Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijakanusha wala kupinga alichokisema. Umedai alisema counteroffensive sio rahisi, kitu kutokuwa rahisi haimaanishi hakiwezekani. Kwani ni lini vita ilishawahi kuwa rahisi.
Nimesema counteroffensive isingewezekana kipindi hicho na nikatoa sababu. Ukraine itaanzisha counteroffensive na kama unadhani haina uwezo huo nitakukumbusha wakianza
Kuna sehemu nimesema hawawezi? Mimi nimesema watarazimika kuisogeza mbele na kadili inavyo sogezwa mbele hicho kitu kinaipa faida Urusi kujipanga.

Counteroffensive ya mwaka jana ilifanikiwa kwa sehemu kubwa kwa sababu ilikuwa ya kushutukiza sana na Urusi haikuitegemea kabisa hivyo ilikuta defense line nyingi za Urusi ni dhaifu na ndio maana Ukraine iliteka maeneo mengi bila mapigano baada ya Urusi kujiondoa yenyewe.

Kwa sasa Urusi imejipanga hivyo usije kutegemea kuwa Ukraine itapata mteremko kama iliyo upata kwenye counteroffensive iliyo pita wanaweza kupata mafanikio lakini yakawa kidogo sana ikilinganishwa na hasara watakayo kutana nayo.

Pia Ukraine ipo kwenye presha kubwa ya kuhakikisha hii offensive inafanikiwa maana ikifeli washirika wake wataanza kumkatia tamaa hivyo kumshinikiza afanye mazungumzo na Urusi kumaliza vita maana wametumia gharama kubwa kuiandaa.
 
una maanisha wanyonge ( NATO) ndio huungana kumkabili mwenye nguvu[emoji1][emoji1]???
Russia hajavamia NATO na hana uwezo huo. Au hujui wanachama wa NATO ni kina nani. Hapo Russia anachokifanya anajua yeye na hao baadhi ya members wa NATO wanatoa misaada ya silaha, hawampigi. Hakuna mwenye haja na pori kubwa la Urusi, labda China akiamua kurudisha ardhi yake
 
Kuna sehemu nimesema hawawezi? Mimi nimesema watarazimika kuisogeza mbele na kadili inavyo sogezwa mbele hicho kitu kinaipa faida Urusi kujipanga.

Counteroffensive ya mwaka jana ilifanikiwa kwa sehemu kubwa kwa sababu ilikuwa ya kushutukiza sana na Urusi haikuitegemea kabisa hivyo ilikuta defense line nyingi za Urusi ni dhaifu na ndio maana Ukraine iliteka maeneo mengi bila mapigano baada ya Urusi kujiondoa yenyewe.

Kwa sasa Urusi imejipanga hivyo usije kutegemea kuwa Ukraine itapata mteremko kama iliyo upata kwenye counteroffensive iliyo pita wanaweza kupata mafanikio lakini yakawa kidogo sana ikilinganishwa na hasara watakayo kutana nayo.

Pia Ukraine ipo kwenye presha kubwa ya kuhakikisha hii offensive inafanikiwa maana ikifeli washirika wake wataanza kumkatia tamaa hivyo kumshinikiza afanye mazungumzo na Urusi kumaliza vita maana wametumia gharama kubwa kuiandaa.
Correct 💯
 
Achana na ndoto za kijiweni kijana. Urusi level zake ni kupigana wenyewe kwa wenyewe humo Chechnya, kupigana Syria dhidi ya waasi na kuvamia Ukraine. Urusi haina uwezo wa kupeleka hata mwanajeshi mmoja akakanyaga ardhi ya Marekani. Namaanisha mwanajeshi mmoja tu kutoka Urusi hawezi kanyaga ardhi ya Marekani wakianza vita, labda awe ni rubani amedunguliwa akatumia ejection seat.

Unailinganisha China na Russia, we unaona China inaweza pigwa na Russia hii? China unaichukuliaje wewe, kama waliweza kubali kupigana briefly na Soviet Union mpakani mwaka 1969 wakiwa maskini unadhani watashindwa leo ikiwa imebaki Urusi pekee na irrelevant kiuchumi duniani.

Hiyo military command ya NATO muitolee wapi. Unadhani NATO wanapigana kishamba kama nyinyi, eti waweke military command Ukraine. Yaani Marekani iongoze drones za Middle East ikitokea Germany na airbases ndani ya Marekani kisha NATO ichambue data ikiwa Ukraine.

Russia ni superpower uchwara, kabla ya sanctions bado hakuwa among nchi kumi kubwa kiuchumi duniani. Huwezi kuwa superpower kwa kutegemea uchuuzi wa gesi sijui makaa ya mawe. Na kama ni superpower kweli si aweke sanctions dhidi ya Marekani tuone. Kwanza Marekani haina haja ya kupigana na Urusi na haina nia hiyo, Urusi itoe majeshi yake Ukraine ione kama kuna mtu anaifuata kwake. Marekani na NATO si zinapeleka silaha Ukraine, sasa inakuuma nini.
Marekani ingetaka kupigana na Urusi ingeifuata kwao. Ndio kwanza mnapigana na 5% ya annual military budget ya mwaka mmoja tu pale Ukraine wakati kuna silaha za bajeti ya miaka zaidi ya 30 zipo.

Finland kujiunga NATO Putin kasema hamna tatizo? Kwahiyo alikuwa amechanganyikiwa alipokuwa analalamika NATO kumsogelea mipakani. Sasa Finland si ndio kabisa imemsogelea. Au yeye mwenyewe hajui anamaanisha nini ndio maana kila miezi ikipita sababu za vita Ukraine zinabadilika.
Kijana..?...aisee!!!...Naomba ni-kureserve...kwa sasa!!!..nadhani tatizo kubwa hapa ni Mahaba yaliyopitiliza....sitaki kuamini kabisa hk ndio kiwango chako cha uchambuzi....,,,Naomba tuupe muda nafasi ya kutupa ukweli wa mambo!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Teh teh teh 😂😂😂 Warusi wa Buza pitieni hapa muone utamaduni wa kirusi.....

Extrovert mohamedidrisa789 MOTOCHINI Champagnee Econometrician Hammaz 1954 lee van cliff
DeepPond
Ninacho Kiona Hapo ni hiki
Screenshot_20230402-171947.png
 
Wanapenda kujishaua ho hatuwezi kushiriki michezo wanayoshiriki Russia , kumbe wanamichezo wao wameuawa .
🇺🇦 Kyiv authorities reported losses among athletes
262 Ukrainian athletes were killed and 363 sports facilities were destroyed during the military operation in Ukraine, Ukrainian Sports Minister Vadim Gutzeit said.
 
Factories kama Uralvagonzavod wapo busy kufanya upgrade ya zana zilizokuwa store. Zana zina components zimeharibika, zimeibiwa au outdated hivyo ni kazi kubwa.

T-14 Armata sio proved bado iko kwenye development na wameichelewesha sana. Hata ikianza kutumika bado hawana namba za kutosha itakuwa irrelevant. Na mass production yake itacheleweshwa kutokana na sanctions ambazo zimechelewesha hata development yake.
Huwa na shanga sana mtu kutaka Russia atumie silaha zake zote za kisasa na wapuuzi ndyo wanabezaa mbinu zake vifaru vya T14 armata sioni umuhimu was kuvipeleka sababu hakuna ajuaye hii vita itaisha Lin na itakuja kufikia viwango gani mbeleni kwaiyo Russia anacheza kwa step ndyo maana ata T90s vilichelewa kupelekwa uwanja wa mapambano Russia anaamini NATO wanamlia timing tu wamvamie ndyo sababu walimpiga vikwazo vyote vile ili adhoofike na wanazidi kupeleka silaha za misaaada
 
[emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130]
Iran says it chased off a U.S "spy plane" that entered Iranian air space close to gulf of Oman.

The US most likely didn’t want the drone to end up like the RQ-4 drone that was shot down back in 2019
IMG_20230402_174616.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian forces finally eliminated this Ukrainian degenerate, Daniil Lyashuk. He was sentenced to 10 year in prison back in 2017 for multiple crimes involving torture, rapes, amputations and murders, including against children.

Zelensky released him last year after serving less than 5 years

He once said “Without torture, life would not be life. Nothing raises the tone when you have someone's life in your hands"
IMG_20230402_174849.jpg
 
Back
Top Bottom