Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
HahahahIla December isifike hamjafanya Counteroffensive yenu..mkizidi hapo bas Biden anawaacha...atakua kwenye harakati za uchaguzi mpya..na hakuna rangi mtaacha kuona..
HahahahIla December isifike hamjafanya Counteroffensive yenu..mkizidi hapo bas Biden anawaacha...atakua kwenye harakati za uchaguzi mpya..na hakuna rangi mtaacha kuona..
Alafu wa mkopoNa hasa akiwa ameshiba ugali dagaa
ameshakata moto tayari...!!!Hii taarifa ya Erdogan vipi tena?God forbid
Mkuu!Hapani si kuwa niko brainwashed, no!Acha ndoto za ki-westwest basi, hivi kwanini mko brain washed kiasi hiki?, kama Urusi alipeleka wapiganaji 190,000 akaongeza nguvu ya wapiganaji wa wegner 50,000...unahisi Ukrain kaingiza wanajieshi kiasi gani? Kazuia wanume wote wenye nguvu Ukrain wapigane, bado kaongeza askari wa NATO wanazid 900+ pamoja na intel ya nchi 30 za ulaya..na bado maeneo yamechukuliwa...unahisi beti yako ratio ya vifo ni Ukraini 1:3 Urusi au ni Ukrain 3:1 Urusi...
Anaumwa, amekatisha trip zake zote aangaliye afya yakeHii taarifa ya Erdogan vipi tena?God forbid
Mkuu,maoni yako ni mazuri.Vi nchi kama Albania, Naulu. hizo nazo nchi mzee?
Eti nchi ina population ya watu 10,834 nayo inapiga kura UN sawa na India. Huu ni upuuzi wa UN.
Inatakiwa Kura moja iwakilishe watu 10,000,000.
Hapa Tanzania tutakuwa na kura 6.
Sidhani!Iko hivi kuna vitu vinanivutia kwa upand wa Magharibi na pia upande wa Russia.Haijawahi tokea hiyo...mshika mawili moja humponyoka, sasa moja limekuponyoka...umebakia upande wa NATO
Huo ndo upumbavu mwenyewe kwani mbona mataifa mengine yanajiendesha bila hiyo misaada ya wazungu?Hivi ni nchi gani ya Africa na watu wake ukiwemo wewe inayoweza kujitegemea bila ya misaada ya wazungu??
Unachokitumia kuposti hapa ni miongoni kwa vifaa na muendelezo wa wahawo tunaowadharau wakati hatuna uwezo huwo.
Kiufupi tusitukane mamba wakati hatujavuka mto.
Ili tuweze kutukana jambo lá muhimu kila kitu cháo tuwachane nacho tutumie vyetu tuposti.
Zingatia kutukana hakusaidii sisi kujitegemea.
Huyu shujaa wetu katuheshimisha sana.Tarimo alishiriki kuikomboa Dunia.
Mkuu,unafikiri ataelewa basi?Huo ndo upumbavu mwenyewe kwani mbona mataifa mengine yanajiendesha bila hiyo misaada ya wazungu?
Ya kwamba nyinyi waafrika mlikuja duniani kukaa tu na kusubili kusaidiwa na binadamu wengine?
Kwani hayo mabilion ya fedha yanayo ibiwa na mafisadi wa CCM kila mwaka yangekuwa yanatumika vizuri yangeshindwa kuziba pengo la hiyo misaada mnayo pokea kutoka kwa wazungu?