Hivi Biden alipokwenda Kyiv kwa nini wale wenye Hypersonic Missiles wasingemdungua!!??
Kuna mtu aliuliza swali lenye muelekeo na swali lako,
Nilimjibu kwenye post yangu, post #103528
Nacopy na kupaste kwako pia ujifunze
.
.
Kuna kitu kinaitwa Protection of Diplomats Convention (formally, the Convention on the Prevention and Punishment of Crimes Against Internationally Protected Persons, Including Diplomatic Agents).
Hii ni United Nations (UN) anti-terrorism treaty ambayo imeelezea principles za kulinda diplomats hususani wanapokua nchi nyingine.
Convention hiyo ilianza kwa kukumbushia:
"Considering that crimes against diplomatic agents and other internationally protected persons jeopardizing the safety of these persons create a serious threat to the maintenance of normal international relations which are necessary for cooperation among States"
Zaidi nenda kasome hapa,
Convention hiyo iliunda terminology inayoenda kwa jina la "Internationally protected persons" ambao ime include heads of state, heads of government, foreign ministers, ambassadors, other official diplomats, and members of their families. Na lengo lake likiwa ku criminalize matukio kama mauaji, utekaji au vurugu kwa "internationally protected persons" wakiwa kwenye their official premises, private accomodations au hata vyombo vya usafiri watakavyokua wanavitumia.
Convention hiyo imesainiwa na 180 United Nations member states, including Russia na nadhani ilianza kutumika mwaka 1973.
wapo viongozi wa nchi mbalimbali ambao wameshaenda Ukraine baada ya military operation ya Russia hapo Ukraine, tena nchi zao zimepeleka misaada ya kijeshi kwa Ukraine, na hawajawahi kuguswa na wakatoka salama, kama ambavyo Biden alienda na kutoka, na wakaacha SMO ikiendelea kama kawaida, mfano:
Anthony Albanese- Australia July 3, 2022
Justin Trudeau- canada May 8, 2022
Petr Fiala-Czech republic March 15, 2022
Sanna Marin (PM)- Finland May 26, 2022
Sauli Niinistö(pres)- Finland January 24, 2023
Emmanuel Macron- France June 16, 2022
Olaf Scholz- Germany June 16, 2022
Mario Draghi - Italy June 16, 2022
Andrzej Duda- Poland May 22, 2022
Klaus Iohannis- Romania June 16, 2022
Boris Johnson- UK April 9, 2022 & June 17, 2022
Rishi Sunak -UK - November 19, 2022
Convention hiyo ya UN inawalinda hao Diplomats kisheria na hawawezi kuwa attacked.
Russia ni mojawapo ya nchi ambazo zimesaini hiyo treaty na na kwa mantiki hiyo haiwezi kwenda kinyume kwa kuanza kuwashambulia hao diplomats
Kwa kuongezea, US alitoa taarifa kwa Russia juu ya visit ya Biden kwenda Ukraine so Russia alikua anataarifa juu ya safari ya Biden kwenda Ukraine kabla hata safari haijaanza