Ngwanankamba
Member
- Mar 10, 2023
- 31
- 160
Hatufurahii vita tunafurahia kukombombolewa kwa dunia [emoji23]
Duh..... [emoji1787]Dawa ya jeuri Ni kiburiView attachment 2574781
ndugu Ukraine si member wa NATO, sasa NATO itaanzaje kuweka no fly zone kwa nchi ambayo si Mwanachaa wake?Hivi ni kwanini NATO na US waligomea kuweka No Fly Zone Ukraine?
Mwache akapige selfie na mla unga kwenye maziko ya gaidi wa kinaziWaziri mkuu wa Finland ameshindwa kwenye uchaguzi uliofanyika jana Jumapili.
Sababu kuu ya kushindwa kwake ni issue ya Inflation na costs of living kuwa kubwa na recession iliyoikumba Finland.
Sasa ameadhibiwa kwa lengo gani?Kuna tofauti kati ya kudhibitiwa na kuadhibiwa. Elon aliadhibiwa na siyo kudhibitiwa!
Hilo sio tusi hapo kapewa sifa ya tabia yake mbaya.Lakni kukoment bila ya kumtukana mtu kwanini mnashindwa ndugu wakati mtu huyo hajakutukana?
Siyo kweli kwamba kuadhibu ni kudhibiti. Kudhibiti ni hali ya kutumia nguvu ili kuzuia jambo fulani lisifanyike wakati kuadhibu ni kufundisha kwa kutumia nguvu. Siyo kila anayefundishwa anafundishika na siyo kila kudhibiti kunafanikiwa.Sasa ameadhibiwa kwa lengo gani?
Hivi unajua huwezi kudhibiti pasipo kuadhibu.
Hapa umetumia kiswahili tu ila hakuna tofauti.
Nasema hivi richest people in the west na Oligarchy hawana tofauti.
ndugu Ukraine si member wa NATO, sasa NATO itaanzaje kuweka no fly zone kwa nchi ambayo si Mwanachaa wake?
Wewe unaweza kumsema mtu kwa kutumia hiyo lugha hadharani? Kwa mfano mzazi ama bosi wako unaweza kumwita hivyo?? Katuna na wala siyo ungwana.Hilo sio tusi hapo kapewa sifa ya tabia yake mbaya.
Hakuna haja ya fly zone, kama kubokolewa atabokolewa tu ni suala la muda. We ulijua hii vita itachukua mwaka mzima kabla hajaifanya Ukraine koloni lake kama ilivyo Belaruz.?Libya alikuwa member wa NATO.... Mbona waliweka No Fly Zone?
Mnapojadili mambo msiwe kama kuku aliyekatwa kichwa....
Kuch nehi hogeaHakuna haja ya fly zone, kama kubokolewa atabokolewa tu ni suala la muda. We ulijua hii vita itachukua mwaka mzima kabla hajaifanya Ukraine koloni lake kama ilivyo Belaruz.?
Bakhmut kwenyewe anatolewa kamasi mwezi wa 3 huu unakwenda kamji kashindwa kukateka hadi anatumia kukodi wale wavuta bange Wagner lakini wapi
Maji ni kiumbe hai?Siyo kweli kwamba kuadhibu ni kudhibiti. Kudhibiti ni hali ya kutumia nguvu ili kuzuia jambo fulani lisifanyike wakati kuadhibu ni kufundisha kwa kutumia nguvu. Siyo kila anayefundishwa anafundishika na siyo kila kudhibiti kunafanikiwa.
Mtu akisema kwamba "nimeyadhibiti maji yaliyokuwa yanapita kwenye kiwanja changu" ina maana ameyaadhibu hayo maji??
Weka maelezo ya hiyo picha we kijana....Kuch nehi hogeaView attachment 2574871
Kama bosi ni ngese kama wewe ulitaka uitwe jina gani?Wewe unaweza kumsema mtu kwa kutumia hiyo lugha hadharani? Kwa mfano mzazi ama bosi wako unaweza kumwita hivyo?? Katuna na wala siyo ungwana.
Kama walivoweza kuipa misaada ya silaha, kijeshi na pesa hali ya kuwa si mwanachama vivyo hivyo pia wangeweza kuweka hiyo no flyzonendugu Ukraine si member wa NATO, sasa NATO itaanzaje kuweka no fly zone kwa nchi ambayo si Mwanachaa wake?