Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vp kuhusu wao west waliofreeze pesa na mali za serikali ya Russia na Oligarchs wa Urusi?
Unaweza kuilinganisha hivyo. Isipokuwa kwa nchi inayotafuta na kuhitaji wawekezaji, ni hatua ya kuharibu sifa kama nchi salama kwa wawekezaji. Nchi zisizotegemea sana uwekezaji ( na kuwa na mfumo imara zaidi ya mahakama kulio Urusi) hali ni tofauti. Labda hapa si swali la haki bali la nguvu ya kiuchumi.
Pamoja na hayo, mali za Urusi hazikunyang'anywa huko magharibi. Ziliwekwa chini ya namna ya ulinzi. Kisheria ni tofauti ya maana.
Tena kuna sababu ya kufanya vile. Maana katika vita hii yuko mmoja anayevunja sheria ya kimataifa: Urusi. Hii sababu ya karibu nchi zote za Umoja wa Kimataifa ama kushtaki Urusi au kutoitetea. Kimatifa imekubaliwa kukamata mali ya yule anayevunja amani na haki, ili kupunguza uwezo wake wa kutekeleza uhalifu.
 
Volodymyr Zelensky had an inteview with the Associated Press news agency yesterday while travelling by train from Sumy to Kyiv.

Here are Zelensky's key messages.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukrainian defense minister hints that offensive action may begin in April or May​

From CNN's Tim Lister

Ukrainian Defense Minister Oleksii Reznikov suggested that Ukrainian offensive action involving Western tanks may begin in April or May in an interview with Estonian television.
Reznikov said that German Leopard tanks, which have begun arriving in Ukraine, will be part of “the counteroffensive campaign under the decision of our General Staff. … They are planning that in different directions.”

“And it will depend on the time, the best time,” Reznikov said, speaking in English. “It will depend on weather conditions. During the springtime, we have wet land. And you know, you can use only tracked vehicles without wheels for example.”

“I think that we will see [the tanks] during these two months. I mean April and May,” Reznikov said.

Last week, Oleksandr Syrskyi, the commander of Ukraine’s land forces, said on his Telegram channel that the Russians are "losing significant forces [in Bakhmut] and are running out of energy."

“Very soon, we will take advantage of this opportunity, as we did in the past near Kyiv, Kharkiv, Balakliya and Kupyansk,” he said.

===========================

Counter offensive is still loading....
 
VIDEO
Wale Mliokuwa Mnahoji Kuhusu Bakhmut kwann Inachelewa Kukombolewa
Hii ni Video Fupi kuonyesha Bakhmut kuna Mji chini ya Ardhi
yani Kuna mapambano yanaendekea Chini kwa Chini
na Unaambiwa Ukrieni Wanatega Mabomu Makali chini huko Sehemu walio ikimbia
Kwahiyo Wagner Wanakwenda Kwa Umakini Hatua kwa hatua na Hawana Papara

Hakuna ulazima wa wewe kuwekeza Urusi au Urusi kuwekeza kwako.ulaya inamuitaji Urusi kuliko Urusi anavyoiitaji ulaya.
Mimi siwekezi. ila najua Urusi imetafuta sana wawekezaji na inaendelea kuwatafuta. Maana inawahitaji. Kwa nini viwanda vyote vikubwa vya magari vilikuwa uwekezaji wa nje? Mbona miradi mikubwa ya kutoa gesi kwenye kaskazini ilikuwa ya wawekezaji?
Sema wewe!
(jibu langu: walikosa uwezo wa kitekinolojia na pia pesa nchini, sivyo?)

Ulaya kuhitaji Urusi? Walitumia kama chanzo nafuu cha makaa, gesi na mafuta. Sasa wameshabadilisha, na menginevyo waliamua (kabla ya vita) kuachana na kabohidrati kama mafuta na gesi. Ugomvi huu unawasaidia kuelekea huko haraka zaidi.
Kuna nini tena wanachohitaji kutoka Urusi?
(Vodka kutoka Urusi ilikuwa nafuu pia, lakini siku hizi unapata wengi wanaotengeneza vodka.... nini tena??? )
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji635] The Legendary Somali Battalion marched victoriously to Donetsk where they were then greeted with flowers and flags as liberators.
Screenshot_20230329-045954.jpg
 
Mimi siwekezi. ila najua Urusi imetafuta sana wawekezaji na inaendelea kuwatafuta. Maana inawahitaji. Kwa nini viwanda vyote vikubwa vya magari vilikuwa uwekezaji wa nje? Mbona miradi mikubwa ya kutoa gesi kwenye kaskazini ilikuwa ya wawekezaji?
Sema wewe!
(jibu langu: walikosa uwezo wa kitekinolojia na pia pesa nchini, sivyo?)

Ulaya kuhitaji Urusi? Walitumia kama chanzo nafuu cha makaa, gesi na mafuta. Sasa wameshabadilisha, na menginevyo waliamua (kabla ya vita) kuachana na kabohidrati kama mafuta na gesi. Ugomvi huu unawasaidia kuelekea huko haraka zaidi.
Kuna nini tena wanachohitaji kutoka Urusi?
(Vodka kutoka Urusi ilikuwa nafuu pia, lakini siku hizi unapata wengi wanaotengeneza vodka.... nini tena??? )
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujui lolote wewe kuhusu Urusi,ungekuwa unajua ungekaa kimya kabisa wala usingeongea neno.

Urusi ana viwanda sio tu vya magari basi vya kila kitu unachokijua wewe hapa Duniani.wala hakuna kitu kinachotengenezwa ulaya alafu Urusi kisiwepo.

Hayo magari unayosema wew kuna kampuni zaidi ya 10 hapo Urusi zinazotengeneza magari.

Urusi ana madini yote makubwa unayoyajua wewe hapa duniani.

Ukija kwenye chakula ndo usiseme maana umuhimu wa ngano unajulikana duniani kote.

Usiongopewe na movie za kina Rambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza kuilinganisha hivyo. Isipokuwa kwa nchi inayotafuta na kuhitaji wawekezaji, ni hatua ya kuharibu sifa kama nchi salama kwa wawekezaji. Nchi zisizotegemea sana uwekezaji ( na kuwa na mfumo imara zaidi ya mahakama kulio Urusi) hali ni tofauti. Labda hapa si swali la haki bali la nguvu ya kiuchumi.
Pamoja na hayo, mali za Urusi hazikunyang'anywa huko magharibi. Ziliwekwa chini ya namna ya ulinzi. Kisheria ni tofauti ya maana.
Tena kuna sababu ya kufanya vile. Maana katika vita hii yuko mmoja anayevunja sheria ya kimataifa: Urusi. Hii sababu ya karibu nchi zote za Umoja wa Kimataifa ama kushtaki Urusi au kutoitetea. Kimatifa imekubaliwa kukamata mali ya yule anayevunja amani na haki, ili kupunguza uwezo wake wa kutekeleza uhalifu.
Hivi anaelewa hata alichokiandika hapa.
Huyu Nyang'au mmemuelewa?
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji635] The Legendary Somali Battalion marched victoriously to Donetsk where they were then greeted with flowers and flags as liberators.View attachment 2570183
mkuu asante kutuletea mifano ya propaganda ya urusi - ila hii hapa?? Maana yake ni nini?
Nikijaribu kuelewa "Somali Battalion" ni nini nakuta "The Somalia Battalion (Russian: Батальон «Сомали») is a separatist military unit of the Russian-backed Donetsk People's Republic in Ukraine", nasoma pia kwamba wanapenda kuonyesha ishara za Neo-Nazi.
Ila kama hao ni kikosi cha Donetsk, kivipi wanaelekea Donetsk "kama washindi"??? "marched victoriously to Donetsk "
Nadhani wametoka Donetsk? Wamekimbia sasa Bakhmut na kurudi kwao? Nanai ameshinda wapi?

Naomba tu tukileta propaganda, labda tuchague kidogo na kuachana na yale ambayo ni kipumbavu mno. Tafadhali!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujui lolote wewe kuhusu Urusi,ungekuwa unajua ungekaa kimya kabisa wala usingeongea neno.

Urusi ana viwanda sio tu vya magari basi vya kila kitu unachokijua wewe hapa Duniani.wala hakuna kitu kinachotengenezwa ulaya alafu Urusi kisiwepo.

Hayo magari unayosema wew kuna kampuni zaidi ya 10 hapo Urusi zinazotengeneza magari.

Urusi ana madini yote makubwa unayoyajua wewe hapa duniani.

Ukija kwenye chakula ndo usiseme maana umuhimu wa ngano unajulikana duniani kote.

Usiongopewe na movie za kina Rambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nimeshaelewa unapenda kujivunia utaalamu wako. Umeniambia mara ngapi sina habari?
basi nisaidie kwa utaalamu wako. Naleta hapa chini orodha ya makampuni yanayotengeneza magari nchini Urusi. Niambie moja liliyofanya kazi bila uwekezaji wa nje ya Urusi (au kununua laiseni ya kutoa gari lenye asili ya nje, au kukopi gari la nje).

Car Manufacturers in Russia​

RankBrandSalesMarket share
Total1,425,791100%
1Renault-Nissan
(includes AvtoVAZ)
477,27933.5%
-AvtoVAZ266,29618.7%
2VW Group156,71211.0%
3Kia149,56710.5%
4Hyundai Group145,30010.2%
5Toyota Group118,6858.3%
6GAZ55,8033.9%
7UAZ48,8483.4%
8Mercedes-Benz43,9123.1%
9Ford42,5283.0%
10General Motors31,7372.2%
 
VIDEO
Wale Mliokuwa Mnahoji Kuhusu Bakhmut kwann Inachelewa Kukombolewa
Hii ni Video Fupi kuonyesha Bakhmut kuna Mji chini ya Ardhi
yani Kuna mapambano yanaendekea Chini kwa Chini
na Unaambiwa Ukrieni Wanatega Mabomu Makali chini huko Sehemu walio ikimbia
Kwahiyo Wagner Wanakwenda Kwa Umakini Hatua kwa hatua na Hawana Papara

View attachment 2570181
Uzuri wanasonga mbele. Slowly but sure
 
Unaweza kuilinganisha hivyo. Isipokuwa kwa nchi inayotafuta na kuhitaji wawekezaji, ni hatua ya kuharibu sifa kama nchi salama kwa wawekezaji. Nchi zisizotegemea sana uwekezaji ( na kuwa na mfumo imara zaidi ya mahakama kulio Urusi) hali ni tofauti. Labda hapa si swali la haki bali la nguvu ya kiuchumi.
Pamoja na hayo, mali za Urusi hazikunyang'anywa huko magharibi. Ziliwekwa chini ya namna ya ulinzi. Kisheria ni tofauti ya maana.
Tena kuna sababu ya kufanya vile. Maana katika vita hii yuko mmoja anayevunja sheria ya kimataifa: Urusi. Hii sababu ya karibu nchi zote za Umoja wa Kimataifa ama kushtaki Urusi au kutoitetea. Kimatifa imekubaliwa kukamata mali ya yule anayevunja amani na haki, ili kupunguza uwezo wake wa kutekeleza uhalifu.
Safi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimeshaelewa unapenda kujivunia utaalamu wako. Umeniambia mara ngapi sina habari?
basi nisaidie kwa utaalamu wako. Naleta hapa chini orodha ya makampuni yanayotengeneza magari nchini Urusi. Niambie moja liliyofanya kazi bila uwekezaji wa nje ya Urusi (au kununua laiseni ya kutoa gari lenye asili ya nje, au kukopi gari la nje).

Car Manufacturers in Russia​

RankBrandSalesMarket share
Total1,425,791100%
1Renault-Nissan
(includes AvtoVAZ)
477,27933.5%
-AvtoVAZ266,29618.7%
2VW Group156,71211.0%
3Kia149,56710.5%
4Hyundai Group145,30010.2%
5Toyota Group118,6858.3%
6GAZ55,8033.9%
7UAZ48,8483.4%
8Mercedes-Benz43,9123.1%
9Ford42,5283.0%
10General Motors31,7372.2%
Ndo maana nikasema hakuna unachokijua kuhusu Urusi.nikisema ivyo unaona kama vile nakukosea.

Ukiwa na makampuni yako ya kutengeneza magari utakiwi kuzuia kampuni za nnje kuja kuwekeza kwako kisa na wewe unatengeneza magari.

Hayo uliyoyataja ni makampuni ya nnje yenye viwanda vyao Urusi vya kutengeneza magari, na si kampuni za Urusi za kutengeneza magari.

Urusi ana kampuni zake zinazotengeneza magari ambazo ni kama

(1) GAZ
(2)KAMAZ
(3)UAZ
(4)AZLK
(5)AvtoVAZ
(6)LADA
(7)AURUS MOTORS

Na zipo zingine ndogo ndogo.

Kampuni kama GAZ na AZLK zimeanzishwa kabla ya hata kampuni ya Toyota aijulikani kama itakuja kutokea.toka mwaka 1918 AZLK imeanza kutengeneza magari na kampuni ya GAZ toka mwaka 1930 imeanza kutengeneza magari.sasa kama ni leseni ilibidi Toyota na Nissan waombe wao leseni maana wamewakuta jamaa wanatengeneza magari hapo toka kitambo.

Ndo maana nakwambia vitu vingi uvijui kuhusu Urusi
 
The situation on the front line remains challenging for Ukraine in the south, but Russian troops can’t advance.

A Ukrainian officer told the Kyiv Independent that the front was "moderately stable" despite a few Russian attempts to break through Ukraine's defensive lines. "They're looking for our weak spots," he says, "but we haven't let them take even a meter."

Read about why Ukraine is holding back on the southern counteroffensive: Ukraine holds back on southern counteroffensive, soldiers say

[emoji409]: Lisa Kukharsk

Back
Top Bottom