Sio uwezo wako Maana mwenye Akili hawezi Hoji hiloPamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili
Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain
One man down.Pamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili
Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain
Western countries wanapofreeze assets za Urusi na matajiri wa Urusi mnataka Putin awachekee?Ndio hivyo,for every action ,Kuna reaction!So deal with it na muache kulialia!Kumbe matatizo ya pesa yamefikiakiwango hicho? Putin anapaswa sasa kutumia mbinu za ujambazi wa kawaida?
Basi, namtakia mafanikio mema!
Kujaribu si kushinda bado, angalau anaonyesha nia!
Siyo mbali ujue..ni siku chache zimebaki!!April-May