kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kipanya bado unamiliki TV chogo au upo sebleni kwa shemeji yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukrainian defenders have "destroyed" nearly 4,000 Russian troops since MarchUkrainian defenders have "destroyed" nearly 4,000 Russian troops since March 27, First Deputy Defense Minister Oleksandr Pavliuk said on April 2.
According to Pavliuk, in the last week of its all-out war against Ukraine, Russia also lost 224 pieces of various weapons and military equipment, including one aircraft, 33 drones, 23 tanks, 56 artillery systems, and 39 armored fighting vehicles.
Learn more: Defense Ministry: Russia lost 4,000 soldiers in Ukraine over the past week
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukiwa na pesa nyingi hivi kama Musk kila badiliko la pesa fulani linamaanisha ama faida au hasara kubwa kwenye akaunti yako.Elon Musk ana hofu zaidi juu ya kuppromoka kwa dola ya Marekani 💵💵 💵 kutokana na namna mataifa mbalimbali Duniani yakiongozwa na Urusi, China na India yanavyojitenga na matumizi ya pesa hiyo kwenye miamala biashara za kimataifa
View attachment 2574187
Mkuu tafadhali utueleze chaguo la jinsia linahusiana vipi na ushoga? Au unapendelea kumwaga maneno tu bila kujali maana yake?TAIFA LA MASHOGA:::US Allows Migrants To Pick Their Gender
The US Citizenship and Immigration Services marked the Transgender Day of Visibility with an announcement that it will begin accepting “self-identified gender markers” from foreign individuals who seek legal immigration services and benefits without requesting any supporting documents.
While the only options on existing forms are still ‘male’ and ‘female,’ Homeland Security’s legal immigration branch will now allow applicants to select and change their preferred gender at will, according to a policy update alert on March 31.
The policy change, effective immediately, states that “benefit requestors may self-select their gender marker (in an initial filing or a subsequent change to a prior gender selection), without the need to provide supporting documentation or to match the gender listed on their identity documents.”
Subscribe to RT
Ha ha haa!Kwa hiyo???!!!
Mkuu umeandika mambo mengi nayamsingi. Je nikipi kinasababisha USA pamoja na NATO washindwe kuingia moja Kwa moja UKRAINE?. Maana Kwa muono wa walio wengi wanaona USA pamoja na wenzie NATO wanazo sababu zote za msingi za kuingia UKREIN kijeshi kuliko sababu zilizowafanya washiriki Moja kwa Moja kwenye mataifa mengine ambayo waliyaona korofi. Kwa USA na BIDEN wanakili kuwa hawataki vita ya Moja kwa Moja na RUSSIA, huku RUSSIA ikiwa nchi dhaifu kijeshi inashindwa mpiga hata UKREIN?..Achana na ndoto za kijiweni kijana. Urusi level zake ni kupigana wenyewe kwa wenyewe humo Chechnya, kupigana Syria dhidi ya waasi na kuvamia Ukraine. Urusi haina uwezo wa kupeleka hata mwanajeshi mmoja akakanyaga ardhi ya Marekani. Namaanisha mwanajeshi mmoja tu kutoka Urusi hawezi kanyaga ardhi ya Marekani wakianza vita, labda awe ni rubani amedunguliwa akatumia ejection seat.
Unailinganisha China na Russia, we unaona China inaweza pigwa na Russia hii? China unaichukuliaje wewe, kama waliweza kubali kupigana briefly na Soviet Union mpakani mwaka 1969 wakiwa maskini unadhani watashindwa leo ikiwa imebaki Urusi pekee na irrelevant kiuchumi duniani.
Hiyo military command ya NATO muitolee wapi. Unadhani NATO wanapigana kishamba kama nyinyi, eti waweke military command Ukraine. Yaani Marekani iongoze drones za Middle East ikitokea Germany na airbases ndani ya Marekani kisha NATO ichambue data ikiwa Ukraine.
Russia ni superpower uchwara, kabla ya sanctions bado hakuwa among nchi kumi kubwa kiuchumi duniani. Huwezi kuwa superpower kwa kutegemea uchuuzi wa gesi sijui makaa ya mawe. Na kama ni superpower kweli si aweke sanctions dhidi ya Marekani tuone. Kwanza Marekani haina haja ya kupigana na Urusi na haina nia hiyo, Urusi itoe majeshi yake Ukraine ione kama kuna mtu anaifuata kwake. Marekani na NATO si zinapeleka silaha Ukraine, sasa inakuuma nini.
Marekani ingetaka kupigana na Urusi ingeifuata kwao. Ndio kwanza mnapigana na 5% ya annual military budget ya mwaka mmoja tu pale Ukraine wakati kuna silaha za bajeti ya miaka zaidi ya 30 zipo.
Finland kujiunga NATO Putin kasema hamna tatizo? Kwahiyo alikuwa amechanganyikiwa alipokuwa analalamika NATO kumsogelea mipakani. Sasa Finland si ndio kabisa imemsogelea. Au yeye mwenyewe hajui anamaanisha nini ndio maana kila miezi ikipita sababu za vita Ukraine zinabadilika.
Ha ha haaNATO Uhalisia na NATO kwenye Media na Midomo ya Wana Kibera
View attachment 2573346
USA Hana shida na aridhi ya RUSSIA?. mkuu jitahid kuacha kuandika baadhi ya vitu sio Kila jambo lazima ujibu.Russia hajavamia NATO na hana uwezo huo. Au hujui wanachama wa NATO ni kina nani. Hapo Russia anachokifanya anajua yeye na hao baadhi ya members wa NATO wanatoa misaada ya silaha, hawampigi. Hakuna mwenye haja na pori kubwa la Urusi, labda China akiamua kurudisha ardhi yake
Mkuu naona zinafaa sana dhidi ya droni. Droni hizo zinakuja polepole na kwa kimo kidogo; ni hasara kuziiga kwa roketi kama SAM3 ambayo ni ghali.Ukraine have now started to deploy 100mm KS-19 anti-aircraft guns. These were made in 1947.
They’d be useless against aircraft nowadays but they will most likely act as artillery support for the frontline
Usijali boss, Ukraine itaishinda Urusi, US ataendelea kuitawala dunia, West wote watamsapoti Ukraine, US ataingia Indopasific kuvuruga awake ufalme wake, ameshaweka miguu afrika Ref: Kamala's trip....maombi yako yatatimia dunia kuwa utumwani.Achana na ndoto za kijiweni kijana. Urusi level zake ni kupigana wenyewe kwa wenyewe humo Chechnya, kupigana Syria dhidi ya waasi na kuvamia Ukraine. Urusi haina uwezo wa kupeleka hata mwanajeshi mmoja akakanyaga ardhi ya Marekani. Namaanisha mwanajeshi mmoja tu kutoka Urusi hawezi kanyaga ardhi ya Marekani wakianza vita, labda awe ni rubani amedunguliwa akatumia ejection seat.
Unailinganisha China na Russia, we unaona China inaweza pigwa na Russia hii? China unaichukuliaje wewe, kama waliweza kubali kupigana briefly na Soviet Union mpakani mwaka 1969 wakiwa maskini unadhani watashindwa leo ikiwa imebaki Urusi pekee na irrelevant kiuchumi duniani.
Hiyo military command ya NATO muitolee wapi. Unadhani NATO wanapigana kishamba kama nyinyi, eti waweke military command Ukraine. Yaani Marekani iongoze drones za Middle East ikitokea Germany na airbases ndani ya Marekani kisha NATO ichambue data ikiwa Ukraine.
Russia ni superpower uchwara, kabla ya sanctions bado hakuwa among nchi kumi kubwa kiuchumi duniani. Huwezi kuwa superpower kwa kutegemea uchuuzi wa gesi sijui makaa ya mawe. Na kama ni superpower kweli si aweke sanctions dhidi ya Marekani tuone. Kwanza Marekani haina haja ya kupigana na Urusi na haina nia hiyo, Urusi itoe majeshi yake Ukraine ione kama kuna mtu anaifuata kwake. Marekani na NATO si zinapeleka silaha Ukraine, sasa inakuuma nini.
Marekani ingetaka kupigana na Urusi ingeifuata kwao. Ndio kwanza mnapigana na 5% ya annual military budget ya mwaka mmoja tu pale Ukraine wakati kuna silaha za bajeti ya miaka zaidi ya 30 zipo.
Finland kujiunga NATO Putin kasema hamna tatizo? Kwahiyo alikuwa amechanganyikiwa alipokuwa analalamika NATO kumsogelea mipakani. Sasa Finland si ndio kabisa imemsogelea. Au yeye mwenyewe hajui anamaanisha nini ndio maana kila miezi ikipita sababu za vita Ukraine zinabadilika.
Ndio hivo...maana Russia aliomba kujiunga NATO akakataliwa, wakati vigezo amewazidi west woteuna maanisha wanyonge ( NATO) ndio huungana kumkabili mwenye nguvu[emoji1][emoji1]???
Mkuu, hilo pori si ndio linaleta mgogoro? Gesi Mafuta makaa mbolea, mashamba....si ndio yanayowatoa udenda US had anaanzisha cold war? Au sababu ya Ukraine 'kuvamiwa' ni nini haswa...labda hatujajua kwanini Urusi 'imeivamia' ukrainRussia hajavamia NATO na hana uwezo huo. Au hujui wanachama wa NATO ni kina nani. Hapo Russia anachokifanya anajua yeye na hao baadhi ya members wa NATO wanatoa misaada ya silaha, hawampigi. Hakuna mwenye haja na pori kubwa la Urusi, labda China akiamua kurudisha ardhi yake
Hapo usikute walikua wanamuangalia demu TU.,😀😀.
Mkuu NATO hawapangiwi masharti namna ya kuanza vita, ni kama Urusi ilivyoibuka ikaamua iende Ukraine. Ili NATO waingie kwenye vita haswa ni lazima Article 5 itumike na haijawahi tumika tangu wawepo. Ni pale member wa NATO atakapovamiwa na iliwahi tokea kwenye September 11 ndipo baadae wakajua ni magaidi. Urusi hajafanya chochote cha kupigwa na NATO ndio maana hawajamshambulia. Ukraine sio mwanachama.Mkuu umeandika mambo mengi nayamsingi. Je nikipi kinasababisha USA pamoja na NATO washindwe kuingia moja Kwa moja UKRAINE?. Maana Kwa muono wa walio wengi wanaona USA pamoja na wenzie NATO wanazo sababu zote za msingi za kuingia UKREIN kijeshi kuliko sababu zilizowafanya washiriki Moja kwa Moja kwenye mataifa mengine ambayo waliyaona korofi. Kwa USA na BIDEN wanakili kuwa hawataki vita ya Moja kwa Moja na RUSSIA, huku RUSSIA ikiwa nchi dhaifu kijeshi inashindwa mpiga hata UKREIN?..
Je unapozungumzia CHINA kupigana moja Kwa moja na USSR Moja kwa Moja huku CHINA nyakati hizo ikiwa masikini na ikapambana na dude kubwa kama USSR, vipi unazungumziaje USA kupigwa na VIETNAM enzi hizo mpaka wakakimbia, Huoni kwamba USA pia Kwa nyakati hizo haikua na utofauti na USSR ?.
Iyo ni since March 27, acha kujitoa akili!Ukrainian defenders have "destroyed" nearly 4,000 Russian troops since March
Ila wewe kila siku unatwambia umefyeka buku[emoji38]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app