NDio, kwa shabaha hiyo wanajitahidi kununua bonds za USD ili USD ibaki juu iwezekanavyo.Hapana. Wao kila siku wanashusha thamani ya fedha yao.
NDio, kwa shabaha hiyo wanajitahidi kununua bonds za USD ili USD ibaki juu iwezekanavyo.Hapana. Wao kila siku wanashusha thamani ya fedha yao.
Ni kweli na Marekani wamestuka lakini kwa kuchelewa. Na ndiyo maana kuna ile hisia kwamba Yuan inashushwa bei ili China iweze kufanya biashara na kupata faida zaidi.NDio, kwa shabaha hiyo wanajitahidi kununua bonds za USD ili USD ibaki juu iwezekanavyo.
Asilimia 15 Ina athari Gani kwenye umiliki wa kampuni?Mkuu, Kamaz ni mfano mzuri. Ilianzishwa wakati wa USSR (kwa kutumia mashine kutoka magharibi), baada ya mwisho wa ukomunisti ilikuwa karibu kufilisika, ikajengwa upya na kubadilisha modeli zake.
Daimler ya Ujerumani iliingia kutoka 2008 hii, mwishoni walishika 15%. Gear box zilinununuliwa na baadaye kutengenezwa kwa laiseni ya ZF Friedrichshafen (Ujerumani), Volvo walishiriki pia katika kiwanda fulani.
Urusi ilitafuta sana ushirikiano wa Daimler, walikuwa na mipango kuwapa hadi asilimia 40 za hisa - sasa Daimler na Volvo wameondoka. Nasoma kwamba modeli za kisasa kabisa K4 und K5 hazitengenezwi tena maana zilitegemea vipuli na laiseni kutoka nje.
Angalau serikali ya China inawekeza sana kwa kununua US treasury bonds. Nikielewa vema wanafuata shabaha ya kuwa na thamani ya juu ya US Dollar.
Walaniwe makatili wa ulimwengu!!Mungu Ibariki Urusi
![]()
Akiwa na miaka 45 Zelensky amemzidi busara Mzee wa miaka 70, Putin!!
Nimchukie mtu nisiye wahi mwona[emoji23][emoji23][emoji23].Anaeleweka vizuri sema tu umemjengea chuki ndio maana hata aandike nini huwezi kumkubali.
Anakera kweli kweli na mtu anayependa kubadili mada akiona imemshindaAna kiswahili kama ana tafsiri maandiko ya kale kwenye vitabu vya dini
Punguza hasira wezi ni west wametaifisha mali nyingi za warusiMkuu sitaki chochote. Naona tu tabia za ujambazi.
Kama kampuni ya nje ilijenga kiwanda, imewekeza. Maana imeleta hela na kuanzisha kitu kwenye nchi nyingine. Si ajabu ikijaribu kuuza chake alicholeta badala ya kukitoa kama zawadi.
Kwa nchi yoyote inayotafuta wawekezaji (Urusi ilitafuta na inatafuta sana kwa sababu inahitaji tekinolojia ya nje na pia pesa) ni muhimu kujenga imani katika uaminifu wake.
Uporaji jinsi ilivyotangazwa sasa ni njia ya hakika kubomoa imani hiyo.
Si shauri yangu, natazama tu.
Je, unaona ni kosa kuita jambo kwa jina lake?
Propaganda za kizamani.
Propaganda za kizamani.
We mgumu sana kuelewa.Iyo kamaz 910 ndo iyo K5 ambayo ilikuwa project ya ushirikiano.wamejitoa kwa iyo kila kitu ni made in Russia.sasa hapo kiti gani kigumu kuelewa maana ushambiwa patner wamejitoa sasa izo engine au gia box zao zinafata nini hapo.Mkuu ukiangalia matangazo rasmi
hata malori hayo hutegemea tekinolojia ya Kijerumani. (ZF Traxon gearbox, Daimler hypoid drive axle).
Ni yaleyale ninachosema: Urusi inakosa tekinolojia nyingi... (kwa nini hawatumii gearbox na ekseli za Kirusi???; hata chumba cha dereva walibuni kwa msaada wa kampuni ya KIjerumani)
"The tractor is equipped with an in-line 6-cylinder KAMAZ model 910 engine (Euro-5) with a capacity of 450 hp, an automated 12-speed ZF Traxon gearbox, a Daimler hypoid drive axle, a comfortable 2500 mm wide cab with a flat floor and two sleeping places"
(tangazo rasmi ya KAMAZ)![]()
New models in the K5 line
KAMAZ brings to the market new models of cars of the K5 generation – a main tractor and two dump trucks.kamaz.ru
Kwan. Usa akivamia wengine ni haki ila haki ile kwa Russia haipo akivamia wengine?Pamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili
Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain
Halafu kwa kauli hii unadai wewe ni mstaarabu kuliko wamarekani. Yaani mtu unayewaza mambo machafu muda wote unawezaje kuwa ni mstaarab?? Halafu uwezo wako wa kufikiri ni wa kutiliwa shaka, maana unavosema "Nenda na wewe" ni kama tukio endelevu wakati hiyo ni picha iliyodukishwa (Photoshop picture) kitambo sana.Unamwonea wivu zelenskyy nenda na wewe ukashikwe bhs.
Mkuu hoja yake ilikuwa hakuna makampuni ya Urusi yanayounda Magari.We mgumu sana kuelewa.Iyo kamaz 910 ndo iyo K5 ambayo ilikuwa project ya ushirikiano.wamejitoa kwa iyo kila kitu ni made in Russia.sasa hapo kiti gani kigumu kuelewa maana ushambiwa patner wamejitoa sasa izo engine au gia box zao zinafata nini hapo.
Hii habari uliyoileta weww ni ya mwaka 2021 kabla ya vikwazo.au wewe umeona mwaka gani hapo
.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sasa Kamaz wanatumia R-6 engine na P-6 engine.zote ni made from russia wala hakuna kilichotoka nnje hapoMkuu ukiangalia matangazo rasmi
hata malori hayo hutegemea tekinolojia ya Kijerumani. (ZF Traxon gearbox, Daimler hypoid drive axle).
Ni yaleyale ninachosema: Urusi inakosa tekinolojia nyingi... (kwa nini hawatumii gearbox na ekseli za Kirusi???; hata chumba cha dereva walibuni kwa msaada wa kampuni ya KIjerumani)
"The tractor is equipped with an in-line 6-cylinder KAMAZ model 910 engine (Euro-5) with a capacity of 450 hp, an automated 12-speed ZF Traxon gearbox, a Daimler hypoid drive axle, a comfortable 2500 mm wide cab with a flat floor and two sleeping places"
(tangazo rasmi ya KAMAZ)![]()
New models in the K5 line
KAMAZ brings to the market new models of cars of the K5 generation – a main tractor and two dump trucks.kamaz.ru