising all US,UK, Ukrainians and Polish Generals ???
Mkuu usipoteze muda kwa kusambaza hadithi za aina hii.
Tafadhali lete majina ya hao majenerali! Maana majenerali ya nchi hizo yanafahamika. Nani hayupo tena, nani ametoweka???

(Ikiwa huwezi kuleta majina utambue kwamba umeamini hadithi isiyo na msingi)
 
Crucial Week Ahead for Ukraine to Secure Victory, Zelensky Says

While the President noted that the situation in the Donetsk region remains difficult, Ukraine's top military officials retain optimismin regards to the upcoming counter-offensive.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Volodymyr Zelensky came to the village of Yahidne in the Chernihiv Region, where there was a "cellar of death" during the Russian occupation.

"I can wish the Russian president to spend the rest of his life in a basement, with a bucket instead of a toilet," the President said after what he saw.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The Hidden Killers – Clearing Ukraine’s Landmines and Explosive Remnants of War

It is the primary responsibility of a state to protect its population from the threat of landmines and explosive remnants of war (ERW) – United Nations policy.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mataifa yanayotawaliwa na Urusi ni mengi. Usisahau kwamba Urusi ilikuwa mkoloni mkubwa zaidi katika historia ya dunia, iliyotwaa maeneo makubwa zaidi kuliko Uingereza. Ila Uingereza imetoka katika koloni zake (isipokuwa maeneo madogo ambako wenyeji waliamua wanataka kuendelea kama sehemu ya Ufalme wa Maungano).
Urusi ilipaswa kuachana na makoloni mengi ya awali kama vila Kazakhstan, Uzbekistan na kadhalika lakini bado kuna maeneo makubwa kabisa ambako wenyeji wanatawaliwa na Moscow.
Mashuhuri ni Wachechnya, kule kwenye milima ya Kaukazi wako wengine kama vile Dagestan, Ingushetia, Kalmykia, halafu Watartari, kwenye MAshariki Waburyati....... Hao ni wachache tu wanaoendelea chini ya ukoloni wa Kirusi.
Unafahamu hata Mongolia republic waliwahi Omba kuingia kwenye Shirikisho la Urusi?
Je, Wangekuwa wanatawaliwa kikoloni wangeomba?

Tuva republic waliombwa kwa hiari Yao kujiunga na Shirikisho la Urusi?
Je, hawa nnao wanatawaliwa?

Buryat ilishawahi kuwa nchi?

Ngoja turudi kwenye historia
Unafahamu Himaya ya Kimongoli ikitawala eneo kubwa zaidi yaani kutoka Ulaya mpaka Asia?
Sasa Mrithi baada ya Himaya yaa Kimongoli kuanguka ni nani?
Kule Mashariki Mrithi ni China, je huku Magharibi Mrithi ni nani?

Urusi ilijitanua kwa kumpiga Mmongoli na kuangusha himaya yake zilizogawanyika.
Battle of KULIKOVO ndio iliyoamu khatima ya Urusi.

Hivyo kurithi maeneo yote yaliyokuwa chini ya Mongolia pamoja na states zake?

Je, Chechnya ishawahi kuwa nchi?
Ingushetia ishawahi kujitawala yenyewe?
Tuva hawa waliomba?
Dagestani ulishawahi kuwa nchi?
Crimea tatars ambao Wana asili ya Kimongoli walipigwa na Catherine the great na kuwa sehemu ya Urusi?

Sasa hii unaweza ifananisha na mauaji ya kimbari ya Wamarekani dhidi ya Wahindu wekundu?

Halafu hii mada tulishawahi inadili na nikakupiga za uso ila huwa unaorudia kwa namna tofauti.
 
[emoji298]️Finland will officially become a member of NATO on Tuesday, the Finnish president's office has announced, Sky News reported.

The announcement was also confirmed by NATO's secretary general, Jens Stoltenberg, who said the move will make Finland "safer".

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]


[emoji298]️The Russians are far from capturing Bakhmut, fighting continues around the city council, spokesman for the Eastern Military Group Serhiy Cherevaty said.

Earlier, Wagner head Yevgeny Prigozhin released a video in which he said that a Russian flag was allegedly raised over the administrative building in memory of Vladlen Tatarsky. He believes that "legally" the city has been seized.

"They attached their flag to some unknown thing and said they had captured the city," Cherevaty said.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russian Detains Suspect in St Petersburg Cafe Bombing

The explosion in Russia’s second-largest city of Saint Petersburg killed a prominent pro-Kremlin military blogger and injured 25 others on Sunday evening

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298] President Volodymyr Zelensky assured that Ukraine will definitely liberate its temporarily occupied territories so, if the russians fail to pull out, they will be destroyed.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298] The Government of Japan invited Mykhailo Fedorov, Minister of Digital Transformation of Ukraine, to participate in the Group of Seven (G7) Digital and Tech Ministers’ Meeting.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]


[emoji298]️The Russians are far from capturing Bakhmut, fighting continues around the city council, spokesman for the Eastern Military Group Serhiy Cherevaty said.

Earlier, Wagner head Yevgeny Prigozhin released a video in which he said that a Russian flag was allegedly raised over the administrative building in memory of Vladlen Tatarsky. He believes that "legally" the city has been seized.

"They attached their flag to some unknown thing and said they had captured the city," Cherevaty said.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pumba na mchele zitajitenga sio muda mrefu.
Kumbuka mwanzo walikuwa nje ya mji,
Baadae kidogo wakaichukua eastern side ya Bakhmut, mara Azom plant
Na Sasa wapo City Center kule kwenye administration building's.

Hii Bakhmut ni kaburi kwa makuruta wa Ukirene
 
Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]


[emoji298]️The Russians are far from capturing Bakhmut, fighting continues around the city council, spokesman for the Eastern Military Group Serhiy Cherevaty said.

Earlier, Wagner head Yevgeny Prigozhin released a video in which he said that a Russian flag was allegedly raised over the administrative building in memory of Vladlen Tatarsky. He believes that "legally" the city has been seized.

"They attached their flag to some unknown thing and said they had captured the city," Cherevaty said.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mji wa Soledar ulikuwa mbishi kukubali kuwa umeanguka ila mwisho wa siku imebaki story.Bakhmut ishabaki story kwa sasa.
 
Mkuu usipoteze muda kwa kusambaza hadithi za aina hii.
Tafadhali lete majina ya hao majenerali! Maana majenerali ya nchi hizo yanafahamika. Nani hayupo tena, nani ametoweka???

(Ikiwa huwezi kuleta majina utambue kwamba umeamini hadithi isiyo na msingi)
Husikwepe hoja, hapa hasa tunazingumzia masuala yanayo husu highy precision missiles na bombs, mimi nikasema mbona Urusi missile na mabomu kama hayo wanayo mengi tu - ndio maana nilitoa mfano wa missile iliyo lipua military command posts manned by NATO Generals and other staff from military other ranks, kombora lililo tumika pale ni one of highly precision missiles and hypersonic type.

Kuhusu vifo vya Majenerali mbona vyombo vyenu vya magharibi ndio waliyatangaza, hata Ukraine iliyangaza lakini hawakutaja majina.
 
Back
Top Bottom