Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi ana kampuni zake zinazotengeneza magari ambazo ni kama
(1) GAZ
(2)KAMAZ
(3)UAZ
(4)AZLK
(5)AvtoVAZ
(6)LADA
(7)AURUS MOTORS
Mkuu nilikuomba utaje kampuni moja ya magari Urusi isiyotegemea uwekezaji au laiseni za nje.
Nikusaidie:
(1) GAZ - si kampuni kubwa; tangu mwaka 2006 walinunua viwanda vya zamani kutoka Ulaya; walipatana ushirikiano na GM General Motors wa US na VW Volkswagen; viwanda vyao hutengeneza modeli kwa niaba ya GM na VW.
(2)KAMAZ ni hasa kampuni ya malori. Tagu 2012 Daimler ya Ujerumani walishiriki, hisa zao ziliongezwa hadi asilimia 15; Daimler iliingiza tekinolojia yake, mfano muundo mpya wa ekseli. Tangu vita kuanza modeli mpya za K4 na K5 hazitengenezwi tena. . Daimler ilileta pia kampuni yake ya FUSO (Daimler-Japan) kwa kuanzisha kiwanda kipya kilichomilikiwa 50:50 kwa malori madogo;
(3)UAZ - tangu 2000 ni sehemu ya Sollers JSC; Sollers iliingia katika joint venture na FORD wa Marekani kuwa FORD-Sollers. Modeli nyingi za UAZ zilitegemea vipuli vya nje, mfano ijini za IVECO (Italia), elektroniki n.k.
(4)AZLK - usilete maiti! Ilifilisika tayari 2006; kiwanda kiliuzwa kwa Renault Russia
(5)AvtoVAZ ilikuwa kampuni kubwa ya magari nchini, ilielekea kufilisika tangu 2009. 2012 Renault-Nissan wa Ufaransa ilipata asilimia 74 za hisa, ikawekeza $$ milioni 750
(6)LADA si kampuni ya kipekee, ni brand ya AvtoVAZ (hivyo mali ya Peugeot 2012-2022)
(7)AURUS MOTORS - kampuni ndogo, magari yanatengenezwa katika kiwanda cha FORD-Sollers
 
Pamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili

Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain
Kwa my opinion ts either US hajafanya lolote kwa sababu katika hatua hii hakuna la kufanya pengine sababu hajajua strategies za Chi-Rus kulinda uchumi wa dunia au sababu volume of ant-$ transaction ni too low to qualify materiality concept au China ana agenda tofauti na anayoitoa hadharani. Ndo maana nasema ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.

Mkuu navyoona ww umeshafanya hitimisho, mm bado. Umehitimisha anguko la dola ilihali safari ya kutaka kuiangusha ipo katika early stage na jambo kama hili sio jepesi na haliwezi hitimishwa kwa vol ya mikataba iliyofanyika mpaka sasa. AGAIN, LETS WATCH AND LEARN WENYE UCHUMI WAO. CHINA-RUSSIA-USA.
Marekani amekamatwa pabaya sana, silaha yake ya mwisho SANCTION. inakwenda kuzikwa rasmi. Itakuwa nchi ikipigwa sanctions, inahama mfumo kwenda mfumo mbadala🤣🤣🤣 yajayo yanafurahisha
 
Evidence Of US Biological Activity In Ukraine — Russian Security Chief

Russian Security Council Secretary Nikolai Patrushev insisted there is “irrefutable evidence” of large-scale US biological activity in Ukraine - but warned it isn’t Washington’s only testing ground.

Patrushev told security chiefs at the Shanghai Cooperation Organization that infection outbreaks of pathogenic agents from diseases such as cholera, hemorrhagic fever, and swine flu had been detected in Ternopol, Odessa, Kharkov, and Nikolaev.

“American elites are involved in these processes," he said, urging biological security measures be implemented by SCO members. “Other former Soviet republics, such as Georgia, Moldova, and some SCO states, are also in the US focus.”

Subscribe to RT
 
Mkuu, Kamaz ni mfano mzuri. Ilianzishwa wakati wa USSR (kwa kutumia mashine kutoka magharibi), baada ya mwisho wa ukomunisti ilikuwa karibu kufilisika, ikajengwa upya na kubadilisha modeli zake.
Daimler ya Ujerumani iliingia kutoka 2008 hii, mwishoni walishika 15%. Gear box zilinununuliwa na baadaye kutengenezwa kwa laiseni ya ZF Friedrichshafen (Ujerumani), Volvo walishiriki pia katika kiwanda fulani.
Urusi ilitafuta sana ushirikiano wa Daimler, walikuwa na mipango kuwapa hadi asilimia 40 za hisa - sasa Daimler na Volvo wameondoka. Nasoma kwamba modeli za kisasa kabisa K4 und K5 hazitengenezwi tena maana zilitegemea vipuli na laiseni kutoka nje.
Hakuna unachokijua wewe kuhusu Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]. Ushirikiano kwenye kampuni ni jambo la kawaida ila sio kwamba weww ukijitoa kwenye project basi ndo kampuni itashindwa kuendelea na mradi.



Screenshot_20230329-214007_Chrome.jpg
Screenshot_20230329-213409_Chrome.jpg
 
Hakuna unachokijua wewe kuhusu Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]. Ushirikiano kwenye kampuni ni jambo la kawaida ila sio kwamba weww ukijitoa kwenye project basi ndo kampuni itashindwa kuendelea na mradi.



View attachment 2570363View attachment 2570364
Mkuu punguza makele kidogo. Unaleta TANGAZO kwamba KAmaz wanataka kutoa tena series K5 ya malori ya kisasa.
Kwanza inathibitisha kwamba uzalishaji ulisimama tangu kuondoka wa Daimler. Pili hatuna taarifa malori hayo yanayotolewa kama "K5" yana sifa gani. Tuone kwanza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujui lolote wewe kuhusu Urusi,ungekuwa unajua ungekaa kimya kabisa wala usingeongea neno.

Urusi ana viwanda sio tu vya magari basi vya kila kitu unachokijua wewe hapa Duniani.wala hakuna kitu kinachotengenezwa ulaya alafu Urusi kisiwepo.

Hayo magari unayosema wew kuna kampuni zaidi ya 10 hapo Urusi zinazotengeneza magari.

Urusi ana madini yote makubwa unayoyajua wewe hapa duniani.

Ukija kwenye chakula ndo usiseme maana umuhimu wa ngano unajulikana duniani kote.

Usiongopewe na movie za kina Rambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mwenye kuijua urusi vizuri kuliko wengine.
 
Mkuu punguza makele kidogo. Unaleta TANGAZO kwamba KAmaz wanataka kutoa tena series K5 ya malori ya kisasa.
Kwanza inathibitisha kwamba uzalishaji ulisimama tangu kuondoka wa Daimler. Pili hatuna taarifa malori hayo yanayotolewa kama "K5" yana sifa gani. Tuone kwanza.
K 5 ni truck mpya kabisa ambayo washirika wenza wa hii project walijitoa.Warusi wamekamilisha wenyewe na sasa wameanza kuzitengeneza kwa ajili ya wateja.
 
Mkuu nilikuomba utaje kampuni moja ya magari Urusi isiyotegemea uwekezaji au laiseni za nje.
Nikusaidie:
(1) GAZ - si kampuni kubwa; tangu mwaka 2006 walinunua viwanda vya zamani kutoka Ulaya; walipatana ushirikiano na GM General Motors wa US na VW Volkswagen; viwanda vyao hutengeneza modeli kwa niaba ya GM na VW.
(2)KAMAZ ni hasa kampuni ya malori. Tagu 2012 Daimler ya Ujerumani walishiriki, hisa zao ziliongezwa hadi asilimia 15; Daimler iliingiza tekinolojia yake, mfano muundo mpya wa ekseli. Tangu vita kuanza modeli mpya za K4 na K5 hazitengenezwi tena. . Daimler ilileta pia kampuni yake ya FUSO (Daimler-Japan) kwa kuanzisha kiwanda kipya kilichomilikiwa 50:50 kwa malori madogo;
(3)UAZ - tangu 2000 ni sehemu ya Sollers JSC; Sollers iliingia katika joint venture na FORD wa Marekani kuwa FORD-Sollers. Modeli nyingi za UAZ zilitegemea vipuli vya nje, mfano ijini za IVECO (Italia), elektroniki n.k.
(4)AZLK - usilete maiti! Ilifilisika tayari 2006; kiwanda kiliuzwa kwa Renault Russia
(5)AvtoVAZ ilikuwa kampuni kubwa ya magari nchini, ilielekea kufilisika tangu 2009. 2012 Renault-Nissan wa Ufaransa ilipata asilimia 74 za hisa, ikawekeza $$ milioni 750
(6)LADA si kampuni ya kipekee, ni brand ya AvtoVAZ (hivyo mali ya Peugeot 2012-2022)
(7)AURUS MOTORS - kampuni ndogo, magari yanatengenezwa katika kiwanda cha FORD-Sollers
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izi taarifa zako uwa unachukuga google acount nini?.nani kamwambia Avtovaz sio mali ya Warusi
Screenshot_20230329-220833_Chrome.jpg
 
Pamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili

Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain

Hao NATO waliovamia Libya, Iraq, Yugo, Somalia, Nknk ulishawai kulipinga kama unavyopinga hili??. Hii ndo shida mnatolewa marinda na akili
 
Ndo maana nikasema hakuna unachokijua kuhusu Urusi.nikisema ivyo unaona kama vile nakukosea.

Ukiwa na makampuni yako ya kutengeneza magari utakiwi kuzuia kampuni za nnje kuja kuwekeza kwako kisa na wewe unatengeneza magari.

Hayo uliyoyataja ni makampuni ya nnje yenye viwanda vyao Urusi vya kutengeneza magari, na si kampuni za Urusi za kutengeneza magari.

Urusi ana kampuni zake zinazotengeneza magari ambazo ni kama

(1) GAZ
(2)KAMAZ
(3)UAZ
(4)AZLK
(5)AvtoVAZ
(6)LADA
(7)AURUS MOTORS

Na zipo zingine ndogo ndogo.


Kampuni kama GAZ na AZLK zimeanzishwa kabla ya hata kampuni ya Toyota aijulikani kama itakuja kutokea.toka mwaka 1918 AZLK imeanza kutengeneza magari na kampuni ya GAZ toka mwaka 1930 imeanza kutengeneza magari.sasa kama ni leseni ilibidi Toyota na Nissan waombe wao leseni maana wamewakuta jamaa wanatengeneza magari hapo toka kitambo.

Ndo maana nakwambia vitu vingi uvijui kuhusu Urusi

Save your energy bro! Uyo upinde hata aniquote huwa sinaga time nae. Hakuna anachojua 99% ana google akipata kasource anacopy ana paste shwaa.
 
Nafuatilia wanachokifanya, nasubiri nione muendelezo na matokeo. Mpaka sasa sijaona effort yoyote serious kutoka US kuilinda $. Ni kama vile hawajashtushwa na hizi agreement au sio material enough to catch their attention. Ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.

Haya maneno unaongea wewe, nenda twitter ndo utajua huko US kunawaka moto. Tuseme kwa sasa hawana cha kufanya maana hawana jambo. Zamani tungeona action kama walivyofanya Libya nknk. Wanaosimamia hii show kwa sasa ni wakubwa hana ubavu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izi taarifa zako uwa unachukuga google acount nini?.nani kamwambia Avtovaz sio mali ya WarusiView attachment 2570393
Mkuu ukiangalia matangazo rasmi
hata malori hayo hutegemea tekinolojia ya Kijerumani. (ZF Traxon gearbox, Daimler hypoid drive axle).
Ni yaleyale ninachosema: Urusi inakosa tekinolojia nyingi... (kwa nini hawatumii gearbox na ekseli za Kirusi???; hata chumba cha dereva walibuni kwa msaada wa kampuni ya KIjerumani)

"The tractor is equipped with an in-line 6-cylinder KAMAZ model 910 engine (Euro-5) with a capacity of 450 hp, an automated 12-speed ZF Traxon gearbox, a Daimler hypoid drive axle, a comfortable 2500 mm wide cab with a flat floor and two sleeping places"
(tangazo rasmi ya KAMAZ)
 
Back
Top Bottom