Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian Air Force strike hit a plant in Konstantinovka last night, it’s still been burning in the morningView attachment 2580801
Konstatinovka ni balaa warusi wanashambulia kutokea angani na ardhini.wapo karibu kuingia kwenye mji
 
Mkuu, baadhi ya jamaa hawa. ni vigumu kuwaelewa - ukiwahoji hivi Putin kama Putin aliwahi kuwakwaza vipi kimaisha - wanasahau kabisa kwamba Putin aliwahi kuishi Tanzania na Msumbiji kwa miaka mitatu akiwapatia wapigania uhuru mafunzo ya kijeshi - kakubali kuhatarisha maisha yake ili kuhakikisha Afrika inatokomeza manyanyaso ya Ukoloni - Hivi sasa ndio anashirikiana kisiri kutokomeza ushetani wa Unipolar World, NWO na Media hygemony - kwa bahati mbaya si watu wote Duniani wanaelewa dhamira yake nzuri ya kukomboa Dunia dhidi ya manyanyaso ya taifa moja linalo jifanya ni Miungu wa Dunia - God bless Vlad Putin a.k.a "Ivan the terrible"
Putin hajawahi ishi Tanzania, wala Msumbiji, wala kufundisha wapigania uhuru. Bisha ulete facts nilete facts
 
Wewe ulitaka vita iishe kwa muda gani???!!! Halafu muwe mnatumia akili hata kiddogho tu kufikiri...mvitendee haki hivyo vichwa vyenu...Yaani Russia eti 'fake superiority'....Nchi zaidi ya 40 zinapambana na nchi moja halafu eti mtu anakuja na kusema nchi hiyo haina lolote??!! Akili ya wapi hii jamani??
Basi Russia ni superpower
IMG_20230408_151632.jpg
 
VIDEO



Baada Yakuona Mambo yamesha Kuwa Magumu kwao
Vikosi vya Ukrein Vikajaribu Kutoroka Kutoka
BAKHMUT
Kumbe Barabara Iliyo Bakia Yakutorokea Vidume Vilisha Ifunga Kitambo
Kilicho Fuata nikufyekwa Wote
Kwasasa Hakuna Kuingia wala Kutoka Waliobaki ndio Hivyo Wapambane mpaka Mwisho wao
Mpaka kufikia sasa Mnara wa Ndege Upo Mikononi mwa

WAGNER
 
Mkuu, baadhi ya jamaa hawa. ni vigumu kuwaelewa - ukiwahoji hivi Putin kama Putin aliwahi kuwakwaza vipi kimaisha - wanasahau kabisa kwamba Putin aliwahi kuishi Tanzania na Msumbiji kwa miaka mitatu akiwapatia wapigania uhuru mafunzo ya kijeshi - kakubali kuhatarisha maisha yake ili kuhakikisha Afrika inatokomeza manyanyaso ya Ukoloni - Hivi sasa ndio anashirikiana kisiri kutokomeza ushetani wa Unipolar World, NWO na Media hygemony - kwa bahati mbaya si watu wote Duniani wanaelewa dhamira yake nzuri ya kukomboa Dunia dhidi ya manyanyaso ya taifa moja linalo jifanya ni Miungu wa Dunia - God bless Vlad Putin a.k.a "Ivan the terrible"
Mkuu uvamizi ni kawaida yao rusia.walivamia cremea,georgia,mordova na leo ukraine kwa sababu zinazofanana(imperial ambition)
 
Kichekesho baada ya matangazo.
Macron rais wa Ufaransa kaenda China kuonana na Rais wa China Xi Jinping kumuomba Ufaransa ijiunge Umoja wa nchi za BRICS ila kwa siri US wasijue.
ijiunge Umoja wa nchi za BRICS ila kwa siri US wasijue.
 

Attachments

  • _20230130_200043_1.JPG
    _20230130_200043_1.JPG
    19.1 KB · Views: 17
Back
Top Bottom