Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56]



[emoji298][emoji298] From February 24, 2022 to April 8, 2023, the Armed Forces of Ukraine eliminated about 177,680 russian military personnel, including 570 soldiers over the past day.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]U.S. President Joe Biden signed a decree extending for another year the sanctions against russia which were imposed in April 2021 over harmful foreign activities of the russian government and expanded in March 2022 after moscow's full-scale invasion of Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]


[emoji298][emoji298] The Air Force of the Armed Forces of Ukraine launched nine strikes on enemy personnel and military equipment clusters over the past day. In addition, the Armed Forces of Ukraine destroyed a russian Su-25 attack aircraft near Marinka, Donetsk region.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na hili liemekuwa pigo kubwa sana kwa US. F.R Kennedy Junior kawachana ukweliView attachment 2580481 yaani mpaka hii vita inaisha na US atakuwa hoi
Kuna vi wachambuzi uchwara vya humu JF vitampinga huyo Mmarekani orijino kua hayo ni maoni yake na kua haijui Marekani kama vinavyoijua vyenyewe.
Vimo humu vingi TU.
Huku vikijisahaulisha kua huyo mwamba ni familia ya JF kenedy
 
Wewe ulitaka vita iishe kwa muda gani???!!! Halafu muwe mnatumia akili hata kiddogho tu kufikiri...mvitendee haki hivyo vichwa vyenu...Yaani Russia eti 'fake superiority'....Nchi zaidi ya 40 zinapambana na nchi moja halafu eti mtu anakuja na kusema nchi hiyo haina lolote??!! Akili ya wapi hii jamani??
Mkuu, baadhi ya jamaa hawa. ni vigumu kuwaelewa - ukiwahoji hivi Putin kama Putin aliwahi kuwakwaza vipi kimaisha - wanasahau kabisa kwamba Putin aliwahi kuishi Tanzania na Msumbiji kwa miaka mitatu akiwapatia wapigania uhuru mafunzo ya kijeshi - kakubali kuhatarisha maisha yake ili kuhakikisha Afrika inatokomeza manyanyaso ya Ukoloni - Hivi sasa ndio anashirikiana kisiri kutokomeza ushetani wa Unipolar World, NWO na Media hygemony - kwa bahati mbaya si watu wote Duniani wanaelewa dhamira yake nzuri ya kukomboa Dunia dhidi ya manyanyaso ya taifa moja linalo jifanya ni Miungu wa Dunia - God bless Vlad Putin a.k.a "Ivan the terrible"
 
Mkuu twende kwenye uhalisia,unafikiri counteroffensive ya augost 2022 russia hakuwa na hypersonic missiles.usa alishindwa vietnum licha ya kuwa mpaka na nukes.mkuu vita siyo rahisi kiuhalisia ila ni rahisi kihisi(hususani kwenye mitandao watu wanaishi fantasy world)
Hakuna offensive yoyote mliofanya ikafanikiwa. Russia alikuwa anafavya strategy ya kuondoa majeshi baadhi ya maeneo na kuwapeleka maeneo muhimu

Kwanini hiyo counteroffensive yenu haikuendelea??

Russia hataki kuiumiza Ukraine lakini mnamlazimisha na hakuna counteroffensive mtakayokuja kuifanya kwa sasa mkafanikiwa
 
Kitu ambachoa marekani kweli amebobea ni Uongo, propaganda, uchonganishi na vitisho (Biti) ila kwenye vitendo US mi muoga na uwezo mdogo sana.

Pale Libya alienda na eskoti ya Nato, pale Iraq pia alienda na France na UK... pamoja na hayo walichukua mda mrefu kuishinda Iraq.

Aliltaka kuleta ujuaji pale Venezuela, Urusi alipoingilia akachimba, alileta ujuaji Syria alikipata cha mtema kuni. Pia alileta ujuaji Somalia aliishia kuaibika.

Sitaki kuzungumza ya Taliban, sasa anadhalilika pale Ukraine.

Kwa hali halisi ni nchi gani sasa itaiogipa US, nani atachukua tena order kwake zaidi ya westerners wenzake? Anapoteza influence Asia, Africa na sasa Middle na Far east. Hadi familia ya mfalme wa Saud Arabia imeamua kumtema... hii ni mbaya sana!

Sasa Biden atakua na wakati mgumu kurudi ikulu he failed miserably.... hakuna tena cha hegemony.. mpaka mseven anavimba.

Hakuna kisicho na sasa Us amepoteza rasmi kua global hegemony country.. ile dollar na mifumo ya kibenk sasa inapatiwa dawa.
Mastermind.
Vladimir vladimilovic Putin.
 
Mkuu upo serious au unatania?Rejea mwanzoni mwa vita majaribio ya kumuua au kumwondosha ikuru(kuwa ni kiongozi wa neo nazi).mpaka kuombwa wanajeshi wa ukraine wampindue ili vita iepukwe.mkuu jaribu kuangalia uhalisia au otherwize si mfuatiliaji wa vita hii hasa kabla ya 2014.
Hao wanajitoa akili tu, ukweli wanaujua vizuri sana!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba hawezi anawezaa shidaa ni akiingia moja kwa moja atawekewaa vikwazo na biashara nyingi zitaziliwaa hivyoo Russia na china wote watapotezaa so yupo nutral ili urusi isimame
Nani anaogopa vikwazo kwa sasa? Vikwazo gani marekani anaweza kuweka kwa sasa wakati dola inapigwa pini kimyakimya?
 
Kuna kitu kinaitwa "3:1 Rule of Combat". Invading force inabidi iwe kubwa mara tatu ya defending force kama wana nguvu sawa kwenye front. Russia inahitaji wanajeshi wengi zaidi kupiga Bakhmut kuliko Ukraine. Hivyo hivyo kwenye loss za KIA na WIA Russia inapata wengi zaidi ya Ukraine kwa mathematical model hii ambayo iko proved since WW1 na WW2 na vita mbalimbali.

Russia nayo inapoteza wanajeshi, inatumia resources na budget, inapoteza zana za kivita, wear and tear inaleta logistical nightmare na service, battle fatigue, demoralising the troops watu mnapigana tangu May 2022 mnatokea Luhanks iko chini ya Urusi tangu 2014 na iko kama 150km kutoka Bakhmut ilipo ila hadi leo kuchukua eneo lililo umbali wa 150k mnashindwa wakati mnajiita second strongest army in the world. Nchi ishaanza kutumia vifaru model ya enzi Mwalimu Nyerere anavaa kaptula wewe unadai inaweza pigana miaka 10[emoji23]View attachment 2580719

Kuwazuia Warusi wasisonge mbele sio propaganda, ndio vita yenyewe hiyo, au ulitaka waimbiwe kwaya. Kwani malengo ya Ukraine ni nini kama hilo sio mojawapo.
Urusi haina uwezo kupigana sehemu yoyote miaka kumi, labda wawe waasi wavaa makatambuga. Last time I checked USSR ilipigana na Mujahedeen pale Afghanistan wakashindwa vita wakaondoka 1989, na 1992 wakavunjika muungano. Hapo walijitutumua kupigana miaka mingi wakaambulia kusaga uchumi wao, Russia yenyewe ndio ilikuwa mstari wa mbele kuvunja muungano.
Lakini nyinyi ndo mlituambia kuwa Urusi haiwezi kumudu gharama za vita hata kwa mwaka mmoja.
 
Kuna vi wachambuzi uchwara vya humu JF vitampinga huyo Mmarekani orijino kua hayo ni maoni yake na kua haijui Marekani kama vinavyoijua vyenyewe.
Vimo humu vingi TU.
Huku vikijisahaulisha kua huyo mwamba ni familia ya JF kenedy
Acha visukume mda tu; wenye akili wameshaona kuwa US kabigi hapo.

Nashani nyuma ya pazia maadui wa US watampa VP support kuhakikisha hii OP haishi mapema
 
Mkuu upo serious au unatania?Rejea mwanzoni mwa vita majaribio ya kumuua au kumwondosha ikuru(kuwa ni kiongozi wa neo nazi).mpaka kuombwa wanajeshi wa ukraine wampindue ili vita iepukwe.mkuu jaribu kuangalia uhalisia au otherwize si mfuatiliaji wa vita hii hasa kabla ya 2014.
Kwahiyo unadhani Russia wakimtaka VZ hawawezi kumpata? Ni hivi akiuwawa comedian na vita inaisha; wenye operation yao wameona jinsi hiyo vita inavyowaumiza wapambe hivyo wameona iendelee.
 
Kuna kitu kinaitwa "3:1 Rule of Combat". Invading force inabidi iwe kubwa mara tatu ya defending force kama wana nguvu sawa kwenye front. Russia inahitaji wanajeshi wengi zaidi kupiga Bakhmut kuliko Ukraine. Hivyo hivyo kwenye loss za KIA na WIA Russia inapata wengi zaidi ya Ukraine kwa mathematical model hii ambayo iko proved since WW1 na WW2 na vita mbalimbali.

Russia nayo inapoteza wanajeshi, inatumia resources na budget, inapoteza zana za kivita, wear and tear inaleta logistical nightmare na service, battle fatigue, demoralising the troops watu mnapigana tangu May 2022 mnatokea Luhanks iko chini ya Urusi tangu 2014 na iko kama 150km kutoka Bakhmut ilipo ila hadi leo kuchukua eneo lililo umbali wa 150k mnashindwa wakati mnajiita second strongest army in the world. Nchi ishaanza kutumia vifaru model ya enzi Mwalimu Nyerere anavaa kaptula wewe unadai inaweza pigana miaka 10[emoji23]View attachment 2580719

Kuwazuia Warusi wasisonge mbele sio propaganda, ndio vita yenyewe hiyo, au ulitaka waimbiwe kwaya. Kwani malengo ya Ukraine ni nini kama hilo sio mojawapo.
Urusi haina uwezo kupigana sehemu yoyote miaka kumi, labda wawe waasi wavaa makatambuga. Last time I checked USSR ilipigana na Mujahedeen pale Afghanistan wakashindwa vita wakaondoka 1989, na 1992 wakavunjika muungano. Hapo walijitutumua kupigana miaka mingi wakaambulia kusaga uchumi wao, Russia yenyewe ndio ilikuwa mstari wa mbele kuvunja muungano.
Makala zako za kishabiki hauna tofauti na Shigongo
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Nobody needs the Ukrainian state, so it will disappear and it will not be on the planet - Dimitry Medvedev
IMG_20230408_130357.jpg
 
Back
Top Bottom