Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Hizo photoshop tuTeh teh teh 😂😂😂 Warusi wa Buza pitieni hapa muone utamaduni wa kirusi.....
Extrovert mohamedidrisa789 MOTOCHINI Champagnee Econometrician Hammaz 1954 lee van cliff
DeepPond
Hizo photoshop tuTeh teh teh 😂😂😂 Warusi wa Buza pitieni hapa muone utamaduni wa kirusi.....
Extrovert mohamedidrisa789 MOTOCHINI Champagnee Econometrician Hammaz 1954 lee van cliff
DeepPond
HuendaMkuu nadhani unaelewa kwamba Warusi walitengeneza gia na ekseli tangu miaka mingi. Ili walipotaka kuunda lori bora walichukua kutoka nje.
Unaonaje - kwa nini walifanya vile?
Je labda kuna ukweli fulani katika habari kuhusu udhaifu wa tekinolojia na uwezo wa kuizalisha??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anatolewa mbio mbio sahivi🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃😂[emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130]
Iran says it chased off a U.S "spy plane" that entered Iranian air space close to gulf of Oman.
The US most likely didn’t want the drone to end up like the RQ-4 drone that was shot down back in 2019View attachment 2574189
ngoja tusubiria maana Putin mzee wa mikwara mbuzi anasema wakithubutu tu kinawawakia na wao... 😀 😀 😀[emoji298]️UK Defense Ministry: Second group of Ukrainian soldiers completes training on AS-90 howitzers.
The U.K. Defense Ministry reported on Twitter on April 2 that the second group of Ukrainian artillery recruits had completed their training on the formidable AS90 155mm self-propelled gun.
According to the ministry, the program is part of the U.K.’s “enduring commitment to support Ukraine in its fight against Russia.”
Video: UK Defense Ministry/Twitter
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Busara ya kuunga mkono ushogaBusara ipi?View attachment 2573806
kwa msiokijia - kitu hichi hapaAS90 155mm self-propelled gun.
Na Majibu aliyo pewa Hana hamuBlinken held phone call with Lavrov.
haya mataifa siku watakayoamua kukatiana mawasiliano, ndio utakuwa mwisho wa maringo.
Watatwangana mpaka wauane
Duh! Kwa hizi mashine natamani kuona counteroffensive ikianza, itakuwa ni mtifuano balaa!!kwa msiokijia - kitu hichi hapa
![]()
Si umeona mwenyewe hapo. Na bado wengi watakuja tuKwamba Hadi ujerumani anaomba kujiunga BRICS?????
inaanza soon, hapo ndipo Dunia itashangaa madude ya Watu wa Magharibi.Duh! Kwa hizi mashine natamani kuona counteroffensive ikianza, itakuwa ni mtifuano balaa!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama mwizi wa kuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anatolewa mbio mbio sahivi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
Hii wameiona wakaumia sana wanatamani usingekuwepo humuSiyo ni utamaduni wao? Ona hapa mtangulizi wa Putin comrade Brezhnev na mkuu wa Ujerumani ya Mashariki Honecker
View attachment 2574058
Halafu Brezhyev na mgeni mwingine wa nje (aliyefauli kuepukana utamu mkuu)
View attachment 2574059
Hapo Gorbachov na Mjerumani yeye yule
![]()
Hapa bwana mkubwa na mwanamichezo (anayeonekana hafurahi sana)
![]()
Stalin mwenyewe alibusu pia (hapa kwenye mwaka 1937 bado kwa kusita kidogo)
View attachment 2574062
lakini 1937 ameshazoea
View attachment 2574064
Kubusu Kirusi kuna hatari zake wakivaa silaha kali...
![]()
Naona hapa walielekezwa kuendelea BILA silaha
View attachment 2574065
Bila shaka ni tamu zaidi ukifunga macho (au ukimchukia mwenzako, maana Bwana Dubcek (kulia) alikamatwa baadaye kwa amri ya mwenzake)
View attachment 2574067
Ukimkosa mwenzako, basi kuna njia nyingine!
![]()