Jamaa gani huyo?Huyo jamaa habari zake analetaga kama anasutana na watu wakati wote tupo hapa kuhabarika na kujielimisha.
Kumbe mnaumia eeh?? [emoji28][emoji1787]Hivi kwanini pale mwanzo ulijifanya huna upande? Uliogopa Nini?wewe ni mtu usiyejiamini
Tuanzie kwanza ile mada ya jana kuvuka Kherson upande wa pili alafu ndo tuje na hii ya sevastopolSevastopol leo nini kimetoke
I know that!Ndio maana makamanda(wa Kirusi) wao wanawaambia kuwa wao ni expendable!Wewe unafikiri askari wapo kwa ajili ya kupiga picha tu na gwanda zao siyo!?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I know that!Ndio maana makamanda(wa Kirusi) wao wanawaambia kuwa wao ni expendable!Wewe unafikiri askari wapo kwa ajili ya kupiga picha tu na gwanda zao siyo!?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kuwa neutral ni kazi!Kwasababu kwa nyakati tofauti nitawakwaza watu wa group mbili hizi(pro West and pro Russia)Hivi kwanini pale mwanzo ulijifanya huna upande? Uliogopa Nini?wewe ni mtu usiyejiamini
Aaaaa ha ha haaa, "Wanabweka TU Huku wameshikilia viatu mkono"!!kweli tunatofautiana sana humu...Ukrein anajipanga kwa lipi..?..while most of the elite Soldiers ....wameshateketezwa tayari...Zelensky ni mjinga kupindukia...kapoteza maelfu ya askari wa maana hapo Bakhmut na Vuhleda..sijui kwenye machimbo ya chumvi...hadi unajiuliza huyu Rais hana washauri wa Kijeshi anaowaamini...,,,unamaliza maelfu ya askari wako wazuri kwa kudefend machimbo ya chumvi..??..au pale Bakhmut kuna nn cha maana cha kuteketeza 10's of Battalions ..??..
kuna binadamu wengi wanamuona Zelensky ni shujaa...ila baadae Dunia itakuja kumgeuka na kumuona mpumbavu wa kiwango cha PHD...
...iko wazi maeneo alioyateka Russia hatayapata hata iweje.., hao NATO wenyewe hawana ubavu wa kuyakomboa au hata tu kumsaidia kuingiza askari bila kificho ili wapambane na Russia....wako wanabweka tu huku wameshikilia viatu mkononi...,
Pathetic Zelensky!..ipo siku Waukrein watamlilia sana..kwa kuwaharibia nchi yao na kuuwa makumi elfu ya raia for nothing!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app