Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unemployment In Russia At Historic Low — Data

Unemployment in Russia fell to 3.5% in February, according to data released on Wednesday by the Federal State Statistics Service (Rosstat). The rate is the lowest since Rosstat began publishing the figures in 1991.

According to the report, the previous record low was recorded in January, when unemployment was 3.6%.
“In February 2023, 2.6 million people aged 15 and over were classified as unemployed (in accordance with the methodology of the International Labor Organization),” the statement reads.

Data showed that the number of jobless residents in February was 2.635 million, 99,000 fewer than in the previous month. Around 700,000 citizens had registered as unemployed in Russia as of the end of February.

Subscribe to RT
 
Mkuu unapenda kufundisha lakini hujielimishi.
Wachechen wanakumbuka wafalme wao tangu miaka 700 na zaidi (hali halisi kwa muda mrefu kuliko kumbukumbu ya Urusi na utemi wa Moscow!). Tafuta habari za wafalme wa Chechnya walioitwa Khour, Khasi, Chakh na kadhalika, walikuwa wengi tu. Wakoloni Warusi walivamia eneo lao kuanzia karne ya 18 lakini Wachechen walijitetea chini ya viongozi kama Mansur Ushurma na Imam Shamil aliyeshindwa mnamo 1859 pekee.

Tuva kuomba kujiunga na Urusi? Kichekesho hicho. Tuva na pia Mongolia zilikuwa nchi ambako jeshi la Urusi ya Kikomunisti iliwahi kupeleka wakala zake waliotawala chini ya usimamizi wa Warusi (kama Sultani wa Zanzibar chini ya Waingereza - kisheria Zanzibar ilikuwa nchi "huru" iliyokubali mwongozo wa "washauri" Waingereza).
Katika miaka ile tangu 1928 hadi 1953 hakuna kiongozi aliyeweza kufanya chochote bila amri na idhini wa dikteta Stalin. Pamoja na hayo, wakala wa Urusi alikuwa kiongozi wa wakomunisti Salchak Toka; aliwahi kulazimisha watu wake kuficha imani yao katik dini ya Ubuddha akafunga mahekalu na monasteri za watawa. Alijisikia salama zaidi kama nchi yake iliingia ndani ya Urusi....
Sababu za viongozi wa Mongolia (waliopewa nafasi zao pia na jeshi la Urusi) zilikuwa vilevile ila Stalin hakutaka ugomvi na China (maana Mongolia iliwahi kuwa sehemu ya China hadi 1911 - iliweza kujitenga tu baada ya kuingilia kwa Urusi). Hivyo Stalin hakupokea Mongolia wakati ule.
We Mzungu pori unabadili historia kwa faida ya nani?
Unafahamu uhusiano wa Mongolia na Tanu Utiankhai?

Kwamba unabisha basi nashusha ushahidi halafu usome mwenyewe halfu uniambie hawakupiga kura kujiunga na Urusi?

Nikikwambia tuva ni Moja ya republic zilizotia Saini kucreate Russia Federation utakataa?

Tuje Sasa kwa Upande wa Zanzibar kwamba ilikuwa nchi huru?
Uongo wako uwe na kikomo maana ni wazi utawala wa Mwarabu kutoka Oman nao walikuwa wakoloni hivyo hakuna uhusiano wa Zanzibar na Urusi.

La mwisho Kuna tofauti ya National hood kati ya Mashariki na Magharibi.
Kwa Mashariki kwa utaifa ni zaidi ya jamii ya aina Moja tofauti na vikabila vya west walio amua kubaguana kisa ukabila.

Screenshot_20230403-222856.jpg
Screenshot_20230403-223135.jpg
Screenshot_20230403-222916.jpg
Screenshot_20230403-222734.jpg
 
Hakuna General hata mmoja wa NATO kauwawa na Urusi, Urusi ni kubwa jinga haina uwezo huo. Na wala NATO haiwezi weka command yake nchini Ukraine wakati sio mwanachama. Kwanza NATO sio washamba kama nyinyi mnapigana vita kienyeji na sasa mnajiliza mwaka umeisha.

Huo uongo kaambizane kijiweni kwenu. Unaweza taja hata jina moja la General wa NATO aliyeuawa pale Ukraine? Achana na watu 400 uliodai, taja mmoja tu. Na ukitaka kujua ulivyo na uongo wa kitoto, command ya watu 400 inafanya nini, watu 400 wanacommand solar system nzima ama namna gani.

Na Marekani haina mpango wa kupigana na Russia, kwa lipi hasa ililonalo? Kama unataka vita yao si uwaambie Russia ndio waanze. Shamba la gesi na mafuta hilo halimtishi hata South Korea kiuchumi, kijeshi ndio hilo mwaka sasa limeshindwa Ukraine. Na kwa taarifa yako kesho Finland inajiunga NATO sasa jinyongeni kama inakuuma.

Chechens si ni Warusi. Mapigano ya Warusi wenyewe kwa wenyewe ila lawama kwa Marekani? Marekani ina nguvu kumbe hadi ndani ya Urusi inasababisha vita sasa si muipige maana sababu tiyari ipo.
Na walisema urusi amefanikiwa kuwazui Finland kutojiunga nato.
 
Basi nitajie nchi gani jirani ya Russia iliyo mwanachama wa NATO imevamiwa. Nakutajia Georgia na Ukraine ambazo ni majirani wa Russia tena wanachama wa zamani wa Soviet block waliovamiwa na Russia.

Finland anatamani awe upande salama na ndiyo anajiunga kesho. Urusi kama inataka itumie nuclear itumie tuone kama itabaki. Vitisho vya nukes ndio vinafanya Finland yenye nguvu in conventional warfare iongeze guarantee ya ulinzi kwa kujiunga kwa wenye nukes. Otherwise, Finland single handedly inaimudu Urusi ukitoa nyuklia
Hawa si ndio walipigwa hawa na kuchukuliwa asilimia 10 ya eneo lao.

Au Mivyuma vyuma anaizungumzia Finland iliyopo kwenye sayari nyingine?
 

Ukrainian military says dozens of enemy attacks along the front lines have been repelled​

From CNN's Tim Lister

92b5db96-df84-473b-8c0e-985896707a14.jpg
A Ukrainian tank is seen near the frontline area amid the Russia-Ukraine war, in Bakhmut, Ukraine, on April 02. (Muhammed Enes Yildirim/Anadolu Agency/Getty Images)

The Ukrainian military has reported little change to the front lines but heavy fire from Russian forces at various parts of the front line in the Donetsk region.

The General Staff said that more than 45 enemy attacks had been repelled over the past day, with the focus on Lyman, Bakhmut, Avdiivka and Mariinka.

It said there were 17 air strikes and more than 20 strikes by multiple launch rocket systems.
“In the Bakhmut direction, the enemy is trying to take full control over the city of Bakhmut and continues to storm it,” the General Staff said.

West of the city, Ukrainian defense forces repelled about 20 enemy attacks, according to the General Staff.

Oleksandr Syrskyi, commander of Ukrainian Land Forces, posted on Telegram that in Bakhmut he had met with “soldiers and commanders who destroyed the myth of invincibility of the Wagner fighters and Russian paratroopers.”

“The enemy is weakening and trying to cover up its failures with new fakes about the capture of Bakhmut," Syrskyi said.
Syrskyi referenced the possibility of a future counter-offensive, saying that “the forward movement of our entire army depends on what every soldier is doing right now on their section of the front.”

Some of the most intense fighting is to the northwest and west of the city of Donetsk – as the Russians continue months-long efforts to dislodge Ukrainian defenses in Avdiivka and Mariinka. The General Staff said that some 20 assaults had been repelled.

“There are also some operational successes of our military in the Donetsk area. Our military have taken some positions. They have taken a more strategic and favourable position,” said Oleksii Dmytrashkivskyi, spokesperson for the military in that zone.

He also noted that Russian special forces had been introduced in the area.

“The enemy is trying to attack our positions between Avdiivka and Marinka. These attempts do not stop. It should be noted that the enemy has suffered quite significant losses,” Dmytrashkivskyi said.

He also claimed that the Russians “don't have the same amount of equipment and, as they themselves say, they are on a 'diet' of ammunition for assaults.”

Social media video showed both sides engaged in heavy fire in the Avdiivka area, which the Russians have surrounded on three sides.

Denis Pushilin, the leader of the self-declared Donetsk People’s Republic, claimed that Russian forces were still advancing in the Avdiivka direction.

“It is still premature to speak of encirclement, but the situation is being created, if not critical, then extremely difficult for the enemy… After clearing Kamianka, our units are moving further. There are difficulties both with the terrain, which must also be overcome, and there are also similarities with weather conditions. But these difficulties are mutual — both for the enemy and for us,” Pushilin said.
 
Prigozhin on Surovikin's role in the battle for Artemovsk: "The decision to conduct the Bakhmut operation, the so-called "Bakhmut meat grinder", was made by the commanders of the PMC "Wagner". Sergei Surovikin was directly involved in its design and implementation
FsyqJPPWwAgpsmN
Gen. Sergei Vladimirovich Surovikin-The hero of the great Russian federation[emoji635]

Hatari sana huyo mwamba mwenye legacy yake pale Syria dhidi ya wahuni wa NATO.
 
Kombora moja aina ya SAM3 (au 4?) ya Ukrane ililengwa kwa roketi ya Kirusi ikaanguka upande wa Poland karibu na mpaka . . .
Sasa unasema kombora la Ukraine likaanguka upande wa Poland. Then hapa ulitaka wafanyeje hao NATO ⬇️
Na lilivyo pigwa kombora poland hao watu wako wa vikoba walifanya nini zaidi ya kumsema zele asiwachonganishe
 
Umetumia vigezo gani kusema Finland anaimudu Urusi kivita bila nukes?
Finland unasema Yuko salama akiwa member wa NATO!Lakini Urusi hana mpango na Finland kwasababu hawana mgogoro!Hoja hapa ikitokea escalation ya hii SMO let's say,Unadhani Russia atakubali majirani wawe ground ya NATO forces kumshambulia?Si ataanza na Nukes Kwa majirani kwanza?
Finland anajiunga NATO muda mbaya sana!Unadhani kwanini katika sheria za NATO,huwezi kupewa uanachama ukiwa vitani au ukiwa na migogoro inayoweza kupelekea vita?Kuna sababu ya msingi hapo!Kwanini Huo mchakato wa Finland asingefanyiwa Ukraine kama Zele alivyoomba na kukataliwa?
Russia hawezi vamia nchi ya NATO,ndivyo ambavyo NATO hawawezi kumvamia Russia au kuweka no fly zone huko Ukraine!
Lakini hapa nasema Incase of escalation,Unadhani Finland Yuko Salama zaidi?
Kwanini Finland na Sweden hawakujiunga NATO pale Urusi alipovamia Georgia na Crimea?Why now?They are being played by US!
Kinachokuuma ni nini Finland kujiunga na NATO au unawapangia, mbona unasema Russia hana tatizo na hilo. Wamejadili bungeni wakapitisha sasa unasemaje wamepangiwa na Marekani. Au unadhani wao ni level za kujengewa vyoo kama third world countries.

Kwanini unawapangia Finland wangejiunga NATO pale Russia ilivyovamia Georgia? Kwani katiba yao inasema mwisho wa kujiunga NATO ni 2008 Georgia ilivyovamiwa?
 
Bakhmut bado pagumu Sana kwa wavamizi...

As Wagner chief claims "legal" control of Bakhmut - what can we determine from night-time video?​

Jack Taylor, Sky News forensic journalist

Earlier we reported that Russia's paramilitary Wagner Group has claimed to hold "legal" control over the city of Bakhmut.

The claims were made in videos posted by Yevgeny Prigozhin, the group's leader, one of which shows soldiers raising Russian flags on the ruins of a building.

Ukraine has reacted by dismissing the claims and a spokesperson for the military said that Wagner fighters had "raised the flag over some kind of toilet".

Sky News has verified that part of the video was filmed by the Bakhmut City Council building. Distinctive markings on the building seen can be matched to other verified videos filmed by soldiers in the area.

lcimg-628edc84-2289-4b16-b808-ce619e3fc594.jpeg

Other surrounding buildings, rubble and trees can be matched to existing verified videos and satellite imagery.

lcimg-764e3480-f285-44ee-aa81-94ef329de4ac.png

This is a screenshot from part of the video that shows fighters raising flags on rubble that is claimed to be the ruins of the city council building.

This video, posted today and filmed in the day time, shows what is left of the building and the flags themselves.

This location is currently on the assessed frontline in Bakhmut, according to data from the Institute for the Study of War.

Ukrainian forces still control a large portion of the embattled city and fighting has continued for months.

lcimg-56dadeff-2c92-408d-a2f7-af239d6f7e1c.png

This isn't the first time that the Wagner Group has claimed successes in Bakhmut.
On 3 March, Yevgeny Prigozhin claimed that they had "practically encircled" the city and has continually made similar claims.

Copy link
Mnapata shida ya nini.kwani nyie mpo bakhmut sehemu gani.hamna video ya kuonyesha mpo Bakhmut maana sioni sababu ya makelele.

Pigeni picha mkiwa kwenye jengo la mji ili muonyeshe umma kuwa bakhmut bado mpo nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnapata shida ya nini.kwani nyie mpo bakhmut sehemu gani.hamna video ya kuonyesha mpo Bakhmut maana sioni sababu ya makelele.

Pigeni picha mkiwa kwenye jengo la mji ili muonyeshe umma kuwa bakhmut bado mpo nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Wanaleta insha kibao
 
Leo Huko Ujerumani Migahawa Inatoa Risiti Mwishoni Kukiwa na Ujumbe Unaosema
Ushirikiano Na Urusi upo Imara
Wamarekani Nendeni Mkafagie milango ya nyumbazenu Kisha Muondoke Mrudi Kwenu
NATO IONDOKE



The message at the bottom of the receipt from the German restaurant: "The bond with Russia is strong! Americans, go sweep your doorstep, take your country back and leave! NATO GONE!"
View attachment 2575571

Unajua mataifa kwa sasa yameshajua tatizo ni US wala sio Russia. Lissu ni kibaraka wa West lakini alisema Russia kachokozwa na NATO. Russia ndo sababu ya uchumi wa EU kuwa competitive, unapewa cheap energy na Russia bado useme ni adui haimake sense. Raia zao washajua tatizo ni US Germans washajua US anaua uchumi wao ndomana hawaitaki NATO. PM wao alisema wanajeshi wa US muda umefika waondoke warudi kwao.

Ushawishi wa US kwa sasa hana jambo Asia kule hawana time naye, tukija Africa mpaka Uganda wanamvimbia. NATO na EU ni vichaka vya US katika kupitisha agenda zake, US katoka America kavuka bahari kuja kuunda NATO na ulaya. Hapo unaona anamfata Mrussi kumchokoza kwanini asiunde na kina Mexico??.

Mpaka sasa Russia kashaona NATO sio threat tena kwake kwa mikiki anayowapa sidhani kama wataleta chokochoko tena.
 
Kinachokuuma ni nini Finland kujiunga na NATO au unawapangia, mbona unasema Russia hana tatizo na hilo. Wamejadili bungeni wakapitisha sasa unasemaje wamepangiwa na Marekani. Au unadhani wao ni level za kujengewa vyoo kama third world countries.

Kwanini unawapangia Finland wangejiunga NATO pale Russia ilivyovamia Georgia? Kwani katiba yao inasema mwisho wa kujiunga NATO ni 2008 Georgia ilivyovamiwa?
Aisee,umejibu kitoto sana tofauti na nilivyotegemea!Uwe na usiku mwema!
 
Wakuu naomba kuuliza

Vile vifaru vya Challengers na Leopards mbona havionekani wala kusikika kwenye uwanja wa vita..?
Niliwahi kuona vinapogwa kiberiti huko kaskazini mwa Syria wakati Uturuki ilivo ivamia kaskazini mwa Syria walitumia Vifaru a Ujerumani viliteketezwa vilivyo nusurifa vikakimbizwa kirudishwa Uturuki kama ni type hiyo hiyo ndivyo vinapelekwa huko Ukraine basi vitapata wakati mgumu sana havitaweza ku-survive kwenye frontline hata vikiwa na DU vita teketezwa na suicide drones na latest Russian Kornet ATGM.


Kinachokuuma ni nini Finland kujiunga na NATO au unawapangia, mbona unasema Russia hana tatizo na hilo. Wamejadili bungeni wakapitisha sasa unasemaje wamepangiwa na Marekani. Au unadhani wao ni level za kujengewa vyoo kama third world countries.

Kwanini unawapangia Finland wangejiunga NATO pale Russia ilivyovamia Georgia? Kwani katiba yao inasema mwisho wa kujiunga NATO ni 2008 Georgia ilivyovamiwa?
Wakati mwingine lugha zako za ajabu sana - wewe mtu mzima unaweza kumwambia kwamba "kwani kinacho kuuma ni nini??" hizo ni lugha za mitaani si za kistaarabu hata kidogo!!

Mara nyingi yanoa hizi uwakumba watu ambao hakuwahi kujihusisha kwenye masuala ya debate walipokuwa shule za sekondary au inawezekana hiyo ndiyo hulka yake tangu alipo zaliwa hawezi kuvumilia maoni ambayo watu wana tofautiana naye mtabishana naye usiku kucha going in circles.

Mfamo: Kuna jamaa amesema kuhusu mpaka wa Finland na Urusi na hidden agenda za NATO na hasa hasa Merikani binafsi nikaona Jamaa anacho kisema yu sahihi kabisa kuna kitu US anaki plan kuitumia Finland kiaina si bure - ninacho kiona mimi kinatokana na Finland na Urusi kuwa na mpaka mrefu mno hivyo Merikani anacho fikiri ni kwamba Urusi itapata wakati mugumu kulinda mpaka wake wote huo, hivyo kwa akili za Warekani walivyo si hajabu anaweza kuwashawishi NATO Members kwamba waishambulie Urusi kwa zana nyingi kupita mpakani mwa Finland na Urusi kwa luwa Urusi hawezi kulinda mpaka mrefu kiasi hicho.

Sasa Finland wasipo kuwa makini wakaendelea kuribuniwa na US, wao ndio watakuwa Taifa la kwanza Ulaya kushambuliwa na thermonuclear missiles na bombs za Russia hili kudhibiti influx za wanajeshi wa NATO na zana zao nyingi .
huo ndio mpango wa US kuutumia mpaka kati ya Finland na Urusi - bahati nzuri hata Urusi ilisha litambua sana hilo na kulifanyia kazi jinsi ya ku-deal nalo-sasa mtu wakuwa makini pale ni Raisi/Waziri mkuu wa Finland hasikubali matakwa hatarishi ya Merikani - aendelee kuishi na amani na Urusi kama ilivyo kuwa tangu zamani hasikubali vile vile ku host short Range za nuclear missiles kwenye Taifa lake, awe member wa NATO lakini hasikibali Amerika kuweka short Range thermonuclear missiles kwenye taifa lake - ushauri tu mdogo.
 
Back
Top Bottom