Asilimia kubwa ya viwanda vya kijeshi Urusi ni state enterprises.Inakuwa ni rahisi kufanya maboresho kwa haraka sana kulingana na mazingira..mambo yanaenda kijeshi..Kwa hali ilivyo USA lazma ataufyata tu maana jinsi walivyokuwa wanaichukulia Urusi mwanzo wa vita hivi waliiona ni underdog ambaye anabwata tu ila hana ishu kumbe mwamba vyombo anavyo ila alikuwa hajapata ile in-war experience tu ya kuvitumia na alitingishwa kiasi flani ila kwa sasa ameweza ku update vifaa vyake na vinafanya kazi in harmony with more than 90% effectiveness.
Mwanzo walisumbua sana na Javelin zao na Himars ila sass mrusi amezipatia mwarobaini wake baada ya ku update software AD ya S300 na kutumia mitambo mingine ya kwenda.
Sahizi jeshi la Urusi limejipanga vizuri linakaba angani na huku chini Wagner PMC wanapeleka moto kila kona ndio maana Ukraine hawapumui.
US kampuni za silaha ni private, mpaka zitike invoice, kamati za bunge zikae...mpaka kitu kipitishwe sio leo wala kesho