lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Sana tu.Tarimo alituwakilisha vyema
Sana tu.Tarimo alituwakilisha vyema
🤣🤣😂😂Hakikisha una kitambulisho Cha taifa la Tanzania,la sivyo ukikutana na WAGNER usije kutusumbia sisi ndugu zako,
Wagner hawana tatizo na sisi Wabongo.🙏💪🇷🇺💪🤣😃
Ha ha haa.kijana unafaa kuwa jasusi langu ndani KGB au nina la kisasa nafkiri unafaham [emoji23][emoji23][emoji120][emoji119][emoji1666]View attachment 2596415
Poa kamandaUmefafanua vizuri
[emoji1218][emoji635][emoji1732][emoji2484][emoji817][emoji445][emoji2936][emoji91][emoji91][emoji1783]Mkuu nilichogundua pro russia wengi vichwani wapo vizuri
kama utani vile. US atajutia sana kiherehere chake. Dolla inaenda kuwa toilet paperSALAMALEKO 🔥🔥🙌
View attachment 2596015
Sawa ntakupitia mwamba,lkn lazima uwe na makini kujieleza kwa wanamuziki WAGNER kama ikitokea ukaangukia mikonono mwao,maana wasije dhani wewe ni mamluki wa zele.Mkuu wakati unaenda unipitie mdogo wako nipo ndani ya MARIUPOL new Capital city of the Russian Donbaas Nakusubiri.
[emoji28][emoji28][emoji28] vjtakua Mfuko wa shati bro sitaki kukosa biryani hyo,Sawa ntakupitia mwamba,lkn lazima uwe na makini kujieleza kwa wanamuziki WAGNER kama ikitokea ukaangukia mikonono mwao,maana wasije dhani wewe ni mamluki wa zele.
Kwa usalama wako usikose kitambulisho Cha TZ cha NIDA[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. WAGNER wanatuelewa sana wabongo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu gamba a.k.a passport si inatosha?Sawa ntakupitia mwamba,lkn lazima uwe na makini kujieleza kwa wanamuziki WAGNER kama ikitokea ukaangukia mikonono mwao,maana wasije dhani wewe ni mamluki wa zele.
Kwa usalama wako usikose kitambulisho Cha TZ cha NIDA[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. WAGNER wanatuelewa sana wabongo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Twende kwa Mkuu 1954 tukagonge Birian,Huku tukijadili kwa kina ukombozi wa Dunia.🇹🇿🇷🇺💪[emoji28][emoji28][emoji28] vjtakua Mfuko wa shati bro sitaki kukosa biryani hyo,
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] Inevitable.[emoji1241][emoji635]Twende kwa Mkuu 1954 tukagonge Birian,Huku tukijadili kwa kina ukombozi wa Dunia.[emoji1241][emoji635][emoji123]
🍴🥄🥣🥗🍲🍛🍜[emoji28][emoji28][emoji28] vjtakua Mfuko wa shati bro sitaki kukosa biryani hyo,
Ooo yes najua Pasi inatosha ila nilikua nachangamsha mjadala TU na mdogo wangu abdulqadrj.Mkuu gamba a.k.a passport si inatosha?
Sasa Cha NIDA Cha nini wakati international arena?
N.B ukitaka kujiunga Wagner wamefungua ofisi hapo UG ikiwa una Military experience hata tu JKT.View attachment 2596653
Na tetesi zinasema kuna mpango wa kutoa movie ya James bond akiwa Shoga Sasa.Mambo ya MI6 hayoHa ha haa.
Jasusi mbobevu.lkn sio kama James Bond.
Ukiwa kama Bond huchukui nusu saa katika fani, wanyama watakua wamekwisha kula kichwa.