Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kazi imeisha huko burkimut tayari Iko Chini ya wanamziki
View attachment 2574601
❗️"Legally we took Bakhmut" - Evgeny Prigozhin confirmed that PMC "Wagner" occupied the administrative buildings of Artemovsk

The head of the Wagner PMC confirmed that the orchestra had occupied the administrative buildings of Bakhmut. The Russian flag and the banner of Wagner were erected on the roofs of the houses. Nevertheless, the forces of the Armed Forces of Ukraine remain in the western outskirts.

“Vladlen Tatarsky has a good memory,” such an inscription appeared on the Russian flag, which Yevgeny Viktorovich is holding in his hands.
Uraaaa!.... 🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Utabiri wa nyota; Tutegemee kuwapoteza wamarekani wa kwa mparange kwa siku nyingi zijazo katika uzi huu 😂😂😂

Jana tu kuna mmoja kaulizia kuhusu Bakhmut😂😂😂
 
Umesema kitu kikubwa sana hii ni sawa sawa na falsafa ya ecology huwez kwenda mbugani ukawazuia simba kuwala wanyama wanakula nyasa utakuw chizi


Kwahyo wao hawaheshimu ecology ya maisha halisi ya viumbe hai duniani
Hiyo tabia ipo dunia nzima mkuu, hivyo zikijitokeza jamii zinapinga hiyo kitu inayoharibu utu wa jamii husika basi msiwazuie..maana ni jambo linalohusu desturi ya jamii fulani kujilindia heshima yao..hata ukikutwa nawewe unamlima bakora mwanao anataka kufukuliwa mtaro ni haki yako unaiweka heshima mahali pake...
Cha msingi haki ya wanaume ilindwe kwa kujali haki za kiume, na haki za wanawake zilindwe kwa misingi ya uanawake, sio mtu unaiba haki za jinsia tofauti kwa kisingizio cha uhuru wa mtu binafsi..hiyo sio haki ni unyang'anyi wa haki kwa mhusika...au hamuoni kuna pointi hapo wakuu..
Kuchagua jinsia tofauti na yako ni wizi kama wezi wengine.
 
French anaendelea ku lose Africa
1680496302475.jpg
 
So NATO walivyoenda Iraq walikuwa wamevamiwa?
NATO Libya walikuwa wamevamiwa?
NATO Yugoslavia walikuwa wamevamiwa?
Mbona unakua muongo muongo?
Unafaidika nini ukiongea uongo?
Nyeto imemuharibu huyo mchabuzi feki,hana alijualo inabidi wataalam wa IT kutoka pro Russia wa hacking Id yake wa change hilo jina wamuiite Abraham au leopard 2
 
[emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]
Hata EU wabweke.......hawawezi tutisha

Russian envoy to Belarus says weapons will be moved to ally’s territory despite ‘noise in Europe and the United States’.
Hiyo ndio maana ya super power
Hapangiwi cha kufanya wao si wamemuongeza Finland kwenye kikoba chao kinacho waogopesha ni nini sasa.
 
Dozens of activists holding Ukrainian and U.S. flags, posters and chanting slogans gathered outside the White House in Washington, D.C. on Sunday to honor the memory of the civilians killed by the Russians in the Ukrainian town of Bucha.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom