Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahahaha mwanzo walihisi Putin hana silaha ila kumbe anazo na uwezo wa kuzalisha nyingi anao. Mkimnyima semi conductors anazalishia Iran 🤣🤣🤣!

Lengo ilikuwa yeye aishiwe silaha sasa kawageuzia kibao NATO na lengo ni kuiangusha Dollar na Dola zao. Kwahiyo hii operation haitaisha hadi Ukraine yote iishe na kuisha kwa Ukraine maana yake ni pigo kwa USA na uchumi wao maana wenye akili washaanza kurudi kwa siri kununua gas na wese la mrusi.
Dunia itashangaa kama Putin ana uwezo wa kuua chumi za nchi za Ulaya na marafiki zao aliwemo US. Tunasubiri angulo la sarafu ya Dollar kwa mara ya kwanza tangu vita vya pili vya Dunia.
 
ss-230220-biden-zelensky-ukraine-17-e0525f.jpg

Hivi Biden alipokwenda Kyiv kwa nini wale wenye Hypersonic Missiles wasingemdungua!!??
Wejamaa achana na Id yenye Jinalako Kamili humu
Inakuonyesha Jinsi gani Mdogo Kichwani!
Inafikirisha Sana Uwezo wako
 
Dunia itashangaa kama Putin ana uwezo wa kuua chumi za nchi za Ulaya na marafiki zao aliwemo US. Tunasubiri angulo la sarafu ya Dollar kwa mara ya kwanza tangu vita vya pili vya Dunia.
Hahahahah itashangaa mara ngapi na Biden kakiri kuwa wenye dola mabenki bora wazichukue tu maana zinaweza bank nyingi zika collapse
 
Halafu kwa kauli hii unadai wewe ni mstaarabu kuliko wamarekani. Yaani mtu unayewaza mambo machafu muda wote unawezaje kuwa ni mstaarab?? Halafu uwezo wako wa kufikiri ni wa kutiliwa shaka, maana unavosema "Nenda na wewe" ni kama tukio endelevu wakati hiyo ni picha iliyodukishwa (Photoshop picture) kitambo sana.
Mashoga wote wanatetea Ukraine. 🤣
 
AP23087414197070.jpg

Akiwa na miaka 45 Zelensky amemzidi busara Mzee wa miaka 70, Putin!!
Busara za huyo shoga ni sawa na kuamua kuangamiza familia yako na watoto kwa interest za rafiki mchonganishi anayekupambanisha na jirani yako ambaye mmeishi vyema miaka tele na huna uwezo wa kumshinda kwa njama zozote hata za kishetani.
 
Ukweli Umeanza Kujitenga sasa
Ugiriki wanasema Lile Shambulio la Kituo cha NATO Kilichokuwepo Kyive
Chini ya Arhi liliua Dazeni ya Dazen ya Makamanda wa NATO
Wanakuambia Wengi walikuwa Wamarekani


🇫🇲Greek media: dozens of NATO officers are buried in a secret bunker destroyed by "Daggers" in Ukraine

📝According to the Greek portal Pronews, received by the editors from “American sources”, “


💥As a result of the “terrifying blow”, as the article claims, “dozens of NATO officers” were killed.

❓In all likelihood, we are talking about the defeat of the “shadow general staff” of NATO in Ukraine, the existence of which Western officials stubbornly deny.
View attachment 2567554
Alafu utasikia wajinga kama aina MK254 wakisema Urusi inapigana na Ukraine.
 
Mkuu, Kamaz ni mfano mzuri. Ilianzishwa wakati wa USSR (kwa kutumia mashine kutoka magharibi), baada ya mwisho wa ukomunisti ilikuwa karibu kufilisika, ikajengwa upya na kubadilisha modeli zake.
Daimler ya Ujerumani iliingia kutoka 2008 hii, mwishoni walishika 15%. Gear box zilinununuliwa na baadaye kutengenezwa kwa laiseni ya ZF Friedrichshafen (Ujerumani), Volvo walishiriki pia katika kiwanda fulani.
Urusi ilitafuta sana ushirikiano wa Daimler, walikuwa na mipango kuwapa hadi asilimia 40 za hisa - sasa Daimler na Volvo wameondoka. Nasoma kwamba modeli za kisasa kabisa K4 und K5 hazitengenezwi tena maana zilitegemea vipuli na laiseni kutoka nje.
Kwamba mrusi atashindwa kutengeneza gearbox yake na engine kisa benz na volvo wamejitoa? .
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️There are reports that Wagner PMC fighters are storming the district administration building and Bakhmut City Council (red circle), the Armed Forces of Ukraine are retreating into the city center from Bakhmutskaya and Blagoveshchenskaya streets[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️.


Muda sio mrefu bendera itapepea kwenye mlingoti wa jengo la halmashauri ya mji wa BakhmutView attachment 2570303
Wawapige ukuti ukuti tu hadi wilayani Bhakmut 🤣
 
Nafuatilia wanachokifanya, nasubiri nione muendelezo na matokeo. Mpaka sasa sijaona effort yoyote serious kutoka US kuilinda $. Ni kama vile hawajashtushwa na hizi agreement au sio material enough to catch their attention. Ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.
Brilliant - shukrani kwa maoni yaliyo kwenda shule, once again BRAVO-kumbuka vile vile msemo wa kale usemao "HUSIMWAMUSHE ALIYELALA" jamaa wapo kwenye usingizi wa pono kabisa!!
 
Kwamba mrusi atashindwa kutengeneza gearbox yake na engine kisa benz na volvo wamejitoa? .
Swali zuri mkuu, mimi nilimuhoji swali dogo tu, kwamba,je,anajua Warusi walianza kuunda engine zao za Petrol na diesel kwa ajili ya magari na ndege tokea mwaka gani? Hana jibu, yeye masaa yote anazungumzia jinsi warusi walivyo na uwezo mdogo kwenye masuala ya sayansi na teknolojia, yuko overly obsessed na masuala ya propaganda ambazo anazisikia kutoka kwenye media za CNN,SkyNews etc pamoja na articles kutoka wikipedia ambazo majoroty zimeandikwa deliberately kuisema vibaya Urusi,Uchina na Korea Kaskazini.

Hata kama wanajua vizuri masuala ambayo Russia hiko light years ahead of them lakini wataongezea vipengele vya kuwaponda tu - ndio walivyo, bahati nzuri kwa wana sayansi wanao juwa ukweli wala hilo haliwasubuhi wanajua ukweli ni upi na ngonjera za wana siasa za kujitutumua kwamba mataifa yao ndio zaidi hilo wana sayansi wanalijua zaidi - ndio maana siku za hivi karibuni mwana sayansi wa Kimerikani na Industrialist mahili nchini Merikani Bwana Elon Musk alizionya nchi za magharibi particularly wanasiasa na wanajeshi wa Merikani kwamba wasiichezee Urusi jasa hasa kwenye masuala ya silaha za kisasa zenye uwezo mkubwa ambao mataifa ya magharibi hawana, aliongezea maneno mengine ya kuzipa matumaini nchi za magharibi ili zisijisikie vibaya - lakini alijua wazi kwamba message imekuwa sent and delivered - lililobaki ni mataifa ya magharibi kujitathimini kama kweli wana ubavu wa kumchezea/pigana ana kwa ana na Putin.
 
Haya majamaa mawili yalipatikana mtaani katikati ya jiji la Moscow yakilana denda...

news-and-politics-2014-02-inside-the-iron-closet-iron-closet-gq-magazine-february-2014-russia-01.jpg

Lets be reasonable here. Nini tofauti ya Westerns na Russians kwenye hii ishu ya LGBTQI+?

Westerns wao wana embrace haya maswala na ishu ya LGBTQI+ kwao ni swala zuri.
Russia wao wanasema ni marufuku na wametunga sheria kuwafunga watu wanaofanya mambo hayo.

Hawa LGBTQI+ wapo kwenye jamii zetu, wapo EU, US or Russia. Ila Russia wameharamisha ili jambo na kusema hapana. Na wametunga sheria kali kutokomeza ili jambo. Ni tofauti na westerns wanavyofanya.

Kwa hiyo ukiweka kwenye mizani, Russia hawataki na wametunga sheria kukataza hayo mambo.

Kwa hiyo usilete habari za photoshop hapa. Kama hao watu kwenye picha, wakionekana hivyo Russia, kuna sheria za kuwafunga, kwa sababu kitendo icho ni haramu kwa sheria za Russia.
 
Back
Top Bottom