DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
[emoji38]upele umepata mkunajiMK254 unasalimiwa na Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...Mungu ibariki Russia!
View attachment 2573355
[emoji38]upele umepata mkunajiMK254 unasalimiwa na Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...Mungu ibariki Russia!
View attachment 2573355
Itakua ni Total Madness[emoji3]This is valid point.
Mtu ana nuclear weapons. Eti umpige hadi a - surrende. Sasa hizo nuclear za kazi gani.
Hivi ni kwamba kaishiwa au anaamua tu kuua wanajeshi wake?Counteroffensive isingeanza wakati Ukraine haijafundisha crew ya silaha mpya ilizopokea. Ina zana mpya tofauti ambazo haijawahi tumia na ni complex, lazima ifundishe watumiaji na mechanics na ianzishe sehemu za kufanya repairs. Hayo yote yanataka muda. Na wakati huo training ya wapiganaji wapya ilikuwa inaendelea.
Bakhmut imekuwa stopgap ya Urusi, kwa Ukraine ni bora kufanya defensive kuliko counteroffensive na la mwanzo ndio hutangulia la pili. Kadri Ukraine inavyozidi kuhold maeneo ndivyo inakuwa na maeneo machache ya kukomboa, na kwa kawaida anayevamia anatakiwa kuwa na ×3 ya uwezo wa anayelinda kama wanalingana nguvu. Hapo ni idadi ya combatants na zana, ukifanya assumption kwamba Russia ni superior kuliko Ukraine unapunguza makadirio lakini inabaki vilevile Urusi inabidi iwe na wanajeshi wengi Bakhmut kuliko Ukraine, hao wasingepigana hapo wangepigana kwingine.
Winter ilipoisha immediately huwezi anza movements kubwa ardhi bado ina matope na ile Chernozem soil tena ndio ipo Eastern uko kwenye vita inasumbua. Wakati Ukraine inajipanga na Russia inajipanga vilevile kama hapa imeleta vifaru vilivyotengenezwa kabla Josef Stalin hajafarikiView attachment 2573787
Zelensy akiona hizo video lazma achanganyikiweWalioko front unajua wanasemaje?.
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
"We have about 100 dead souls just missing. We're meat. In fact there's a company of 20-30 of us. People aren't ready for the meat grinder at all. We've been digging with shovels all year..."
[emoji95][emoji95][emoji95]
The Khokhlyas turned to Coke Zela.
Soldiers of 228 and 225 battalions of TRO 127 separate brigade of Kharkiv have recorded a video message to Zelensky and refuse to go to their positions.
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️View attachment 2573349
Hii vita imewavua nguo sana nato[emoji3]NATO Uhalisia na NATO kwenye Media na Midomo ya Wana Kibera
View attachment 2573346
Hawa wasimamizi wa mazingira itabidi wazizuie hizo gari kwenda huko zinaenda kuharibu mazingira tuMagari ya EU na NATO yanachomwa kama mhogo
View attachment 2573850
View attachment 2573851
A column of Ukrainian army equipment after an artillery attacked by the Russian Armed Forces in the area of Vuhledar.
Hajaishiwa ndio maisha yake yalivyo kwake, ila kwa mtazamo wa kimagharibi kaishiwa. Niliwahi andika tatizo la rushwa, kutojali na wizi wa mali za umma kwa Urusi ni kubwa na lipo sana jeshini. Unategemea nini kwa nchi ambayo matajiri wake wakubwa karibia wote ni oligarchies, nchi zingine kubwa utasikia huyu kakusanya mitaji kuanzisha kampuni ya magari ya umeme, huyu kaanzisha kampuni ya kuuza vitu online, huyu ana kampuni ya teknolojia ndio matajiri hao. Urusi matajiri wake ni huyu alibinafsishwa kampuni ya mafuta USSR ilipoanguka, huyu alibinafsishwa machimbo ya makaa ya mawe, huyu aluminium.Hivi ni kwamba kaishiwa au anaamua tu kuua wanajeshi wake?
Wakifika m1 tustueJana walichinjwa zaidi ya mia sita 🥱🥱View attachment 2572996
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pamoja na kubadilisha makamanda wa vita mara tatu bado superpower uchwara anapuyanga. Na si mjajifanya mnaifukuza NATO sasa Finland inakuja inaongeza mamia ya kilomita za mpaka, kapigane na uko tena ndio wako jirani zaidi na Urusi.Wenzako wanachapika .....alafu unafikiria wafanye counter offensive
SMO acha iendelee
Kwa hiyo raisi wa Ukraine alikuwa anadanganya ?maana hayo maneno niliyo Comment yeye ndo aliyasema.Counteroffensive isingeanza wakati Ukraine haijafundisha crew ya silaha mpya ilizopokea. Ina zana mpya tofauti ambazo haijawahi tumia na ni complex, lazima ifundishe watumiaji na mechanics na ianzishe sehemu za kufanya repairs. Hayo yote yanataka muda. Na wakati huo training ya wapiganaji wapya ilikuwa inaendelea.
Bakhmut imekuwa stopgap ya Urusi, kwa Ukraine ni bora kufanya defensive kuliko counteroffensive na la mwanzo ndio hutangulia la pili. Kadri Ukraine inavyozidi kuhold maeneo ndivyo inakuwa na maeneo machache ya kukomboa, na kwa kawaida anayevamia anatakiwa kuwa na ×3 ya uwezo wa anayelinda kama wanalingana nguvu. Hapo ni idadi ya combatants na zana, ukifanya assumption kwamba Russia ni superior kuliko Ukraine unapunguza makadirio lakini inabaki vilevile Urusi inabidi iwe na wanajeshi wengi Bakhmut kuliko Ukraine, hao wasingepigana hapo wangepigana kwingine.
Winter ilipoisha immediately huwezi anza movements kubwa ardhi bado ina matope na ile Chernozem soil tena ndio ipo Eastern uko kwenye vita inasumbua. Wakati Ukraine inajipanga na Russia inajipanga vilevile kama hapa imeleta vifaru vilivyotengenezwa kabla Josef Stalin hajafarikiView attachment 2573787
Ukraine kk securityBRUSSELS — Finland won final approval on Thursday to join the North Atlantic Treaty Organization, a major shift in the balance of power between the West and Russia that was set off by Moscow’s invasion of Ukraine.
Turkey’s Parliament, in a session that went deep into the night, cast the last vote needed for Finland’s entry into NATO, greatly enlarging the alliance’s border with Russia in a strategic defeat for its president, Vladimir V. Putin. In invading Ukraine last year, he made it clear that he was intent on blocking NATO’s eastward expansion.
======================
Hatimaye NATO imefika rasmi kwenye mpaka na Urusi yaani 'Finland'..
Tusubiri tuone kama 'demilitarization' itahamia Finland.