Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimeangalia speech ya Russia Ktk UNSC aisee Lavrov ametoa point kali sana. Na inaonekana jinsi Russia inavyoichukulia USA ni tofauti sana na nchi nyingine. Russia hawaogopi na hawana simile kabisaa yaani unamkanya mtu akiwa nyumbani kwake...amewapa nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi...baada ya hapo naona west wamejibu lakini hawana supportive facts...zaidi sana mama wa US ameomba tu raia wake waachiwe
weka speech basi tuone wote poti au ndo mahaba tu Russia tayari walifeli tangu miaka ya 1989s
 
Urusi walishafeli toka mda mrefu sana, kwa wenye akili zao Urusi ni mbwa koko aliyepuuzwa na wazee wenzake duniani
LGBTQ mpo na shida sehemu siyo bure.

🌎 #dedollarization
"The issue of a single BRICS currency has a medium-term and even long-term character. Right now we are working on expanding the use of the BRICS national currencies in mutual trade. The BRICS have a corresponding agreement, and now we are implementing it in practice. We are trying to increasingly based on our national currencies" - Ambassador-at-Large for Asia and BRICS at the South African Foreign Ministry - TASS
 
Kipindi Nagasaki na Hiroshima inalipuliwa na atomic bombs babu yako alikuwa amezaliwa?

Oh!!! Nikikumbuka USA walivyowafanyia Serbia pale Yugoslavia machozi yananitoka.

Wakati Gaddafi anauliwa ulikuwa na miaka mingapi?
unaongelea Gadafi aliyeuawa na wananchi wake? baada ya kumchoka au Gadafi yupi unayemuongelea hapa? hakuna unachoelewa ww ni mweupe sana kichwani

Hivi Obiang' Basongo wananchi wake wakimuua unalaumu USA au Mseveni au Kagame? kweli mnamkuza USA hata sehem hausiki
 
Twende taratibu.
Nani alitumia mabom ya Nuclear kule Nagasaki na Hiroshima?
 
LGBTQ mpo na shida sehemu siyo bure.

🌎 #dedollarization
"The issue of a single BRICS currency has a medium-term and even long-term character. Right now we are working on expanding the use of the BRICS national currencies in mutual trade. The BRICS have a corresponding agreement, and now we are implementing it in practice. We are trying to increasingly based on our national currencies" - Ambassador-at-Large for Asia and BRICS at the South African Foreign Ministry - TASS
Unanitukana, wewe ni mweupe kama mama yako mpumbavu sana, mahaba zako usiniletee hapa tumia akili pumbavu

Mm nimesema ukweli Russia wameshindwa vita na nchi dhaifu tu, kwani Putin alikuwa wapi wakati Gadafi anauawa? why akumsaidia? pumbavu unaleta upumbavu wako hapa

Russia wamezidi na watazidi kupoteza mbele ya USA ukitaka kumshusha USA usichagua vita alafu et vita umechagua nje ya USA duh, wakati huo watu wako ndo wanapigana vita, USA yeye ni watu wake wako mbali huoni unashida sehemu? Putin wetu ameyumba kichwani sio bure
 
Unaandika maandishi mengi huku point ni zero.

expand...
Twende taratibu.
Nani alitumia mabom ya Nuclear kule Nagasaki na Hiroshima?
 
Twende taratibu.
Nani alitumia mabom ya Nuclear kule Nagasaki na Hiroshima?
USA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.

Malengo ya USA yanatimia kwa kasi ujue ila Putin haoni, wateja wakubwa wa gesi karibia wote walishamuacha au wako mbion kumtema kabisa, NATO wamefika mpakani mwake kiulani sana.

Ili ushike dunia ya leo ni akili not vita, unatakiwa uwekeze katika uchumi zaidi na sio vita rafiki yangu ok
 
Pointless
 
Kama vipi waanzishe Olympic yao - yetu hatuwataki

The United Kingdom and France’s sports ministers have insisted that Russian and Belarusian athletes must never compete as neutrals as recommended by the International Olympic Committee (IOC) because they could still be funded by their governments.

The IOC sanctioned Russia and Belarus after Moscow invaded Ukraine in February 2022 with Minsk’s support, but last month recommended that their athletes be allowed to return to international competition as neutrals.
 
⚡️⚡️⚡️The Armed Forces of the Russian Federation has stopped the personnel rotation of the 110th Brigade of the Armed Forces of Ukraine in Maryinka

Eliminated up to 30 Ukrainian militants.

◾️A Ukrainian column was broken near Avdiivka.

"Used" five armored vehicles up to 25 enemy fighters.

◾️In Kramatorsk, a blow was struck at the temporary deployment point of the 60th Mechanized Brigade of the Armed Forces of Ukraine.

The number of destroyed equipment and personnel is difficult to calculate.

This was reported by the press center of the "South" group⚡️⚡️⚡️
 
⚡️🇪🇺⚡️Europe imposes sanctions against Ukraine.The European Commission has agreed to ban sunflower oil imports from Ukraine.

🤣
Polish Agriculture and Rural Development Minister Robert Telus said that his country will not abandon the blockade of Ukrainian imports until Polish demands are met. Poland will also demand a ban on imports of flour, honey, sugar, soft fruit, eggs, meat, milk and dairy products.

However, on 21 April, Poland unblocked for Ukrainian agricultural products the transit to European ports passing through the country.

Partners⚡️😆⚡️
 
USA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.

Malengo ya USA yanatimia kwa kasi ujue ila Putin haoni, wateja wakubwa wa gesi karibia wote walishamuacha au wako mbion kumtema kabisa, NATO wamefika mpakani mwake kiulani sana.

Ili ushike dunia ya leo ni akili not vita, unatakiwa uwekeze katika uchumi zaidi na sio vita rafiki yangu ok
Unafikiri gesi ni kama biashara ya chapati, leo unaweza ukanunua hapa kesho pale.gesi sio biashara ya kitoto kama unavyafahamu.kwanza gesi uwa lazima mkubaliane bei alafu mkubaliane mkataba wa utakuwa wa muda gani na pia lazima mkubaliane jinsi ya kuifikisha gesi.

Gesi inayotumiwa kama nishati kwenye nchi uwezi ukaisafirisha kwenye meri.ukikafirisha kwenye meri basi utaitaji kuingiza meri zaidi ya elfu moja kwa siku ili uwendane na kiasi kinachoitajika na pia gharama inakuwa kubwa unaposafirisha gesi kwenye meri.kifupi gesi uwezi ukasafirisha kwenye meri ndo maana uwa wanajenga mabomba ya kusafirisha.sasa ukija kwenye gharama za ujenzi wa bomba uwa kawaida wewe utatoa nusu ya gharama alafu mimi pia nitatoa nusu ya gharama.

Na mpaka bomba la gesi kukamilika uwa sio chini ya miaka 2 kwenda juu labda uwe unatoa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndo itakuwa chini ya muda uwo.Marekani alijaribu kutaka kufanya biashara na EU kwa kuchimba gesi kule alaska, ila gharama ni kubwa sana inafika mara mbili ya gesi ya Mrusi.kwa iyo gesi ya alaska ikakosa wateja.

Gesi ya bei rahisi ipo kule Qatar ila changamoto ni njia ya kupita ili ifike Europe maana ni lazima ipitie Syria au Iran.

Kwa iyo ukimkimbia Mrusi kwenye gesi basi labda utumie makaa ya mawe.ndo maana Mrusi awabembelezi maana anajua kabisa wao wanamuitaji Mrusi kuliko Mrusi anavyowaitaji wao.
 
USA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.

Malengo ya USA yanatimia kwa kasi ujue ila Putin haoni, wateja wakubwa wa gesi karibia wote walishamuacha au wako mbion kumtema kabisa, NATO wamefika mpakani mwake kiulani sana.

Ili ushike dunia ya leo ni akili not vita, unatakiwa uwekeze katika uchumi zaidi na sio vita rafiki yangu ok
Hizi ID mpya hizi zina shida.Hakuna taifa lolote ambalo litamia nguvu na akili kidogo kama US.Ndo maana ana base za kivita KILA kona ya dunia.Sasa kama Us hatumii nguvu ya kivita kujinufaisha hizo base KILA pembe ya dunia ni za nn ?
 
Back
Top Bottom