Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Vijana wa Putin naona mnashambulia sana kama ni match mpaka kipa anapanda kushambulia. Vijana wa upinde wametepeta, wamelaainika.
Kipindi Nagasaki na Hiroshima inalipuliwa na atomic bombs babu yako alikuwa amezaliwa?
Oh!!! Nikikumbuka USA walivyowafanyia Serbia pale Yugoslavia machozi yananitoka.
Wakati Gaddafi anauliwa ulikuwa na miaka mingapi?
Nimeangalia speech ya Russia Ktk UNSC aisee Lavrov ametoa point kali sana. Na inaonekana jinsi Russia inavyoichukulia USA ni tofauti sana na nchi nyingine. Russia hawaogopi na hawana simile kabisaa yaani unamkanya mtu akiwa nyumbani kwake...amewapa nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi...baada ya hapo naona west wamejibu lakini hawana supportive facts...zaidi sana mama wa US ameomba tu raia wake waachiwe
[emoji2][emoji2]Vijana wa Putin naona mnashambulia sana kama ni match mpaka kipa anapanda kushambulia. Vijana wa upinde wametepeta, wamelaainika.
Indonesia About To Ditch Visa And Mastercard — Media
The Bank of Indonesia will launch its domestic card payment system in May to reduce dependency on foreign techniques and protect transactions from geopolitical fallout, RIA Novosti news agency reported Monday.
Indonesian President Joko Widodo urged regional authorities to wean themselves off foreign payment systems and start using cards issued by local banks.
He argued that Indonesia needed to shield itself from geopolitical disruptions, citing Western sanctions targeting Russia’s financial sector over the conflict in Ukraine. “We must remember the sanctions imposed by the US on Russia. Visa and Mastercard could be a problem,” he warned.
Subscribe to RT
mzee una pigia mbuzi gitaa alafu mbona ataondoka mwenyewe humu walikuwepo wenye akili kama za kwake kabakia kipanya44 ....na mastreess kibao kwenye dafu lakeUnafikiri gesi ni kama biashara ya chapati, leo unaweza ukanunua hapa kesho pale.gesi sio biashara ya kitoto kama unavyafahamu.kwanza gesi uwa lazima mkubaliane bei alafu mkubaliane mkataba wa utakuwa wa muda gani na pia lazima mkubaliane jinsi ya kuifikisha gesi.
Gesi inayotumiwa kama nishati kwenye nchi uwezi ukaisafirisha kwenye meri.ukikafirisha kwenye meri basi utaitaji kuingiza meri zaidi ya elfu moja kwa siku ili uwendane na kiasi kinachoitajika na pia gharama inakuwa kubwa unaposafirisha gesi kwenye meri.kifupi gesi uwezi ukasafirisha kwenye meri ndo maana uwa wanajenga mabomba ya kusafirisha.sasa ukija kwenye gharama za ujenzi wa bomba uwa kawaida wewe utatoa nusu ya gharama alafu mimi pia nitatoa nusu ya gharama.
Na mpaka bomba la gesi kukamilika uwa sio chini ya miaka 2 kwenda juu labda uwe unatoa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndo itakuwa chini ya muda uwo.Marekani alijaribu kutaka kufanya biashara na EU kwa kuchimba gesi kule alaska, ila gharama ni kubwa sana inafika mara mbili ya gesi ya Mrusi.kwa iyo gesi ya alaska ikakosa wateja.
Gesi ya bei rahisi ipo kule Qatar ila changamoto ni njia ya kupita ili ifike Europe maana ni lazima ipitie Syria au Iran.
Kwa iyo ukimkimbia Mrusi kwenye gesi basi labda utumie makaa ya mawe.ndo maana Mrusi awabembelezi maana anajua kabisa wao wanamuitaji Mrusi kuliko Mrusi anavyowaitaji wao.
unaongelea Gadafi aliyeuawa na wananchi wake? baada ya kumchoka au Gadafi yupi unayemuongelea hapa? hakuna unachoelewa ww ni mweupe sana kichwani
Hivi Obiang' Basongo wananchi wake wakimuua unalaumu USA au Mseveni au Kagame? kweli mnamkuza USA hata sehem hausiki
Hawaibi wanasafirisha kwenda nchi masikini bure...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kiding!!!
Kwahiyo riport ya UK intel ni ya uongo[emoji16][emoji16]Jana walichinjwa zaidi ya mia sita 🥱🥱🥱🥱View attachment 2598015
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapana, tunamshangaa mtu alijifanya mwanaume kumbe ni "mkaka poa"
Kubumba kwenu hakutaisha hadi watoto wenu watakapowakata vichwa vyenu kwa hila zenu mnazozionyesha waziwazi...msifikiri watoto wenu watakubali hii aibu...“A few weeks ago, the International Criminal Court (ICC) issued an arrest warrant for Russian President Vladimir Putin for the war crime of unlawful deportation and transfer of children from occupied areas of Ukraine to Russia. It is a significant – indeed, historic – step toward holding Putin and his henchmen accountable for their crimes in Ukraine. But more must be done,” writes former prime minister of the United Kingdom, Gordon Brown, in his recent op-ed.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Propaganda indeedUkraine may have gained new positions on the east bank of the Dnipro River in Kherson Oblast after months of neither side making noticeable progress in the country’s south.
Meanwhile, major Russian cities that once tried to keep the conflict a background noise are now actively trying to recruit more soldiers to fight in Ukraine.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama ni propaganda je maeneo waliyofukuzwa wanazi wa Ukrain yapo chini ya uangalizi wa NATO au chini ya uangalizi wa hao Russian speaker combine ethnic Russians...toa jibu..Portrait of a Russian-Speaker Willing to Die for Ukraine
So many Russian-speakers – and even ethnic Russians – are fighting and dying for Ukraine. It puts to lie all the propaganda used to justify the invasion.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Njooni kwa ground, acheni counterattack za kwenye media...EXPLAINED: How Russia’s Experience Gained in Bakhmut Could Backfire When Ukraine Counterattacks
Moscow’s troops will find themselves having to switch from localized assaults in small formations to defending en masse against a better-equipped mechanized Ukrainian offensive.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app