Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

If the Crimean peninsula is the last swath of land that Ukraine recaptures from Russia, it will be the end of the war with this country, according to Kyrylo Budanov, the head of the Main Intelligence Directorate of Ukraine's Ministry of Defense.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Crimea ilikua part ya Urusi ikatolewa kama zawadi kwa Ukrain, sasa mkaleta wanyonyaji kwenye nchi...zawadi imerudi kwa mtoa zawadi...nini mbaya...??
 
Unanitukana, wewe ni mweupe kama mama yako mpumbavu sana, mahaba zako usiniletee hapa tumia akili pumbavu

Mm nimesema ukweli Russia wameshindwa vita na nchi dhaifu tu, kwani Putin alikuwa wapi wakati Gadafi anauawa? why akumsaidia? pumbavu unaleta upumbavu wako hapa

Russia wamezidi na watazidi kupoteza mbele ya USA ukitaka kumshusha USA usichagua vita alafu et vita umechagua nje ya USA duh, wakati huo watu wako ndo wanapigana vita, USA yeye ni watu wake wako mbali huoni unashida sehemu? Putin wetu ameyumba kichwani sio bure
Putin hakuwa raisi kwa kipindi hicho ila Gadafi asingeuwawa nakwambia.
 
Ukrainian President Volodymyr Zelensky in an interview with Al Arabiya expressed confidence in Ukraine's ability to repel the Russian invasion, saying that the country is preparing for a counteroffensive.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ila December isifike hamjafanya Counteroffensive yenu..mkizidi hapo bas Biden anawaacha...atakua kwenye harakati za uchaguzi mpya..na hakuna rangi mtaacha kuona..
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]



From February 24, 2022 to April 24, 2023, Ukraine’s Defense Forces eliminated 187,080 Russian invaders, including 660 in the past day.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kidoogo wanakaribia wale 190,000 walioanzisha hii OP fukuza wanazi..
 
Mkuu kuwa neutral ni kazi!Kwasababu kwa nyakati tofauti nitawakwaza watu wa group mbili hizi(pro West and pro Russia)

kwanini?humu ndani propaganda na mihemko ni mingi kuliko uhalisia.
hivyo basi nitakapochangia kitu kisichopendeza upand A basi nitaonekana supporter wa upande B and vice versa.

ila kwa mtazamo wako usije sema Igo Girkin ni pro West(kwa uchambuzi ni misimamo yake)
Haijawahi tokea hiyo...mshika mawili moja humponyoka, sasa moja limekuponyoka...umebakia upande wa NATO
 
FuiSRM_WcAMLVgu
 
thread imevamiwa pro urusi nawakumbusha kuna sapota wa ushoga na usagaji kavamia thread twendeni nae taratiiiiiibuuu
FYI: Number hazidanganyi bro, so tushawazoea!

1000006273.jpg


7.2% hiyo ni watu wazima 7 kwa kila 100 ni team Upinde, na hao ni wale wanao jitaja hadharani vipi ukiunganisha na wale wanaojificha ficha nyuma ya pazia?

Ajabu zaidi ni kwa Generation "Z", Kizazi cha 1997 hadi 2004. Akina team Ki-🐀 ha ha ha 19.7% ni almost 1 katika 5 ni Upinde. Imagine... just Imagine... tunazungumza na watu wa aina gani.

🗑️🗑️🗑️
 
Huko marekani Biden na kundi lake hofu tele.

[emoji1258][emoji1255] The Biden team fears the consequences of a failed Ukrainian counteroffensive, writes Politico.

The publication claims that the US presidential administration is preparing for criticism at home and from allies abroad if the UAF attack fails.

According to American politicians, some will reproach the American authorities for not handing over to the Ukrainian army everything that was required, including fighters and air defense systems. Others point out the shortcomings of Kiev

In addition, the countries of Europe will begin to consider peace talks between Ukraine and Russia as a more attractive option if Kiev cannot prove that victory is not far off.

Earlier, the commander of the Ukrainian troops in the Kharkiv region, Serhiy Melnyk, said that now the Armed Forces of Ukraine are exhausted: there are not enough people and equipment in the army.
Biden asihofu Ukraini itashinda, eeeh wazee wa counter-offer-show wataua warusi wengi kadir wawezavyo "in kp kipanya's voice"...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna videos nimeona, kuna wanajeshi wengi sana wa Chechnya, wamemwagika kwenye fronts zote.
Inavyoonekana Russia wamejiandaa kuwachinja kwa mkupuo wa Ukraine watakaojipendekeza kufanya hiyo counter-offensive.

Naona wanataka kuwapa kichapo kimoja kitakatifu ambacho hawatakisahau na hawatarudia tena kuzungumzia counter-offensive.
Na Biden anajitoa kujiandaa na uchaguzi 2024
 
Mkuu ni hivi kwa ufupi;
kwenye vita pande zote hupoteza vifaa na askari.

kwenye aina hii ya vita inayopiganwa kati ya Ukraine na Russia (attritional warefare/trench warefare) mshambuliaji anapata madhara makubwa kuliko mlindaji(ndio maana uwiano waweza kufikia 1:3)

mkuu nahisi umenielewa kwa kupitia lugha hii nyepesi kwangu(kwa maoni yako)
Acha ndoto za ki-westwest basi, hivi kwanini mko brain washed kiasi hiki?, kama Urusi alipeleka wapiganaji 190,000 akaongeza nguvu ya wapiganaji wa wegner 50,000...unahisi Ukrain kaingiza wanajieshi kiasi gani? Kazuia wanume wote wenye nguvu Ukrain wapigane, bado kaongeza askari wa NATO wanazid 900+ pamoja na intel ya nchi 30 za ulaya..na bado maeneo yamechukuliwa...unahisi beti yako ratio ya vifo ni Ukraini 1:3 Urusi au ni Ukrain 3:1 Urusi...
 
Back
Top Bottom