Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

South Africa wants to withdraw from the International Criminal Court (ICC), writes "Al-Jazeera" with reference to the President of the Republic Cyril Ramaposa.

According to him, this decision was made by the ruling African National Congress party because of the "unfair" attitude of the court in The Hague towards "certain countries".

Earlier in South Africa, they called the ICC warrant for the arrest of Putin on the eve of the BRICS summit, which will be held in August and to which the Russian president is invited, a "stick in the wheel", and said that the republic's authorities are trying to find a way to not execute the warrant if the Russian president arrives at the summit.
 
Kila wakijikusanya wafanye counter attack kichapo cha mabomu kinawakuta hapo hapo juzi kati hapa ukraine ilitaka kufanya counter attack kubwa huko zaporozinye wanajeshi wa ukraine walipewa kipigo kikali mno. safari hii warusi wamejipanga vyema kudadeki
Wao ni kumwaga kisago cha kwenda. Yani mwana ukome. 😀😀😀
 
‘World-Beating’ T-14 Armata Tank Is Now in Combat, Says Russia

The T-14 Armata is supposed to be Russia’s answer to America’s Abrams and Germany’s Leopard 2, but observers suspect the tank may be the military version of vaporware.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Abrahm na leopard zinapigwa na kamikaze inatosha..
 
Ukraine’s Intelligence, in coordination with the Office of the President and the Ministry of Foreign Affairs, evacuated 87 Ukrainian citizens from the embattled capital of Sudan, Khartoum.

Currently, all evacuees are on the territory of Egypt. They have been provided with the necessary medical care, food and water.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
This is deportation[emoji16][emoji16][emoji16]
 
U.S. officials believe that Ukraine may launch its highly-anticipated counteroffensive in May, the New York Times reported on April 24.

Citing leaked Pentagon documents, the New York Times wrote that 12 Ukrainian combat brigades totaling 4,000 soldiers would be ready to head to the front line by the end of April.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
‘We’re Tired’: The Exhausted Ukrainian Soldiers Still Holding Out in Devastated Bakhmut

Several Ukrainian servicemen from the Aidar assault battalion fending off Russia’s encirclement said they needed advanced artillery and ammunition to match and outgun Russian forces.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanatumia Ruger dhid ya Kalanishkov [emoji16][emoji16][emoji16] kweli NATO nchi 30+ ni dhaifuu dhid ya nchi 1
 
T-14 Armata iko kwenye trials and testing. Testing kits zilizopo mara ya mwisho taarifa za ndani zilisema wanazo units 6.
Kwanza hakina engine yake yenyewe, Uralvagonzavod walikosea kutengeneza kifaru kabla hawana engine halisi wakawa na compartment ndogo ya kifaru kwa kutegemea injini inayotengenezwa ambayo ni ndogo ila ikashindikana. Mtengeneza kifaru alijiamini injini itakuwa tiyari na acceptable, mtengeneza injini anachelewesha. Ni kama Uturuki walivyobeti injini ya Altay MBT yao ambayo jana Jumatatu walianza testing lakini ile ni licence production ya K2 Black Panther cha South Korea ambao nao walisaidiwa na Ujerumani.
Warusi watatakiwa wakomae na injini au waunde nyingine, hapo ni miaka mingine inaongezeka. Injini successful inayoendesha T-72 na T-90 ni kubwa haijai kwenye...... am coming

.... kifaru. Injini ya T-80 ni tofauti kidogo kwa kuwa kilitengenezwa kuhimili baridi zaidi. Na teknolojia kubwa ya gas turbine engines, helicopter engines na za vifaru kwenye USSR ilikuwa Ukraine. Wachina walinunua sana hizo teknolojia.

T-14 Armata haina namba za kutosha kuingia vitani, wala hawawezi kukubali risk ya kuileta frontline isipigwe na adui. Tatizo la kifaru kina tani 60+ kikiharibiwa frontline unakiacha sasa Western watakisoma. T-90M ambayo ni most modern tank ya Russia kwenye invention unit moja iko Marekani, waliichukua Ukraine ile retreat Warusi wanaita "goodwill gesture"View attachment 2599709

Kwahiyo mkwamo wa T-14 Armata ni uleule wa Su-57 ambayo nayo haina injini yake yenyewe badala yake hadi leo wanatumia injini ya Flanker (AL-F... something) ambayo sio ideal for stealth jet kwahiyo hawawezi fanya mass production ya Su-57 mpaka wawe na injini ya Izdeliye 30. China nao J-20 yao haijapata injini yake ila wao hela wanazo wametengeneza ndege inakadiriwa kama 200 baadae injini yake nadhani ile ni WS-15 ikija ndio watoe hizi injini waweke nyingine.

Na hizo Leopalds na Challengers ni za zamani hazina tofauti sana na T-72 kwenye performance tena kama T-72BM inazizidi. Challenger 1 ina better protection ila ina optics dhaifu, Leopald hii inayoenda Ukraine ina optics nzuri kuliko Challenger hii lakini ina weak protection. Kwanza kati yao kama sisahau kuna inayotumia 105mm gun wakati vifaru vingi sasa ni 125mm. Hivyo vyote vina generation 1 optics ambazo zinazidiwa hata na optics za modernized T-64 za Ukraine ambazo zina hata ERA blocks. Vifaru vya Urusi hivyo vina gen 2 hadi 3+ optics ila nao wana ancient T-55 na T-64 zilizokuwa mothballed kwenye unforgiving environment.

Kiufupi natarajia maajabu ya Bradleys za Marekani kuliko vifaru. Kwenye kazi yake Bradley inafanya vizuri. Marekani sioni itatoaje Abrams za zamani wakati zina uranium armour na kisheria ni marufuku kuzisafirisha nje. Zile Abrams za Misri hazina hiyo armour na Marekani haikubakiza tanks kama hizo.
Yaan kwa hii dunia ya leo unategemea confidential information kuwa well precise published?
1. Tuliambiwa hawana chakula
2. Tuliambiwa wameishiwa chip wanatumia washing mashine
3. Tuliambiwa hawana uniform za msimu wa baridi
4. Tuliambiwa wameishiwa silaha wameanza kuomba china na north Korea
5. Tuliambiwa hawana makombora ya hypersonic na ki sayansi ni ndoto kuwepo
6. Yuliambiwa hizo T armata ni project ya makaratasi
7. Tuliambiwa wanatumia tank za kisoviet maana tank zimeteketezwa Ukraine
Bado tu unaamin vyombo vya habari vya western? Wake up mkubwa!!!
 
Mliambiwa na nani?
 
Its not accusation, the truth must be told[emoji23][emoji23] west wameanza kuona US anawapeleka cha kike...waliona US anavyolia Russia asiguse labs zake hapo Ukraine, yaelekea hapo Ukraine ndipo Covid ilikua inatengenezwa kwenye lab za US, leo hii ungekuta tupo pharse 10 na omicrom 3[emoji23][emoji23] Africa mikopo tungekua pharse 2 tunasubiria Pharse 3[emoji23][emoji23] Asante Mungu kwa kumuumbua "shetan US"

Sio kwamba US hana ujuzi wa silaha kali kama Russia bali US alikua amewekeza zaid kwenye biological weapons kona zote za dunia kwa nchi washirika zake...alikua ameshaplan akipga covid apige gonjwa jingine mfululizo uchumi wa dunia uanguke huku yeye akiendelea kutoa mikopo ya madawa na chanjo, lazima wote tungekua watumwa wa US milele..US aliwekeza zaidi kwenye silaha za maabara kuliko "leather weapon"

Hadi viongozi wa taasisi hizo wa ngazi za juu waliamua kujitoa kwenye nyadhifa zao baada ya mipango yao kuharibika kwenye operation ya kukimbiza wanazi, sanction zikazuia smooth procurement ya mpango wao...
Dr Fauci aliachia ngazi mwezi wa nane 2022 baada ya Military Operation ya Urusi kuonyesha kuwa US hana lolote atakaloweza tena kwenye mipango yao..Fauci aliona anafanya kazi mbofumbofu akaachia ngazi, maana labs walizokua wanazitegemea kuangusha nchi wanazoziita za kikomunist ndio zilikua zinapigwa UkrainView attachment 2599789View attachment 2599790
 
Attachments

  • IMG-20230414-WA0000.jpg
    IMG-20230414-WA0000.jpg
    74.5 KB · Views: 13
T-14 Armata iko kwenye trials and testing. Testing kits zilizopo mara ya mwisho taarifa za ndani zilisema wanazo units 6.
Kwanza hakina engine yake yenyewe, Uralvagonzavod walikosea kutengeneza kifaru kabla hawana engine halisi wakawa na compartment ndogo ya kifaru kwa kutegemea injini inayotengenezwa ambayo ni ndogo ila ikashindikana. Mtengeneza kifaru alijiamini injini itakuwa tiyari na acceptable, mtengeneza injini anachelewesha. Ni kama Uturuki walivyobeti injini ya Altay MBT yao ambayo jana Jumatatu walianza testing lakini ile ni licence production ya K2 Black Panther cha South Korea ambao nao walisaidiwa na Ujerumani.
Warusi watatakiwa wakomae na injini au waunde nyingine, hapo ni miaka mingine inaongezeka. Injini successful inayoendesha T-72 na T-90 ni kubwa haijai kwenye...... am coming

.... kifaru. Injini ya T-80 ni tofauti kidogo kwa kuwa kilitengenezwa kuhimili baridi zaidi. Na teknolojia kubwa ya gas turbine engines, helicopter engines na za vifaru kwenye USSR ilikuwa Ukraine. Wachina walinunua sana hizo teknolojia.

T-14 Armata haina namba za kutosha kuingia vitani, wala hawawezi kukubali risk ya kuileta frontline isipigwe na adui. Tatizo la kifaru kina tani 60+ kikiharibiwa frontline unakiacha sasa Western watakisoma. T-90M ambayo ni most modern tank ya Russia kwenye invention unit moja iko Marekani, waliichukua Ukraine ile retreat Warusi wanaita "goodwill gesture"View attachment 2599709

Kwahiyo mkwamo wa T-14 Armata ni uleule wa Su-57 ambayo nayo haina injini yake yenyewe badala yake hadi leo wanatumia injini ya Flanker (AL-F... something) ambayo sio ideal for stealth jet kwahiyo hawawezi fanya mass production ya Su-57 mpaka wawe na injini ya Izdeliye 30. China nao J-20 yao haijapata injini yake ila wao hela wanazo wametengeneza ndege inakadiriwa kama 200 baadae injini yake nadhani ile ni WS-15 ikija ndio watoe hizi injini waweke nyingine.

Na hizo Leopalds na Challengers ni za zamani hazina tofauti sana na T-72 kwenye performance tena kama T-72BM inazizidi. Challenger 1 ina better protection ila ina optics dhaifu, Leopald hii inayoenda Ukraine ina optics nzuri kuliko Challenger hii lakini ina weak protection. Kwanza kati yao kama sisahau kuna inayotumia 105mm gun wakati vifaru vingi sasa ni 125mm. Hivyo vyote vina generation 1 optics ambazo zinazidiwa hata na optics za modernized T-64 za Ukraine ambazo zina hata ERA blocks. Vifaru vya Urusi hivyo vina gen 2 hadi 3+ optics ila nao wana ancient T-55 na T-64 zilizokuwa mothballed kwenye unforgiving environment.

Kiufupi natarajia maajabu ya Bradleys za Marekani kuliko vifaru. Kwenye kazi yake Bradley inafanya vizuri. Marekani sioni itatoaje Abrams za zamani wakati zina uranium armour na kisheria ni marufuku kuzisafirisha nje. Zile Abrams za Misri hazina hiyo armour na Marekani haikubakiza tanks kama hizo.
Hii post ni nzuri na ya kusisimua, ila nina uhakika "pysical story" ni tofauti sana na hii "written story"
 
Yaan kwa hii dunia ya leo unategemea confidential information kuwa well precise published?
1. Tuliambiwa hawana chakula
2. Tuliambiwa wameishiwa chip wanatumia washing mashine
3. Tuliambiwa hawana uniform za msimu wa baridi
4. Tuliambiwa wameishiwa silaha wameanza kuomba china na north Korea
5. Tuliambiwa hawana makombora ya hypersonic na ki sayansi ni ndoto kuwepo
6. Yuliambiwa hizo T armata ni project ya makaratasi
7. Tuliambiwa wanatumia tank za kisoviet maana tank zimeteketezwa Ukraine
Bado tu unaamin vyombo vya habari vya western? Wake up mkubwa!!!
huyo hata umuimbie na gitaaa huku unampepea hawezi kuamka...alishajizima data na password aliacha kwa mfuko na nguo ikafuliwa na kukauka kale...!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
UK na US inteligency kupitia western media
Sio inteligency ni intelligency. Huku kukosea sio coincidence, yawezekana ndio maana unatoa habari unakojua wewe. Wao wanaandika hiki, wewe unaelewa kile.

Tuachane na hayo, US wana CIA na UK wana MI6 unaweza toa source yoyote kutoka kwao inayosema hivi hapa chini?
Yaan kwa hii dunia ya leo unategemea confidential information kuwa well precise published?
1. Tuliambiwa hawana chakula
2. Tuliambiwa wameishiwa chip wanatumia washing mashine
3. Tuliambiwa hawana uniform za msimu wa baridi
4. Tuliambiwa wameishiwa silaha wameanza kuomba china na north Korea
5. Tuliambiwa hawana makombora ya hypersonic na ki sayansi ni ndoto kuwepo
6. Yuliambiwa hizo T armata ni project ya makaratasi
7. Tuliambiwa wanatumia tank za kisoviet maana tank zimeteketezwa Ukraine
Bado tu unaamin vyombo vya habari vya western? Wake up mkubwa!!!
 
Habari za maangamizi makubwa ya majenerali na maofisa wa NATO kuuliwa ndani ya handaki huko Ukraine zimezangaa hadi kwa raia wa kawaida huko marekani na kwingineko.
View attachment 2598581
The story of the destruction of the control bunker in Ukraine with generals and senior officers of NATO countries reached the American public.

Independent political scientist, journalist Gilbert Doctorow.

Kuna watu wanalia kimoyo moyo, kuna familia zimeambiwa zisithibutu kutoa mdomo. Yajayo yanafurahisha.
 
Back
Top Bottom