Mwaka wa pili umeanza huu, usalama upo wa kutosha kbs japo kila kukicha Wanazi wa Zelensky wanarusha mabomu kupiga hicho kinu na hawajawah fanikiwa, ni usalama upi huyu Grossi anautaka?[emoji779]️On the anniversary of the Chornobyl tragedy, Volodymyr Zelensky had a phone call with IAEA Director Rafael Grossi.
“I stressed that only the return of Ukraine’s full control over ZNPP will protect the world from a new disaster,” the President said.
[emoji328]: Telegram / Zelensky
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ujangili ni jadi ya upinde-prideSabotage zinaendelea [emoji16][emoji28]
[emoji329]The Russian Centre of Culture and Science in Nicosia, the capital of Cyprus, is currently on fire, reportedly as a result of a Molotov cocktail attack.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Karibia vigezo vyooote vya kujiunga huko 85% Ukrain hana....wanamzuga aendelee kuchukua mikopo...na wanasiasa wa West wana-foundation zao za changia Ukrain, hela zikichangwa zinaingia mifukoni mwao,mimi mwenyewe niliwahi tumiwa msg Whatsap nifanye Donation kuisaidia Ukrain, pata picha ni upinde-pride wangapi watakua wamechangia na zitakua zimeenda wapi..maana hata Zelensky mwenyewe alizipiga panga milion 400$ za donation kazitia kibindoni..Italian President Sergio Mattarella voiced his support for Ukraine joining the EU "as soon as possible," Italian news outlet Ansa reported on April 26.
"Italy is strongly in favor of Ukraine's accession to the European Union as soon as possible and we appreciate the commitment of its government to the path of reforms taken to respect EU parameters," Mattarella said during the visit of a Ukrainian delegation led by Prime Minister Denys Shmyhal in Rome.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
kwa wasiyojua - hiki ni kifaru cha kisovieti...Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
Ukrainian Airborne Assault forces destroyed a russian BMP-2 infantry fighting vehicle and an Ural military truck in Luhansk region’s war zone.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
hizi akili za kishamba sana ina maana wewe ulizaliwa ili uje kutegemea misaada ya wazungu ........yaani ndio maana wazungu wanatuletea tamaduni zao chafu chafu kwa ajili ya ujinga huu wa kutegemea wao amka hata vitabu vitakatifu vinakataza uvivu fanya kazi kwa bidii ili ule na upatae mahitaji yako sio kutegemea misaada yenye usheteni nyuma yake .....Hivi ni nchi gani ya Africa na watu wake ukiwemo wewe inayoweza kujitegemea bila ya misaada ya wazungu??
Unachokitumia kuposti hapa ni miongoni kwa vifaa na muendelezo wa wahawo tunaowadharau wakati hatuna uwezo huwo.
Kiufupi tusitukane mamba wakati hatujavuka mto.
Ili tuweze kutukana jambo lá muhimu kila kitu cháo tuwachane nacho tutumie vyetu tuposti.
Zingatia kutukana hakusaidii sisi kujitegemea.
Nonsense labda huwajui warusi vita kwao ni kama chakula.Kuna siku yaja warusi watachokana na hii vita na ndiyo itakuwa mwisho wa wa dikteta Putin. Sioni namna Putin akishinda vita hii na kuweka vibaraka wake watawale Ukraine.
Kete ya Putin alifikiri hawa wamagharibi hawataungana pamoja kumuunga mkono Ukraine, na ndiyo maana aliona ni kitu chepesi na kingechukua wiki si zaidi ya mbili tatu hivi, mambo yamegeuka sheikh.. vita hii si ya leo wala kesho - Putin ajiande kuishi nayo kama Ukimwi vile. 😀
Mambo yamegeuka, sidhani bado anaiita military operation in Ukraine hadi leo. NATO na US na washirika wake walimwambia ajiandae kupingana vita ndefu, nafikiri mnajua maana yake na gharama za vita kwa siku
Sasa mbona wanamtoa kamasi nyepesi, mwambie amalize vita tujue moja, pale Burkmut penyewe ni mwezi wa 2 ama 3 sasa kila kukicha asilimia za kuuteka mji zinaongezeka na kupungua 😀 😀 yaani kama vile mgonjwa wa presha ya kupanda mchana afu usiku inashuka.Nonsense labda huwajui warusi vita kwao ni kama chakula.
Nchi 31 zimeingia mitini na pamoja na abram, leooard na challenger yaani NATO kumbe ulikuwa upepo tu.Kuna siku yaja warusi watachokana na hii vita na ndiyo itakuwa mwisho wa wa dikteta Putin. Sioni namna Putin akishinda vita hii na kuweka vibaraka wake watawale Ukraine.
Kete ya Putin alifikiri hawa wamagharibi hawataungana pamoja kumuunga mkono Ukraine, na ndiyo maana aliona ni kitu chepesi na kingechukua wiki si zaidi ya mbili tatu hivi, mambo yamegeuka sheikh.. vita hii si ya leo wala kesho - Putin ajiande kuishi nayo kama Ukimwi vile. 😀
Mambo yamegeuka, sidhani bado anaiita military operation in Ukraine hadi leo. NATO na US na washirika wake walimwambia ajiandae kupingana vita ndefu, nafikiri mnajua maana yake na gharama za vita kwa siku
...ule wa kisuli-suli siyo 😀 Haya mwambie basi amalize vita ili tumjue kwamba yeye ni kidume cha mbegu.Nchi 31 zimeingia mitini na pamoja na abram, leooard na challenger yaani NATO kumbe ulikuwa upepo tu.