Its not accusation, the truth must be told[emoji23][emoji23] west wameanza kuona US anawapeleka cha kike...waliona US anavyolia Russia asiguse labs zake hapo Ukraine, yaelekea hapo Ukraine ndipo Covid ilikua inatengenezwa kwenye lab za US, leo hii ungekuta tupo pharse 10 na omicrom 3[emoji23][emoji23] Africa mikopo tungekua pharse 2 tunasubiria Pharse 3[emoji23][emoji23] Asante Mungu kwa kumuumbua "shetan US"
Sio kwamba US hana ujuzi wa silaha kali kama Russia bali US alikua amewekeza zaid kwenye biological weapons kona zote za dunia kwa nchi washirika zake...alikua ameshaplan akipga covid apige gonjwa jingine mfululizo uchumi wa dunia uanguke huku yeye akiendelea kutoa mikopo ya madawa na chanjo, lazima wote tungekua watumwa wa US milele..US aliwekeza zaidi kwenye silaha za maabara kuliko "leather weapon"
Hadi viongozi wa taasisi hizo wa ngazi za juu waliamua kujitoa kwenye nyadhifa zao baada ya mipango yao kuharibika kwenye operation ya kukimbiza wanazi, sanction zikazuia smooth procurement ya mpango wao...
Dr Fauci aliachia ngazi mwezi wa nane 2022 baada ya Military Operation ya Urusi kuonyesha kuwa US hana lolote atakaloweza tena kwenye mipango yao..Fauci aliona anafanya kazi mbofumbofu akaachia ngazi, maana labs walizokua wanazitegemea kuangusha nchi wanazoziita za kikomunist ndio zilikua zinapigwa Ukrain
View attachment 2599789View attachment 2599790