Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]Russian elites are wary of their future and are therefore looking for contacts with Ukraine and other countries in order to seal security guarantees for themselves after [emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kupata kichekesho hiki bonyeza 44 # kitakua cha kwako...
 
Ukraine wamezitaka nchi za westerns kuanza ku donate misaada ambayo ni sawa sawa na 1% ya GDP zao.

Wanasema kwamba kwa sasa wanahitaji misaada mara 10 zaidi ya ile ambayo imekwisha tolewa.

View attachment 2596542
France akiskia hivi anajiskia kichefchef, na US anachekelea, nchi zitavyoomba mikopo US kufidia hyo donation[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hii inaonesha kwamba Ukraine anajiamini, si dhaifu Tena!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukrain ni mke wa US, alaf c unajua tena dem mpya kumpata garama kiaina, ukishawekwa ndani US anajipigia riba ya mikopo tuu...kwa kisingizio cha Democracy wakat kwake hai-apply[emoji16][emoji16]
 
,
1682277897158.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
kuna nungu nungu anakujaga kusema hapa eti leo tumewachinja 500 .......kesho tena akikurupuka kitandani kabla hajapiga mswaki anasema leo tumewachinja 700...
Mkuu tambua kuwa kwenye vita kila upande unapoteza.
Tena kwenye vita mara nyingi attackers huwa wanakuwa prone na heavy cassualities than defenders.
Kumbuka pia now aina ya vita ni attritional warefare.
so hakuna haja ya kumshambulia yeye kaja na takwimu za upande wake.
 
Hivyo vimaneno vya kiinglish ulivyovichomeka kwenye andiko vimesababisha nishindwe kuelewa maudhui ya sentes yako kiujumla
 
Wakubari kushindwa hizo sababu hazichagui wa kumwathiri, au Urusi ndo analeta hizo hali kama baridi, tope, saizi mvua likianza jua nalo watasingizia

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mkuu vita siyo mechi ya simba na yanga.
Vita ni mipango na haifanywi kwa mihemko.kwa maneno yako unaweza sema mbona wakati russia anakimbia Kherson city au Izyum or Lyman kwa nini naye hakushambulia(ali retreat ili kujipanga zaidi na ku preserve maisha ya askari)
so subiri muda muafaka utawaona wakishambulia.kama unavyowaona now Russia wanashambulia baada ya kujipanga.
 
kweli tunatofautiana sana humu...Ukrein anajipanga kwa lipi..?..while most of the elite Soldiers ....wameshateketezwa tayari...Zelensky ni mjinga kupindukia...kapoteza maelfu ya askari wa maana hapo Bakhmut na Vuhleda..sijui kwenye machimbo ya chumvi...hadi unajiuliza huyu Rais hana washauri wa Kijeshi anaowaamini...,,,unamaliza maelfu ya askari wako wazuri kwa kudefend machimbo ya chumvi..??..au pale Bakhmut kuna nn cha maana cha kuteketeza 10's of Battalions ..??..
kuna binadamu wengi wanamuona Zelensky ni shujaa...ila baadae Dunia itakuja kumgeuka na kumuona mpumbavu wa kiwango cha PHD...
...iko wazi maeneo alioyateka Russia hatayapata hata iweje.., hao NATO wenyewe hawana ubavu wa kuyakomboa au hata tu kumsaidia kuingiza askari bila kificho ili wapambane na Russia....wako wanabweka tu huku wameshikilia viatu mkononi...,
Pathetic Zelensky!..ipo siku Waukrein watamlilia sana..kwa kuwaharibia nchi yao na kuuwa makumi elfu ya raia for nothing!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom