Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni muda sasa sijaonekana humu. Nilisubiri winter iishe, counteroffensive ianze na battlefield iwe tense ila naona bado. Winter iliisha around 28th of February nikatarajia katikati mwezi March kutakuwa na mapigano makali ila ni kama mambo hayabadiliki sana. Russia imeweza kuchukua 70km2 ya Ukraine kwa mwezi March. Nachokiona vita itakuwa kali Ukraine wakianza counteroffensive maana walitulia kufanya training ya zana walizopokea. Russia imekomaa Bakhmut ambako pro Russians waliamini itachukuliwa mapema na pro Ukrainians baadhi waliamini Ukraine itafanya retreat lakini haikufanyika. Kuna siku niliandika nikapost ikafutika hapa narudia.

Russia imepoteza sana zana kwa mines pale Bakhmut na Vuhledar. Artillery strikes unaweza usizikimbie kirahisi mpaka uwe na fast response ya counterbattery radars, precision na range, Russia ana range ila precision sio sana na CB radars sio nyingi. Kwa upande wa mines, sio za kutisha kama una training, mbinu na vifaa. Russia alifanya clearance ya mines kule Syria kwa mafanikio makubwa ila Ukraine mambo sio rahisi. Kwanza mines zilizopo Ukraine ni advanced nitagusia chache, unakutana na kama PARM-22 directional anti tank mine za Ujerumani hizi wamepewa kidogo na zinapendeza pembeni mwa barabara sio eneo wazi kama Vuhledar na Bakhmut
evyhdbhxcaeqkwn.jpg

Ukraine inatumia Soviet made TM-62 hizi ni common kama unafuatilia landmines, inaweka ulinzi mkali sehemu fulani labda ni trench lines karibu na eneo muhimu au barabara kwingineko inapaacha inapanda mabomu ya ardhini.
Ili kupata breakthrough unatakiwa utafute weak points, zinapatikana kwenye minefields. Engineers wa Russia wanakuja kufanya clearance ya minefield wanaziondoa ardhini na kuziharibu, Ukraine inawaacha kutokana na intelligence inakuja kujua movement ya Russia inaanza lini, hapo inatumia US-supplied Remote Anti-Armor Mine system (RAAM) hizi zinafyatuliwa kwenye artillery shell ikifika eneo husika inapasuka na kuzisambaza. Zinakaa 9 kwenye shell moja. Warusi wanakuja wakijua wamefanya mine clearance wanakutana na hizi ambazo zinakuwa juu kama hivi vidude vilivyotapakaa hapa
IMG_20230401_194448.jpg
Ukiwa kwenye kifaru uoni wako ni hafifu lazima tu utazikanyaga, ili kuzikwepa inabidi washuke wafanye clearance kwa mikono au waite sappers. Wakishuka nje wanakuwa unprotected Ukraine inatumia artillery kuwashambulia. Changamoto hapo.

Ili kukwepa kadhia hii Urusi inatumia mine clearing vehicle kama BMR-3M yenye drums hizi zinabidi zilipue mines kutengeneza njia ila inafeli mara nyingi
0_9d07f_b3c5b198_XXL (1).jpg

Unakuta drum inaharibika, au mine haikuwa activated kutokana na sensor na fuse yake ilivyo hivyo mine inalipuka baadae
IMG_20230401_194530.jpg

Matokeo yake vifaru vya Urusi vinafuatana na vinaharibika
20230401_183052.jpg

Njia ya gharama zaidi ni kutumia UR-77 Meteorit inayotumia mine clearing line charge. Hii ina waya wa milipuko unaolipua eneo na kuharibu mabomu ya ardhini. Hizi sio nyingi na ni za kizamani
EngineerExercise2020-19.jpg

Marekani hapa angekuwa na M1150 assault breacher a.k.a Shredded ambayo ina line charge na plough
m1150-the-shredder-assault-breacher-vehicle-abv.jpg
Wana experience na landmines za Iraq na Afghanistan.
Training na doctrines za Russia kwenye minefields (ni zilezile za Soviet Union ambazo Ukraine inazijua), mbinu za Ukraine, mines za kisasa zinazotolewa na NATO vimefanya Russia iwe na performance mbaya ikikutana na mines na itumie muda mwingi kupata gains.

Ni muda sasa sijaonekana humu. Nilisubiri winter iishe, counteroffensive ianze na battlefield iwe tense ila naona bado. Winter iliisha around 28th of February nikatarajia katikati mwezi March kutakuwa na mapigano makali ila ni kama mambo hayabadiliki sana. Russia imeweza kuchukua 70km2 ya Ukraine kwa mwezi March. Nachokiona vita itakuwa kali Ukraine wakianza counteroffensive maana walitulia kufanya training ya zana walizopokea. Russia imekomaa Bakhmut ambako pro Russians waliamini itachukuliwa mapema na pro Ukrainians baadhi waliamini Ukraine itafanya retreat lakini haikufanyika. Kuna siku niliandika nikapost ikafutika hapa narudia.

Russia imepoteza sana zana kwa mines pale Bakhmut na Vuhledar. Artillery strikes unaweza usizikimbie kirahisi mpaka uwe na fast response ya counterbattery radars, precision na range, Russia ana range ila precision sio sana na CB radars sio nyingi. Kwa upande wa mines, sio za kutisha kama una training, mbinu na vifaa. Russia alifanya clearance ya mines kule Syria kwa mafanikio makubwa ila Ukraine mambo sio rahisi. Kwanza mines zilizopo Ukraine ni advanced nitagusia chache, unakutana na kama PARM-22 directional anti tank mine za Ujerumani hizi wamepewa kidogo na zinapendeza pembeni mwa barabara sio eneo wazi kama Vuhledar na BakhmutView attachment 2573261

Ukraine inatumia Soviet made TM-62 hizi ni common kama unafuatilia landmines, inaweka ulinzi mkali sehemu fulani labda ni trench lines karibu na eneo muhimu au barabara kwingineko inapaacha inapanda mabomu ya ardhini.
Ili kupata breakthrough unatakiwa utafute weak points, zinapatikana kwenye minefields. Engineers wa Russia wanakuja kufanya clearance ya minefield wanaziondoa ardhini na kuziharibu, Ukraine inawaacha kutokana na intelligence inakuja kujua movement ya Russia inaanza lini, hapo inatumia US-supplied Remote Anti-Armor Mine system (RAAM) hizi zinafyatuliwa kwenye artillery shell ikifika eneo husika inapasuka na kuzisambaza. Zinakaa 9 kwenye shell moja. Warusi wanakuja wakijua wamefanya mine clearance wanakutana na hizi ambazo zinakuwa juu kama hivi vidude vilivyotapakaa hapaView attachment 2573266Ukiwa kwenye kifaru uoni wako ni hafifu lazima tu utazikanyaga, ili kuzikwepa inabidi washuke wafanye clearance kwa mikono au waite sappers. Wakishuka nje wanakuwa unprotected Ukraine inatumia artillery kuwashambulia. Changamoto hapo.

Ili kukwepa kadhia hii Urusi inatumia mine clearing vehicle kama BMR-3M yenye drums hizi zinabidi zilipue mines kutengeneza njia ila inafeli mara nyingiView attachment 2573267
Unakuta drum inaharibika, au mine haikuwa activated kutokana na sensor na fuse yake ilivyo hivyo mine inalipuka baadaeView attachment 2573269
Matokeo yake vifaru vya Urusi vinafuatana na vinaharibikaView attachment 2573270

Njia ya gharama zaidi ni kutumia UR-77 Meteorit inayotumia mine clearing line charge. Hii ina waya wa milipuko unaolipua eneo na kuharibu mabomu ya ardhini. Hizi sio nyingi na ni za kizamaniView attachment 2573271

Marekani hapa angekuwa na M1150 assault breacher a.k.a Shredded ambayo ina line charge na ploughView attachment 2573274 Wana experience na landmines za Iraq na Afghanistan.

Hizi Ngonjera za Arnacha Tulisha Zizoea
Kumshinda Mrusi Hizo ni ndoto za mchana
 
Russian gas is flowing to Spain "like a river", while neither the Spanish government nor Brussels know how to stop it, writes El Confidencial.

The country increased its purchases of this fuel by 84% since the beginning of the conflict.

In the first two months of this year, the volume of purchased Russian gas increased by 172% compared to the same period last year.
IMG_20230401_200036.jpg
 
Ni muda sasa sijaonekana humu. Nilisubiri winter iishe, counteroffensive ianze na battlefield iwe tense ila naona bado. Winter iliisha around 28th of February nikatarajia katikati mwezi March kutakuwa na mapigano makali ila ni kama mambo hayabadiliki sana. Russia imeweza kuchukua 70km2 ya Ukraine kwa mwezi March. Nachokiona vita itakuwa kali Ukraine wakianza counteroffensive maana walitulia kufanya training ya zana walizopokea. Russia imekomaa Bakhmut ambako pro Russians waliamini itachukuliwa mapema na pro Ukrainians baadhi waliamini Ukraine itafanya retreat lakini haikufanyika. Kuna siku niliandika nikapost ikafutika hapa narudia.

Russia imepoteza sana zana kwa mines pale Bakhmut na Vuhledar. Artillery strikes unaweza usizikimbie kirahisi mpaka uwe na fast response ya counterbattery radars, precision na range, Russia ana range ila precision sio sana na CB radars sio nyingi. Kwa upande wa mines, sio za kutisha kama una training, mbinu na vifaa. Russia alifanya clearance ya mines kule Syria kwa mafanikio makubwa ila Ukraine mambo sio rahisi. Kwanza mines zilizopo Ukraine ni advanced nitagusia chache, unakutana na kama PARM-22 directional anti tank mine za Ujerumani hizi wamepewa kidogo na zinapendeza pembeni mwa barabara sio eneo wazi kama Vuhledar na BakhmutView attachment 2573261

Ukraine inatumia Soviet made TM-62 hizi ni common kama unafuatilia landmines, inaweka ulinzi mkali sehemu fulani labda ni trench lines karibu na eneo muhimu au barabara kwingineko inapaacha inapanda mabomu ya ardhini.
Ili kupata breakthrough unatakiwa utafute weak points, zinapatikana kwenye minefields. Engineers wa Russia wanakuja kufanya clearance ya minefield wanaziondoa ardhini na kuziharibu, Ukraine inawaacha kutokana na intelligence inakuja kujua movement ya Russia inaanza lini, hapo inatumia US-supplied Remote Anti-Armor Mine system (RAAM) hizi zinafyatuliwa kwenye artillery shell ikifika eneo husika inapasuka na kuzisambaza. Zinakaa 9 kwenye shell moja. Warusi wanakuja wakijua wamefanya mine clearance wanakutana na hizi ambazo zinakuwa juu kama hivi vidude vilivyotapakaa hapaView attachment 2573266Ukiwa kwenye kifaru uoni wako ni hafifu lazima tu utazikanyaga, ili kuzikwepa inabidi washuke wafanye clearance kwa mikono au waite sappers. Wakishuka nje wanakuwa unprotected Ukraine inatumia artillery kuwashambulia. Changamoto hapo.

Ili kukwepa kadhia hii Urusi inatumia mine clearing vehicle kama BMR-3M yenye drums hizi zinabidi zilipue mines kutengeneza njia ila inafeli mara nyingiView attachment 2573267
Unakuta drum inaharibika, au mine haikuwa activated kutokana na sensor na fuse yake ilivyo hivyo mine inalipuka baadaeView attachment 2573269
Matokeo yake vifaru vya Urusi vinafuatana na vinaharibikaView attachment 2573270

Njia ya gharama zaidi ni kutumia UR-77 Meteorit inayotumia mine clearing line charge. Hii ina waya wa milipuko unaolipua eneo na kuharibu mabomu ya ardhini. Hizi sio nyingi na ni za kizamaniView attachment 2573271

Marekani hapa angekuwa na M1150 assault breacher a.k.a Shredded ambayo ina line charge na ploughView attachment 2573274 Wana experience na landmines za Iraq na Afghanistan.
Training na doctrines za Russia kwenye minefields (ni zilezile za Soviet Union ambazo Ukraine inazijua), mbinu za Ukraine, mines za kisasa zinazotolewa na NATO vimefanya Russia iwe na performance mbaya ikikutana na mines na itumie muda mwingi kupata gains.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] counteroffensive itoke wapi wewe ebu hamka usingizini.sasa ivi wakionekana tu wamejikusanya basi wanapelekewa dawa hapo hapo walipo.

Ukraine kwa sasa wala hana la maana analoweza kufanya.Bakhmut ishanguka tayari au unazungumzia Bakhmut gani.sasa ivi kuna mji wa Adviivka nao upo karibu kuanguka.
 
Unaandika makala ndefu afu pumba
 
Kwanza kabla ya yote una habari kuwa viongozi wako walifukiwa na kombola la Warusi wakiwa mita 200 chini ya Ardhi.mpaka leo wengine awajapatikana maana kombola liligeuza chini juu juu chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiki ulichoandika ndo kinacho endelea battle field huko au ni mada tu umeileta ili kutoa elimu kuhusu haya mambo
 
Kwa hiyo???!!!
 
Google chrome umeweka bandiko ambalo nalifahamu. Mijadala ya humu majibu yake yana asili. Hoja ilikuwa "White House" kupigwa na Biden kupata anachostahili. Ndiyo nikaposti kuonesha kwamba kama lengo ni Biden mbona alikuwa Kyiv?
Hilo somo linawafaa zaidi wanaotamani White house ipigwe na siyo kwangu mimi!!
 
Vyote kwa pamoja. Nilichoandika kinatokana na kinachoendelea
Walioko front unajua wanasemaje?.

[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
"We have about 100 dead souls just missing. We're meat. In fact there's a company of 20-30 of us. People aren't ready for the meat grinder at all. We've been digging with shovels all year..."
[emoji95][emoji95][emoji95]
The Khokhlyas turned to Coke Zela.
Soldiers of 228 and 225 battalions of TRO 127 separate brigade of Kharkiv have recorded a video message to Zelensky and refuse to go to their positions.
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
IMG_20230401_215637_996.jpg
 
IMG_20230401_225155_422.jpg
WSJ 'Journalist’ Caught Red-handed By FSB - Moscow

What Wall Street Journal correspondent Evan Gershkovich was doing in Ekaterinburg has nothing to do with journalism, said Russian Foreign Ministry spokesperson Maria Zakharova.

“This is not the first time that the status of a “foreign correspondent”, a journalistic visa and accreditation is used by foreigners in our country to cover up activities that are not journalism.”

According to the FSB, Gershkovich was collecting information about a Russian military-industrial complex enterprise, while Kremlin spox Dmitry Peskov insisted “this is not about suspicion, he was caught red-handed”.

The American outlet “vehemently denies” the allegations.

Subscribe to RT
 
The sanctions list in Ukraine has been replenished with more than 650 individuals and legal entities that work for Russian aggression, including Russian officials, companies of the military and industrial complex, as well as collaborators.#stoprussia #StopRussianWar #StopRussianAggression

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom