Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna offensive yoyote mliofanya ikafanikiwa. Russia alikuwa anafavya strategy ya kuondoa majeshi baadhi ya maeneo na kuwapeleka maeneo muhimu

Kwanini hiyo counteroffensive yenu haikuendelea??

Russia hataki kuiumiza Ukraine lakini mnamlazimisha na hakuna counteroffensive mtakayokuja kuifanya kwa sasa mkafanikiwa
Mkuu kwa bahati mbaya sitatoa maelezo zaidi.ni baada tu ya kukataa kuwa hakua counteroffensive iliyofanyika 2022 wakati leo russia anafanya offensive nyingine ku reclaim lyman na kupiasky(walifurushwa mwaka jana).mkuu mimi siyo shabiki na sina upande ila niko kwenye uharisia.amini unavyoamini!
 
Kwahiyo unadhani Russia wakimtaka VZ hawawezi kumpata? Ni hivi akiuwawa comedian na vita inaisha; wenye operation yao wameona jinsi hiyo vita inavyowaumiza wapambe hivyo wameona iendelee.
Mkuu hauko serious!maana maneno yako yanakinzana na hata hao unaowashabikia.sijawai kuona mtu anafurahia vita,vita ni uharibifu wa maisha,miundombinu na gharama.mkuu kwenye vita kila upande unapoteza.vita ni hatua ya mwisho katika maamuzi(rejea maneno ya kremlin kwamba walibakiwa na option moja ya mwisho ambayo ni vita)
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Machinjio ya Wanamgambo wa Ukraine.[emoji1787]
The road of death:

Destroyed Ukrainian military vehicles litter the road between Chasiv Yar and Bakhmut. Including Humvees, tanks, armored pickup trucks, IFVs and vans
Screenshot_20230408-155307.jpg
 
New info has just entered public domain regarding Ukraine, reportedly by a guy named Lucca.

It says Ukraine’s medium range air defense will be unable to protect frontline forces (FLOT) by 13 May as it will run out of missiles for those areas.

This is because Ukrainian AD prioritizes critical national infrastructure (CNI) like power stations/substations over FLOT.
IMG_20230408_160300.jpg
 
One of the documents also state that the Ukrainian 82nd Brigade will receive the 14 British Challenger 2 tanks and 40 German Marder IFVs.

The 33rd Brigade will receive majority of the Leopard 2A4, A5 and A6 tanks.

On the J4 Logistics part, it’s a bit blurry, but it seems to say that Ukraine has expended over 953k artillery shells and over 9500 Himars GMLRS rockets. It could be true as the US had already made over 50k GMLRS by 2021.

It also says that Ukraine uses ~2750 artillery shells per week and 14~GMLRS per week. This is likely referring to the usage rate for February and not for the whole war.
IMG_20230408_160435.jpg
IMG_20230408_160424.jpg
 
Mkuu kwa bahati mbaya sitatoa maelezo zaidi.ni baada tu ya kukataa kuwa hakua counteroffensive iliyofanyika 2022 wakati leo russia anafanya offensive nyingine ku reclaim lyman na kupiasky(walifurushwa mwaka jana).mkuu mimi siyo shabiki na sina upande ila niko kwenye uharisia.amini unavyoamini!
Hata T14 Armata, HIMARS na Tsh walianzia hivi hivi kusema hawana upande ila mwisho wa siku wakaumbuka.

Wewe tayari upande wako tunaujua kutokana na post zako za awali.
 
"Nyinyi" ndio akina "nyie"?
Nikajua utawataja na uquote waliposema hivyo maana unawajua kumbe umeamua kujiongelea. Sasa tutaaminije accusations zako
Nyie proNato acha kujitoa ufahamu tena ww ulienda mbali zaidi na kusema kuwa Urusi haina hata uwezo wa kutengeneza frigi na pasi za umeme [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
 
Nakala iliyovuja ni moja na nilishakuonyesha. Unabisha unasema sijui kuna nyingine, sasa sijui hiyo nyingine umeitoa wapi
Acha kujitoa ufahamu nyiningine hizo hapo chini angalia.
Alafu hata kama ni moja inawezakanaje shirika kama CIA inayo fanya kazi kwa weledi kwa mujibu wako taarifa zao zinavujishwa kizembe namna hiyo?

Sipati picha hizo nyaraka zilizo vuja zingekuwa za Urusi sasa hivi ungekuwa umesha jaza page 10 za kuelezea jinsi gani Urusi inavyo fanya mambo kienyeji mpaka siri zake kuvuja.
FB_IMG_1680960064200.jpg
FB_IMG_1680960061446.jpg
FB_IMG_1680960058516.jpg
FB_IMG_1680960055088.jpg
FB_IMG_1680960051820.jpg
FB_IMG_1680960048774.jpg
 
Pentagon leaked papers showing roughly 75k dead Ukrainians and only 18k Russians. Looks like they’ve been lying the entire time. Ukraine is going to run out of troops.

The Biden administration is investigating the leak of classified war documents about secret American and Nato plans for bolstering the Ukrainian military ahead of an anticipated spring salvo against Russian forces, senior officials said.

“We are aware of the reports of social media posts and the department is reviewing the matter,” said Sabrina Singh, the deputy press secretary at the Pentagon, reported The New York Times.

The five-weeks-old documents reportedly reveal details of Ukraine’s requirements ahead of a planned counteroffensive to reclaim territory taken by Russia since the full-scale invasion last year, as well as how the US and Nato might meet them.

They appeared on both Twitter and Telegram, a messaging platform that is widely used in Ukraine and Russia.

The documents did not show specific battle plans about how, when and where the Ukrainian forces are looking to launch their offensive, however.

US officials have hinted that this counteroffensive is coming in the next month or so, while Ukrainian forces on the ground have said they are ready to attack when Kyiv gives the word.

According to military analysts who have looked at the documents, certain parts appear to be modified from their original format and exaggerate the American tally of Ukrainians killed in the war while downplaying the estimates of Russian troops killed.

One of the slides states that Russia has lost 16,000 to 17,500 soldiers since the invasion, while Ukraine had suffered as many as 71,500 troop deaths. This is a gross underestimate from what the Pentagon and other analysts have estimated for Russian casualties with nearly 200,000 killed and injured. Ukraine has had more than 100,000 casualties in the war, according to the Pentagon.

The documents appear to represent a significant breach of American intelligence, detailing information that has not been publicly stated by the Pentagon.

Among other details it refers to the expenditure rate of high mobility artillery rocket systems or HIMARS, which have been a huge boost to Ukraine’s military capabilities by allowing long-distance attacks on ammunition dumps, batteries of troops and critical Russian infrastructure in occupied areas.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu tuambie ni nani huyo aliyesema kuwa Bakhmut imeanguka toka mwaka jana.

Kwani unateseka ukiwa bonyokwa sehemu gani[emoji23][emoji23]

Punyeto mbaya sana inaharibu sana kisaikolojia. Muwe mnamsamehe huyu dogo, kila siku anazidi kutupa mashaka.
 
Nyie proNato acha kujitoa ufahamu tena ww ulienda mbali zaidi na kusema kuwa Urusi haina hata uwezo wa kutengeneza frigi na pasi za umeme [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Akatuambia Russia anatumia chip za washing machine. Huyu dogo fala sana yani alikua anatulisha matangopori wazee wazima kabsa.
 
Russia’s annual spring draft got underway on April 1 when President Vladimir Putin signed a decree ordering that 147,000 men be enrolled for the obligatory year of military service. That’s about 8% more on average than in previous years. In spring 2022, for example, the number was 134,500.

This year’s spring draft is accompanied by a marketing campaign in the hopes of winning over more…

Continue Reading

News Source: Russia steps up efforts to boost army size – DW – 04/08/2023
 
Back
Top Bottom