HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Sio yeye tu, ni Warusi wengi wameathiriwa na hii SMO ya 72= 405Kuna watu wapuuz ila wewe naona utakuwa na mental health issues ,si bure
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sio yeye tu, ni Warusi wengi wameathiriwa na hii SMO ya 72= 405Kuna watu wapuuz ila wewe naona utakuwa na mental health issues ,si bure
Tuliona kazi ya BMPT termanator ya warusi kule Kremina ilivyokuwa inachoma wanajeshi wa Ukraine pamoja na msitu waliokuwa wanajifichia.NATO tunaomba mrejesho wa challenger 2, Leopard 2, na abram 1. Tumechoka na ngonjera zenu saizi mnashangilia Finland kujiunga NATO wakati silaha zenu mmezificha kule Ukraine Russia Ni mbabe NATO wanatembea mikia yote ikiwa imefyata.
Marekani aliivamia Iraq ambayo ilikuwa well equiped ila hakuwahi fanya blunder kama hiiKama haya mavyuma chakavu yenu mliyoacha mji mkuu View attachment 2575537
Huyu mtu ni propagandist hivyo twende nae taratibu tuu mkuu..naomba uendelee kumfuatilia na kufichua uwongo uwongo wake humu, maana wengine tunakua hatujapitia makala mengi za historia kama wewe mkuu. Hivyo inakua rahisi kwake kutushika masikio... Shukran sana mkuuUnafahamu hata Mongolia republic waliwahi Omba kuingia kwenye Shirikisho la Urusi?
Je, Wangekuwa wanatawaliwa kikoloni wangeomba?
Tuva republic waliombwa kwa hiari Yao kujiunga na Shirikisho la Urusi?
Je, hawa nnao wanatawaliwa?
Buryat ilishawahi kuwa nchi?
Ngoja turudi kwenye historia
Unafahamu Himaya ya Kimongoli ikitawala eneo kubwa zaidi yaani kutoka Ulaya mpaka Asia?
Sasa Mrithi baada ya Himaya yaa Kimongoli kuanguka ni nani?
Kule Mashariki Mrithi ni China, je huku Magharibi Mrithi ni nani?
Urusi ilijitanua kwa kumpiga Mmongoli na kuangusha himaya yake zilizogawanyika.
Battle of KULIKOVO ndio iliyoamu khatima ya Urusi.
Hivyo kurithi maeneo yote yaliyokuwa chini ya Mongolia pamoja na states zake?
Je, Chechnya ishawahi kuwa nchi?
Ingushetia ishawahi kujitawala yenyewe?
Tuva hawa waliomba?
Dagestani ulishawahi kuwa nchi?
Crimea tatars ambao Wana asili ya Kimongoli walipigwa na Catherine the great na kuwa sehemu ya Urusi?
Sasa hii unaweza ifananisha na mauaji ya kimbari ya Wamarekani dhidi ya Wahindu wekundu?
Halafu hii mada tulishawahi inadili na nikakupiga za uso ila huwa unaorudia kwa namna tofauti.
Urusi haiheshimiki, mtaumia bure. Hapa Finland wamekuchoma wamejiungaKauli zako wakati mwingine!! Sasa unasema Urusi haishemiki kwa kutumia vigezo gani? labda tuanzie hapo.
Nilisha wambieni kwamba the World is not America - kwa taarifa yako nchi nyingi za Ulaya zilizo rubuniwa na foreign policy za Merikani za ku-slap punitive sanction against Russia ndio zipo kwenye hali mbaya ya kiuchumi na ajila - huko Ulaya hivi sasa - kuna baadhi ya Viongozi wa Ulaya wanataka kurudisha uhusiano mzuri na Urusi baada ya kuchoshwa na siasa za chuki na hujuma zinazo ratibiwa na siasa za nje za Taifa la Merikani dhidi ya Urusi,Uchina,Iran, Korea Kaskazini nk.
Huu ujasiri wa Uncle SAM wa kufikiri ana uwezo mkubwa wa kupigana na mataifa yenye nguvu kijeshi Duniani kwa mpigo ujasiri huo anautoa wapi, kwa bahati mbaya kuna baadhi yenu ambao hawajui vizuri/kiundani historia ya kweli kuhusu Urusi na Mataifa ya magharibi - hao ndio wanakujaga na historia za ajabu ajabu wanayo okoteza kwenye wilipedia na machapisho mengine ya west yaliyo sheheni propaganda tu na uongo.
2020 Balyun airstrikesLile kombora precisely ni air defence interceptor ambayo ilikuwa inatafuta Russian missiles. Kwenye articles za NATO hamna sehemu inasema interceptor ikidondoka kwa mwanachama vita inaanza, wale wanatumia elimu bora kabisa na uelewa wao uko juu ndio maana Warusi maskini chungu nzima wanahamia Ulaya na Marekani kwa maelfu kusoma na kuishi.
Anayetaka vita ni Urusi. Hapa ilifanyaje dhidi ya Israel walipokufa wanajeshi wake 15 nchini SyriaView attachment 2575882
Na hapa ilifanyaje dhidi ya Turkey alipokufa rubani wakeView attachment 2575883
Au ina jeshi la gwaride
Sasa hapo Israel anakosa gani kwani yeye ndo kalipua ndege ya warusi?.Lile kombora precisely ni air defence interceptor ambayo ilikuwa inatafuta Russian missiles. Kwenye articles za NATO hamna sehemu inasema interceptor ikidondoka kwa mwanachama vita inaanza, wale wanatumia elimu bora kabisa na uelewa wao uko juu ndio maana Warusi maskini chungu nzima wanahamia Ulaya na Marekani kwa maelfu kusoma na kuishi.
Anayetaka vita ni Urusi. Hapa ilifanyaje dhidi ya Israel walipokufa wanajeshi wake 15 nchini SyriaView attachment 2575882
Na hapa ilifanyaje dhidi ya Turkey alipokufa rubani wakeView attachment 2575883
Au ina jeshi la gwaride
Mkuu T14 ArmataLile kombora precisely ni air defence interceptor ambayo ilikuwa inatafuta Russian missiles. Kwenye articles za NATO hamna sehemu inasema interceptor ikidondoka kwa mwanachama vita inaanza, wale wanatumia elimu bora kabisa na uelewa wao uko juu ndio maana Warusi maskini chungu nzima wanahamia Ulaya na Marekani kwa maelfu kusoma na kuishi.
Anayetaka vita ni Urusi. Hapa ilifanyaje dhidi ya Israel walipokufa wanajeshi wake 15 nchini SyriaView attachment 2575882
Na hapa ilifanyaje dhidi ya Turkey alipokufa rubani wakeView attachment 2575883
Au ina jeshi la gwaride
Kuna MiG nyingine Tena au hizi tunazozishusha?#The Armed Forces of Ukraine have five fighter jet brigades: two SU-27 brigades and three MIG-29 brigades.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Libya alikua member wa NATO?ndugu Ukraine si member wa NATO, sasa NATO itaanzaje kuweka no fly zone kwa nchi ambayo si Mwanachaa wake?
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyo mwandishi wa habari si mpaka apewe iyo habari kama jeshi likikaa kimya yeye anapataje habari.labda wajitokeze wasamalia wema kama kina Edward snowden na Assange.Kwanza vyombo vya habari vya West ni huru sana.
Mwanajeshi wa nchi yake hawezi uawa afu wakae kimya, kama CIA officers wakifa habari zinasemwa, ndo ije iwe General
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu inawezekana ninaku misread, lakini inaonekana kama haupo upande wa Ukraine kwa sasa.Hopefully itaenda Riyadhi