Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani katika huo muungano wa nato hakuna hata inchi moja iliyoweza kuunda kombora la hypersonic duuuuh urusi shikamoo
Марахаба мванангү hali halisi wanayo ila hawaridhiki bado kwa hiyo wanaendelea kuboresha.
Maana kombora la hypersonic si kitu, makombora mengi ya nchi zote hufikia kasi hii mwishoni.
Ila changamoto ni kuunda kitu kinachoweza kulengwa kikitembea kwa kasi kubwa ambayo kuna matatizo yake (sababu ni Физика ila naogopa kuandika neno hilo kwa herufi zetu kwa sababu wako wanaoogopa na kushtuka!).
Kwa hiyo wanajaribu kuboresha. Akina Putin waliridhika haraka zaidi hivyo wana chombo chenye matata ya kuilenga kama lengo linasogea...
 
Nato haikuenda Vietnam.
Ilienda Yugoslavia kuzuia mauaji ya Waislamu na Wakroatia na Waserbia (si sana kwa upendo lakini kwa hofu ya wimbi kubwa sana ya wakimbizi),
ilienda Afghanistan kwa sababu mwanachama wa NATO alishambuliwa kutoka eneo la Afghanistan.
Nato haikuenda Iraq ila nchi wanachama mbalimbali walienda wakifuata uwongo ulioaminiwa.
Heri tusikoroge kila kitu.
na wewe unaamin, Iraq kuvamiwa ni kosa nashukuru kwa hilo,
je, mvamiaji na yeye haki yake ni ipi ???
na Somalia yule yule mvamiaji kote huko, na he huyo mvamiaji ujasiri anautoa wapi, ??? au ndo ukimshambulia kwake NATO wanakuja, kumtetea ?

naomba unipe ufafanuzi kidogo, kwa nini NATO ilivamia libya ???

nani kawapa ruhusa ya kuingilia uhuru mataifa mengine???
 
Ukisikia Kuishiwa ndio huku
yaani Ukrein saivi Inaokoteza Wakupigana Vita
Sasahivi Haiangalii Uzee wala Ujana au Mtoto Nikupelekwa Vitani

Sasa huyu ndio Ruban Aliye Kamatwa huko mkoa wa Bryansk Baada Ya Ndege Vita yake ya Ukrein Kudondoshwa na Urusi
Yaani Ukimuangalia Mzee wawatu kisha Jichokea Leo hii Anapewa Jukumu la Kurusha Ndege Vita Akapambane na SU kweli!!
Huyu alipaswa Kuchukuliwa Picha na Kuwekw Makumbusho tu Akiwa Kajipumzikia sio Kupigana Na SU

IMG_20230405_211545.jpg

The first photo of the detained pilot of a Ukrainian light aircraft that crashed in the Bryansk region.

The downed pilot had a bulletproof vest and small arms - an AKS-74U assault rifle.
t.me/Slavyangrad/40…
 
na wewe unaamin, Iraq kuvamiwa ni kosa nashukuru kwa hilo,
je, mvamiaji na yeye haki yake ni ipi ???
na Somalia yule yule mvamiaji kote huko, na he huyo mvamiaji ujasiri anautoa wapi, ??? au ndo ukimshambulia kwake NATO wanakuja, kumtetea ?

naomba unipe ufafanuzi kidogo, kwa nini NATO ilivamia libya ???

nani kawapa ruhusa ya kuingilia uhuru mataifa mengine???
Mkuu Libya imeshtajwa hapa mara kwa mara. Kufunga anga juu ya Libya na kutoa rukhsa ya kutumia mbinu za kijeshi kwa utekelezaji ni azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa namba 1973 (ona hapa)
Somalia haikuwa NATO tena ilikuwa UMoja wa Mataifa moja kwa moja. Azimio la Baraza la Usalama namba 794 (pamoja na kura za Urusi na China) lilituma jeshi la UM;
Marekani ilikuwa sehemu kubwa ya jeshi hilo. Nchi nyingine: Australia, Bangladesh, Belgium, Botswana, Canada, Egypt, Ethiopia, France, Germany, Greece, India, Ireland, Italy, Kuwait, Morocco, New Zealand, Nigeria, Norway, Pakistan, Saudi Arabia, Spain, Sweden, Tunisia, Turkey, United Arab Emirates, the United Kingdom, and Zimbabwe.
Mkuu sasa nauliza: Nini imesababisha wewe kushika historia hii kama tendo la NATO????
 
Mkuu sasa nauliza: Nini imesababisha wewe kushika historia hii kama tendo la NATO????ni

Mkuu Libya imeshtajwa hapa mara kwa mara. Kufunga anga juu ya Libya na kutoa rukhsa ya kutumia mbinu za kijeshi kwa utekelezaji ni azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa namba 1973 (ona hapa)
Somalia haikuwa NATO tena ilikuwa UMoja wa Mataifa moja kwa moja. Azimio la Baraza la Usalama namba 794 (pamoja na kura za Urusi na China) lilituma jeshi la UM;
Marekani ilikuwa sehemu kubwa ya jeshi hilo. Nchi nyingine: Australia, Bangladesh, Belgium, Botswana, Canada, Egypt, Ethiopia, France, Germany, Greece, India, Ireland, Italy, Kuwait, Morocco, New Zealand, Nigeria, Norway, Pakistan, Saudi Arabia, Spain, Sweden, Tunisia, Turkey, United Arab Emirates, the United Kingdom, and Zimbabwe.
Mkuu sasa nauliza: Nini imesababisha wewe kushika historia hii kama tendo la NATO????
ni vigumu kutenganisha matendo ya USA na NATO !!!
 
94% of Ukrainians across all regions hold negative views of the Russian Federation, according to a sociological survey by the Razumkov Center.

Dislike towards Russia was expressed by 97% of residents of Central Ukraine and 90% of residents of Eastern Ukraine. These views are also held by 95,5% of respondents who use Ukrainian as a primary language and by 88% of those that communicate primarily in Russian.

Belarus ranks as the second most disliked country with 81% of Ukrainians expressing negative attitudes. Next comes Iran - 73,5%, China - 60%, and Hungary - 46,5%.

Respondents expressed positive attitudes most often towards Poland - 94%, Great Britain - 91%, Lithuania - 91%, Estonia - 90%, Latvia - 90%, and Canada - 90%.

The survey was conducted between February and March 2023 in all regions of Ukraine, with the exception of the temporarily occupied territories in Donetsk, Luhansk, Crimea, Zaporizhzhia, Kharkiv, Kherson Oblasts, and areas where hostilities are taking place.

Around 2,000 respondents over the age of 18 took part in the survey.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Libya imeshtajwa hapa mara kwa mara. Kufunga anga juu ya Libya na kutoa rukhsa ya kutumia mbinu za kijeshi kwa utekelezaji ni azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa namba 1973 (ona hapa)
Somalia haikuwa NATO tena ilikuwa UMoja wa Mataifa moja kwa moja. Azimio la Baraza la Usalama namba 794 (pamoja na kura za Urusi na China) lilituma jeshi la UM;
Marekani ilikuwa sehemu kubwa ya jeshi hilo. Nchi nyingine: Australia, Bangladesh, Belgium, Botswana, Canada, Egypt, Ethiopia, France, Germany, Greece, India, Ireland, Italy, Kuwait, Morocco, New Zealand, Nigeria, Norway, Pakistan, Saudi Arabia, Spain, Sweden, Tunisia, Turkey, United Arab Emirates, the United Kingdom, and Zimbabwe.
Mkuu sasa nauliza: Nini imesababisha wewe kushika historia hii kama tendo la NATO????
nafikiri hivo
kwa simple reasoning :
1.pope ni mbwa anakula watu~USA
2.NATO ni kundi la mbwa i.e USA, UK, far, Germ etc
3. NATO wote wanaokula watu( Mbwa)
 
In 1994, Ukraine was convinced by the U.S., the U.K. and Russia to remove nuclear weapons from its territory in exchange for security guarantees, which were later disregarded in 2014 when Russia invaded and annexed Crimea, violating the Budapest Memorandum.

Bill Clinton, former U.S. President, said on April 4 that he regrets persuading Ukraine to give up its nuclear arsenal.

Learn more: Clinton regrets persuading Ukraine to denuclearize in 1994

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Latest American Miltary Aid Package Focused on Things that Go “Bang”

In January America announced massive, heavy weapons shipments to Ukraine. Yesterday they followed up with another announcement but, this time, for things those weapons can fire.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
In the Bakhmut area, the Defense Forces of Ukraine eliminated 88 invaders, injured 124 more and destroyed enemy unmanned aerial vehicles, an electronic warfare station and an ammunition depot.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
In order to become a member of the North Atlantic Alliance, Ukraine must win the war as a sovereign, independent state, as well as make a successful transition from Soviet doctrines and standards to Western ones, which is included in a multi-year assistance program.#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The Russian aggression against Ukraine is aimed at destroying the rules-based international order, and Ukraine's victory in this war is in the interests of NATO and its security partners.#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naona hata kama si rahisi kupokea habari kutoka kwa "You know nothing", labda itakusaidia kujua kwamba
a) ni kweli wamepunguza hizo dhamana za wizara ya fedha za MArekani (treasury bonds yaani dhamana za muda mrefu kama miaka 10- sababu zinatajwa katika makala) lakini
b) badala yake waliongeza kununua hati nyingine za taasisi za kiserikali za Marekani (federal agency bonds)

Ninavyoona kwa jumla akiba ya China ya hati za USD haikupungua. Kama umeona hesabu tofauti, tafadhali utuonyeshe!

Kwa maoni yangu, wazalishaji na supplier ndo husababisha matumizi makubwa ya pesa husika, Kwa mfano China Kwa Sasa ndo mzalishaji na msambazaji mkubwa wa bidhaa za viwandani na teknolojia ya bei rahisi ,akiweka mbele matumizi ya YUAN kwenye soko lake inaweza kuchuana na Dora lakini sio kuipita Dora. Kuipita Dora itachukua muda. Ili pesa iaminike lazima uchumi wa nchi husika uwe stable
 
Back
Top Bottom