Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Achana na ndoto za kijiweni kijana. Urusi level zake ni kupigana wenyewe kwa wenyewe humo Chechnya, kupigana Syria dhidi ya waasi na kuvamia Ukraine. Urusi haina uwezo wa kupeleka hata mwanajeshi mmoja akakanyaga ardhi ya Marekani. Namaanisha mwanajeshi mmoja tu kutoka Urusi hawezi kanyaga ardhi ya Marekani wakianza vita, labda awe ni rubani amedunguliwa akatumia ejection seat.

Unailinganisha China na Russia, we unaona China inaweza pigwa na Russia hii? China unaichukuliaje wewe, kama waliweza kubali kupigana briefly na Soviet Union mpakani mwaka 1969 wakiwa maskini unadhani watashindwa leo ikiwa imebaki Urusi pekee na irrelevant kiuchumi duniani.

Hiyo military command ya NATO muitolee wapi. Unadhani NATO wanapigana kishamba kama nyinyi, eti waweke military command Ukraine. Yaani Marekani iongoze drones za Middle East ikitokea Germany na airbases ndani ya Marekani kisha NATO ichambue data ikiwa Ukraine.

Russia ni superpower uchwara, kabla ya sanctions bado hakuwa among nchi kumi kubwa kiuchumi duniani. Huwezi kuwa superpower kwa kutegemea uchuuzi wa gesi sijui makaa ya mawe. Na kama ni superpower kweli si aweke sanctions dhidi ya Marekani tuone. Kwanza Marekani haina haja ya kupigana na Urusi na haina nia hiyo, Urusi itoe majeshi yake Ukraine ione kama kuna mtu anaifuata kwake. Marekani na NATO si zinapeleka silaha Ukraine, sasa inakuuma nini.
Marekani ingetaka kupigana na Urusi ingeifuata kwao. Ndio kwanza mnapigana na 5% ya annual military budget ya mwaka mmoja tu pale Ukraine wakati kuna silaha za bajeti ya miaka zaidi ya 30 zipo.

Finland kujiunga NATO Putin kasema hamna tatizo? Kwahiyo alikuwa amechanganyikiwa alipokuwa analalamika NATO kumsogelea mipakani. Sasa Finland si ndio kabisa imemsogelea. Au yeye mwenyewe hajui anamaanisha nini ndio maana kila miezi ikipita sababu za vita Ukraine zinabadilika.
Aseeeee......
Uzuri sote tunaona kinachoendelea.
 

St. Petersburg cafe ‘likely’ catered to Ukraine war supporters: Analyst​

The St. Petersburg cafe targeted by the explosion that killed prominent military blogger, Vladlen Tatarsky “likely” catered to supporters of the invasion of Ukraine, analyst told Al Jazeera.

“There was an event happening there that was organised by supporters of the operation. Vladlen Tatarsky was an invited speaker.

Most likely the café catered to those who support the [Ukraine military] operation,” Pavel Felgenhauer said.

“I don’t think this particular blast will have a long-lasting effect on public opinion. What’s happening on the battlefield is much more important,” he said.

“The upcoming summer [offensive] campaign – and everyone expects decisive battles, that is where the outcome of the war will be decided not in a cafe in St. Petersburg,” he added.
=========================

Well planned targeted killing mission.....
 
US hajavuruga Indo-Pacific. Japan, South Korea na Taiwan ziko bega kwa bega na US na zinafanya vizuri sana kiuchumi na kila kitu. Huwezi nitajia nchi tatu zilizokuzwa kiuchumi na Urusi dunia nzima.

Nchi inavamia majirani ingekuwa na uwezo si ingevamia nchi za mbali ila uzuri ndio uwezo haina. Kwa Urusi hii uwezo wa kuvamia mfano Brazil haina kabisa kabisa
Japan imekuzwa kiuchumi na US?
Huwa huoni aibu, unapoongea Pumba?

Kwanini aivamie Brazil?
 
Ujue China sarafu yake haiendeshwi na soko, bali CPC wakiamua ifanya iwe au isiwe na thamani ni kitendo cha dakika tu

Dollar inaaminika sababu inaendeshwa na soko
Hata mimi nlikua nawaza kama wewe mpaka nilipokuja kugundua dolar thamani yake ni mikopo ya hela za kuchapisha..kwa nchi inayotaka ufadhili au uwekezaji...na sio demand halali ya soko..unajua meaning ya soko? Bidhaa iliyopo inajitengenezea bei kulingana na upatikanaji wake na uhitaji wa bidhaa....sasa kwa mawazo niliyokua nayo ya kitoto nilijua hizo dolar ndio thamani halisi ya utajiri wa US, kumbe ni za kuchapisha na kupeleka zinakohitajika kwa njia ya mikopo au uwekezaji.
 
Ajabu nchi zaidi ya 30 zimeungana against huyu unayemwita uchwara. Dogo nenda jukwaa la mapenzi kwenye uzi wa riki boy huku unapuyanga.
Mkuu unajua vizuri sana kwamba Urusi ilijaribu kuwa na wengi wanaoiuga mkono... Siyo zamani ilikuwa na Warsaw Pact? Ila kwa bahati mbaya wote waliolazimishwa kushirikiana na Urusi walitoroka mara walipopata nafasi . . .
Baada ya kuonyesha uhuni na kuvunja utaratibu na sheria ya kimataifa inapata nchi ngapi zinazosimama upande wake? Siyo inapata sijui kura 5 au 6 kwenye UM?
Brics haziungi mkono, zinapenda tu kutumia nafasi ya kununua mafuta kwa bei nafuu...

Ushirikiano ni busara, si udhaifu . . . .
 
Kwamba Detroit ni tajiri?
Mississippi napo?
Vipi tatizo la homeless limeisha?
Milioni 37 ya Wamarekani ni masikini wa kutupwa.

Hivyo hakuna nchi yenye maisha Bora kwa watu wote ila mwambie Moscow ni Jiji Bora kushinda miji mingi mikubwa Ulaya.
Kwa hizo takwimu zako unataka kusema kuwa kwenye wamarekani Mia, kumi na moja ni maskini. Homeless kwa Marekani haiepukiki kutokana na mambo makubwa mawili:

1. Idadi kubwa ya watu wanaokimbilia Marekani toka Marekani ya kusini.

2. Mfumo wa uchumi wa nchi husika kuegemea ubepari ambapo utakula kwa jasho lako.

Lakini bado ni nchi yenye fursa kubwa zaidi kuliko Urusi.

Moscow ni jiji la zamani sana kuliko miji mingi ya Ulaya, Kwa ivo haliwezi kufanana na miji mingi ya ulaya. Haya ni maelezo niliyoyaleta kutoka kwenye tovuti moja ya utalii. Sijaongeza kitu.

1. Moscow claims the largest number of billionaires in the world. Per Forbes, there are 84 billionaires in the city
2. The first McDonald’s opened in Pushkin Square on January 31, 1990. The line to the restaurant ran for several kilometres
3. Tram number 3 is the oldest route in Moscow and commenced on April 6, 1899
4. The Moscow Kremlin is the world’s largest medieval fortress.
5. Moscow is named after a river
6. The flag of England and Moscow have the same figure of St. George in armour and riding a horse back while slaying a dragon with his lance.
7. Arbat street is 520 years making it one of the oldest streets in Moscow.
8. The millionth citizen of Moscow was born in 1897
9. Over 6 million passengers use the Moscow metro daily making it the third busiest metro in the world
10. Moscow State University is the world’s largest university building
11. Moscow is regularly named one of the most expensive cities in the world
12. Trains in Moscow metro run more regularly than in any other metro in the world. At peak times the interval between trains is just 1.5 minutes
13. Moscow’s Russian State Library was founded in 1862, is the biggest in Europe and second biggest in the World after Library of Congress in USA
 
Hata mimi nlikua nawaza kama wewe mpaka nilipokuja kugundua dolar thamani yake ni mikopo ya hela za kuchapisha..kwa nchi inayotaka ufadhili au uwekezaji...na sio demand halali ya soko..unajua meaning ya soko? Bidhaa iliyopo inajitengenezea bei kulingana na upatikanaji wake na uhitaji wa bidhaa....sasa kwa mawazo niliyokua nayo ya kitoto nilijua hizo dolar ndio thamani halisi ya utajiri wa US, kumbe ni za kuchapisha na kupeleka zinakohitajika kwa njia ya mikopo au uwekezaji.
Mkuu siyo thamani kwenye soko ni zaidi nia ya wateja kununua kitu? Unaweza kuona kitu kisicho na faida kubwa lakini bei yake juu.
Unaweza kusema mara nyingi fesheni.... Ila umejiuliza kwa nini fesheni ya nchi kutafuta USDollar imeendelea miaka mingi vile hadi leo (na pia kesho na kesho kutwa, hata kama itaendelea kupungua pole pole sana)
 
Mkuu siyo thamani kwenye soko ni zaidi nia ya wateja kununua kitu? Unaweza kuona kitu kisicho na faida kubwa lakini bei yake juu.
Unaweza kusema mara nyingi fesheni.... Ila umejiuliza kwa nini fesheni ya nchi kutafuta USDollar imeendelea miaka mingi vile hadi leo (na pia kesho na kesho kutwa, hata kama itaendelea kupungua pole pole sana)
Imani ya dunia kwa Marekani!!
 
Mkuu NATO hawapangiwi masharti namna ya kuanza vita, ni kama Urusi ilivyoibuka ikaamua iende Ukraine. Ili NATO waingie kwenye vita haswa ni lazima Article 5 itumike na haijawahi tumika tangu wawepo. Ni pale member wa NATO atakapovamiwa na iliwahi tokea kwenye September 11 ndipo baadae wakajua ni magaidi. Urusi hajafanya chochote cha kupigwa na NATO ndio maana hawajamshambulia. Ukraine sio mwanachama.

Russia ni dhaifu mbele ya Marekani, achana na nuclear maana hiyo either ni draw au Russia kupigwa. Hakuna nuclear exchange itakayoleta matokeo ya Marekani kupigwa. Ukubwa wa Urusi unakuja kwa wengine hao Moldova sijui Georgia.

Kuhusu Vietnam. Marekani ilienda kufanyaje kule, na Vietnam ikafanyaje. Kilichoipeleka Marekani kule ni kuzuia influence ya Communists, sasa vipi Ukomunisti upo leo? Na hao USSR mababa wake wako wapi si ndio hawa hapa wanapigana leo. Sasa mshindi nani hapo. China yenyewe ilienda baada ya Marekani kutoka nayo ikafeli, wakati Marekani ilipokuwa kule ilikuwa inawapa mswada Vietcong.
USSR ilikuwa na utofauti mkubwa na US, moja ilifeli kwa muungano wa kugundisha nyingine ipo ndio superpower
So NATO walivyoenda Iraq walikuwa wamevamiwa?
NATO Libya walikuwa wamevamiwa?
NATO Yugoslavia walikuwa wamevamiwa?
Mbona unakua muongo muongo?
Unafaidika nini ukiongea uongo?
 
Mkuu unaota ndoto nzuri lakini umeshajiuliza kwa nini nchi nyingi (zote?) zimeweka akiba ya sarafu chache, hasa USD, Euro, Pauni, pia Yen na Renmibi?
Labda kwa sababu wameona faida kufanya vile? (maana hakuna anayekulazimisha kununua pesa fulani..).
Labda pia ukifanya leo mkataba na nchi nyingine kununua mafuta yao au gesi yao au labda madini au pia vipuli vya mashine KWA MWAKA UJAO unataka kuwa na uhakika kuhusu gharama? Na hivyo hupendi kupatana kwa aina ya pesa inayojulikana kuchezacheza thamani yake?? Na kupendelea pesa ianyojulikana kuwa na thamani thabiti zaidi?
Unaonaje?
Mkuu, Thamani ya fedha fulan kuyumba unatokana na fedha pinzani kuwa injected kwenye mzunguko by force, iwe sera za kidiplomasia hasa vita au devaluation...hakuna pesa inayochezacheza hivihivi tuu pasipo external forces..hivyo ili dolar idumu inahitaji pesa yako iyumbe..SANCTION, Kumb:zimbabwe,uganda,N.korea,Brexit,covid-19 and so on...
 
Pamoja na kubadilisha makamanda wa vita mara tatu bado superpower uchwara anapuyanga. Na si mjajifanya mnaifukuza NATO sasa Finland inakuja inaongeza mamia ya kilomita za mpaka, kapigane na uko tena ndio wako jirani zaidi na Urusi.
Mwezi March kilichoongezeka ni 0.01% ya ardhi ya Ukraine, akili kisoda nguvu nyingiView attachment 2574038
Unaongea kwa Uchungu sana, na mipasho mingi.
Neno "Uchwara" nakutana nalo mara ya ngapi sijui umelitumia leo pekeee.
 
“What is distinct about oligarchs in Russia is not that they are different in terms of being rich, it’s the way they are inserted into politics,”

“In the Russian case, I would label as a ‘sultanistic oligarchy.’ By sultanistic, I mean that instead of having rule of law in a civil oligarchy, the oligarchs in Russia are tamed, they are controlled, limited by a single, very powerful figure such as Putin.”
 

UK ministry says alcohol behind many Russian losses in Ukraine​

Excessive alcohol consumption has been the cause of many deaths among Russian forces in Ukraine, the British Defence Ministry has said in its regular update on the war.

“While Russia has suffered up to 200,000 casualties since its full-scale invasion of Ukraine, a significant minority of these have been due to non-combat causes,” it said.

It noted a recent Russian Telegram news channel report of “extremely high” numbers of incidents, crimes and deaths linked to alcohol consumption among the Russian forces.
==========================
Vodka zinawaua sana askari wa Urusi kuliko hata mabomu wanayotupiwa na Ukraine...

Urusi wanapigana Vita mbili yaani wanapigana na Ukraine huku wanapigana na Vodka.
 
“What is distinct about oligarchs in Russia is not that they are different in terms of being rich, it’s the way they are inserted into politics,”

“In the Russian case, I would label as a ‘sultanistic oligarchy.’ By sultanistic, I mean that instead of having rule of law in a civil oligarchy, the oligarchs in Russia are tamed, they are controlled, limited by a single, very powerful figure such as Putin.”
Tatizo liko wapi?
Wao wanaona sawa ni mfumo wao wa Maisha, wakiuchoka watauondoa.
 
Nuclear weapons in Belarus will be moved near to border with Poland - report

Russian nuclear weapons being stationed in Belarus will be positioned near the country's western border, a Kremlin diplomat says.

Russian ambassador to Belarus, Borys Gryzlov, said the move would " increase the possibilities for ensuring our security", the Belarussian Belta news agency reported.

He hailed Russia and Belarus as a "single space", adding that countries that host US nuclear weapons are "just puppets".

The ambassador noted that by 1 July a storage facility for placing tactical nuclear weapons would be prepared.

For context: Last month, Vladimir Putin said that Russia will station tactical nuclear weapons in Belarus.

These weapons will remain under Russian control, he added.

Belarussian forces are not officially involved in the war with Ukraine but Minsk has allowed Russian forces to launch attacks from its territory.
 
Back
Top Bottom