Moja Kati ya mbinu ambayo us anataka kutumia kujiealimisha Ni hii Hapo anataka zele aombe msamaha bila yeye kuhusika.
Republicans call on Biden to stop sending billions of dollars in military aid to Ukraine In a letter members of the Senate and House of Representatives stressed that billions of dollars in aid risked further escalation of the conflict and lacked "much needed strategic clarity
USA imetumia pesa nyingi sana kwa muda unaokaribia miaka miwili kuisaidia Ukraine,
Kiasi ambacho haikuweza kukitumia kwa miaka 20 ilipokua ikipigana huko afghanisatani.Hasara hii.
USA ili provoke vita hii ambayo iliandaa mazingira miaka mingi ili kusudi ije kuiangusha Urusi kijeshi na kiuchumi kwa njia zifuatazo.
1)kuipa mafunzo na silaha Bora kabisa Ukraine ili ije iidhofishe Urusi kijeshi,kisha NATO waingilie mfano wa kuisaidia Ukraine kama walivyofanya Kwa Yugoslavia,kisha waimalize kabisa urusi.ndio maana USA Kwa mgongo wa NATO anajaza majeshi yake na silaha hatari ulaya.
2)vikwazo vya kiuchumi vya kuangamiza kabisa uchumi wa Urusi.
Hivi vilikua sehemu ya mpango wa vita.Ili viende sambamba na vita,ili Urusi ikate moto haraka sana,kwa sababu hakuna kitu kinakula uchumi kwa Kasi kubwa kama vita.kua Urusi apambane na vita mbili kwa pamoja,vita vya moto na kuokoa uchumi.
3)kutengwa kidiplomasia na uhusiano kimataifa.
MATOKEO YAKE.
Kama nilivyosema hapo juu,USA imetumia pesa nyingi kwa mwaka mmoja kuisaidia Ukraine,kiasi amabcho hakuweza kutumia alipopigana kwa miaka 20 na Watalaban. Haijukikani kama ni mkopo au msaada lkn ukweli ni kwamba Ukraine haiwezi kulipa fedha hiyo kwa miaka zaidi ya 40.kwa sababu ardhi yenye uzalishaji imetekwa na Urusi.
Uchumi wa nchi marafiki na hata wake USA mwenyewe umeyumba.
Europe biashara zimefungwa,watu wamepoteza ajira,malighafi na nishati wanainunua kwa bei kubwa,mifumuko ya bei,kero za wakimbizi toka Ukraine,kero za maandamano.
Inajulikana alie husika na kulipua NS2 ni yeye,kitendo hiki kimemuweka kwenye kundi la nchi zinazofanya matukio ya kigaidi.kitendo hiki kinawafanya marafiki zake wa EU wamchukie na kumuona kumbe yeye ndio tatizo.maana Sasa wanapata gesi kwa bei ya mara mbili.
Maadui wa USA kujipanga vizuri zaidi na kua na ushirikiano wa pamoja ili kukabiliana na fitina za USA.
Uchumi wa Urusi umekua na utakua imara zaidi kwa sababu umeweza kuvuka jaribu gumu zaidi.na utakua ni uchumi usiotegemea nguvu kutoka nje.
Fedha ya USA ambayo kwa kweli ilikua ni nembo ya heshima kwa taifa la USA imepotea.
Nchi nyingi duniani zilizokua zinashurutishwa na USA Sasa kuanza kua na sauti na maamuzi Yao.
Hayo ni kwa uchache.
Lkn kwa kifupi kabisa ushawishi wa USA unaenda kuanguka kabisa.
Alijua atamuangusha Urusi Sasa ndio kampaisha,yeye kajishusha.
Kwa kifupi zaidi USA kala hasara.