Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

At a joint news conference with the Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki, President Volodymyr Zelensky said Poland would provide Ukraine with an additional military assistance package, Suspilne news outlet reported.

"Today we are signing a document on the supply of Polish Rosomak armored personnel carriers, Rak self-propelled mortars, air defense systems, in particular the very effective Piorun," Zelensky said during his April 5 visit to Warsaw.

Ukraine's president also met with Polish President Andrzej Duda on his first official visit to Poland since the beginning of Russia's full-scale invasion.

After the meeting, Zelensky said Ukraine considered Poland "not only its partner but also a friend forever."

According to Ukraine's Presidential Office, the two leaders discussed assistance to the Ukrainian army, the return of Ukrainian children illegally deported by Russia, Ukraine's EU accession, and Euro-Atlantic integration, according to Zelensky's office.

[emoji991]: Ukraine’s Presidential Office

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna kipindi mmarekani alijiona kama mungu mtu, Hali ilivyo sasa haamini macho yake

Kitu ambacho nakiona Kwa Sasa Mchina anfurahia hivi vita kwasababu anapata mafuta Kwa bei ya chini wakati washindani wake ulaya na Amerika bei juu, pili Marekani inakuwa bize na urusi na hivyo kumpa nafasi Mchina kijitanua katika bahari ya china na maeneo ya karibu. Na hasa kuisumbua taiwan
 
Baada ya Miaka 10 Sasa Meli Vita Za Kirusi Zatia Nanga Saudia
Naona Saudia Kaanza Kujielewa Kutoka Kufumbazwa na Lile Taifa lahovyo

View attachment 2577564

IMG_9920.jpg

Dunia imebadilika sana kwakweli, leo hii tunaona African leaders wameamka akina Mseveni they don’t fear anyone. Hii ndo dunia tuliyokua tunaitaka kwa muda mrefu sio mpumbavu mmoja akisema muwe mashoga mnakubali.
 
Hatimae kupitia hii SMO, Saudi Arabia [emoji1210] imekuwa nchi huru.

Safi sana...

Russia atauza sana silaha na atapata deal nyingi sana hasa uarabuni kumbuka Iran watapokea ndge za Su-35 ambayo ni confirmed. Kwa kichapo Russia anachowatembezea NATO, Russia amedhihirisha NATO ni makaratasi uhalisia ni kama chama cha wakulima tu.
 
SIdhani. Mbali na makombora ya Sam - silaha gani za Urusi ni bora?? Hakika si vifaru vile tulivyoona Ukraine.
Ndege zao? Urusi haikuonyesha uwezo wa ndege zake katika vita hiyo, ndege zake nyingi zimebaki nje ya anga la Ukraine.
Menginevyo silaha nzito za Saudia hadi sasa hasa MArekani . kiasi kutoka Ufaransa, kidogo Uingereza, Uswidi...
Kirusi: TOS-1A pekee.Vifaa vidogo kutoka China. Ndege zote na pia roketi kubwa kutoka Marekani na Ufaransa.

Hata Kinzhal haikuonyesha mafanikio (maana nje ya Jamiiforums na propaganda iliyolipiwa na Moscow hakuna anayeamini hadithi ya handaki mita 130 chini ya ardhhi...)
 
Bora hata Russia katuonesha ana hypersonic kuliko muungano wa Mataifa 31 yaliyoshindwa kutengeneza Hypersonic. Umeandika pumba from the beginning nilishakuweka kwenye list yangu ya brain-washed “ You know Nothing dada”
 
Good move, lakini itachukua muda au haitwezekana Saud Arabia kuicha Marekani.Marekani ndo mlinzi wa huo utawala. Ndo mmana Arab spring haikufika saudia
Ndo keshaiacha Sasa,!
Kama ni ulinzi hata Urusi watamlinda,
Kama Maduro na Assad wanalindwa na Urusi Nini kitashindikana kwa ufalme wa Saudia?
Badilisheni mind set zenu,kua Marekani ndio Kila kitu .
 
Good move, lakini itachukua muda au haitwezekana Saud Arabia kuicha Marekani.Marekani ndo mlinzi wa huo utawala. Ndo mmana Arab spring haikufika saudia
Hiyo Unayo iita Arab Spring Muhusika wahayo yote nihuyo huyo Marekani
Anacho fanya ni Kuwagombanisha Wenyewe kwa Wenyewe au Kuweka Migogoro ya nchi kwa nchi
Huyo ndio Kirusi kikuu cha Migogoro Duniani
Ukifuatilia Ugomvi wa Saudia na Iran Ulikuwa Hauna Maana na sana Ulichochewa na Marekani
kwasasa Nchi nyingi Zimestuka Upuuzi wa Marekani
 
Back
Top Bottom