Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vifaa vya kisasa anavyo angekuwa han vita isingechukua muda mrefu. Anavitumia kulingana na uhitaji, mfano walipo leta himar aliongeza vifaa ndo maama hatusikii Tena ubora wa himars.
Eti hatusikii ubora wa HIMARS,vip kuhusu ubora wa hizi silaha,unausikia? Sio kila silaha iliyopo kwenye uwanja wa vita utapata habari zake

APV

Vehicle and fuel tanks

Tanks

Artillery

UAV

MRLS

Planes

Helicopters

Cruise missiles

Ant-aircraft warfare

Special equipment

Boat

Ships

Gun [emoji379]

Bullet

Vip una habari kuhusu performance ya silaha zote zilizotajwa hapo juu?? Au tuseme hazitumiki kwenye battlefield?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Video

View attachment 2578772

Hizi Sio Kumbi kumbi
Hizi sio Siafu wala mchwa
Fikiria Hali Ilivyo Ardh ya Bakhmut
Ukiambiwa Vita Inapiganwa Hapa Kweli Hii Nivita Sio mchezo
yaani Hii yote Ni Ukaidi wa Jitu moja Zele!!
Njugu zimemwagwa Kiasi chake yaani nahisi hapa Hata Nzi Alie kuwa Anakatiza Kaisha!
Hizo sio kasha ni risasi KBSA
 
The United States praised the skills of Ukrainian pilots who were tested for retraining to operate multi-role fighters.

“For Ukrainian pilots, the F-16 retraining program can be significantly shortened,” Ukrainian Air Force Aviation Commander Holubtsov said during TV national broadcast.

[emoji328]: Reuters

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Usiku mwema
URAAAAAAAAA
IMG_20230406_220134.jpg
 
Mbona umeongea kitu kimoja kwani hicho kikundi kinatolea wapi silaha
Mkuu wa hicho kikundi ni wa asili ya nchi gani?
Ongezea na jibu mujarrab[emoji116][emoji116][emoji116]
Gruppa Vagnera), also known as PMC Wagner (Russian: ЧВК «Вагнер», tr. ChVK «Vagner»; lit. 'Wagner Private Military Company'), is a Russian paramilitary organization. It is variously described as a private military company (PMC), a network of mercenaries, or a de facto private army of Russian President Vladimir Puti
Naomba tumsaidie kutafsiri hajui kilicho andikwa labda anajua Wagner ni nchi😄😄
 
Mwanzo Nilipomsikia Zele Akisema Ame Ghaili Kumpigia tena Simu XI Baada ya Maelezo aliyopokea Kutoka kwa Rais wa Ufaransa
Nikawaza Kulikoni
Lakini nilipo Angalia Hii picha Yachini Nikajua Kwanini Zele Kakata tamaa
hahaha Hii dunia raha sana
Kila Kitu kinamuda wake

View attachment 2578808
Ina maana macron hakufanya kikao na xi jinping??
 
Mkuu unajaribu kujibu mchango wangu kwa kujadili jambo tofauti??
Niliandika "Tafadhali lete majina ya hao majenerali! Maana majenerali ya nchi hizo yanafahamika. Nani hayupo tena, nani ametoweka???"
maana naona tukio hilo halikuwepo. Habari ingeweza kuthibitishwa kwa
a) kuleta majina ya majanerali wanaodaiwa kuwepo huko
au b) angalau kuimarishwa kwa kuleta taarifa rasmi ya jeshi la Urusi.

Sasa unajaribu kujibu kwa mahubiri marefu kuhusu roketi ile (ambako naona hujapeleleza mtupo wa kombora). Ukijaribu kutetea roketi ililengwa kwa kituo cha kamandi unaleta taarifa eti Warusi walishambulia stoo ya grenedi!!

Hujaleta chochote kinachoonyesha shambulio dhidi ya kamandi ya NATO katika Ukraine lilitokea wala chochote kwamba kituo cha kamandi kilikuwepo.

(na umeepukana kugusa sehemu nyingine za stori kuhusu mahali pake Lviv ambako "Warusi walikuta maiti 40" ilahali hakuna askari wa Kirusi aliyefika Lviv!!)
Sasa mkuu wewe ndio unajadili jambo tofauti au huelewi kiswahili vizuri...tumia kiingereza tuu kama vipi...nikueleweshe..kamanda ya kiswahili sio jenerali, utakua unaelewa kiswahili vibaya, mwambie mwalimu wako arekebishe hilo
Cha pili wewe unakataa Kinzhal haiwezi kupenya futi 400 ardhin..kwa taarifa yako..hizo bunker zilikua ni za USSR, wanahifadh humo silaha zote kali unazojua ww, baada ya muungano wa USSR kuvunjika silaha zikatolewa zikapelekwa Urusi, Ukrain akabakia na hizo bunker, akawa anazitumia kwa matumizi yake anayojua...kuna hadi maabara za US mle,
Na ndiko Zelensky alikokua anajificha kipindi cha mwanzox2 wa OP ya Mrusi, hata Biden alivyompa offer ya kutorokea US alikataa kwakua alikua anaamin yupo kwenye bunker madhubut ambayo hata nuclear haifiki chini kule..
Wageni waliokua wanaenda kuzungumza na Zelensky mwanzon mwa OP walikua wanafunikwa uso wasione wanakopitishwa, wakifika wanafunguliwa wakirud wanafunikwa tena, na wanakatazwa kwa viapo wasiseme walihisi mzunguko wa safari ulielekea vipi, walikula vyakula gani au vinywaji gani huko walikokutana na Rais wa ukrain.

Wewe utakataa na kubisha na kupropagandisha habari kwakua huenda ww ni mfaidikaji kwa namna moja ama nyingine na wawekezaji kwa mkono wa US kwenye mataifa yetu yaliyosukumwa kwenye umasikini na mataifa yenu ya kikoloni(umeitaja shinyanga, ambao ni mji maarufu kwa madini ya dhahabu na almasi, ila kwa nchini TZ huo mji hauna umaarufu wowote wa kumvutia mtu yoyote wa afrika kuutaja, ila hadi ukautaja basi kuna uhusiano kati wa kimaisha kati yko na huo mji)..hivyo unatumia njia ileile ya propaganda kuaminisha watu hapa uwongo wenu..tulieni sasahivi na nyie mmepata beberu wenu...tulieni km mbuzi machungani, beberu wenu urusi anakuja mkuu.
 
Mkuu sina sababu ya kumsifu yeyote asiyestahili sifa!
Naelewa tatizo la Marekani wana mfumo ambako muda wote mkuu anahofia uchaguzi unakuja kila baada ya miaka miwili-miwili - na pamoja na ujinga mkubwa (maana ni nchi mojawapo ambako utaalamu mkuu uko sambamba na ujinga mkubwa) katika nchi hiyo kuhusu dunia nje ya mipaka yake mara nyingi atafanya maazimio mabaya.
Maazimio mengine hadi jinai kabisa kama shambulizi ya pili Irak.
(ila - mbali na ushabiki- je tuko pamoja kukubali vita ya kwanza ya kutetea Kuwait??)

Sioni sababu yoyote kuvumilia propaganda ya kijinga kama ile ya handaki ya majenerali ya NATO iliyosemekana kutokea eneo la Lviv mita 130 chini ya ardhi.
Nimesikia mahubiri mengi hapa lakini sijamsikia hata MMOJA aliyejaribu kueleza yale yanaoonekana wazi kabisa: hakuna Mrusi Lviv (wala Kyiv) aliyeweza kutambua maiti 40, je majenerali wa NATO wafanye nini Lviv (kilomita 20 kutoka mpaka wa Poland eneo la NATO!!!), hao majenerali ni akina nani??? , kwanini jeshi la Urusi halikuwa na tangazo lolote???
Unakikosea kiswahili, makamanda wakubwa wa nato kwa kiswahili sio majenerali...kajifunze kiswahili vizuri mkuu..unakielewa kiswahili vibaya..hizo bunker za 400ft ukrain zipo..usikatae..na zimepigwa, sio moja wala mbili...ni karibia 4 km sio 6....na wliokuwepo humo ni makamanda wa ngazi za juu wa intelijensia ya NATO...tofautisha makamanda wa ngazi za juu na unachong'ang'aniza majenerali majenerali...hao majenerali unang'ang'anizia ili iweje?
 
Kyiv may be willing to negotiate on Crimea depending on outcome of spring offensive​

The hotel Gornoye Solntse, reportedly one of around 500 properties in the Crimean peninsula, including some belonging to senior Ukrainian politicians and business figures that were nationalized by local Russian-installed authorities, in Alupka, Crimea, on Feb. 8, 2023.

Alexey Pavlishak | Reuters

Ukraine would be willing to discuss the status of the Crimean peninsula if its army reaches Crimea's borders, a top official said.

"If we will succeed in achieving our strategic goals on the battlefield and when we will be on the administrative border with Crimea, we are ready to open [a] diplomatic page to discuss this issue," Andriy Sybiha, deputy head of Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy's office, told the Financial Times in an interview.

"It doesn't mean that we exclude the way of liberation [of Crimea] by our army," he said.

The FT report added that Sybiha's comments "may relieve western officials who are sceptical about Ukraine's ability to reclaim the peninsula and worry that any attempt to do so militarily could lead Vladimir Putin to escalate his war, possibly with nuclear weapons."

Kyiv has so far rejected any negotiations until Russian forces withdraw from the entirety of Ukraine, including the Crimean peninsula, which belongs to Ukraine under international law and which Moscow illegally annexed in 2014.

The FT report described Sybiha as a "veteran diplomat" who has long been at Zelenskyy's side. Sybiha said "the president and his aides were now talking specifically about Crimea, as Ukraine's army gets closer to launching its counteroffensive to regain territory," the FT wrote.
— Natasha Turak
Niwatakia mafanikio mema...[emoji23][emoji23]
 
Sasa mkuu wewe ndio unajadili jambo tofauti au huelewi kiswahili vizuri...tumia kiingereza tuu kama vipi...nikueleweshe..kamanda ya kiswahili sio jenerali, utakua unaelewa kiswahili vibaya, mwambie mwalimu wako arekebishe hilo
Cha pili wewe unakataa Kinzhal haiwezi kupenya futi 400 ardhin..kwa taarifa yako..hizo bunker zilikua ni za USSR, wanahifadh humo silaha zote kali unazojua ww, baada ya muungano wa USSR kuvunjika silaha zikatolewa zikapelekwa Urusi, Ukrain akabakia na hizo bunker, akawa anazitumia kwa matumizi yake anayojua...kuna hadi maabara za US mle,
Na ndiko Zelensky alikokua anajificha kipindi cha mwanzox2 wa OP ya Mrusi, hata Biden alivyompa offer ya kutorokea US alikataa kwakua alikua anaamin yupo kwenye bunker madhubut ambayo hata nuclear haifiki chini kule..
Wageni waliokua wanaenda kuzungumza na Zelensky mwanzon mwa OP walikua wanafunikwa uso wasione wanakopitishwa, wakifika wanafunguliwa wakirud wanafunikwa tena, na wanakatazwa kwa viapo wasiseme walihisi mzunguko wa safari ulielekea vipi, walikula vyakula gani au vinywaji gani huko walikokutana na Rais wa ukrain.

Wewe utakataa na kubisha na kupropagandisha habari kwakua huenda ww ni mfaidikaji kwa namna moja ama nyingine na wawekezaji kwa mkono wa US kwenye mataifa yetu yaliyosukumwa kwenye umasikini na mataifa yenu ya kikoloni(umeitaja shinyanga, ambao ni mji maarufu kwa madini ya dhahabu na almasi, ila kwa nchini TZ huo mji hauna umaarufu wowote wa kumvutia mtu yoyote wa afrika kuutaja, ila hadi ukautaja basi kuna uhusiano kati wa kimaisha kati yko na huo mji)..hivyo unatumia njia ileile ya propaganda kuaminisha watu hapa uwongo wenu..tulieni sasahivi na nyie mmepata beberu wenu...tulieni km mbuzi machungani, beberu wenu urusi anakuja mkuu.
Safi kabisa, Kamanda hapa umemkanda vizuri sana
 
Mkuu asante kwa jaribio la ualimu, sijaandika kamanda, bali kamandi ambayo ni kitu tofauti. Kama hujasikia bado basi angalia JWT jinsi wanavyotumia lugha.

Halafu unaendelea kutoa mahubiri marefu bila kujibu maswali ya kimsingi.

a) kuleta majina ya majenerali wanaodaiwa kuwepo huko
b) kuonyesha taarifa rasmi ya jeshi la Urusi.
c) eleza jinsi gani Warusi waliweza kutambua maiti 40 huko Lviv (hii ilikuwa stori yenyewe) ilhali hakuna askari Mrusi aliyefika Lviv.
d) eleza majenerali wa NATO wangetafuta nini Lviv wakiweza kubaki salama kabisa kando la Lviv upande wa Poland (kama hujatazama ramani bado - basi jaribu!)
 
Poland announced Zelensky's visit to Warsaw ahead of time because it isn't afraid of Russia, official says​

From CNN’s Alex Hardie and Sugam Pokharel

a456059e-0950-4021-98e3-fe96b0d98013.jpg
Lukasz Jasina, Polish military spokesman (CNN)(

Poland announced the visit of Ukrainian President Volodymyr Zelensky to Warsaw a few days before his arrival because “we don't feel so afraid of Russians anymore,” a foreign ministry spokesperson said Wednesday.

Zelensky met with senior Polish officials and signed bilateral agreements on Wednesday during his first official trip to Poland since Russia invaded Ukraine last year.
==========================

Hakuna anayemuogopa tena huyu Supa-pawa wa kuchora pamoja na nyuklia zote alizojilimbikizia.
Wee jamaa, acheni kujisifu basi.. kwani ile ahadi ya Putin kumlinda Zelensky asiuwawe na askari wa Urusi ameshaivunja?

Former Israeli leader says he received a pledge from Russian president: ‘I won’t kill Zelenskyy.’ Putin promised not to kill Zelenskyy: Ex-Israeli PM
Screenshot_20230407-002337.jpg
 
SIdhani. Mbali na makombora ya Sam - silaha gani za Urusi ni bora?? Hakika si vifaru vile tulivyoona Ukraine.
Ndege zao? Urusi haikuonyesha uwezo wa ndege zake katika vita hiyo, ndege zake nyingi zimebaki nje ya anga la Ukraine.
Menginevyo silaha nzito za Saudia hadi sasa hasa MArekani . kiasi kutoka Ufaransa, kidogo Uingereza, Uswidi...
Kirusi: TOS-1A pekee.Vifaa vidogo kutoka China. Ndege zote na pia roketi kubwa kutoka Marekani na Ufaransa.

Hata Kinzhal haikuonyesha mafanikio (maana nje ya Jamiiforums na propaganda iliyolipiwa na Moscow hakuna anayeamini hadithi ya handaki mita 130 chini ya ardhhi...)
wewe huwa kama wale Chawa wa Instagram kule wanaojua pumba ni hz na mchele ni huu...lakini hujifanya hawaoni ile siku iende..., ujuaji mwingi...huna lolote unalolijua...unaandika as if uliwahi kufika front line na kuzishuhudia hzo silaha kwamba si chochote...!!,, Russia angekuwa kama unavyotudanganya humu...US angekubali kudhalilishwa hv....bure kabisa ww!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Umeleta hoja nzuri, Mkuu kama hutojali naomba majibu:

Unadhani kwann mpaka sasa China haijafanya hili ulilolifikiri iwapo lina manufaa kwa sarafu yake? Ni nn kinamzuia kufanya hayo maamuzi?

February, tangu Urusi awekewe vikwazo pesa ya China ndo imeipita USD katika biashara nchini Urusi. Kabla ilikuwa imepuuzwa sana. Kwann Urusi aruhusu USD itawale katika miamala yake mpaka alazimike kuiacha kutokana na vikwazo? Hajaiacha kwa kutaka, amelazimika sababu ya vikwazo.

Kwanini USA bila kujali aweke vikwazo na kuhatarisha stability ya USD kwenye soko iwapo hata adui yake alikuwa akiiamini na kuitumia? Ni nn anachokiona kikitokea katika USD?
Majibu ni haya, US anatumia mabavu na vitisho kwa kila anachokitaka kwakua anaamini katika usemi "mwenye nguvu, mpishe apite" ndio maana anagharamia jeshi lake kubwa duniani hata kwa kupora nchi zingine atahakiki anajihudumia kwa kila amana iliyopo duniani, anaamin hakuna taifa kubwa duniani lililowahi kudumu, hivyo ndio maana haogopi kutumia chances zote anazopata kula bata, ila hata bahati mbaya akija kudondoka angalau ameweka heshima.

Uchina ni taifa linalotafuta upenyo alionao US, anaamin akikaa vizuri bila mgogoro na wenzie atamvua US nguvu aliyo nayo na kuichukua yeye, hivyo hataki mirija yake ikatwe kabla hajafikia malengo ya kuishika power aliyo nayo US,na hyo power imelala ulaya, ndio maana anakwepa mitego yote ya US, sakata la Huawei akasema sawa akanyamaza, sakata la Yuan-devaluation US alimchachamalia akasema sawa kaka haina shida, Puto akasema samehe kaka ile ni bahat mbaya, Sakata la Pelosi akakunja mkia kama mbwa mwoga kumbe ni chatu mwindaji, leo hii Westen wanamiminika pale Uchina..wanafuata nini? Wanaenda kumchimba mkwara, unaungana nasisi au tukukatie biashara zako west, huo ni mkwara kwakua hata uchina amezikopesha sana nchi za west kwenye kandarasi nyingi kafanya kwa mikopo nusu na nusu kawezeshwa..ana mikataba mingi sana na west, viwanda karibia nusu vya west vimewekezwa uchina kwa cheap labor wa kichina..hivyo wachina wakajibebea maarifa mengi ya west kiubweete..hivyo hii mikwara wanayomkimbilia mchina mbiombio ni kamari wanacheza la mikwara.
Urusi hana time na pesa ipi au pesa ya nani itamsaidia ktk international trade kwakua anajitosheleza huduma muhimu, chakula ajira technolojia na energy..hivyo yeye Urusi hana haja na kuishika dunia kwakua alishawahi kuwa hapo kwa umoja wa USSR akasambaratishwa na US...taifa ambalo lina uchu ni mataifa matatu..US, UK na China..UK anamtumia US kuupata msuli wa kupigia makabali yake anayoyataka, US anaitumia Ulaya kama justification(mhuri) ya anachokitaka iwe kinguvu au kivyovyote, Uchina anatumia ushawishi na diversification ya man power yake kufikia malengo..hvyo china hawezi ikataa Dollar wala Urusi hawez chagua ni fedha ipi atumie..yeye anachotaka ni transactions zake ziende sawa basi..
 
Back
Top Bottom