Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo Panasonic mbona haizitungui mizinga mipya the Challenger ya Uk na Leopard II ya Ujerumani inayosafirishwa Ukraine?, au inachagua cha kudungua ?
Yaani utumie hypersonic missile kupiga kifaru wakati kuna Kornet rahisi kabisa inaweza kuvifanyia matusi hivi vifaru! Suggestions nyingine mnawekaga hapa kufanya masihara? Kitu inatembea mara 12 zaidi ya sauti inawezaje kushambulia target ndogo kiasi hicho? Haya ni masihara kwenye ulimwengu wa waelewa
 
Yaani utumie hypersonic missile kupiga kifaru wakati kuna Kornet rahisi kabisa inaweza kuvifanyia matusi hivi vifaru! Suggestions nyingine mnawekaga hapa kufanya masihara? Kitu inatembea mara 12 zaidi ya sauti inawezaje kushambulia target ndogo kiasi hicho? Haya ni masihara kwenye ulimwengu wa waelewa
Mwambie Putin awashe bac hiyo Kornet maana hatutaki kuviona vifaru vya watu wa magharibi vikiranda randa wenye uwanja wa vita.
 
  • Volodymyr Zelenskiy has said that Russian president Vladimir Putin is an “informationally isolated person” who had “lost everything” over the last year of war. “He doesn’t have allies,” Zelenskiy said, adding that it was clear to him that even China was no longer willing to back Russia, despite Xi Jinping’s recent visit to Moscow.

  • Zelenskiy suggested that Putin’s announcement shortly after Xi’s visit that he would move tactical nuclear weapons to Belarus, closer to Nato territory, was meant to deflect from the fact that the Chinese leader’s visit did not go well.Putin said the move was a counter to Britain’s decision to provide more depleted uranium ammunition to Ukraine. Belarus has pinned the move as being a response to Nato aggression on its borders.

  • Zelenskiy said Ukraine needed 20 Patriot batteries to protect against Russian missiles, and even that may not be enough “as no country in the world was attacked with so many ballistic rockets”. He added that a European nation sent another air defence system to Ukraine, but it didn’t work and they “had to change it again and again”. He did not name the country.
Huyu ni mtu wa kupuuzwa TU.
Hayo ni maneno ya MFA maji.
 
Peskov kasema hii vita Bado ipo ipo sana[emoji16][emoji116]


Kremlin Press Secretary Peskov says that Russia's confrontation with the West, “a war in the broadest sense of the term”, will last for a long time.
Warusi tayari wameshagundua udhaifu wa west
Vita inaendelea mdogomdogo Hadi chumi zote za west Chali.
Benki,maandamano,kupoteza ajira,kufunga viwanda, vitu kupanda bei,malighafi kukosekana,wakimbizi,hofu ya ww3,maghala kuishiwa silaha na Kila aina ya majanga yanaikumba west kwa Sasa.
Baada ya Urusi kuyajua hayo dozi inaenda mdogomdogo
 
Warusi tayari wameshagundua udhaifu wa west
Vita inaendelea mdogomdogo Hadi chumi zote za west Chali.
Benki,maandamano,kupoteza ajira,kufunga viwanda, vitu kupanda bei,malighafi kukosekana,wakimbizUri,hofu ya ww3,maghala kuishiwa silaha na Kila aina ya majanga yanaikumba west kwa Sasa.
Baada ya Urusi kuyajua hayo dozi inaenda mdogomdogo
Ni kweli, Urusi kwanza haiiti hii ni vita bali ni ka Operation ka kijeshi kadogo - kwa hiyo anaipelekaa mdogo mdogo hadi mataifa yote ya Magharibi pamoja na US na NATO yao yatepete afu ndiyo aimalize kwa mbwembwe.

Putin si wa mchezo ndugu.
 

300 RUSSIAN MOBILE NUCLEAR MISSILES ON THE MOVE​

28 MARCH 2023

Russia's Strategic Missile Forces began WHAT THEY SAY are planned exercises involving the Yars mobile nuclear intercontinental ballistic missile systems, Russia's defense ministry said minutes ago (11:06 PM EDT on Tuesday, 28 March 2023)
"In total, more than 3,000 military personnel and about 300 pieces of equipment are involved in the exercises," the defense ministry said in a statement on the Telegram messaging app.
Each YARS missile carries of nuclear warhead with a yield of 800 kilotons.
 
Kwani wewe ulitaka vitumie siku ngapi?
Labda nikuulize wewe leo siku ya tatu vimeshafanya maajabu gani?
bado, lakini kitendo cha kusafirishwa hadi vimefika uwanja wa vita hawa watu wa magharibi watatamba sana, ilitakiwa vile timbili njiani pamoja na wasindizaji wao ili wajue Urusi ni moto wa kuotea mbali.
 
bado, lakini kitendo cha kusafirishwa hadi vimefika uwanja wa vita hawa watu wa magharibi watatamba sana, ilitakiwa vile timbili njiani pamoja na wasindizaji wao ili wajue Urusi ni moto wa kuotea mbali.
Unatamba kwa sababu vimefika na sio vimefanyaje kazi hapa nitawaona namna walivyo wehu.
 

Russian whose daughter drew anti-war picture gets two years in jail but flees​

Russian citizen Alexei Moskalyov, who is accused of discrediting the country's armed forces in the course of Russia-Ukraine military conflict, attends a court hearing in the town of Yefremov in the Tula region, Russia, March 27, 2023.'s armed forces in the course of Russia-Ukraine military conflict, attends a court hearing in the town of Yefremov in the Tula region, Russia, March 27, 2023.

Russian citizen Alexei Moskalyov, who is accused of discrediting the country's armed forces in the course of Russia-Ukraine military conflict, attends a court hearing in the town of Yefremov in the Tula region, Russia, March 27, 2023.

SOTA | via Reuters
A Russian who was investigated by police after his daughter drew an anti-war picture at school was sentenced to two years in a penal colony on charges of discrediting the armed forces.
But the whereabouts of the convicted man, Alexei Moskalyov, were unclear. The court said in an official posting on VKontakte, similar to Facebook, that he had fled from house arrest.

Moskalyov has been separated from his 13-year-old daughter Masha since he was placed under house arrest at the start of this month and she was moved to a children's home in their hometown of Yefremov, south of Moscow.

The case has provoked an outcry among Russian human rights activists and sparked an online campaign to reunite father and daughter.
— Reuters
Mkuu inaonekanq unaangaika Sana kutafuta faraja mitandaoni.
 
Back
Top Bottom