Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

“What is distinct about oligarchs in Russia is not that they are different in terms of being rich, it’s the way they are inserted into politics,”

“In the Russian case, I would label as a ‘sultanistic oligarchy.’ By sultanistic, I mean that instead of having rule of law in a civil oligarchy, the oligarchs in Russia are tamed, they are controlled, limited by a single, very powerful figure such as Putin.”
The same to King charles, or US goverment system
 
Wengine wanasema ni photoshop hawaamini kisa wameletwa warusi.
Hiyo tabia ipo dunia nzima mkuu, hivyo zikijitokeza jamii zinapinga hiyo kitu inayoharibu utu wa jamii husika basi msiwazuie..maana ni jambo linalohusu desturi ya jamii fulani kujilindia heshima yao..hata ukikutwa nawewe unamlima bakora mwanao anataka kufukuliwa mtaro ni haki yako unaiweka heshima mahali pake...
Cha msingi haki ya wanaume ilindwe kwa kujali haki za kiume, na haki za wanawake zilindwe kwa misingi ya uanawake, sio mtu unaiba haki za jinsia tofauti kwa kisingizio cha uhuru wa mtu binafsi..hiyo sio haki ni unyang'anyi wa haki kwa mhusika...au hamuoni kuna pointi hapo wakuu..
Kuchagua jinsia tofauti na yako ni wizi kama wezi wengine.
 
NATO is weak as f**
IMG_9873.jpg
 
Hiyo tabia ipo dunia nzima mkuu, hivyo zikijitokeza jamii zinapinga hiyo kitu inayoharibu utu wa jamii husika basi msiwazuie..maana ni jambo linalohusu desturi ya jamii fulani kujilindia heshima yao..hata ukikutwa nawewe unamlima bakora mwanao anataka kufukuliwa mtaro ni haki yako unaiweka heshima mahali pake...
Cha msingi haki ya wanaume ilindwe kwa kujali haki za kiume, na haki za wanawake zilindwe kwa misingi ya uanawake, sio mtu unaiba haki za jinsia tofauti kwa kisingizio cha uhuru wa mtu binafsi..hiyo sio haki ni unyang'anyi wa haki kwa mhusika...au hamuoni kuna pointi hapo wakuu..
Kuchagua jinsia tofauti na yako ni wizi kama wezi wengine.
Umeeleweka sana ndugu na shida sio hiyo unayoizungumza ila hutolewa mifano juu ya hayo yanayowafanya pro urusi kutukana watu kisa tofauti ya kimawazo.

Kwahiyo ndugu huyo aliyeleta picha za wanaume wa kirusi wanaokulana denda ameleta kama kuonesha mifano kama hayo mambo hata huko yako..

Mimi hushangaa badala ya watu kupinga kwa hoja zenye mantiki hutokezea watu na kutukana na kujiona wanauwezo mkumbwa kiakili kumbe hamna lolote.

Wengi wa wachangiaji huchangia kwa mimhemko tu hasomi na kuelewa kilichoandikwa bali hufuata hisia tu.

Mambo ni mengi mda ni mchache.

Tenha um bom dia.
 
Mkuu, Thamani ya fedha fulan kuyumba unatokana na fedha pinzani kuwa injected kwenye mzunguko by force, iwe sera za kidiplomasia hasa vita au devaluation...hakuna pesa inayochezacheza hivihivi tuu pasipo external forces..hivyo ili dolar idumu inahitaji pesa yako iyumbe..SANCTION, Kumb:zimbabwe,uganda,N.korea,Brexit,covid-19 and so on...
Samahani mkuu sababu za kushuka kwa bei ya pesa fulani (yaani exchange rate) mara nyingi ni sababu za ndani. Mfano kama benki kuu inazidi kuchapisha pesa - ilhali hakuna bidhaa za kutosha sokoni - basi pesa inashuka. Katika nchi mbalimbali za Afrika, Ulaya, Amerika tumeona mifano mingi ya aina hii, tena tangu karne nyingi.
Zamani (kabla ya benknoti) serikali zilichanganya sarafu za dhahabu na fedha kwa shaba au metali nyingine. Kumbe sarafu hizo zilitambuliwa na bei zilipanda. Mfano Waroma wa Kale walikuwa na sarafu ya Denarius , kiasili yenye gramu 4.5 za fedha (silver) iliyokuwa asilimia 90 ya uzito wake wakati wa kuzaliwa kwa Kristo. Miaka 200 baadaye, fedha ndani yake ilikuwa 45% pekee, , miaka 250 baadaye ilikuwa silimia 5 pekee, na mwaka 265 asilimia 0.5 pekee. Wafanyabiashara walipaswa kupandisha bei za bidhaa mara elfu kadhaa. Wengine wanaona ilikuwa vibaya kuliko Yuhoslavia kwenye miaka ya 1990 au Zimbabwe juzi.
Leo enzi ya sarfu za dhahabu au fedha imepita, lakini unapata matokeo yaleyale ukichapicha benknoti nyingi mno. Au zaidi siku hizi kama Benki Kuu inaongeza mno kiasi cha mkopo kwa benki za kibiashara
800px-100000000-dinar-1993-Yugoslav-obverse.jpg
 
As a result of the terrorist attack in St. Petersburg, two people died - in addition to Vladlen Tatarsky, an unknown woman was killed.

18+ The footage of the first minutes after the explosion shows the bloodied body of a woman - she lies on the sidewalk near the cafe
View attachment 2574391
Kweli ni vibaya na aibu. Je inaelekea tayari kwenye kiwango cha ugaidi unaotokea huko Ukraine?
 
Kwa hizo takwimu zako unataka kusema kuwa kwenye wamarekani Mia, kumi na moja ni maskini. Homeless kwa Marekani haiepukiki kutokana na mambo makubwa mawili:

1. Idadi kubwa ya watu wanaokimbilia Marekani toka Marekani ya kusini.

2. Mfumo wa uchumi wa nchi husika kuegemea ubepari ambapo utakula kwa jasho lako.

Lakini bado ni nchi yenye fursa kubwa zaidi kuliko Urusi.

Moscow ni jiji la zamani sana kuliko miji mingi ya Ulaya, Kwa ivo haliwezi kufanana na miji mingi ya ulaya. Haya ni maelezo niliyoyaleta kutoka kwenye tovuti moja ya utalii. Sijaongeza kitu.

1. Moscow claims the largest number of billionaires in the world. Per Forbes, there are 84 billionaires in the city
2. The first McDonald’s opened in Pushkin Square on January 31, 1990. The line to the restaurant ran for several kilometres
3. Tram number 3 is the oldest route in Moscow and commenced on April 6, 1899
4. The Moscow Kremlin is the world’s largest medieval fortress.
5. Moscow is named after a river
6. The flag of England and Moscow have the same figure of St. George in armour and riding a horse back while slaying a dragon with his lance.
7. Arbat street is 520 years making it one of the oldest streets in Moscow.
8. The millionth citizen of Moscow was born in 1897
9. Over 6 million passengers use the Moscow metro daily making it the third busiest metro in the world
10. Moscow State University is the world’s largest university building
11. Moscow is regularly named one of the most expensive cities in the world
12. Trains in Moscow metro run more regularly than in any other metro in the world. At peak times the interval between trains is just 1.5 minutes
13. Moscow’s Russian State Library was founded in 1862, is the biggest in Europe and second biggest in the World after Library of Congress in USA
Unafahamu Urusi ipo kwenye nchi tatu kati ya nchi zenye high immigration hasa kutoka Central Asia?

Kwamba Uchumi wa Kirusi ni wa kijamaa?
Zote ni nchi za kibepali ila zinatofaitiana mode of operundum.

Fursa kubwa?
Ingekuwa na Masikini wasio na makazi Milioni 37?
 
Imani ya dunia kwa Marekani!!
Imani hii imezikwa rasmi baada ya uaratibu wa USA kutumia sanctions kama Siraha na pesa Yao ndio primary tool kupitia mifumo kama SWIFT.

Utaratibu huu umezikwa rasmi kwa kukamata pesa za wawekezaji walizowekez katika Western world.

Sasa Mataifa yameanza kuamka na kutafuta mbadala wake.

Imani hii imekwenda kuweka wazi kwamba There is only USA and the western world ni Vassal state ambazo hazina Sovereignty na maamuzi yanatoka Pentagon.
Ushahidi ni kupiga sanctions vitu ambavyo vinawaumiza wao wenyewe kwa faida ya USA.
 
“What is distinct about oligarchs in Russia is not that they are different in terms of being rich, it’s the way they are inserted into politics,”

“In the Russian case, I would label as a ‘sultanistic oligarchy.’ By sultanistic, I mean that instead of having rule of law in a civil oligarchy, the oligarchs in Russia are tamed, they are controlled, limited by a single, very powerful figure such as Putin.”
Mh kwa hiyo Elon Musk hawi controlled na satanic government ya Marekani?

Kwa nini walitaka kumnyang'anya kampuni yake baada ya kuvuta bange hadharani?

Wazee wa double standard
 
Kazi imeisha huko burkimut tayari Iko Chini ya wanamziki

❗️"Legally we took Bakhmut" - Evgeny Prigozhin confirmed that PMC "Wagner" occupied the administrative buildings of Artemovsk

The head of the Wagner PMC confirmed that the orchestra had occupied the administrative buildings of Bakhmut. The Russian flag and the banner of Wagner were erected on the roofs of the houses. Nevertheless, the forces of the Armed Forces of Ukraine remain in the western outskirts.

“Vladlen Tatarsky has a good memory,” such an inscription appeared on the Russian flag, which Yevgeny Viktorovich is holding in his hands.
 
Dah hapa nala daku huku nimeshiba BUKHMUT NDIO ISHAKWENDA NA WANA MACHEPE KAMA SIAMINI HIVI [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179] VIva Russia. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom