Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

FuiSRM_WcAMLVgu

HII NDIO TANZANIA YENYE HESHIMA KIMATAIFA
Tumsubr C.A.G mwakan asome bajet na matumiz
 
Zingepuuzwa na ulimwengu basi asinge pata huungwaji mkono kutoka taifa lolote duniani.
Aliye puuzwa kwenye mgogoro huu ni Marekani maana hata mataifa yaliyo julikana ni vibaraka wake wamekataa kuburuzwa na Marekani kwenye mgogoro huu.
Mkuu!Hapana sote tumeona Urusi ilivyopata uungwaji mkono mdogo katika mambo mengi ikiwemo UN(votes) na hata misaada ya kijeshi.
sasa kwa mazingira haya inajulikana nani katengwa.
Mkuu tuongelee uhalisia(kubali kuna muda mambo hayaendi kama unavyopenda/taka)
 
Kwa muda Sasa naona taarifa ya mnyukano baina ya Russia na Ukraine kama umepoa hivi. Wachambuzi! Please tupeni updates maana isije kusikika kuwa hasara iliyopatikana kwenye ripoti ya CAG kisingizio isije kuwa sababu ni vita.
 
Mkuu!Hapana sote tumeona Urusi ilivyopata uungwaji mkono mdogo katika mambo mengi ikiwemo UN(votes) na hata misaada ya kijeshi.
sasa kwa mazingira haya inajulikana nani katengwa.
Mkuu tuongelee uhalisia(kubali kuna muda mambo hayaendi kama unavyopenda/taka)
Vi nchi kama Albania, Naulu. hizo nazo nchi mzee?

Eti nchi ina population ya watu 10,834 nayo inapiga kura UN sawa na India. Huu ni upuuzi wa UN.
Inatakiwa Kura moja iwakilishe watu 10,000,000.

Hapa Tanzania tutakuwa na kura 6.
 

Kremlin denies claims Putin uses body doubles while hiding in bunker​

The Kremlin has rejected what it referred to as lies that Vladimir Putin uses body doubles.

Spokesman Dmitry Peskov also dismissed the rumour that the 70-year-old leader spends much of his time shielding in a nuclear bunker.

"You have probably heard that he [Putin] has very many doubles who work instead of him while he sits in a bunker," Mr Peskov said at a conference in Moscow

lcimg-448dde77-12ec-445d-a849-93c7fe481242.jpeg

"Yet another lie," he added while chuckling.

"You see yourselves what our president is like: he always was, and is now, mega-active - those who work next to him can hardly keep up with him," Mr Peskov added.

"His energy can only be envied. His health can, God willing, only be wished for. Of course, he doesn't sit in any bunkers. This is also a lie."

The Kremlin has also deemed it necessary to repeatedly dismiss speculation Mr Putin is ill for the past few years.

https://news.sky.com/story/ukraine-...growing-12541713?postid=5826238#liveblog-body
 

Putin ally warns 'full-scale World War III' may happen​

A feature of the war in Ukraine has been the frequent statements and warnings issued by prominent Kremlin figures about the prospects of a global and nuclear conflict.

Perhaps the individual most prolific in issuing the thinly veiled yet doom-laden threats has been Dmitry Medvedev, the former Russian president.

A close ally of Vladimir Putin and now deputy chairman of Russia's Security Council, he made his latest such remarks during an address at an educational marathon in Moscow today.

"I cannot say what the last straw, what the trigger may be, but it may happen at some point," he said.

"We all need to work to ensure that this threat of global confrontation, of a hot, full-scale World War III should not materialise."

He insisted Russia did not wish to see this happen, but added the prospect of nuclear war was "mounting daily".

Mr Medvedev said that in his youth he and friends "used to talk about confrontation with the United States, about confrontation between the Warsaw Pact and the North Atlantic Alliance."

"Back then it seemed like some kind of hypothetical, far-fetched and impossible scenario. But I can't say that now, however sad this may sound," he concluded.

Such warnings have been met with widespread scepticism from analysts and military intelligence officials in the West, who say the statements are simply designed to deter Ukraine's allies from further involvement in the conflict - while playing to a domestic audience.

Indeed, some experts have suggested that nuclear posturing from senior Kremlin figures - including the decision to withdraw from key treaties with the US - masks Russia's dwindling stockpile of nuclear weapons.

Western officials have also noted that the statements are not followed by any discernable shift in the positioning of Russia's nuclear weapons, which would be expected before any attack.

Ukraine war latest: Putin ally warns 'full-scale World War III' is possible in latest threat; Russian TV offers job to Tucker Carlson after Fox News sacking
=======================

Mikwara tu hii...
 

British Intel Source CONFIRMS Depleted Uranium Shells from UK have arrived in Ukraine​

25 APRIL 2023

A source within British Intelligence has confirmed to me personally that thousands of rounds of tank shells were shipped to Ukraine as supplies for donated "Challenger" tanks donated to Ukraine. Among those thousands of tank shells are . . . DEPLETED URANIUM SHELLS!
Russia has repeatedly and explicitly made clear that if Depleted Uranium shells are fired at Russian troops, Russia will regard the use of the ammunition as being a "Dirty Bomb" attack against Russia, and will respond with radioactive weapons of its own. They did not say WHICH radioactive weapons.
It is now positively CONFIRMED that the United Kingdom has, in fact, successfully delivered into the possession of the Ukraine Army, Depleted Uranium tank shells.
What this means is that now, it is only a matter of time before Russia detects that such shells have been used by Ukraine, and responds.
That response will likely come without ANY warning at all.
Readers are urged to have their preps (Food, water, medicine, first-aid gear, generator, fuel, and the like) topped-off . . . and to appraise their family members of this situation.

It's really quite simple: When Ukraine hits Russians with Depleted Uranium shells, Russia will likely hit Ukraine with full blown nuclear weapons. If that takes place, NATO jumps-in tot he war, and it's nuclear immediately.
OR . . .
Russia may elect to strike at the UK directly for supplying such weapons. Obviously, if THAT happens, it's also instant nuclear war.
In either case, the fight presently between Ukraine and Russia, will very likely go nuclear, and is extremely likely to involve NATO, meaning the outbreak of literal nuclear World War 3.
This can come at any time and without any warning.
Get right with God.
Below is an explanation of Depleted Uranium in battlefield use (Click image twice to enlarge):
 
Wakati unaandika uchambuzi wako humu kuwa Russia anatumia vifaa vya washing machine kutengeneza makombora ulikua upo ndotoni sasa ndio unaamka naona umeamua kukana hadi maandiko yako na ndio maana tukasema watu wa NATO sio wa kuwaamini alicho sema leo kesho anakana au ndio hamna marafiki wa kweli mnaangalia maslahi tu.
Mliambiwa na nani?
 
Mtuhumiwa wa ICC aanza kupora mali.....

Russian President Vladimir Putin has signed a decree to take temporary control of the Russian assets of two foreign firms [File: Sputnik/Pavel Bednyakov/Pool via Reuters]
2023-03-15T122449Z_1089265848_RC2CUZ9TQZW6_RTRMADP_3_RUSSIA-PUTIN.jpg
 
Yaan kwa hii dunia ya leo unategemea confidential information kuwa well precise published?
1. Tuliambiwa hawana chakula
2. Tuliambiwa wameishiwa chip wanatumia washing mashine
3. Tuliambiwa hawana uniform za msimu wa baridi
4. Tuliambiwa wameishiwa silaha wameanza kuomba china na north Korea
5. Tuliambiwa hawana makombora ya hypersonic na ki sayansi ni ndoto kuwepo
6. Yuliambiwa hizo T armata ni project ya makaratasi
7. Tuliambiwa wanatumia tank za kisoviet maana tank zimeteketezwa Ukraine
Bado tu unaamin vyombo vya habari vya western? Wake up mkubwa!!!
Ndugu acha kupoteza Muda na Mpuuzi
 
Wakati unaandika uchambuzi wako humu kuwa Russia anatumia vifaa vya washing machine kutengeneza makombora ulikua upo ndotoni sasa ndio unaamka naona umeamua kukana hadi maandiko yako na ndio maana tukasema watu wa NATO sio wa kuwaamini alicho sema leo kesho anakana au ndio hamna marafiki wa kweli mnaangalia maslahi tu.
Yeye kasema waliosema hivyo ni inteligency agencies za UK na US kupitia Western media. Ningetaka aonyeshe ushahidi wapi walisema hivyo, mimi ni nani kati yao. Mimi ni spokesman wa MI6, CIA au media outlet ya Western countries?
 
IMG_20230426_091136_708.jpg

♨️♨️♨️ BRICS NEW MAP

19 countries have applied to join the BRICS bloc ahead of the organization's next summit.

Currently, the BRICS contribute more to global economic growth than the G7.

Now, countries like Saudi Arabia, UAE and Iran are showing interest in joining the geopolitical bloc.
♨️♨️♨️
 
Back
Top Bottom