Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mkuu tumia kiswahili inatosha hiyo lugha ya malkia ni ngumu na nzito kwako achana nayo .....
Mkuu ni hivi kwa ufupi;
kwenye vita pande zote hupoteza vifaa na askari.

kwenye aina hii ya vita inayopiganwa kati ya Ukraine na Russia (attritional warefare/trench warefare) mshambuliaji anapata madhara makubwa kuliko mlindaji(ndio maana uwiano waweza kufikia 1:3)

mkuu nahisi umenielewa kwa kupitia lugha hii nyepesi kwangu(kwa maoni yako)
 
Hakuna mipango ya mkutano kati ya Lavrov na Blinken mjini New York kando ya tukio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. "Urusi na Marekani kwa sasa hazina ajenda ya majadiliano katika ngazi ya mawaziri wa mambo ya nje," alisema naibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi.
 
Wote walioenda kumtembelea huyu jamaa ndicho kitakachowakuta.
Fudwqx0XoAEzH0F.jpg
 
Hiyo video hata 'ki-rat' anaweza kabisa kuitengeneza
I
Tena kwenye vita mara nyingi attackers huwa wanakuwa prone na heavy cassualities than defenders.
una uhakika na hiki ulichoandika?
Sio inategemea na nguvu za wanaopambana?
1: Nazi Germany Vs Soviet
2: US Vs Vietnam
3: JWTZ vs M23
4: UK vs Argentina
5: Iraq vs Kuwait
 
Kiongozi mkuu wa
WAGNER PRIGOZHIN
IMG_20230424_175500.png

Anasema Baada ya kuichukua BAKHMUT Ndugu Zele kichwa Pumba
Anatarajia Kuanzisha Counteroffensive
Hivyo Hawata Ruhusi hilo lifanikiwe kwani kila watakapo Jikusanya Nikuponda Wote
Yaani hawataruhusu Wajikusanye ndio mpango uliopo
Na Tutafanya Hili kwa mafanikio makubwa sana

Once Bakhmut is taken, Zelensky will need the greatest victory. And for this, he will launch the very counteroffensive -Prigozhin

- Our task is to grind their army, not to give them the opportunity to gather in a counteroffensive. We are doing this more than successfully
 
Mwamba wasiri wa Mambo ya nje wa Urusi
LAVROV
Anawaka huko UN
Anasema Hakuna mtu yeyote aliyempa Marekani Haki ya Kuizungumzia Dunia yote kwaujumla
hana haki hiyo


No one gave the US the right to speak on behalf of the entire world community — Lavrov
 
Mwamba wasiri wa Mambo ya nje wa Urusi
LAVROV
Anawaka huko UN
Anasema Hakuna mtu yeyote aliyempa Marekani Haki ya Kuizungumzia Dunia yote kwaujumla
hana haki hiyo


No one gave the US the right to speak on behalf of the entire world community — Lavrov
Marekani anakemewa Kama mtoto aliyedokoa nyama mda huu yaani kafumaniwa mpka amepakwa mafuta yaani mwaka huu marekani kajichanganya.
 
Russian forces strike foreign mercenaries’ site in DPR with Iskander missiles.

Russian forces delivered strikes by an Iskander tactical missile system against a Ukrainian arms depot and a foreign mercenaries’ site in the Donetsk People’s Republic (DPR) over the past day, Konashenkov reported.

"On April 21, an Iskander tactical missile system delivered a strike against the arms depot and the foreign mercenaries’ temporary deployment site located in the library building in Konstantinovka in the Donetsk People’s Republic. The strike eliminated as many as 60 militants of the so-called Georgian legion and 15 items of equipment deployed on the adjacent territory. Another 20 mercenaries received heavy wounds," the spokesman said.

The strike eliminated militants of the Georgian legion who were complicit in brutal tortures and killings of Russian soldiers near Kiev in March last year, the general specified.
 
Russian forces destroy over 280 Ukrainian troops in Donetsk advance

Russian forces destroyed over 280 Ukrainian troops and mercenaries in their advance in the Donetsk area over the past day, Konashenkov reported.

"Over 280 Ukrainian personnel and mercenaries, an infantry fighting vehicle, an armored personnel carrier, four armored combat vehicles, 11 motor vehicles, a Grad multiple rocket launcher and a D-30 howitzer were destroyed in that area in the past 24 hours," the spokesman said.
 
Walijaribu kufanya counteroffensive kilichowakuta Ni hiki hapa.
Russian assault teams continue fighting Ukrainian troops in the western areas of Artyomovsk and artillery, combat aircraft and paratroopers thwarted Kiev’s attempt to counter-attack on the flanks over the past day during the special military operation in Ukraine, Defense Ministry Spokesman Lieutenant-General Igor Konashenkov reported on Monday.

"In the Donetsk direction, assault teams continue combat operations in the western districts of the city of Artyomovsk. Operational/tactical and army aviation aircraft and artillery from the southern battlegroup jointly with Airborne Force units rendered support to the assault teams and thwarted the enemy’s attempts to counter-attack on the flanks," the spokesman said.
 
“The Ukrainian government has proved more resilient than many expected, and governments from across the world have stepped in to provide humanitarian assistance. But it has been the non-governmental organizations in Ukraine that have shouldered the bulk of work helping Ukrainians survive Russia’s war,” writes Olga Moloko, program manager at East Europe Foundation, in her recent op-ed.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine does not need Russia’s permission to become a NATO member. However, it is dangerous, when certain Hungarian politicians try to make the security of the Euro-Atlantic space dependent on Moscow’s whims, the Ukrainian Foreign Affairs Ministry says in response to Hungary’s statement.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwamba wasiri wa Mambo ya nje wa Urusi
LAVROV
Anawaka huko UN
Anasema Hakuna mtu yeyote aliyempa Marekani Haki ya Kuizungumzia Dunia yote kwaujumla
hana haki hiyo


No one gave the US the right to speak on behalf of the entire world community — Lavrov
Ukiwa mbabe raha sana, hii kauli anaitamka akiwa kwenye ardhi yao hao viranja wa mchongo na hawana la kumfanya!

1000005970.jpg
 
Ukikamatwa na WAGNER umeumia.
-------

Don't take prisoners anymore," -Evgeny Prigozhin.
This was said after he found out in a radio conversation that the AFU units killed a wounded Wagner soldier whom they imprisoned.

"Expect no prisoners from now on on the Bakhmut front".
Nakumbuka Wana msemo wao "hawatunzi mdomo maana hawana chakula cha kulisha" (sina uhakika kama nimepatia) Ila walikuwa wanamaanisha hawekamati mateka bali Wanawauwa maana hakacha chakula cha kulisha mateka, lakini nadhani kauli hii imekuja baada ya urusi kubaini wanaopigana sasa hivi ni mamluki na Siyo Askari ya Ukraine
 
Back
Top Bottom