The second strongest army in the world
View attachment 2580528
Ndio maana panaitwa meat grinders. Hapo bakhumut palishakombolewa kitambo ila anachofanya ukraine ni mbinu ya kivita pia, ila ina madhara makubwa sana kwa upande wa ukraine.
Kivip? Ukraine anawekeza nguvu kubwa hapo bakhumut kwa lengo la kumchosha urusi, pia kumzuia urusi isiendelee kusonga mbele na kushikilia maeneo mengi zaidi.
Pia sababu nyinigine ni ya kisiasa pamoja na kipropanganda.
Na ndio maana ma specialist wa vita na wachambuzi walishasema bakhumut ilishaanguka kutokana na criteria za ushindi wa kivita ambazo hazipimwi tu kwa kuchukua eneo husika kwa asilimia [emoji817].
Ndo maana juzi mkuu wa wagner kasema legally bakhumut ishaangauka. Sasa nini zelesnky anafanya Ili kuaminisha jmma kua bakhumut haijaanguka??
Anachofanya zelezky ni hiki misaada anayotumiwa, mamluki pamoja na wanajeshi wa kiukraine wanaofundishwa nchi mbalimbali. Anawatuma in batalion bakhumut KILA baada ya mda fulani wakiwa full equipment na siraha za kisasa za nato na USA.
Ikifyekwa anatuma nyingine kwa sharti la kuto kusalenda au kuretreat.
That means wanajeshi wa ukraine hapo bakhumut wanapitia kipindi kigumu sana ila zelezky hajali na kwa kua bado risasi zinalindima hapo bakhumuti anasema bakhumut haijakombolewa.
Ndo maana wataalamu wa vita wakichukua hasara ya ukraine hapo bakhumut na nguvu anayoitumia wanaconclude kua ishaangauka kitambo.
Kipropanganda zelesky kafanikiwa pia kuwazuia warusi wasisonge mbele zaidi kwa kuwachelewesha hapo bakhumuti kafanikiwa ila ukweli haujifichi hii mbinu ni msiba KWA zelesky time will tell.
Upande wa urusi hata ikipigana miaka kumi hapo bakmuti hakuna anachokipoteza kwa sababu yeye malengo yake yanaendelea kutumia ambayo ni kuendelea kuwaua wanazi kuzoofisha jeshi la ukraine na kuifanya ukraine iendelee kua maskini
Pia kaa upande mwingine anaendelea kuizoofish NATO,USA Pamoja na umoja wa ulaya.
KWA hiyo mrusi kuwepo hapo bakhumuti hata kwa miaka kumi hakuna tatizo as longer malengo yake ya SMO yanatimia akiwa hapohapo bakhumuti.