Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha propaganga zako za ajabu sana hivi hujawahi kuona decaying cities nchini Merikani - sehemu nyingine ni chafu na ovyo kuliko hata shanties za Kibera na baadhi ya vitongoji vya South Afrika - hayo wadanganye watu ambao hawajawahi kutembea nje ya Afrika.
Mkuu kuwepo kwa miji yenye hali mbaya Marekani nimetaja mwenyewe
ila labda turudi kwenye data gumu zaidi.
Kuhusu hali duni ya maisha Urusi hujaleta hoja. Yaani Marekani wastani wa umri hufikia miaka 78 lakini watu weusi wanaobaguliwa na kuwa maskini zaidi huko Marekani wanaishi miaka 70 pekee - sawa na Warusi kwa jumla.
Unaelezaje tofauti kama hiyo katika nchi ambayo jinsi ninavyosikia kutoka kwako
  • ni tajiri vile , ni kiongozi wa utajiri wa gesi na mafuta na malighafi yote
  • ni kiongozi wa tekinolojia duniani ???
Kwa nini haiwezi kulisha watu wake na kuwapa huduma za afya ili waishi muda mrefu kuliko kundi linalobaguliwa na kuwa maskini nchini Marekani??
 
[emoji298][emoji298]
1680705484095.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna Taarifa Baadhi ya Kikosi Kazi cha Urusi Chenyewe Kimeingia Bakhmut Kumaliza Shughuli Maana Kuna Baadhi ya Wanajeshi wengi wa NATO wamepelekwa Kule
Taarifa Zinasema Kuanzia Majuzi Ukrein Inachapika Sana Kiasi Leo Zele Kasema Kutokana na Kupoteza kwa Jeshi lake Kuna Maamuzi inabidi Wayafanye Huko Bakhmut
 
Every country which provides assistance to Russia in its war against Ukraine becomes an accomplice to aggression and a violator of international law. It is not in China's interest.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
President of Ukraine Volodymyr #Zelensky and First Lady of Ukraine Olena Zelenska have arrived at the Presidential Palace in #Warsaw.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
It is important that #NATO Allies continue to support #Ukraine in its fight against Russian aggression and also support Ukraine after its victory in this war as the aggressor state will remain its neighbor.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
French President Emmanuel #Macron and his U.S. counterpart Joe #Biden agreed during a phone call, before the French leader visited Beijing, to engage #China to speed up the end of Russia's war against Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna Taarifa Baadhi ya Kikosi Kazi cha Urusi Chenyewe Kimeingia Bakhmut Kumaliza Shughuli Maana Kuna Baadhi ya Wanajeshi wengi wa NATO wamepelekwa Kule
Taarifa Zinasema Kuanzia Majuzi Ukrein Inachapika Sana Kiasi Leo Zele Kasema Kutokana na Kupoteza kwa Jeshi lake Kuna Maamuzi inabidi Wayafanye Huko Bakhmut
Kwa jinsi wanavyokakomalia hako kamji kasibebwe (tyr kishabebwa) ndio nguvu zao zilipobaki za mwisho. Baada ya Bakhmut muenendo mzima wa vita utabadilika.
 

Kanali Mrusi Igor Girkin anaona hatari ya kushindwa kwa nchi yake. Girkin aliongoza vikosi vya Urusi wakati wa uvamizi wa Krimea na Donbas kwenye mwaka 2014.
Anaona nchi yake ilianza vita bila maandalizi mazuri na sasa iko hatarini ya kushindwa.
 
Kuna Taarifa Baadhi ya Kikosi Kazi cha Urusi Chenyewe Kimeingia Bakhmut Kumaliza Shughuli Maana Kuna Baadhi ya Wanajeshi wengi wa NATO wamepelekwa Kule
Taarifa Zinasema Kuanzia Majuzi Ukrein Inachapika Sana Kiasi Leo Zele Kasema Kutokana na Kupoteza kwa Jeshi lake Kuna Maamuzi inabidi Wayafanye Huko Bakhmut
Mkuu labda utueleze:
kama kuna wanajeshi wengi hivi wa NATO wanaongia Ukraine, kujaa mahandaki ya Mariupol, sasa pia Bakhmut - mbona hatuoni picha zao wakati wanafungwa??
Au hawafungwi wale wa NATO tofauti na askari wa Ukraine wanaobadilishwa mara kwa mara kwa wafungwa Warusi??
Kwa nini media za Kirusi wanaonyesha wafungwa Waukraine zinaficha wafungwa wa NATO?
Mbona tuna ona tu hao wachache waliojitolea kwa hiari yao kutoka magharibi, lakini hatuoni wanajeshi wengi wa NATO???
 
NATO NATO NATO nimekuita Mara tatu ukishupaza shingo utabomolewa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kiev ‘not ready’ for new offensive – ex-Polish army commander.

Ukrainian President Vladimir Zelensky is visiting Poland to prepare a “diplomatic coalition” for eventual peace talks with Russia, retired Polish general Waldemar Skrzypczak has claimed. He argued that Kiev cannot achieve its aims on the battlefield, and will need Western support for negotiations with Moscow.

Skrzypczak was speaking to the Rzeczpospolita newspaper on Wednesday, as Zelensky arrived in Warsaw to meet senior officials. The former commander of the Polish Land Forces rejected the idea that Ukraine should use Western weapons for a last-ditch offensive against Russia – a scenario reportedly being pressed upon Kiev by its foreign backers.

“Pushing the Ukrainians into an offensive is unjustified at the moment, because they are not ready for it. Now it’s time for politicians,” Skrzypczak argued.

The retired general believes that “neither side has an advantage” on the battlefield and that there is “no chance of a military end to [the conflict].”

The Polish government is among the most vocal supporters of Ukraine in its confrontation with Russia. Zelensky has traveled to the country to meet with Polish President Andrzej Duda and Prime Minister Mateusz Morawiecki, among other officials.

Warsaw has described the occasion as the first “official” visit by the Ukrainian leader since hostilities escalated in February 2022, even though Zelensky previously passed through Poland on his way to the US and the UK. According to Warsaw, the trip demonstrates Poland’s important international role.

Publicly, the US and other Western nations have pledged to assist Ukraine “for as long as it takes” to inflict a strategic defeat on Russia. Kiev has vowed not to negotiate with Moscow until Ukrainian forces have regained control of all its former territories, including Crimea. Moscow has repeatedly said it is open to talks with Kiev on condition that it recognizes “the reality on the ground.” That includes the new status of four former Ukrainian regions which voted overwhelmingly to join Russia last autumn.

Skrzypczak, who resigned his command under then-President Lech Kaczynski in 2009 but went on to hold several roles in the Polish Defense Ministry, predicted that Ukraine’s chances of a military victory in the long run would be undermined by a dwindling level of foreign support.

“The West is slowly getting tired of the war, and voters that support aiding Ukraine are getting smaller in numbers. That is why it is necessary to build a front of support for Ukraine so that it has a strong voice in future talks,” he explained.
 
#Poland has handed over eight MiG-29 fighter aircraft to #Ukraine and is preparing to send six more jets.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kiev ‘not ready’ for new offensive – ex-Polish army commander.
Ukrainian President Vladimir Zelensky is visiting Poland to prepare a “diplomatic coalition” for eventual peace talks with Russia, retired Polish general Waldemar Skrzypczak has claimed. He argued that Kiev cannot achieve its aims on the battlefield, and will need Western support for negotiations with Moscow.
 
Kuna Taarifa Baadhi ya Kikosi Kazi cha Urusi Chenyewe Kimeingia Bakhmut Kumaliza Shughuli Maana Kuna Baadhi ya Wanajeshi wengi wa NATO wamepelekwa Kule
Taarifa Zinasema Kuanzia Majuzi Ukrein Inachapika Sana Kiasi Leo Zele Kasema Kutokana na Kupoteza kwa Jeshi lake Kuna Maamuzi inabidi Wayafanye Huko Bakhmut
Na mimi nimeiona hiyo habari.

Zeleboy anasema baada ya Wagner PMC kuchukua AZOM Plant na kwa jinsi anavyopokea kichapo kikali... Anaenda kufanya "Right Decision"
Screenshot_20230405-183922_Telegram.jpg
 

Kanali Mrusi Igor Girkin anaona hatari ya kushindwa kwa nchi yake. Girkin aliongoza vikosi vya Urusi wakati wa uvamizi wa Krimea na Donbas kwenye mwaka 2014.
Anaona nchi yake ilianza vita bila maandalizi mazuri na sasa iko hatarini ya kushindwa.
Huyo Kanali wa Russia ni FSB, kwa hiyo usimuamini sana... ni kama yule kiongozi wa Wagner PMC - Prigozin uwaga anasemaga kwamba wameishiwa silaha.

WaUkraine wakija wanapoke kichapo heavily huku miji ikizidi kukombolewa.

Ni mbinu tu za kivita.
 
Back
Top Bottom