lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
πππππππππ·πΊπ·πΊπ·πΊπ·πΊπ·πΊπ·πΊπͺπͺπͺπͺπͺπ
Urusi ilijipanga sana na iliwapanga OPEC.
Huyo ndio Supapawa mwenye busara.
πππππππππ·πΊπ·πΊπ·πΊπ·πΊπ·πΊπ·πΊπͺπͺπͺπͺπͺπ
Mkuu unapiga gia kali ya nyuma. Ulidai juuUnajuwa na maanisha nini lakini ,hapa unataka kupoteza lengo tu -nani ambaye hajui kwamba handaki hilo lilikuwa huko Ukraine manned by NATO high ranking military officers wakiwapa taarifa za kintelijensia wanazo zipata kupitia satellite za USA na kwingineko kwa lengo la kusaidia kulipatia cordinates jeahi la Ukraine kulenga shabaha - Warusi walipo gunduwa ujinga huu ndio wakafanya kweli, ndio maana siku hizi husikii tena masuala ya counter offensive wahusika wakuu wa mipango hiyo ndio wametangulizwa mbele ya haki - na ofisi zao walizo kuwa wanazitegemea futi 400 chini ya aridhi zimekwisha geuzwa magofu - counter offensive za Zelensky alizo kuwa anategemea kutoka kwa washauri wake wa NATO zinabaki kwenye makaratasi tu.
Marekani ametia aibu kweli Uganda wa kumkazia US tutaona Mengi Sana mwaka huu.
Mpaka leo Marekani ajui lilitumika kombola gani kupiga ile military bunker maana ngoma ilichimbua zaidi ya mita 200 kwenda chini.hakika ile ilikuwa ni teknolojia ya juu zaidi kutumiwa na Warusi hapa Duniani.Mkuu unapiga gia kali ya nyuma. Ulidai juu
1) majenerali wa nchi mbalimbali za NATO ziliuawa katika handaki nchini Ukraine
2) Taarifa ziko kwenye Western MEdia
Nilikuomba kuthibitisha madai hayo kwa
a) kutaja majina ya majenerali wa NATO waliotoweka au kutangazwa wamekufa (maana majenerali wanajulikana - kama ungetumia uwongo mzuri ungechagua cheo cha chini...)
b) ulete links za hizo media zilizotoa taarifa.
Sasa huleti majibu badala yake uaanza mahubiri.
Hakuna General hata mmoja wa NATO kauwawa na Urusi, Urusi ni kubwa jinga haina uwezo huo. Na wala NATO haiwezi weka command yake nchini Ukraine wakati sio mwanachama. Kwanza NATO sio washamba kama nyinyi mnapigana vita kienyeji na sasa mnajiliza mwaka umeisha.Unazungumza vitu gani lakini, eti Russia ina silaha ambazo zina long range lakini precision zake ni dismal kabisa - who can take your entire comments herein seriously??
Kwani umesahau jinsi juzi juzi hapa MiG-31 ilivyo lenga na kuvurumisha Khinzal hypersonic missile towards US/NATO concrete reinforced military command post bunker buried 400 feet under ground - the whole infrastructure was turned upside down and inside out killing and vaporising all US,UK, Ukrainians and Polish Generals manning the post.
Most of the above mention bodies haven't even been fully recoverd from concrete rubbles - this obviously goes to show some doubting Thomas like you "how dead accurate some Russian no nonsense missiles really are/can be",, sasa, unaposema Russian high precision missiles or bombs are highly questionable - hapo ndio sikuelewi kabisa, kama hiyo ingekuwa ni kweli ililuwaje tena hypersonic Khinzal missile ikafanikiwa ku-hit BULL'S EYE ya maficho ya Majenerali wa NATO wakachomwa mishikaki na wengine wakawa vapourised completely, je, umewahi kujiuliza kwa nini USA pamoja na mbwebwe zake zote hajawahi hata siku moja kujaribu kujiweka kifua mbele kwa kutaka kupigana ana kwa ana na Urusi - unajua kwa nini? US knows for certain what is inside the hood of Russian military -ndio maana ujaribu sana kuzitumia nchi ambazo hazijitambui kama: Ukraine,Georgia na Checheny zipigane a proxy war on US behalf ikiwa na imani kwamna vita hivyo vita idhoofisha Urusi kijeshi na kuihujumu kiuchumi - mpaka sasa wameshindwa kufanikiwa labda mabeberu na kinara wao wanabuni plan "B" ya kutaka kuimaliza Urusi - hawakati tamaa.
FYI linapo kuja suala la anti personnel land mines na TANK mines, here again Russia is light years ahead of them all.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120]
Urusi ilijipanga sana na iliwapanga OPEC.
Huyo ndio Supapawa mwenye busara.
Mkuu hongera! Wakati huna hoja, bado unakumbuka matusi! Hongera sana!!!Wewe pimbi tuache kupata taarifa sahihi toka front line unataka tukuamini we mkazi wa Kilolo.
Mkuu unapiga gia kali ya nyuma. Ulidai juu
1) majenerali wa nchi mbalimbali za NATO ziliuawa katika handaki nchini Ukraine
2) Taarifa ziko kwenye Western MEdia
Nilikuomba kuthibitisha madai hayo kwa
a) kutaja majina ya majenerali wa NATO waliotoweka au kutangazwa wamekufa (maana majenerali wanajulikana - kama ungetumia uwongo mzuri ungechagua cheo cha chini...)
b) ulete links za hizo media zilizotoa taarifa.
Sasa huleti majibu badala yake uaanza mahubiri.
Putin anakwambia Wala hakuna kitu serious ambacho amefanya Ukraine kwenye hii SMO!Hakuna General hata mmoja wa NATO kauwawa na Urusi, Urusi ni kubwa jinga haina uwezo huo. Na wala NATO haiwezi weka command yake nchini Ukraine wakati sio mwanachama. Kwanza NATO sio washamba kama nyinyi mnapigana vita kienyeji na sasa mnajiliza mwaka umeisha.
Huo uongo kaambizane kijiweni kwenu. Unaweza taja hata jina moja la General wa NATO aliyeuawa pale Ukraine? Achana na watu 400 uliodai, taja mmoja tu. Na ukitaka kujua ulivyo na uongo wa kitoto, command ya watu 400 inafanya nini, watu 400 wanacommand solar system nzima ama namna gani.
Na Marekani haina mpango wa kupigana na Russia, kwa lipi hasa ililonalo? Kama unataka vita yao si uwaambie Russia ndio waanze. Shamba la gesi na mafuta hilo halimtishi hata South Korea kiuchumi, kijeshi ndio hilo mwaka sasa limeshindwa Ukraine. Na kwa taarifa yako kesho Finland inajiunga NATO sasa jinyongeni kama inakuuma.
Chechens si ni Warusi. Mapigano ya Warusi wenyewe kwa wenyewe ila lawama kwa Marekani? Marekani ina nguvu kumbe hadi ndani ya Urusi inasababisha vita sasa si muipige maana sababu tiyari ipo.
Hakuna General hata mmoja wa NATO kauwawa na Urusi, Urusi ni kubwa jinga haina uwezo huo. Na wala NATO haiwezi weka command yake nchini Ukraine wakati sio mwanachama. Kwanza NATO sio washamba kama nyinyi mnapigana vita kienyeji na sasa mnajiliza mwaka umeisha.
Huo uongo kaambizane kijiweni kwenu. Unaweza taja hata jina moja la General wa NATO aliyeuawa pale Ukraine? Achana na watu 400 uliodai, taja mmoja tu. Na ukitaka kujua ulivyo na uongo wa kitoto, command ya watu 400 inafanya nini, watu 400 wanacommand solar system nzima ama namna gani.
Na Marekani haina mpango wa kupigana na Russia, kwa lipi hasa ililonalo? Kama unataka vita yao si uwaambie Russia ndio waanze. Shamba la gesi na mafuta hilo halimtishi hata South Korea kiuchumi, kijeshi ndio hilo mwaka sasa limeshindwa Ukraine. Na kwa taarifa yako kesho Finland inajiunga NATO sasa jinyongeni kama inakuuma.
Chechens si ni Warusi. Mapigano ya Warusi wenyewe kwa wenyewe ila lawama kwa Marekani? Marekani ina nguvu kumbe hadi ndani ya Urusi inasababisha vita sasa si muipige maana sababu tiyari ipo.
Mkuu ninachoomba ni kazi nyepesi. Majenerali ni watu wanaofahamika. Majina yanajulikana. Kwa hiyo kama kundi la majenerali liliuawa, baadaye hawaonekani. Kuna ibada kwa ajili ya familia. Huwezi kuficha kundi la majenerali waliouawa.We Jamaa bhana, unafikir west watawataja majina??. Ila wale wa Russia walikua wanawataja majina kabisa.
Who can believe this make believe stories staged managed by a super clown Zelensly - hapo anajifanya kusikitika na kulengwe na machozi - msisahau kwamba Zelensky ni muigizaji mahili - anacho lenga hapo ni kutaka kuhadaa Dunia kwamba Putin ni mega WAR Criminal hivyo ushahidi huu ndio utumike leo leo kamtia mbaroni Putin na kumpeleka kwa Pilato - wanacho sahau ni kwamba Russian Federation is still a Super Power hakuna Taifa au mtu yeyote anaweza kumfanya lolote Putin - ndio maana juzi Biden alipo ulizwa swali kuhusu Putin kishtakiwa, Biden alikwepa kujibu swali unajua kwa nini, anajua vizuri kwamba Marais walio mtangulia nao wana war crime cases to answer especially Bush Jr na Bill Clinton.Germany's Habeck and Ukraineβs Zelenskyy tour Chernihiv region
German Vice Chancellor Robert Habeck and Volodymyr Zelensky, president of Ukraine, leave after meeting witnesses of alleged war crimes. The village of Yahidne in the Chernihiv region gained notoriety after the Russian invasion last year.
In early March, Russian troops captured the village and forced the remaining 300 or so residents to hold out in the basement of the local school, according to the Associated Press. More than a dozen other villagers are alleged to have been murdered by the Russian occupiers.
![]()
Robert Habeck (BΓΌndnis 90/Die GrΓΌnen, front, l), Federal Minister for Economic Affairs and Climate Protection, and Volodymyr Zelenskyy, President of Ukraine, inspect the reconstruction of a destroyed bridge in northern Ukraine. Behind them walks Vyacheslav Chaus, governor of Chernihiv Oblast.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
![]()
Volodymyr Zelenskyy, President of Ukraine, arrives for a meeting with witnesses of alleged war crimes northeast of Kiev.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
![]()
School furniture and toys are seen in a school basement northeast of Kiev where people were held hostage.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
![]()
Volodymyr Zelenskyy, President of Ukraine, walks through the basement of a school where people were held hostage during a meeting with witnesses of alleged war crimes northeast of Kiev.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
![]()
The names of deceased people can be seen on the wall of a school basement northeast of Kiev, where people were held hostage. The village of Yahidne in the Chernihiv region gained sad notoriety after the Russian invasion last year.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
![]()
Volodymyr Zelenskyy, President of Ukraine, encounters witnesses of alleged war crimes held hostage in a school basement northeast of Kiev.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
![]()
A photograph taken on April 3, 2023 shows children drawings in the basement of a school where villagers were kept for almost a month by Russian troops in the village of Yahidne, north of Kyiv, a year after the liberation of the settlement, amid the Russian invasion of Ukraine.
Sergei Supinsky | Afp | Getty Images
![]()
Ukrainian President Volodymyr Zelensky leaves the basement of a school, in the village of Yahidne, Chernihiv region, where all the residents were jailed during the Russian occupation, as he makes a visit to mark the first anniversary of the village liberation, on April 3, 2023 amid the Russian invasion of Ukraine.
Sergei Supinsky | Afp | Getty Images
Mtaongea lugha zote. Urusi haiheshimiki, Finland imetangaza kujiunga mkaikatia umeme mkajitapa humu sijui wataganda lakini wapiLabda sijui kiingereza vizuri-hapa Urusi imasema wata wata-boost their military capacity - sasa haya ya kisema eti Finland kujiunga na NATO kumeikasirisha Urusi kivipi? Wao wamesema wataongeza mbinu za kujilinda zaidi - na Finland si wajinga wa kukubali kutumiwa na Merikani kijinga - akili za Joe Biden na wenzake wanafikiri kwa kuwa Finland ndio nchini pekee Ulaya yenye mpaka mrefu na Urusi hivyo ni rahisi kupitisha silaha nyingi za kuivamia Urusi kirahisi - sina shaka Urusi hilo amekwisha liona mapema sana na anajua ata-deal nalo kivipi.
Mkuu huyo ndio General wa NATO aliyeuawa Ukraine?Putin anakwambia Wala hakuna kitu serious ambacho amefanya Ukraine kwenye hii SMO!
Yaani mtu anafanya kaoperation halafu Ukraine anasaidiwa kila kitu na mataifa zaidi ya 30 lakini Bado mzani umeegemea upande mmoja!
Ama kweli Urusi sio mchezo!
Kuna watu wapuuz ila wewe naona utakuwa na mental health issues ,si bureMpaka leo Marekani ajui lilitumika kombola gani kupiga ile military bunker maana ngoma ilichimbua zaidi ya mita 200 kwenda chini.hakika ile ilikuwa ni teknolojia ya juu zaidi kutumiwa na Warusi hapa Duniani.
Marekani mpaka kufika hapo alipofika Urusi basi tumpe labda miaka 200 zaidi ndo ataweza kutengeneza kombola kama lile
Na T-14 Armata vya Urusi, Bumerang vehicle na Terminator viko wapi zaidi ya mwaka sasa vita inaendelea?Wakuu naomba kuuliza
Vile vifaru vya Challengers na Leopards mbona havionekani wala kusikika kwenye uwanja wa vita..?
Kauli ya Putin sio ya bure!Hapo Finland wanaenda kuongezwa kwenye mataifa hatari dhidi ya Russia ikitokea vita between Russia na US au member wa NATO!Mtaongea lugha zote. Urusi haiheshimiki, Finland imetangaza kujiunga mkaikatia umeme mkajitapa humu sijui wataganda lakini wapiView attachment 2575489
Mkuu kunywa maji kwanza hasira zipungue, uandike hoja zako vizuri bila hasira.Hakuna General hata mmoja wa NATO kauwawa na Urusi, Urusi ni kubwa jinga haina uwezo huo. Na wala NATO haiwezi weka command yake nchini Ukraine wakati sio mwanachama. Kwanza NATO sio washamba kama nyinyi mnapigana vita kienyeji na sasa mnajiliza mwaka umeisha.