Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kauli zako wakati mwingine!! Sasa unasema Urusi haishemiki kwa kutumia vigezo gani? labda tuanzie hapo.

Nilisha wambieni kwamba the World is not America - kwa taarifa yako nchi nyingi za Ulaya zilizo rubuniwa na foreign policy za Merikani za ku-slap punitive sanction against Russia ndio zipo kwenye hali mbaya ya kiuchumi na ajila - huko Ulaya hivi sasa - kuna baadhi ya Viongozi wa Ulaya wanataka kurudisha uhusiano mzuri na Urusi baada ya kuchoshwa na siasa za chuki na hujuma zinazo ratibiwa na siasa za nje za Taifa la Merikani dhidi ya Urusi,Uchina,Iran, Korea Kaskazini nk.

Huu ujasiri wa Uncle SAM wa kufikiri ana uwezo mkubwa wa kupigana na mataifa yenye nguvu kijeshi Duniani kwa mpigo ujasiri huo anautoa wapi, kwa bahati mbaya kuna baadhi yenu ambao hawajui vizuri/kiundani historia ya kweli kuhusu Urusi na Mataifa ya magharibi - hao ndio wanakujaga na historia za ajabu ajabu wanayo okoteza kwenye wilipedia na machapisho mengine ya west yaliyo sheheni propaganda tu na uongo.
Mkuu picha yako ya dunia ni ajabu. Nakubali dunia si Marekani - ila unapata wapi hoja kuwa nchi za Ulaya zinarubuniwa na Marekani?
Mbona nchi hizo waliwekeza pesa nyingi kwa muda mrefu huko Urusi kwa shabaha ya kujenga uchumi wake ulioporomoka kabisa baada ya miaka ya ukomunisti? Nilionyesha tayari mfano tasnia ya magari hakuna kampuni au kiwanda kilichoendelea bila kushirikiana na makampuni ya Ulaya magharibi (ama kwa njia ya kuwekeza, au kununua tekinolojia kutoka kule - kinyume kampuni gani ya huko ilinunua tekinolojia kutoka Urusi??).
Mataifa ya Ulaya yalijenga umoja gumu baada ya karne nyingi za vita kati ya nchi za Ulaya. Vita hizo zilikuwa pia balaa kwa dunia yote. (Tanganyika iliona vifo vingi kwenye miaka 1914-1918 kwa sababu ya vita baina ya Uingereza na Ujerumani). Kwa hiyo si kitu kibaya kama nchi hizo zinatafuta njia ya kuishi kwa amani. Urusi iliwahi kushiriki katika juhudi hizo ikajiunga na mapatano ya Ulaya kama vile Council of Europe na Organization for Security and Co-operation in Europe (OSCE).
Ila tangu 2014 wanaona kwamba Urusi inavunja mapatano hayo yote.
Unaamini kweli kwamba Latvia, Estonia au Finland wanahitaji kuamiwa na mtu yeyote kuwa Urusi ni jirani hatari??? Hujui kwamba wote waliashambuliwa na Urusi katika karne ya 20??? Nchi za Baltiki kuwa koloni za Urusi baadaye, Finland kupotea sehemu kubwa ya ardhi yake?
 
Mkuu kwa kawaida kitu kama "no fly zone" inatagazwa kwa ndege za wengine. Kuhusu mpango wa Biden kuleta F16 - je una ushahidi wowote? Sidhani upo maana huwezi kumweka rubani katika ndege ya aina hiyo na kumwabia "ruka". Atahitaji mazoezi miezi mingi angalau 9. Je umesikia kwamba wameanza kufundisha marubani wa Ukraine kwenye F16?
Pia faida za ndege imepungua jinsi tunavyoona. Warusi wanaogopa kuingia katika anga la Ukraine kwa sababu kwenye mwanzo wa vita walikosa kumaliza silaha aina SAM3 na SAM4 za Ukraine. Lakini kama Ukraine wangeingia anga la Urusi wangekuta silaha hizohizo.
Yani unampa Ukraine ndege 20 za f-16 alafu anaenda kukutana na MiG zaidi ya 200 juu ya anga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hayo ni matumizi mabaya ya ela za walipakodi.
 
Kuna watu wapuuz ila wewe naona utakuwa na mental health issues ,si bure
Comment ndefu ,ushuzi na uharo mtupu , uparato ,mavi mavi
Nawakumbusha tu, huyu ni member mpya aliyekuja kwa ajili ya kusambaza propaganda kutoka Magharibi ila mbinu yake ni lugha isiyo na ustaharabu.
Screenshot_20230404-131132.jpg
 
Mkuu jenerali si kijana. Ana familia yake, ana ndugu na majirani ya miaka mingi. Habari za kifo za mtu mkubwa haziwezi kufichwa. Labda kama ni mmoja, kamwe kama ni wengi mlivyodai. Tena inaonekana kama kundi la majenerali kwa ghafla hawaonekani tena mahali popote. - Kama stori hiyo ingekuwa na msigi wowote, habari zingesambaa tayari. Ila hakuna daili hata punje.
Nimeomba hapa mara kadhaa kuoonyeshwa ushahidi. Hadi sasa mahubiri tu.
Ivi wewe vita unaichukuliaje?.pale Ukraine kwa sasa kila mtu anapambania roho yake wala hakuna maisha ya kusema sijui ufatilie leo kafa nani.

Yani kuna watu wengi awajui ndugu zao wapo wapi kwa sasa maana wanajua tu wapo jeshini kumbe labda walishakufa siku nyingi.pasipo jeshi kutoa taarifa wewe utajuaje kama ndugu yako kafa ikiwa haupo front.
 
Unazungumza vitu gani lakini, eti Russia ina silaha ambazo zina long range lakini precision zake ni dismal kabisa - who can take your entire comments herein seriously??

Kwani umesahau jinsi juzi juzi hapa MiG-31 ilivyo lenga na kuvurumisha Khinzal hypersonic missile towards US/NATO concrete reinforced military command post bunker buried 400 feet under ground - the whole infrastructure was turned upside down and inside out killing and vaporising all US,UK, Ukrainians and Polish Generals manning the post.

Most of the above mention bodies haven't even been fully recoverd from concrete rubbles - this obviously goes to show some doubting Thomas like you "how dead accurate some Russian no nonsense missiles really are/can be",, sasa, unaposema Russian high precision missiles or bombs are highly questionable - hapo ndio sikuelewi kabisa, kama hiyo ingekuwa ni kweli ililuwaje tena hypersonic Khinzal missile ikafanikiwa ku-hit BULL'S EYE ya maficho ya Majenerali wa NATO wakachomwa mishikaki na wengine wakawa vapourised completely, je, umewahi kujiuliza kwa nini USA pamoja na mbwebwe zake zote hajawahi hata siku moja kujaribu kujiweka kifua mbele kwa kutaka kupigana ana kwa ana na Urusi - unajua kwa nini? US knows for certain what is inside the hood of Russian military -ndio maana ujaribu sana kuzitumia nchi ambazo hazijitambui kama: Ukraine,Georgia na Checheny zipigane a proxy war on US behalf ikiwa na imani kwamna vita hivyo vita idhoofisha Urusi kijeshi na kuihujumu kiuchumi - mpaka sasa wameshindwa kufanikiwa labda mabeberu na kinara wao wanabuni plan "B" ya kutaka kuimaliza Urusi - hawakati tamaa.

FYI linapo kuja suala la anti personnel land mines na TANK mines, here again Russia is light years ahead of them all.
Hayo unayajua ww tu na warusi wa mchongo
 
Mkuu unashikwa na ndoto yako. Hakuna kituo cha kijeshi penye majenerali wa NATO kilicholipuliwa na Urusi.
Unataka kukimbia sasa. Lete majina ya majenerali!
Kama umeona media za mashariki au magharibi penya majina hayo, lete links!
Hdithi hii ni Abunuwasi, hakuna ukweli hata punje.
Nenda nae mdogo mdogo huyo mpaka ateme bungo chavi wa kibabu Putin[emoji1787]
 
Labda sijui kiingereza vizuri-hapa Urusi imasema wata wata-boost their military capacity - sasa haya ya kisema eti Finland kujiunga na NATO kumeikasirisha Urusi kivipi? Wao wamesema wataongeza mbinu za kujilinda zaidi - na Finland si wajinga wa kukubali kutumiwa na Merikani kijinga - akili za Joe Biden na wenzake wanafikiri kwa kuwa Finland ndio nchini pekee Ulaya yenye mpaka mrefu na Urusi hivyo ni rahisi kupitisha silaha nyingi za kuivamia Urusi kirahisi - sina shaka Urusi hilo amekwisha liona mapema sana na anajua ata-deal nalo kivipi.
Amechelewa sn Putin, west Wana strategies nyingi sn hatimae ss wanaikodolea sebule za Moscow na Kremlin.

Leo hii kila dk milipuko haiishi ndani ya Russia hiki ni kipimo tosha kuwa Sasa wamemfikia huyu mbwa mwitu.

Putin anajua na warusi wanajua kuwa Sasa usalama wao upo shakani.

Bado kitambo kidogo tu Putin kutiwa pingu na kupelekwa the Hague.[emoji1787]
 

The fate of the US$ is now sealed: Oil jumps 7% after surprise OPEC production cuts. Russia & India adopt new Oil benchmark, abandons the European "Brent" crude pricing​

03 APRIL 2023

Prices for a barrel of oil jumped 7 to 8% last night in pre-market trading, after OPEC+ announced a reduction in oil production of about 1.1 Million barrels per day.
Oil has hit $80.98 per barrel, and continues to rise today:
Fsvtqs6WcAACOt-

As this story is written, 10:04 AM EDT on April 3, 2023, The West Texas Intermediate contract jumped 5.74% to $80.01 a barrel, while Brent jumped 5.67% to $84.42
This will translate into higher prices at the gasoline pump for cars and the diesel pump for trucks, which will cause a rise in consumer prices for everything that has to move by truck. This type of demand inflation cannot be halted by central banks raising interest rates.

NEW PRICING MECHANISM
More shockingly, the top oil producers in Russia and in India agreed to change the market pricing mechanism for oil price transactions.
The largest oil producer in Russia and India's top refiner have agreed to adopt the Asia-focused Dubai oil price benchmark. They have abandoned the Europe-dominated Brent benchmark.
This will make it much easier for countries to buy oil WITHOUT USING THE U.S. DOLLAR!
This is huge.In reality they have just told the US $ / Euro trash to "F*ck-Off and Die!"

Basically, they're sizzling the West' bacon and there's nothing the West can do about it short of war.Will the West initiate WWIII as they did with WWI & II to start a New Order in this case the much anticipated NWO? Time will tell.
 
Unajuwa na maanisha nini lakini ,hapa unataka kupoteza lengo tu -nani ambaye hajui kwamba handaki hilo lilikuwa huko Ukraine manned by NATO high ranking military officers wakiwapa taarifa za kintelijensia wanazo zipata kupitia satellite za USA na kwingineko kwa lengo la kusaidia kulipatia cordinates jeahi la Ukraine kulenga shabaha - Warusi walipo gunduwa ujinga huu ndio wakafanya kweli, ndio maana siku hizi husikii tena masuala ya counter offensive wahusika wakuu wa mipango hiyo ndio wametangulizwa mbele ya haki - na ofisi zao walizo kuwa wanazitegemea futi 400 chini ya aridhi zimekwisha geuzwa magofu - counter offensive za Zelensky alizo kuwa anategemea kutoka kwa washauri wake wa NATO zinabaki kwenye makaratasi tu.
Leta ushahidi humu acha kelele[emoji3061]
 
Ujue bora ukose Pesa, unaweza pata wasamalia wema wakakupatia. Ila mtu akikosa akili kisha akajikuta mjuaji siku zote huwa anaachwa na Upumbavu wake.

Nasoma zangu hapa comments nimeiona hiyo binafsi nimecheka sana, but kicheko cha masikitiko. That's why kila mda huwa nasema hawa wenzetu wana namna yao ya kufikiri ambayo haifanan na yetu. I mean wapo kwenye dunia yao full of illusions!

Finland weka mbali silaha iwe mshale, ama mkuki. Ni nchi yenye Idadi ya watu wachache kuliko Mkoa wa Dar es Salaam hapa Tanzania. Finland ina idadi ya watu takriban Mil 5.47

Hapo tumesema Idadi ya watu, So ni Jumla ya Wazee Vijana na watoto kwa pamoja. Ila kwa upande wa Russia tuzingumzie Idadi ya watu bali Total reserves ya wanaoweza kupigana endapo ikitangazwa Vita. Ni zaidi ya Mil 25.

Number hazidanganyi msemo wa lee van cliff
Idadi ya wapiganaji tu waliopo Russia ni almost five times ya Idadi yote ya watu waliopo Finland including Vijizee, Vijana hadi Vitoto. Bila hata kutumia Silaha ima bunduki wala mishale, kwamba wazichape ulingoni kama Mwakinyo na Mandonga bila kupepesa jicho ushajua nini kitajiri.

Population vs Fighters, 1 to 5 af bado kuna mtu anawaza mtoto wa miaka miwil, Mzee wa miaka 90, mama mwenye kijusi, wagonjwa, walemavu ambao ni katika wanaochangia idadi hiyo ya watu watamudu pambano la wapiganaji wa 5 kwa kila mmoja.

Kwamba kuna toto moja baada ya kuvuta alichovuta sijui ndio niseme milango iko wazi hawezi bana pumzi ikabaki mwilini kuleta afya ya akili anakurupuka anakuja sema eti "Russia bila Nukes" Finland pekee tu anam-mudu. Hivi wanawaza kwa kutumia nini ndugu zetu hawa?

Ok kama wana mmudu wamekimbilia NATO kufanya nn? Nukes? Ndani ya Europe zipo France na UK. Tena kwa idadi kisoda watazifanyia nini ndani ya huo Muungano? Kama France mwenyewe, Germany, UK, Poland... top dog hapo EU wanaogopa kukutana ana kwa ana na Russia. Finland atafanya nn?

Russia anatengeneza silaha zake mwenyewe, almost nchi zote EU ama ndani ya NATO ukizitoa zile top zinategemea silaha kwa manunuzi kutoka kwa shangazi yao US. Watafanya nini?

The farthest distance kutoka Russia ndani ya Europe ni UK, ambapo Russia anaweza fikisha madhara ndani ya dk 3-4 ukitokea Kaliningrad. Je hawa waliopo kikwapani watafanywa nini?

Mahaba ya upande flan kwa kila mtu yapo ila this is too much 😏, sijui ndio kuishiwa hoja comments nyingi kutoka kwao zimekua kama mipasho isiyo na uhalisia. Ni kutype ilimradi kiumbe kime'type.

Unajionaje mchambuzi kama Unashindwa tofautisha Politics vs Reality.

Matumizi mabaya ya mwili yanaharibu sana akili. Vijana wenzetu em acheni hizo mambo muweze kubana pumzi ubongo upate hewa ufanye kazi kwa ufasaha. Mnaboa sio siri nyie wazee!
Matatizo mabaya ya Mwili yanaharibu akili
 

US, EU exploring ways to cut dependence on Russian energy​

United States Secretary of State Antony Blinken says his country and the European Union are exploring ways to further reduce Europe’s dependence on Russian energy.

“Russia’s weaponisation of energy is underscoring the urgency of that task and an opportunity to accelerate our progress” in the global clean energy transition, Blinken told reporters after a meeting with EU foreign policy chief Josep Borrell in Brussels.

“We will focus on how we can further reduce European dependence on Russian energy and boost the Euro-Atlantic region’s clean energy production,” he said.
 
Putin anakwambia Wala hakuna kitu serious ambacho amefanya Ukraine kwenye hii SMO!
Yaani mtu anafanya kaoperation halafu Ukraine anasaidiwa kila kitu na mataifa zaidi ya 30 lakini Bado mzani umeegemea upande mmoja!
Ama kweli Urusi sio mchezo!
Huku majenelali wake wakiendelea kupukuchuliwa [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ninachoomba ni kazi nyepesi. Majenerali ni watu wanaofahamika. Majina yanajulikana. Kwa hiyo kama kundi la majenerali liliuawa, baadaye hawaonekani. Kuna ibada kwa ajili ya familia. Huwezi kuficha kundi la majenerali waliouawa.

Ila hadithi hii ni uwongo tena uwongo wa kijinga mno. Ila ukifarijiwa na visa hivyo, uamini tu upate faraja!
[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ujue bora ukose Pesa, unaweza pata wasamalia wema wakakupatia. Ila mtu akikosa akili kisha akajikuta mjuaji siku zote huwa anaachwa na Upumbavu wake.

Nasoma zangu hapa comments nimeiona hiyo binafsi nimecheka sana, but kicheko cha masikitiko. That's why kila mda huwa nasema hawa wenzetu wana namna yao ya kufikiri ambayo haifanan na yetu. I mean wapo kwenye dunia yao full of illusions!

Finland weka mbali silaha iwe mshale, ama mkuki. Ni nchi yenye Idadi ya watu wachache kuliko Mkoa wa Dar es Salaam hapa Tanzania. Finland ina idadi ya watu takriban Mil 5.47

Hapo tumesema Idadi ya watu, So ni Jumla ya Wazee Vijana na watoto kwa pamoja. Ila kwa upande wa Russia tuzingumzie Idadi ya watu bali Total reserves ya wanaoweza kupigana endapo ikitangazwa Vita. Ni zaidi ya Mil 25.

Number hazidanganyi msemo wa lee van cliff
Idadi ya wapiganaji tu waliopo Russia ni almost five times ya Idadi yote ya watu waliopo Finland including Vijizee, Vijana hadi Vitoto. Bila hata kutumia Silaha ima bunduki wala mishale, kwamba wazichape ulingoni kama Mwakinyo na Mandonga bila kupepesa jicho ushajua nini kitajiri.

Population vs Fighters, 1 to 5 af bado kuna mtu anawaza mtoto wa miaka miwil, Mzee wa miaka 90, mama mwenye kijusi, wagonjwa, walemavu ambao ni katika wanaochangia idadi hiyo ya watu watamudu pambano la wapiganaji wa 5 kwa kila mmoja.

Kwamba kuna toto moja baada ya kuvuta alichovuta sijui ndio niseme milango iko wazi hawezi bana pumzi ikabaki mwilini kuleta afya ya akili anakurupuka anakuja sema eti "Russia bila Nukes" Finland pekee tu anam-mudu. Hivi wanawaza kwa kutumia nini ndugu zetu hawa?

Ok kama wana mmudu wamekimbilia NATO kufanya nn? Nukes? Ndani ya Europe zipo France na UK. Tena kwa idadi kisoda watazifanyia nini ndani ya huo Muungano? Kama France mwenyewe, Germany, UK, Poland... top dog hapo EU wanaogopa kukutana ana kwa ana na Russia. Finland atafanya nn?

Russia anatengeneza silaha zake mwenyewe, almost nchi zote EU ama ndani ya NATO ukizitoa zile top zinategemea silaha kwa manunuzi kutoka kwa shangazi yao US. Watafanya nini?

The farthest distance kutoka Russia ndani ya Europe ni UK, ambapo Russia anaweza fikisha madhara ndani ya dk 3-4 ukitokea Kaliningrad. Je hawa waliopo kikwapani watafanywa nini?

Mahaba ya upande flan kwa kila mtu yapo ila this is too much 😏, sijui ndio kuishiwa hoja comments nyingi kutoka kwao zimekua kama mipasho isiyo na uhalisia. Ni kutype ilimradi kiumbe kime'type.

Unajionaje mchambuzi kama Unashindwa tofautisha Politics vs Reality.

Matumizi mabaya ya mwili yanaharibu sana akili. Vijana wenzetu em acheni hizo mambo muweze kubana pumzi ubongo upate hewa ufanye kazi kwa ufasaha. Mnaboa sio siri nyie wazee!
Umemaliza Mkuu,Sasa pumzika,umepiga Kila engo,hakuna ulichoacha.umetisha baba,umesema ukweli mtupu,na ukweli ni kama namba,na namba hua hazidanganyi.
Finland vs Urusi kwa namba hazibalance kabisa.
Big up Bro.
 
Wazushi tu warusi wamemkamata binti wa watu ili waonekane wapo makini

Kama wangekukuwa hivyo wanavyojiaminisha wangezuia huo mlipuko kabla haujaleta madhara.

Kwakuwa ni nchi ya kidikteta huyo binti atakuwa mbuzi wa kafara kwa viongozi wasiotaka kuwajibika.

Binti mwenyewe anasema na amekiri kwamba alitumwa. Wewe unadai eti "Anaonewa".
Hivi nyie LGBTQI mnafikiri kwa kutumia kiungo gani?
 

US, EU exploring ways to cut dependence on Russian energy​

United States Secretary of State Antony Blinken says his country and the European Union are exploring ways to further reduce Europe’s dependence on Russian energy.

“Russia’s weaponisation of energy is underscoring the urgency of that task and an opportunity to accelerate our progress” in the global clean energy transition, Blinken told reporters after a meeting with EU foreign policy chief Josep Borrell in Brussels.

“We will focus on how we can further reduce European dependence on Russian energy and boost the Euro-Atlantic region’s clean energy production,” he said.

Westerns ni wachawi sana. Wao wanatafuta options za kuachana na energy ya Russia... Lakini nchi nyingine wakiwa wananunua hiyo energy ya Russia, wao westerns wanaumia sana na kutishia kuweka vikwazo.

Huo kama sio uchawi ni kitu gani.
 
Mkuu T14 Armata

Matusi ya nini... kwani ulilazimishwa kupiga punyeto mkuu wangu?
Mimi nachofanya ni kuuliza tu mbona hukujibu ulipoulizwa kuhusu upigaji wako ya punyeto.
Jibu si nimekupa, una nyege? Kama dildo halikutoshi vaa kimini ingia Riverside
 
Ngoma bado mbichi Bakhmut

AP23085737433678.jpg

Ukrainian soldiers ride atop an armoured personnel carrier on the front line in Bakhmut, Ukraine [File: AP Photo/Libkos]

The battle for Bakhmut is not over and Ukraine is still fighting hard for the town. “Bakhmut is Ukrainian and they have not captured anything and are very far from doing that, to put it mildly,” Serhiy Cherevatiy, spokesperson for the eastern military command, told Reuters news agency by phone.
Warusi wanaipiga punyeto bakhumut [emoji23][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom