Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nahisi Vita Ukraine imeshaisha. Nakumbuka some days back kwenye hili jukwaa unakuta kwa siku comment hata 70 na kuna wadau humu unakuta anatupia hata 15 yeye peke yake. Sasahivi eti kwa siku ni comment 3 na hakuna updates kwenye uwanja wa vita zaidi ya maoni tu.

Mdogomdogo group linafika mwisho kama ilivyokuwa lile group lamsiba wa JPM
Binafsi nimpongeze anayejiita Askarimaji kwa kuanzisha hii Thread mara tu mgogoro ulivyoanza.

The Russia SMO in Ukraine is almost finished, what they are doing now is just clearing few pockets
Lkn si walisema wanajiandaa kaunta atak ya kiangaz kwa sabab na mvua hiz vifaru vyao haviwez tembea
 
Two months after Ukraine’s defense of Bakhmut seemed doomed, the bloodiest battle of Russia’s full-scale war against Ukraine is still going against all expectations.

The battle, which has defined the nature of the war since Ukraine’s liberation of Kherson in November, has now entered its ninth month.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]



Ukrainian forces eliminated 690 Russian invaders in the past day alone.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Our sanctions packages are being worked out in detail, including with regard to synchronization with partners. This is one of the key common tasks for all of us – absolutely everyone who seeks a faster end to the war, a faster victory for us. The task is to remove any opportunities for Russia to circumvent sanctions. Every Russian scheme that allows them to bypass sanctions adds time to this war and adds opportunities to the aggressor," the head of Ukraine said.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Two months after Ukraine’s defense of Bakhmut seemed doomed, the bloodiest battle of Russia’s full-scale war against Ukraine is still going against all expectations.

The battle, which has defined the nature of the war since Ukraine’s liberation of Kherson in November, has now entered its ninth month.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ili kuweka uzito ktk mitazamo yako unaamua kuandika kwa kiinglish
 
France will provide support to Ukraine in its reconstruction efforts, in particular in the logistics and transport sector, PM Denys Shmyhal said this following a meeting with French officials.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hapana Mkuu Extrovert.
Russia haikutingishwa mwanzo wa vita hata kidogo.
Isipokua Hali ilikua kama hivi.

-Jeshi la Ukraine lilikua bado liko fiti kabisa tayari kukabiliana na jeshi lolote hapa duniani,hasa likiwa na mafunzo makali kabisa kutoka majeshi Bora kabisa ya NATO.hasa USA,UK,Her,Fra,Canada n.k.

-jeshi la Ukraine lilikua bado liko na silaha Bora kabisa,kutoka Iliyokua USSR,USA UK na NATO.

-jeshi la Ukraine lilikua linapata taarifa zote muhimu kivita dhidi ya jeshi imara kabisa hapa chini ya jua.
Taarifa muhimu kama vile Urusi wanakuja na silaha Gani,mipango Yao,jinsi ya kuwapiga na kuingilia mawasiliano yao.taarifa hizi Ukraine alikua akipewa na NATO hasa USA UK Fra na Ger n.k.

-ukraine ikiwa na askari wenye morale ya Hali ya juu kabisa wakiwa brainwashed na ahadi no no-no kua wataishinda Red Army na kua Urusi itashindwa mfano wa USA walivyoshindwa Vietnam.

-Ukraine ikiwa na advantage ya "eneo",
Ikiwa imepakana na nchi zote wanachama wa NATO hivyo ikawa rahisi kupokea misaada haraka kutokea Western countries.

-ukraine ilikua Ina ngome ngumu sana kijeshi zilozojengwa kwa msaada wa NATO Kwa ajili ya kuja kukabiliana kijeshi na Might Russia.

Hivyo basi Russia wala haikua dhaifu,wala haikubahatisha,wala haikukurupuka.
Kumbuka Ukraine ilikua ni sehemu ya Urusi USSR kwa maana hiyo Wana masalia Yao yanayopata taarifa zote za kinachoendelea Ukraine,Wana majasusi Bora kabisa,hivyo,walikua wanajua Kila kitu kinachoendelea Ukraine kwa msaada wa NATO.
ilikua ni suala la muda TU.

Urusi Walifanya maandalizi yote ya hii SMO na kwa kujua uwezo wa kijeshi aliokua nao Ukraine Urusi akapanga mipango yake yote ya uvamizi huku akijua anaenda kukabiliana na nchi yenye uwezo Gani wa kijeshi.alijua fika atapoteza askari na vifaa vingi sana,kwani moja ya sababu kubwa kabisa ya SMO hii ni kumvua na kumnyang'anya Ukraine uwezo wake wa kijeshi.hapa sio mchezo,kumnyang'anya silaha mtu alieishika na akiwa ana mafunzo mujarabu kabisa sio kitu kidogo.yaani kuifanyia nchi kamili kitu kinachoitwa"Demilitalization"sio jambo dogo ATI,Tena nchi yenyewe inapewa Kila aina ya misaada inayotaka kutoka NATO.

Sasa basi Urusi iliyajua yote haya na ikaanzisha OP yake,wakati Ukraine ikiwa bado Iko fiti kabisa,ukweli hata Ingekua nchi Gani hapa duniani ni lazima ingepata upinzani mkali kabisa kutoka Kwa nchi yenye uwezo iliyokua nao Ukraine.
USA iliwahi kupata upinzani,Iraq, Afghanistan n.k.kwa Nini isiwe Russia?

Lakini basi kwa kuyajua hayo yote ,Might Russia ilianza kuvunja ngome moja Hadi nyingine, taratibu, hatua kwa hatua.

Kama inavyofahamika,katika vita huwezi ukaanza na silaha kubwa,Bali unakua unaingiza silaha kubwa kutokana na upinzani kuongezeka.
USA na washirika wake walisumbuliwa kidogo na Scud B za sadam husein,ndipo.wakaleta mwarobaini wake Patriot.
Vivyo hivyo kwa Urusi,sio kwamba haikua na solution za akina Juveline, Himmers nk.bali walipoona kua kumbe aina hiyo ya silaha zipo nao wakaleta Tiba zake.

Mwisho kabisa ni kwamba,kazi ya kulivunja nguvu jeshi la Ukraine ilikua ni ngumu yenye jasho na damu,lakini Sasa hatimae wameshalivunja tayari.
Silaha zote zinazotumika Sasa upande wa Ukraine ni mpya,ni zile zinazoingizwa kwa njia za panya na kificho,nazo zikibainika zinateketezwa.

Sio kwamba Urusi ilikua haijapata in war experience,Bali jeshi la Ukraine lilikua bado ni imara.
Urusi kafanya kazi kubwa na ya hatari sana ya kuli neutralize.
hatimae kamudu,na Sasa anajipigia TU.
Ila ule mzugo wa kuanza kuuchapa mji mkuu na kuwapoteza maboya Ukraine,dah!.Alafu mara wanaume wakajiondoa na kudeal na Donbase,aisee!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moja Kati ya mbinu ambayo us anataka kutumia kujiealimisha Ni hii Hapo anataka zele aombe msamaha bila yeye kuhusika.

Republicans call on Biden to stop sending billions of dollars in military aid to Ukraine In a letter members of the Senate and House of Representatives stressed that billions of dollars in aid risked further escalation of the conflict and lacked "much needed strategic clarity
 
⚡️⚡️⚡️Russian aviation of the Zapad group of troops destroyed two platoon strongholds of the Armed Forces of Ukraine in a day, Yaroslav Yakymkin, an officer of the group's press center, said
According to the officer, in the area of the settlements of Molchanovo and Krakhmalnoye, two sabotage and reconnaissance groups of the Armed Forces of Ukraine were opened and destroyed⚡️⚡️⚡️
 
Back
Top Bottom