Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa mfano sheria inayokataza kuita vita "vita".
Mfano hukumu inayompeleka baba gerezani kwa sababu binti yake alichora shuleni bendera ya Ukraine kwenye picha.
Mfano uchaguzi bandia
Mfano sheria inayokataza kupinga vita

Vifo: sawa vitani wanakufa kila upande. Ila mmoja alianza. Vifo hivyo si lazima wala mapenzi ya Mungu.
Hebu rudia ulicho andika kam kinaeleweka


Kufa ni kufa tu wa Ukraine kule wanafufuka sio
 
Tupate matangazo kutoka Kwa wadhamini wetu [emoji56][emoji56]
JamiiForums-874503176.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunazungumzia wanachama wa NATO, hiyo statement haijata mtu wa nje. Na kinyume cha NATO kuna kikoba cha watu masikini kilikuwa kinaitwa Soviet Union kilipigania North Korea, kikapigana Afghanistan kikashindwa na Mujahedeen, baadae maisha yakawa magumu kikavujika na sasa kikapigana chenyewe. Who is the boss between the two?
PUMBA. Kwenye nchi aisisizo za NATO mnafataga nini?
 
Halafu mabilionea India na Malaysia wanakuja USA kununua T-Bill and T-Bond kwa USA dollars?
Huwezi shindana na USA kwneye currency,’ ni porojo tu

Russia ina mabilionea wengi sana,wana invest sana kwenye real estate na faida kununua T-bill kwa hela ya kimarekani.

Anyway,haya ni mambo ya kitaalam acha niishie hapa
Nchi inawahitaji wataalamu kama nyinyi kukosekana kwako tunashindwa kwenda mbele kabisa
 
[emoji298]️China’s Ambassador to the EU, Fu Cong, said that statements about "no limits to friendship" between China and Russia are "nothing but rhetoric", The New York Times reported.

He also said that China was not on Russia's side in the war and does not recognise Crimea as Russian, as well as other Ukrainian territories "included" into the Russian Federation.

[emoji328]: Courtesy of Chinese Mission to the EU
JamiiForums-1891528610.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️China’s Ambassador to the EU, Fu Cong, said that statements about "no limits to friendship" between China and Russia are "nothing but rhetoric", The New York Times reported.

He also said that China was not on Russia's side in the war and does not recognise Crimea as Russian, as well as other Ukrainian territories "included" into the Russian Federation.

[emoji328]: Courtesy of Chinese Mission to the EUView attachment 2577332

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani xi ataenda lini Ukraine au bado simu hazipokelewi
 
OPINION: Murder at Café Putin

No, it’s not a new film based on an Agatha Christie novel, but it might well be. The recent assassination of a notorious Russian milblogger is rife with vicious intrigue.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Trump Charged With 34 Felony Counts, Pleads ‘Not Guilty’

The former U.S. president is in deep trouble again, accused of 34 felony counts, including falsifying business records. This time he faces prison if convicted.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
IMG_20230405_154413_770.jpg


From Slavyangrad's graphics illustrator:

The summary of the daily ploink. Please note that those UKR forces destroyed by Wagner are often not counted by the daily ploink. Therefore in this instance the 'Donetsk direction' means the battles of Avdeevka and Mariinka.
 
Sawa mkuu lakini musk anataka kuonana na Rais wa China baada ya kuanza kuhisi tatizo kwenye dollar,

Hivi umeshajiuliza siku mchina akisema kuanzia sasa mtu yeyote akitaka kufanya biashara na China watumie yuan au pesa ya nchi husika ni nini kitatokea kwenye Dollar????

Halafu angalia ni nchi ngapi zimehifadhi dollar Kwa ajili ya kununua bidhaa uchina,

Ni swala la muda tu dollar itakuja kupoteza sokoni na ndiyo sababu ya SMO kufanyika taratibu ili kuchelewesha muda

Petrol inaenda kuipiga chini dollar
Hicho kitu akiwezi kutokea
 
OPINION: Blood-red Lines Connect Kremlin Wars in Syria and Ukraine

It is time to address the parallels between Putin’s two bloody wars, both ongoing for a decade on two continents, the consequences of his aggression, and the responses needed.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu lakini musk anataka kuonana na Rais wa China baada ya kuanza kuhisi tatizo kwenye dollar,

Hivi umeshajiuliza siku mchina akisema kuanzia sasa mtu yeyote akitaka kufanya biashara na China watumie yuan au pesa ya nchi husika ni nini kitatokea kwenye Dollar????

Halafu angalia ni nchi ngapi zimehifadhi dollar Kwa ajili ya kununua bidhaa uchina,

Ni swala la muda tu dollar itakuja kupoteza sokoni na ndiyo sababu ya SMO kufanyika taratibu ili kuchelewesha muda

Petrol inaenda kuipiga chini dollar

Macron, Ursula wanakwenda China baada ya Biden kutopokelewa simu zake.

Xi- “ changes are coming after 100 yrs” huyu US anayepeleka silaha Taiwan unafikir China atamsikiliza au kumwelewa??. US ambaye anataka China amtenge Russia ili agenda zake zitimie unafikiri China yuko tayari??. Mbaya zaidi Xi kwenda Russia kiliwaumiza sana.

Siasa chafu za US walizopanda kwa muda mrefu ndo matokeo tunayoyaona sasa, wanavuna walichopanda. Walifikiri dunia ni yao hii, acha tuone nani mshindi.
 
Mkuu China haitaki USD ishuke haraka. Maana imejenga akiba kubwa ya USD (pesa, hisa, madeni ya serikali za US) na USD kama ingeporomoka ingekuwa hasara kubwa kwa China. Pia nguvu ya uchumi wa China inategemea hali ya sarafu yake. USD ikishuka, bidhaa za China zitakuwa ghali zaidi.
China inatunza akiba kubwa kabisa ya USD duniani (nje ya Marekani) inataka kutunza thamani yake.
Mabadiliko yote lazima yatokee polepole sana.


China ya Buza labda unaongelea asee. You know nothing.
IMG_9732.jpg
 
Umri wastani wa wanaume Urusi : Miaka 67 (wanawake si walevi vile wanafikia wastani miaka 76, hivyo takriban miaka 70 kwa jumla)
Umoja wa Ulaya: wastani miaka 81
Marekani: miaka 77 wastani kitaifa (hapa lazima kuzingatia idadi kubwa ya maskini na ubaguzi wa rangi! - watu weusi wana wastani kama Warusi)

Viwanda vya Urusi vilitoa magari 450,000 kwenye mwaka 2022, vilitoa milioni 1.2 kwenye mwaka 2021.
Kuhusu hali ya maendeleo nchini: Jielimishe kwa mfano kuhusu Inguchetia na Tuva. Zote maeneo maskini sana (na hali halisi maeneo yasiyo ya Warusi, ni koloni zilizovamiwa na urusi kwenye karne ya 19 na 20). Warusi wanawekeza katika mji kama Moscow na Peterburg - huko kwenye maeneo ya mbali wanapuuza hali ya watu.
View attachment 2577093
View attachment 2577097
Lorino, Siberia, Urusi (sawa picha za majengo yalioharibika unaweza kupata hata kuhusu miji ya Marekani, ila hali ya vijiji ambako watu wanaishi ni jambo tofauti...)
Acha propaganga zako za ajabu sana hivi hujawahi kuona decaying cities nchini Merikani - sehemu nyingine ni chafu na ovyo kuliko hata shanties za Kibera na baadhi ya vitongoji vya South Afrika - hayo wadanganye watu ambao hawajawahi kutembea nje ya Afrika, umewahi hata kulinganisha miundo mbinu ya hivi sasa huko Merikani na Uchina tofauti zake ni kubwa mno kama kulinganisha mbingu na Dunia, Wachina wako mbali sana kwenye masuala ya barabara,reli,mawasiliano na ujenzi wa makazi ya watu, afya - Sasa tembelea madaraja reli na barabara za huko Merikani huwezi amini ukilinganisha na za Uchina ambazo niza kisasa kabisa na mpangilio mzuri

Sasa tuje kwenye kuzungumzia masuala ya umri wa kuishi: kwani Vitabu vya biblia vinasema nini kuhusu binadamu wanapaswa kuishi miaka mingapi? si vinasema wanadamu generally wataishi makumi mawili matatu na kumi moja (20X3)+10 =70 ukiishi zaidi ya miaka 70 hiyo ni bonus kutoka kwa Mungu. Sasa haya ya kusema Warusi wanakufa mapema kutokana na unywaji pombe wa kupindukia, kama ni kweli Russians si lolote si chochote mbona wako mbali sana kwa masuala ya sayansi na teknolojia na mechanised Agriculture na uzalishaji wa fertilizer na silaha za kisasa - tangu lini watu walevi wakapiga hatua za kimaendeleo.

Ninacho kiona hapa unarudia rudia campaign zile zile za magharibi zenye lengo la kuisema vibaya Urusi na kujaribu kuidhalilisha na watu wengi wa west na baadhi ya waswahili wana amini upuuzi wa MSM na make believe Hollywood movies ambazo mambo mengi wanaweka chumvi mno.
Mkuu sijali majenerali kwa jumla kama ni Poland MArekani Urusi.... Ila hadithi hiyo tumejadili tafadhali lete hoja badala ya mahubiri:
1) mantiki gani kuficha majenerali wa NATO Lviv kwenye handaki kama wangeweza kufanya kila kazi waziwazi kiomita 20 kutoka Lvin nchini Poland ???
2) mantiki gani ukiamini taarifa kuwa "Warusi wamekuta maiti 40 za WaNATO baada ya pigo" kama mahali pa tukio paliripotiwa ni Lviv (baadaye walihamisha kwenda Kyiv) - yote miji pasipo Warusi!!!
3.) Mantiki gani jeshi la Urusi lina mafanikio makubwa lakini hapa hakuna neno rasmi kutoka siasa au jeshi la Urusi???? Taarifa zote ni mablogu ya propaganda tu bila uthibitisho wa jeshi la kirusi??

Swali la uwezo wa Kizhal kufikia kina hili tuache sasa, 1-3 itoshe.


Karibu sana!
Okay, ngoja tubadirishane mawazo kwanza - la kwanza: Jeshi la Ukraine limepewa amri kwamba wasionyeshe au kukubali matukio ambayo Urusi wamefanikiwa kuharibu/destroy some hyped critical military assents from the west - ili warusi wasijue silaha zao zimefanikiwa vipi kiharibu silaha walizo pewa na nchi za magharibi,, wamepigwa marufuku hata ku-record video clips na kupiga picha kuhusu mafanikio ya silaha za Urusi kiziharibu/teketeza silaha za magharibi chini Ukraine, huwezi kumsilia Zelensky akisema silaha wanazopewa na US/Zinatiwa kiberiti na jeshi la Urusi badala yake utamsikia Zelensky mara zote akiomba msaada wa silaha zaidi hasemi alizopewa kila siku zinaishia/kwenda wapi??

Kitu kingine Urusi inapofanikiwa kuzima njama za hizi za majenerali za kuwapatia intel info kwa jeshi la Ukraine kushambulia majeshi ya Urusi vile vile majenerali hao hao walikuwa wanahusika kuratibu mpango kababe wa massive counter offensive wa jeshi la Ukraine wakisaidiwa na some US/NATO troops,Mamluki nk,wanajeshi wa USA wanapigana kweli Ukraine ndio maana Blinken hapo jana alikuwa anamuomba Lavrov wabadirishane POWs ingawa Blinken hakutaka kutaja kwa jina hilo hilo kwa kuogopa political repercussions nchini mwake, si unajua viongozi wa Amerika walivyo wanawazuga Wamerika wenzao kwamba hakuna mwanajeshi hata mmoja wa Merikani anaye pigana kwenye aridhi ya Ukraine kumbe uongo mtupu - sasa US imehumbuka.
[emoji298]️China’s Ambassador to the EU, Fu Cong, said that statements about "no limits to friendship" between China and Russia are "nothing but rhetoric", The New York Times reported.

He also said that China was not on Russia's side in the war and does not recognise Crimea as Russian, as well as other Ukrainian territories "included" into the Russian Federation.

[emoji328]: Courtesy of Chinese Mission to the EUView attachment 2577332

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha magreen yako - Uchina haiwezi kusema mambo kama hayo dhidi ya Urusi hata siku moja - hizo ni fake news,, hata mtu ambaye hajawahi kwenda shule akipitia habari hizi atajua ni za kuchonga tu.
 
China ya Buza labda unaongelea asee. You know nothing.
View attachment 2577430
Mkuu naona hata kama si rahisi kupokea habari kutoka kwa "You know nothing", labda itakusaidia kujua kwamba
a) ni kweli wamepunguza hizo dhamana za wizara ya fedha za MArekani (treasury bonds yaani dhamana za muda mrefu kama miaka 10- sababu zinatajwa katika makala) lakini
b) badala yake waliongeza kununua hati nyingine za taasisi za kiserikali za Marekani (federal agency bonds)

Ninavyoona kwa jumla akiba ya China ya hati za USD haikupungua. Kama umeona hesabu tofauti, tafadhali utuonyeshe!
 
Back
Top Bottom