President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Countries and their national animals
Alisikika mchambuzi wa masuala ya kiuchumi toka Burundi baada kujazwa temp na pro RussiaUnanitukana, wewe ni mweupe kama mama yako mpumbavu sana, mahaba zako usiniletee hapa tumia akili pumbavu
Mm nimesema ukweli Russia wameshindwa vita na nchi dhaifu tu, kwani Putin alikuwa wapi wakati Gadafi anauawa? why akumsaidia? pumbavu unaleta upumbavu wako hapa
Russia wamezidi na watazidi kupoteza mbele ya USA ukitaka kumshusha USA usichagua vita alafu et vita umechagua nje ya USA duh, wakati huo watu wako ndo wanapigana vita, USA yeye ni watu wake wako mbali huoni unashida sehemu? Putin wetu ameyumba kichwani sio bure
Mwanamgambo wa Ukraine toka Burundi kaja kumsaidia kipanya baada kipigo kizito toka kwa Wagner Group [emoji1787]Mahaba baba duh, ila binafsi Urusi vita imemshinda ni kujitapatapa tu
Ni kweli hiki tunachokiona Sasa ni mwendelezo wa failure!weka speech basi tuone wote poti au ndo mahaba tu Russia tayari walifeli tangu miaka ya 1989s
Safii [emoji122]Kama vipi waanzishe Olympic yao - yetu hatuwataki
The United Kingdom and France’s sports ministers have insisted that Russian and Belarusian athletes must never compete as neutrals as recommended by the International Olympic Committee (IOC) because they could still be funded by their governments.
The IOC sanctioned Russia and Belarus after Moscow invaded Ukraine in February 2022 with Minsk’s support, but last month recommended that their athletes be allowed to return to international competition as neutrals.
Nakazia [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kama vipi waanzishe Olympic yao - yetu hatuwataki
The United Kingdom and France’s sports ministers have insisted that Russian and Belarusian athletes must never compete as neutrals as recommended by the International Olympic Committee (IOC) because they could still be funded by their governments.
The IOC sanctioned Russia and Belarus after Moscow invaded Ukraine in February 2022 with Minsk’s support, but last month recommended that their athletes be allowed to return to international competition as neutrals.
Nakazia [emoji116][emoji116][emoji116]Kama vipi waanzishe Olympic yao - yetu hatuwataki
The United Kingdom and France’s sports ministers have insisted that Russian and Belarusian athletes must never compete as neutrals as recommended by the International Olympic Committee (IOC) because they could still be funded by their governments.
The IOC sanctioned Russia and Belarus after Moscow invaded Ukraine in February 2022 with Minsk’s support, but last month recommended that their athletes be allowed to return to international competition as neutrals.
Tatizo ni upigaji wa punyeto.Kwahio mkuu unayoandika hapa yasitiliwe maanani?.
Nchi kuwa na wapumbavu kama ww ndo sababu ya kuishi kwa kutegemea misaada ya Marekani na mwenyewe anahitaji muendelee kuwa wapumbavu zaidi ili muendelee kuwategemea.Russia wako na waliopuuzwa wenzake duniani kama Iran, North Korea, etc, USA amepuuzwa na nani wakati hata nchi yako wanaomba msaada kwake na sio Urusi.
Angepuuzwa USA tayari Urusi wangeshateka Ukraine tumia akili sio mahaba kaka
Mtu kama Proved anaweza kumpinga huyo jasusi mstaafu wa Marekani kua anamkuza TU Putin.Scott Ritter: Putin is one of the biggest names of the century President of Russia Vladimir Putin is one of the greatest figures of this century, former US intelligence officer Scott Ritter said yesterday. " When people evaluate the history of this century, one name will stand above the others and that name is Vladimir Putin ," he said in an interview for the YouTube channel (US Tour of Duty). Assessing Putin's contribution to the development of the Russian Federation after the collapse of the USSR, Ritter pointed out that it was Putin who saved the country after the dark nineties. " He speaks the truth and is on the right side of history ," said the former American intelligence officer.